WAZIRI wa Madini, Doto Biteko, amesema biashara ya madini nchini imeendelea kuimarika huku bei ya madini muhimu kama dhahabu na almasi ikizidi...
By Mwandishi WetuApril 29, 2022UHAMISHAJI soko la madini ya Tanzanite kutoka Arusha kwenda Mirerani, Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara, limewagawa wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)....
By Mwandishi WetuApril 29, 2022CHAMA tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema, kinafanyia uhakiki madeni ya wafanyabiashara saba waliosema wanakidai, kutokana na kazi kiliyowapa wakati...
By Mwandishi WetuApril 29, 2022SERIKALI imesema imefanikiwa kukamata madini ya Sh 501.2 milioni katika matukio ya utoroshaji katika kipindi cha kati ya Julai 2021 hadi Machi...
By Mwandishi WetuApril 29, 2022RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametoa shukrani kwa wote waliohusika katika maandalizi ya uzinduzi wa Filamu ya The Royal Tour nchini...
By Mwandishi WetuApril 29, 2022WIZARA ya Madini imepokea Sh 1.5 bilioni pekee kwaajili ya miradi ya maendeleo hadi kufikia Machi 2022 sawa na asilimia 10 ya...
By Mwandishi WetuApril 29, 2022MBUNGE Viti Maalumu (CCM), Neema Lugangira, ameshauri Sheria ya Vyama vya Siasa irekebishwe ili kumpa meno Msajili wa Vyama vya Siasa katika...
By Mwandishi WetuApril 28, 2022MBUNGE wa Madaba, Joseph Mhagama, amesema kivutio namba moja cha wawekezaji na biashara nchini ni utawala wa sheria. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma...
By Mwandishi WetuApril 28, 2022MBUNGE wa Sengerema, Hamis Tabasamu ameibua “mambo mazito” bungeni kuhusu kuchezewa kwa tenda ya uagizaji wa mafuta ya Tarehe 18 Aprili 2022. Anaripoti...
By Mwandishi WetuApril 28, 2022MBUNGE wa Kisesa, Luhaga Mpina ameliomba Bunge kuunda kamati ya kiuchunguzi ili kujua sababu ya Kamati ya Majadiliano ya Kesi ya Makinikia kukubali...
By Mwandishi WetuApril 28, 2022MBUNGE wa Viti Maalum (CCM), Mkoa wa Dodoma, Mariam Ditopile amejumuika na viongozi wa Dini, Serikali, Chama Cha Mapinduzi na wananchi mbalimbali...
By Mwandishi WetuApril 28, 2022MAKAMU Mwenyekiti wa chama tawala Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana ameishauri Serikali inayoongozwa na chama hicho kuchukua hatua za kinidhamu...
By Mwandishi WetuApril 27, 2022MAKAMU Mwenyekiti CCM Bara, Abdulrahman Kinana amewataka wanachama na viongozi wa CCM kuwa tayari kwa maridhiano ya kisiasa aliyoyaanzisha Rais Samia Suluhu Hassan....
By Gabriel MushiApril 27, 2022MWENYEKITI wa Kamati ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira, David Kihenzile amesema siku moja kabla ya Mbunge Irene Ndyamkama kufikwa na umauti,...
By Gabriel MushiApril 27, 2022WAZIRI Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Warioba ameishauri Serikali ya Tanzania kufuata nyayo za Serikali ya Zanzibar, kukuza uchumi kwa kutumia rasilimali za bahari,...
By Gabriel MushiApril 26, 2022MWANASIASA mkongwe nchini Tanzania, Mzee Pius Msekwa, amesema muungano wa Tanganyika na Zanzibar, ulitokana na chimbuko la masuala matano, ikiwemo la kuimarisha ulinzi...
By Gabriel MushiApril 26, 2022SPIKA wa Bunge mstaafu, Pius Msekwa, amesema Hayati Mwalimu Julius Nyerere na Hayati Abeid Amani Karume, waliendesha makubaliano ya Muungano wa Tanganyika na...
By Gabriel MushiApril 26, 2022KAMPUNI saba za uchapishaji kutoka Kariakoo, jijini Dar es Salaam, zimekiomba Chama Cha Mapinduzi (CCM), kilipe kiasi cha Sh. bilioni moja fedha...
By Mwandishi WetuApril 26, 2022MWENYEKITI wa Kamati Kuu ya Sensa ya Watu na Makazi, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema maandalizi ya zoezi hilo hadi kufikia jana...
By Regina MkondeApril 26, 2022MAKAMU wa Rais, Dk. Philip Mpango, amesema ushirikiano na mwingiliano wa wananchi wa pande zote za muungano unadhihirisha kuwa Muungano wa Tanganyika...
By Mwandishi WetuApril 26, 2022MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana amewataka madiwani na wabunge kukataa kupitisha miswada ya sheria yenye kukandamiza...
By Mwandishi WetuApril 25, 2022KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amesema lengo la Chama kuendelea kushika Dola...
By Mwandishi WetuApril 25, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan amesema anaelewa sababu ya chama kimoja ambacho hajakitaja, kimekataa kushiriki mchakato wa majadiliano ya kutafuata muafaka mazingira ya ufanyaji...
By Mwandishi WetuApril 25, 2022UONGOZI wa Wanawake Tanzania (UWT) wametoa pongezi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano, Samia Suluhu Hassan kwa ubunifu wake wa kuzindua filamu ya...
