Thursday , 2 May 2024

Habari za Siasa

Habari za Siasa

Spika afafanua uamuzi wake kutowafukuza Mdee, wenzake bungeni

  Spika wa Bunge la Tanzania Dk.Tulia Akson, ametoa ufafanuzi zaidi kuhusu uamuzi wake wa kutowafukuza bungeni wabunge 19 wa Chadema baada ya...

AfyaHabari za Siasa

1,580 wapoteza maisha wakati wa kujifungua ndani ya mwaka mmoja

  WANAWAKE 1,580 wamepoteza maisha nchini Tanzania wakati wa kujifungua katika kipindi cha mwaka mmoja wa 2021. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea)....

HabariHabari za Siasa

Sakata la kina Mdee: Chadema hawajapokea ‘Summons’

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema hakijapokea wito wa mahakama kuhusu kesi inayodaiwa kufunguliwa na wanachama wake 19 waliofukuzwa hivi karibuni ndani...

HabariHabari za SiasaTangulizi

Sakata la kina Mdee: Lissu ampinga Spika Tulia “ni uamuzi wa kisiasa”

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)-Bara nchini Tanzania, Tundu Lissu ameukosoa vikali uamuzi wa Spika Tulia Ackson kuwabakisha bungeni Halima...

HabariHabari za SiasaTangulizi

Bunge lagoma kuwang’oa Mdee, wenzake, lasubiri uamuzi wa mahakama

BUNGE la Tanzania limesema wabunge 19 wa viti maalumu waliofukuzwa uanachama wa Chadema, wataendelea kutumikia mhimili huo hadi pale Mahakama Kuu, itakapotoa uamuzi...

Habari za SiasaTangulizi

Kina Mdee waendelea kuchapa kazi bungeni

  LICHA ya Halima Mdee na wenzake 18 kufukuzwa uanachama ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), leo Jumatatu tarehe 16 Mei...

Habari za Siasa

CCM yanusu hujuma Ma RC, DC kwa Rais Samia

  CHAMA tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeshangazwa na ukimya kwa wakuu wa mikoa (RC) na wilaya (DC) katika kuelezea mafanikio...

Habari za SiasaTangulizi

Serikali yaongeza kima cha chini mshahara asilimia 23.3

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameridhia mapendekezo ya nyongeza ya mshahara kwa watumishi wa umma, ambapo kima cha chini kimeongezwa kwa...

Habari za SiasaTangulizi

ACT-Wazalendo yaita watetezi haki za binadamu mapambano katiba mpya

  CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimetoa wito kwa watetezi wa haki za binadamu Tanzania kuungana na vyama vya siasa vya upinzani katika harakati za...

Habari za Siasa

Mtemvu ahofia ‘kilichomwondoa’ Mnyika Kibamba

  MBUNGE wa Kibamba, Issa Mtemvu ameonesha hofu yake ya kutoendelea kuwa mbunge wa jimbo hilo endapo changamoto ya upatikanaji wa maji haitatatuliwa...

Habari za SiasaTangulizi

Wabunge waliofukzwa Chadema watinga bungeni

  BAADHI ya Wabunge wa Viti Maalum waliofukuzwa uanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wametinga bungeni siku moja baada ya Baraza...

Habari za SiasaTangulizi

Barua kuwang’oa kina Mdee yatua bungeni, Chadema yasema…

  CHAMA kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema kimesema, kimewasilisha barua kwa Spika wa Bunge kumweleza kuhusu hatima ya rufaa za waliokuwa...

HabariHabari za SiasaTangulizi

Rufaa za kina Mdee zatupwa, Mbowe asema…

  RUFAA za Halima Mdee na wenzake 18 za kupingwa kufukuzwa uanachama na kamati kuu ya Chadema zimetupiliwa mbali na wajumbe wa Baraza...

Habari za SiasaTangulizi

Rufaa za kina Mdee zilivyosikilizwa

  BARAZA Kuu la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) nchini Tanzania limemaliza kusikiliza rufaa za Halima Mdee na wenzake 18 . Anaripoti...

Habari za Siasa

ACT-Wazalendo yatoa mapendekezo kuboresha elimu nchini

CHAMA cha ACT Wazalendo kimeitaka serikali kukabiliana na changamoto ya upungufu wa walimu na kuboresha elimu katika sekta hiyo. Anaripoti Rhoda Kanuti Dar...

Habari za SiasaTangulizi

Bobi Wine asema alishinda Urais kwa asilimia 53

KIONGOZI wa Harakati za nguvu za umma na Rais wa chama cha National Unit Platform (NUP), Robert Kyagulanyi Ssentamu amesema alishinda urais katika...

