MTANZANIA anayechezea klabu ya Leicester City, Ben Antony Starkie anatarajiwa kutua leo nchini 26 Julai, 2018 kujiunga na kambi ya timu ya taifa...
By Kelvin MwaipunguJuly 26, 2018IMEKUWA utaratibu uliozoeleka maeneo mengi duniani, kwamba kila kiongozi wa nchi anapoingia madarakani vyombo vya habari humpachika jina “jepesi,” mbali na majina yake...
By Mwandishi WetuJuly 26, 2018KUELEKEA kuanza kwa msimu mpya wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limetoa angalizo kwa klabu zinazoshiriki ligi kuu na...
By Kelvin MwaipunguJuly 26, 2018KANGI Lugola, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi amesema, anafanya kile atakacho Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli....
By Danson KaijageJuly 26, 2018WAKAZI wa Mtaa wa Nyakabungo “A” katika Kata ya Isamilo, Nyamgana jijini Mwanza, ‘wamemuhukumu’ Selina Francis (50) na Abdallah Mwita kwa kuchoma moto...
By Mwandishi WetuJuly 26, 2018MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imepanga kuanza kusikiliza kesi ya jinai inayowakabili viongozi wakuu wa Chama cha Demokrasia na...
By Faki SosiJuly 25, 2018MSEMAJI wa Simba, Haji Manara amewashutumu vikali chombo cha Habari cha Clouds FM, kwa kutangaza taarifa za uongo kuhusu klabu ya Simba kucheza...
By Kelvin MwaipunguJuly 25, 2018SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) limeweka hadharani orodha ya wachezaji 10 watakaowania tuzo ya mwanasoka bora wa Dunia kwa mwaka 2018,...
By Kelvin MwaipunguJuly 25, 2018SERIKALI ina mpango wa kuanzisha soko huria la madini (Tanzania Mineral Exchange) ifikapo mwezi Desemba mwaka huu. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Kauli...
By Mwandishi WetuJuly 25, 2018MWANAFUNZI mmoja anayefahamika kwa jina la Junaid Khan (21) ametumikia kifungo cha miezi mitano gerezani nchini India kwa kuwa msimamizi wa kundi la...
By Mwandishi WetuJuly 25, 2018WATOTO wachanga takribani 11 wamefariki dunia nchini Uholanzi kutokana na mama zao kupewa dawa ya kuongeza nguvu za kiume inayofahamika kama Viagra. Anaripoti...
By Mwandishi WetuJuly 25, 2018TUME ya Taifa ya Kudhibiti Ukimwi (TACAIDS) imeeleza kuwa, Virusi Vinavyosababisha Ukimwi (VVU) vinaendelea kusambaa na kwamba, wananchi wanapaswa kuwa na tahadhari. Anaripoti...
By Faki SosiJuly 24, 2018Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza Tanzania, Phaustine Martin Kasike amefanya mabadiliko ya kiuongozi kwa wakuu wa Magereza wa mikoa na vituo nchini....
By Mwandishi WetuJuly 24, 2018WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi Vijana na Ajira, Jenista Mhagama ameivunja Bodi ya Wadhamini ya Shirika la Hifadhi...
By Mwandishi WetuJuly 24, 2018KIKAO cha dharula kilichofanywa na Kamati ya Utendaji na Bodi ya Wadhamini ya Klabu ya Yanga imemteua na kumtangaza Omar Kayaa kuwa Katibu...
By Kelvin MwaipunguJuly 24, 2018KIONGOZI wa mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa, Charles Francis kabeho amezingdua mradi wa kuchakata maji taka kwenye kiwanda cha nguo 21st Century...
By Christina HauleJuly 24, 2018ASKARI waliokamatwa kwa ajili ya uchunguzi wa mauaji ya Mwanafunzi wa Chuo cha Usafirishaji (NIT), Akwilini Akwilina wameachiwa huru baada ya uchunguzi kutobaini...