By Gabriel MushiApril 25, 2022MBUNGE wa Nkasi Kaskazini, Aida Khenan (Chadema) amesema iwapo serikali haitachukua hatua za kumuonya mkuu wa wilaya ya Nkasi dhidi ya matumizi...
By Danson KaijageApril 24, 2022SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk.Tulia Ackson ametangaza kifo cha Mbunge wa Viti Maalum,CCM, Irene Alex Ndyamkama ambaye...
By Danson KaijageApril 24, 2022MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi-Bara nchini Tanzania, Abdulrahman Kinana amesema wanachama wanaotafuta uongozi ndani ya chama hicho kwa kutumia fedha, hawana nafasi...
By Gabriel MushiApril 24, 2022KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo amewaahidi vijana 26 wa shina la namba tano la kata Kilimani mkoani Dodoma...
By Danson KaijageApril 23, 2022JAJI Mstaafu Joseph Warioba ametaja mambo saba yaliyompa heshima Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere na kusisitiza kuwa kiongozi huyo alikataa kuitwa...
By Mwandishi WetuApril 23, 2022WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema hakuna wa kupinga kluwa Tanzania chini ya uongozi wa Hayati Mwl. Julius Nyerere, ilikuwa kinara wa ukombozi wa...
By Gabriel MushiApril 23, 2022MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana amewataka Watanzania wajiulize kwa nini Tanzania inaendelea kumuenzi Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius...
By Gabriel MushiApril 23, 2022KATI ya matamko 425 ya mali na madeni ya viongozi wa umma yaliohakikiwa, asilimia 11 (sawa na matamko 46) yalibainika kuwa na...
By Mwandishi WetuApril 21, 2022WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Innocent Bashungwa, amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Halmashauri ya...
By Masalu ErastoApril 20, 2022SERIKALI ya Tanzania imeziagiza halmashauri zote nchini humo ambazo zimepokea kiasi cha sh.50 milioni kwa ajili ya umaliziaji wa ujenzi wa vituo...
By Danson KaijageApril 20, 2022MBUNGE wa viti maalum kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) nchini Tanzania, Josephine Ngezabuke (CCM) ameihoji Serikali na kutaka kujua ni lini itamaliza...
By Mwandishi WetuApril 20, 2022MBUNGE wa Lupembe, Edwin Swale (CCM), ameishauri Serikali ifanye mabadiliko ya sheria yatakayowezesha asilimia 10 za mapato ya halmashauri zinazotolewa kwa ajili ya...
By Gabriel MushiApril 19, 2022MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) nchini Tanzania, Charles Kichere amesema, ukaguzi alioufanya kwa mwaka 2020/21 amebaini chama kikuu...
By Mwandishi WetuApril 17, 2022MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) nchini Tanzania, Charles Kichere ameonesha hofu kwa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
By Mwandishi WetuApril 17, 2022RIPOTI ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mwaka 2020/21 nchini Tanzania, amebaini kampuni zinazomilikiwa na Chama Cha...
By Mwandishi WetuApril 17, 2022MAKAMU wa Rais wa Marekani, Kamala Harris ameeleza mambo mahususi watakayogusia katika mazungumzo yake na Rais Samia Suluhu Hassan ambaye yupo nchini...
By Mwandishi WetuApril 15, 2022MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) nchini Tanzania, Charles Kichere amebaini ufanisi duni kwenye mchakato wa utoaji leseni kwa...
By Mwandishi WetuApril 15, 2022RIPOTI ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mwaka 2020/21 imebaini mashirika ya umma 12 kati 200 yaliyokaguliwa...
By Mwandishi WetuApril 15, 2022MIRADI ya majengo ya afya katika mamlaka 20 za serikali za mitaa, haitumiki licha ya kukamilika. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea)....
By Mwandishi WetuApril 15, 2022RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi watatu akiwemo Mavere Tukai kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD)....
By Mwandishi WetuApril 14, 2022BUNGE la Tanzania, limeitaka Serikali litoe taarifa za matumizi ya asilimia 10 za mapato ya ndani ya halmashauri, zilizotolewa kwa ajili ya...
By Mwandishi WetuApril 14, 2022KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa, imesema mwenendo wa makusanyo ya maduhuli ya mamlaka za Mikoa na Serikali...
By Gabriel MushiApril 14, 2022HALI ya kifedha ya Mfuko ya Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) na Mfuko wa Hifadhi za Kijamii (NSSF) ya...
By Mwandishi WetuApril 14, 2022CHAMA cha siasa cha upinzani nchini Tanzania cha ACT-Wazalendo kimeitaka Serikali kufuata Katiba kwa kufanya matumizi ya fedha mara baada ya kuwa...
By Mwandishi WetuApril 14, 2022CHAMA cha siasa cha upinzania nchini Tanzania cha ACT-Wazalendo, kimeitaka Serikali iwalipe watumishi wote malimbikizo ya madai yao mara moja kwa mkupuo...
By Mwandishi WetuApril 14, 2022MBUNGE wa Ngorongoro Emmanuel Ole Shangai ameituhumu Serikali “inawawekea vikwazo vya kimaendeleo” wananchi wa Tarafa ya Ngorongoro mkoani Arusha kwa kuhamisha fedha za...
By Gabriel MushiApril 13, 2022