HabariHabari za SiasaTangulizi

Babu Duni: Tukishirikiana tutaiondoa CCM 2025

MWENYEKITI wa chama cha ACT-Wazalendo Juma Duni Haji, amesema upinzani ukishirikiana uchaguzi ujao 2025 utaweza kukiondoa madarakani Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaripoti Mwandishi...

HabariHabari za Siasa

Rungwe aelezea machungu Awamu ya Tano “nimeenda Central mara tatu”

MWENYEKITI wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Hashim Rungwe, amedai misingi ya katiba na sheria haikufuatwa katika uongozi wa Awamu ya Tano,...

HabariHabari za Siasa

Msajili wa vyama aitolea uvivu Chadema

NAIBU Msajili wa Vyama vya Siasa, Sisty Nyahoza, amekitaka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kishiriki katika mikutano ya vyama vya siasa, ili...

Habari za SiasaTangulizi

Kina Mdee: Tuko tayari kwa lolote

  HALIMA Mdee na wenzake 18 wamesema wamefika kusikiliza rufaa zao wakisema “tuko tayari kwa lolote.” Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam …...

Habari za SiasaTangulizi

LIVE: Baraza Kuu Chadema, kina Mdee

  MKUTANO wa Baraza Kuu la chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema unafanyika leo Jumatano tarehe 11 Mei 2022, katika ukumbi...

Habari za Siasa

Viongozi CCM watakiwa kukubali kupingwa uchaguzi

VIONGOZI wa Chama cha Mapinduzi (CCM) waliopo madarakani wametakiwa kuruhusu watia nia wa nafasi mbalimbali ndani ya chama hicho kuchukua fomu hata katika ...

ElimuHabari za Siasa

Prof. Mkumbo ataka maafisa elimu kata wang’olewe kufidia pengo la walimu

  MBUNGE wa Ubungo, Profesa Kitila Mkumbo, ameishauri Serikali ifute kada ya maafisa elimu kata, ili kuziba changamoto ya upungufu wa walimu shuleni....

HabariHabari za Siasa

Ufaransa yaridhishwa na mazingira ya biashara nchini

UFARANSA imeonesha kuridhishwa na hatua zilizochukuliwa na zinazochukuliwa na Serikali ya Awamu ya Sita katika kuboresha mazingira ya biashara na uwekezaji nchini Tanzania....

HabariHabari za SiasaTangulizi

Sakata la gongo lamuweka mbunge kitanzini, Spika aomba radhi

SPIKA wa Bunge, Dk. Tulia Ackson amemuonya Mbunge Sengerema, Hamisi Tabasamu (CCM) baada ya kudaiwa kutweza mchango wa Mbunge wa Momba, Condester Sichwale...

Habari za Siasa

Serikali yakopa WB, IMF kukabili mfumuko wa bei

  SERIKALI imesema imeanza mchakato wa kuchukua mkopo kutoka Benki ya Dunia (WB) na Shirika la Fedha Duniani (IMF) kwa ajili ya kuwekaahueni...

Habari za SiasaTangulizi

Serikali yatoa ruzuku ya Bil. 100/- kushusha bei mafuta

  SERIKALI imetopa ruzuku ya Sh 100 bilioni kwa kipindi cha mwezi mmoja kwaajili ya kuleta ahueni katika bei ya nishati ya mafuta....

Habari za Siasa

Bunge laibana Serikali matukio ya moto kwenye masoko

  MFULULIZO wa matukio ya ajali za moto katika masoko mbalimbali nchini yamewaamsha wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia, Mbowe wakutana tena Ikulu

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amekutana kwa mara nyingine na kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini humo cha Chadema, Freeman...

Habari za Siasa

CCM waitaka Serikali itoe ufumbuzi kupanda kwa bei ya mafuta

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeitaka Serikali kutafuta ufumbuzi wa haraka wa namna ya kukabiliana hali ngumu ya maisha kwa Watanzania kutokana na kupanda...

Habari za SiasaTangulizi

Askofu Gwajima ashangaa ujenzi wa reli badala ya uchimbaji chuma

  MBUNGE wa Kawe, Askofu Dk. Josephat Gwajima (CCM) leo Jumatatu amesema licha ya kwamba ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) lilikuwa wazo...

Habari za SiasaTangulizi

Nchemba, Shigongo wavutana nchi kurudi uchumi wa chini

  MVUTANO umeibuka bungeni baina ya Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo na Waziri wa Fedha na Mipango, Mwigulu Nchemba kuhusu nchi kuporomoka kutoka...

Habari za Siasa

Mpina ataka uchunguzi Symbion kabla ya kulipwa

  MBUNGE wa Kisesa, Luhaga Mpina, ameishauri Serikali ifanye uchunguzi dhidi ya Kampuni ya kuzalisha umeme ya Symbion Power, kabla ya kuilipa zaidi...