By Masalu ErastoJuly 24, 2018MTU mmoja aliyefahamika kwa jina la Seleman Israel ‘Akayesu’ (54) anayetuhumiwa kuwa jambazi amefariki dunia kwa kupigwa risasi wakati akijaribu kuwatoroka askari polisi...
By Mwandishi WetuJuly 24, 2018JESHI la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kesho litaadhimisha Siku ya Mashujaa waliopoteza uhai wakipigania Taifa, kwa kufanya shughuli za mbalimbali za...
By Masalu ErastoJuly 24, 2018WIMBI la baadhi ya madiwani kukihama Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), linatarajiwa kuendelea kutikisa jiji la Mbeya. Anaripoti Faki Sosi … (endelea)....
By Faki SosiJuly 24, 2018NI jabari gani wa kuthubutu kujitokeza leo na akatamka hadharani kuwa, ameikosea Zanzibar kwa vitendo vyake vya kuifisidi kiuchumi? Anaandika Jabir Idrissa …...
By Jabir IdrissaJuly 24, 2018MHANDISI Izack Kamwelwe, Waziri wa Uchukuzi, Usafirishaji na Mawasiliano amempa siku 30 Mkurugenzi wa Mawasiliano Tanzania (TCRA) kuzungumza na Kampuni ya Mtandao wa simu ya ...
By Masalu ErastoJuly 23, 2018MAKAMU Mwenyekiti wa Yanga, Clement Sanga ametangaza kujiuzulu nafasi yake ya uongozi ndani ya klabu hiyo kutokana na kusambaa kwa kipande cha video...
By Kelvin MwaipunguJuly 23, 2018WATU watano wamehukumiwa kunyongwa hadi kufa baada ya Mahakama Kuu Tanzania Kanda ya Moshi kuwakuta na hatia ya kumuuwa kwa kukusudia Mfanyabiashara wa...
By Mwandishi WetuJuly 23, 2018UMASIKINI katika jamii si msamiati mgeni, hasa wakati huu ambapo kumekuwepo na jitihada mbalimbali za kitaifa na za kimataifa za kuuangamiza. Anaandika Mbonea...
By Mwandishi WetuJuly 23, 2018MAREKANI inapiga yowe kwamba, China inanyemelea nafasi yake ya kuwa taifa kubwa duniani. Inasema China inaendesha ‘vita baridi,’ pia ni tishio. Anaripoti Yusuph...
By Yusuph KatimbaJuly 23, 2018MWEKEZAJI wa klabu ya Simba, Mohammed Dewji ‘MO’ amewataka wanachama na viongozi wa klabu ya Yanga kuungana upya, ili kuinusulu klabu katika kipindi...
By Kelvin MwaipunguJuly 23, 2018RAIS John Magufuli amemtaka mkandarasi wa daraja la Salender kuhakikisha anakamilisha kazi hiyo ndani ya muda uliopangwa huku akiwataka kuwatumia wafanyakazi kutoka Tanzania....
By Masalu ErastoJuly 23, 2018KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimepinga vikali kitendo kitendo cha wananchi wanaosadikika ni wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
By Masalu ErastoJuly 23, 2018SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) linavikumbusha klabu za Ligi Kuu, Ligi Daraja la Kwanza na Ligi Daraja la Pili ambavyo havijafanya...
By Kelvin MwaipunguJuly 23, 2018SERIKALI ya Tanzania inaweza kuingia katika mgogoro katika Jumuiya ya Afrika Mashariki kama haitatii maagizo waliyopewa na Mahakama ya Afrika Mashariki ya kulifungulia...
By Faki SosiJuly 22, 2018MPAKA sasa bado siku tano dirisha la usajili lifungwe, Yanga haijasajili mchezaji mwenye hadhi yake, ambaye angeweza kuingia kwenye kikosi cha kwanza cha...
By Mwandishi WetuJuly 22, 2018MUDA mchache baada ya Uongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mkoa wa Mbeya kupendekeza kuwavua uanachama madiwani watatu mkoani huyo, mmoja...
By Mwandishi WetuJuly 21, 2018ALIYEDAIWA kuhusika na tukio la kumshambulia kwa risasi Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam, Sheikh Issa Ponda, Benedict Nyamagatara ametajwa kufariki dunia...