Habari za Siasa

Mbunge aitaka Serikali iunde kikosi kazi cha uchumi

  MBUNGE wa Mafinga Mjini, Cosato Chumi, ameitaka Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji kuunda kikosi kazi cha masuala ya uchuimi kama ambayo...

Habari za SiasaTangulizi

Bei ya mafuta: Rais Samia aongoza kikao usiku Ikulu, atoa maagizo

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewaagiza viongozi akiwemo Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kutafuta suluhisho la haraka katika kukabiliana na tatizo la...

Habari za SiasaTangulizi

Ndugai: Sitagombea ubunge 2025

  MWANASIASA mkongwe na Spika mstaafu nchini Tanzania, Job Ndugai ametangaza kutogombea tena nafasi ya ubunge wa Kongwa mkoani Dodoma katika uchaguzi mkuu...

ElimuHabari za Siasa

CWT yakoshwa na utendaji wa Rais Samia

  CHAMA cha walimu Tanzania(CWT) kimempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kutokana na namna inavyowajali watumishi nchini wakiwemo walimu. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma …...

Habari za Siasa

Wananchi wapanga kuandamana kumng’oa diwani

  WAKAZI wa Kata ya Nzuguni Jijini Dodoma wamepanga kuandamana hadi kwa Diwani wao, Mzee Aloyce (CCM) ili wamshinikize kujiuzulu kwa kushindwa kutimiza...

Habari za Siasa

Sare, mafunzo askari kutafuna Bil. 34.7/-

  WIZARA ya Mambo ya Ndani ya Nchi imeweka kipaumbele kwa mafunzo na ununuzi wa sare za askari ambapo jumla ya Sh 34.7...

Habari za SiasaTangulizi

Wabunge wataka ruzuku iwekwe, tozo ziondolewe kuhimili bei ya mafuta

  WABUNGE wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wameishauri Serikali kuondoa tozo zisizo na athari katika miradi muhimu kwa wananchi pamoja...

Habari za SiasaTangulizi

#LIVE: Bunge lasimamisha shughuli, lajadili upandaji bei ya mafuta

  MKUTANO wa saba kikao cha 16 cha Bunge la Tanzania leo Alhamisi kumesimamisha shughuli zake za kawaida na kuanza kujadili kupanda kwa...

Habari za SiasaTangulizi

Kupanda kwa mafuta: Majaliwa aitisha kikao usiku cha mawaziri na….

  WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Serikali inaendelea kutafuta njia mbadala zitakazopunguza gharama ya maisha kwa Watanzania kutokana na kupanda kwa...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia: Wanaoguswa ripoti ya CAG wanachukuliwa hatua

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema Serikali yake inawachukulia hatua watu wanaotajwa kufanya ubadhirifu katika ripoti za ukaguzi za Mdhibiti na...

Habari za Siasa

ACT-Wazalendo chashauri Serikali iondoe tozo za Sh 500 kwenye mafuta

  CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimeishauri Serikali iondoe tozo ya Sh. 500 kwa kila lita ya mafuta ya dizeli, petroli na mafuta ya taa,...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia akanusha taarifa kwamba alikuwa haelewani na Magufuli

RAIS Samia amesema alinukuliwa vibaya na vyombo vya Habari vilivyosema kwamba alisema hakuwa na maelewano mazuri na Rais John Magufuli kipindi yeye akiwa...

Habari za Siasa

Rais Samia asema kupanda mishahara kutategemea mapato yatakavyoonesha

RAIS Samia Suluhu Hassan amesema Serikali inaangalia hesabu zake kama zinarhusu kupandishwa kwa kima cha chini na mshahara na kusisitiza kuwa watumishi wataendelea kupandishwa...

Habari za Siasa

ACT-Wazalendo kuiteka Mwanza siku tatu

  CHAMA cha ACT-Wazalendo, kinatarajia kufanya maadhimisho ya kitaifa ya miaka nane ya kuzaliwa kwake, kesho Alhamisi, tarehe 5 Mei 2022, jijini Mwanza....

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia aeleza Kamala alivyopata Corona, “mimi mzima”

RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefafanua kuwa baada ya kukutana Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris, alipokuwa kwenye ziara nchini humo,...

Habari za SiasaTangulizi

#LIVE: MEI MOSI, Rais Samia kupandisha mishahara?

  LEO ni Mei Mosi, sikuu ya wafanyakazi duniani ambayo kitaifa nchini Tanzania inafanyikia Uwanja wa Jamhuri Dodoma na mgeni rasmi ni Rais...

Habari za Siasa

Polepole aanza safari ya Malawi

  RAIS wa Zanzibar, Dk Hussein Ali Mwinyi amemweleza Balozi wa Tanzania nchini Malawi, Humphrey Polepole umuhimu wa kuifanyia kazi na kuipa kipaumbele...

error: Content is protected !!