By Mwandishi WetuJuly 21, 2018WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Kugola amemuagiza Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Simon Sirro kumtafuta mmiliki wa Kampuni...
By Kelvin MwaipunguJuly 21, 2018CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wilayani Mbeya, kimetangaza kuwavua uanachama madiwani wake watatu kwa madai ya “utovu wa nidhamu na kukiuka taratibu...
By Faki SosiJuly 21, 2018SHERIA ya Udhibiti wa Uzito wa Magari ya Jumuiya ya Afrika Mashariki inatarajia kuanza kutumika nchini Januari 2019 huku ukomo wa adhabu kwa...
By Danson KaijageJuly 20, 2018MATUKIO ya ukiukwaji na uvunjifu wa haki za binadamu nchini, yameanza kuongezeka katika kipindi cha utawala wa Rais John Pombe Magufuli. Anaripoti Kelvin...
By Kelvin MwaipunguJuly 20, 2018Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemhukumu Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu kulipa faini ya Sh 1Milioni kwa kila kosa au kwenda jela mwaka...
By Faki SosiJuly 20, 2018WATAFITI wa mbegu waliopo kwenye vituo 16 vya Utafiti wa mazao mbalimbali hapa nchini wameshauriwa kuhakikisha mbegu wanazozalisha kwanza zinatumiwa na wakulima wanaozunguka...
By Christina HauleJuly 20, 2018TAASISI binafsi ya kusaidia Sekta ya kilimo Tanzania (PASS) imetenga kiasi cha Sh. 2 bilionikwa ajili ya kuwawezesha Wahitimu 100 kila mwaka kutoka Chuo Kikuu cha...
By Christina HauleJuly 20, 2018KIPYENGA cha kinyang’anyiro cha uchaguzi mdogo wa ubunge katika jimbo la Buyungu, wilayani Kakoko, mkoani Kigoma, kimepulizwa. Anaripoti Yusuph Katimba … (endelea). Uchaguzi mdogo...
By Yusuph KatimbaJuly 19, 2018KLABU ya Simba imemtangaza rasmi Kocha wake Mpya, Mbelgiji Patrick Aussems ambaye ametoa maneno ambayo mashabiki wa klabu ya Yanga hawatapoenda kutasikia. Anaripoti...
By Kelvin MwaipunguJuly 19, 2018MATUMIZI ya mbegu bora za mazao mbalimbali hapa nchini yameongezeka kwa sasa kutoka asilimia 20 iliyokuwa miaka ya nyuma hadi kufikia asilimia 85...
By Christina HauleJuly 18, 2018TAASISI ya Utafiti wa kilimo Tanzania (TARI) kupitia kitengo cha Uhawilishaji teknolojia na mahusiano ina mpango wa kuzalisha mbegu za aina mbalimbali kwa...
By Christina HauleJuly 18, 2018KESI ya uchochezi inayowakabili viongozi nane waandamizi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) imeahirishwa mpaka Julai 25, mwana huu, ili kupisha kusikilizwa...
By Mwandishi WetuJuly 18, 2018MFANYABIASHARA maarufu mjini Tunduma, Isakwisa Thobias Lupembe, anatuhumiwa na Idara ya Uhamiaji mkoani Songwe, kuwa sio raia wa Jamhuri ya Muungano; huku akihusisha...
By Mwandishi WetuJuly 17, 2018MCHEZAJI bora Dunia, Cristiano Ronaldo anafanyiwa vipimo vya Juventus kabla ya kukamilisha uhamisho wake wa pauni 100 milioni wa kujiunga na miamba hiyo...
By Kelvin MwaipunguJuly 16, 2018RAIS John Magufuli ambaye pia Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) leo ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa chuo cha uongozi cha Mwl. Julius...
By Mwandishi WetuJuly 16, 2018GIZA nene limetanda kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Iringa baada ya wagombea wake watatu wa udiwani katika uchaguzi mdogo...
By Mwandishi WetuJuly 15, 2018