Friday , 26 April 2024

Michezo

Michezo

MichezoTangulizi

Kazier Chiefs kutua Dar na Ndege binafsi

  Wapinzani wa Simba kwenye mchezo wa robo fainali ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika klabu ya Kazier Chiefs wamewasili jana...

Michezo

Yanga waing’ang’ania Simba kileleni

  BAADA ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0, dhidi ya Jkt Tanzania Yanga sasa inafikisha jumla ya pointi 61, sawa na Simba...

Michezo

Simba: Ama zetu, Ama zao, mashabiki elfu 10 ruksa

  KUELEKEA mchezo wa marudiano wa Ligi Mabingwa Afrika dhidi ya Kaizer Chiefs, klabu ya Simba imekuja na kauli mbiu ya ‘Ama zetu,...

MichezoTangulizi

Waziri Bashungwa: Simba ni Timu ya Taifa

  WAZIRI wa Habari Utamaduni, Sanaa na Michezo innocent Bashungwa amewataka watanzania kwa pamoja kuinga mkono klabu ya Simba kwenye mchezo wa marudiano...

Michezo

Mwamuzi aliyekataa bao la Yanga dhidi ya Namungo afungiwa

Mwamuzi msaidizi namba moja Abdulaziz Ally aliyechezesha mchezo wa Namungo Fc dhidi ya Yanga ameondelewa kwenye orodha ya waamuzi kwa michezi mitatu mara...

Michezo

Mwadui FC waaga rasmi Ligi Kuu Tanzania Bara

  SASA ni rasmi klabu ya Mwadui FC imeshuka Ligi Kuu Tanzania Bara kwa msimu wa 2020/21, baada ya kukubali kichapo cha bao...

Michezo

Kane aomba kuondoka Tottenham

  HARRY Kane, mshambuliaji Tottenham Hotspur ameandika barua ya kutaka kuondoka kwenye klabu hiyo licha ya kubakia na mkataba wa miaka mitatu na...

Michezo

Simba yaingia kambini haraka, kuivutia kasi Kaizer Chiefs

  KIKOSI cha Simba kimeingia kambili leo asubuhi kwa ajili ya kujiandaa na mchezo wa marudiano wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa...

Michezo

Real Madrid waingia hofu kutema ubingwa, Barcelona ‘out’

  IKIWA umesalia mchezo mmoja kukamilika kwa Ligi Kuu Hispania (La Liga), klabu ya Real Madrid ipo shakani kupoteza ubingwa wa Ligi hiyo...

Michezo

PSG hatihati kutetea ubingwa Ufaransa

  HUENDA kocha Mauricio Pochettino wa kikosi cha PSG, akawa kwenye wakati mgumu wa kutetea taji lake la Ligu Kuu Ufaransa baada ya...

Michezo

Lewandowski aifikia rekodi ya Gerd Muller

PENALTI ya dakika 26, kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya Ujerumani ‘Bundesliga’ dhidi ya SC Freiburg uliomalizika kwa sare ya mabao 2-2, ilitosha...

MichezoTangulizi

Simba Vs Yanga kukutana Julai 3

  WATANI wa jadi nchini Tanzania, Simba na Yanga, watakutana kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, tarehe 3 Julai 2021. Anaripoti Mwandishi...

Michezo

Mo Dewji aahidi makubwa Simba

  MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi wa Klabu ya Simba ya Dar es salaam, nchini Tanzania, Mohamed Dewji ‘MO’ amepanga kuwekeza fedha zaidi...

Michezo

Kocha Yanga amtimua nahodha wake kwa utovu wa nidhamu

NAHODHA Mkuu wa kikosi cha Yanga, Lamine Moro ameondolewa kwenye timu hiyo na Kocha Nasriddine Nabi, baada ya kuonesha utovu wa nidhamu, wakati...

MichezoTangulizi

Kocha Simba: Tunahitaji kuwa bora ili tupate matokeo

  MARA baada ya kukubali kichapo cha mabao 4-0, dhidi ya Kaizer Chiefs kocha mkuu wa kikosi cha Simba Didier Gomes ameonekana kutofurahishwa...

Michezo

Chelsea yapoteza fainali ya kwanza, Leicester bingwa FA

GOLI la Youri Tielemans la dakika ya 63, lilitosha kuipa ubingwa wa kwanza wa FA CUP, timu yake ya Leicester City msimu wa...

Michezo

Simba kusaka rekodi mpya mbele ya Kaizer Chiefs

  KIKOSI cha Simba kesho kitashuka dimbani kuwakabili Kaizer Chiefs kwenye mchezo wa kwanza wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika...

Michezo

Yanga kumalizna na Namungo, Simba bado kitendawili

KIKOSI cha Yanga kesho kitashuka Uwanjani kwenye mchezo wa mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Namungo Fc, utakaochezwa kwenye...

MichezoTangulizi

Rekodi kuipa Simba kiburi dhidi ya Kaizer Chiefs

  KUELEKEA mchezo wa kesho wa Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika dhidi ya Kaizer Chiefs, Simba inapewa nafasi kubwa ya...

Michezo

Liverpool, Manchester Kumaliza ‘kiporo’ chao leo

   Mara baada ya mchezo wa Ligi Kuu nchini England kati ya Liverpool na Manchester United kuarishwa kutokana na vurugu za Mashabiki wa...

MichezoTangulizi

Karia afunguka sababu za kuarishwa mechi ya Simba na Yanga

  RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), amesema sababu za kiusalama ndiyo zilipelekea kuarishwa kwa mchezo kati ya Simba na...

Habari MchanganyikoMichezo

Mechi ya Simba na FC Platnum, yasababisha mateso kwa shabiki

SIKU ya tarehe 6 Januari, 2021, ni siku ambayo haitasahaulika kwa familia ya Rehema Abdallah, baada ya kijana wao, Kibabu Nasoro (30) kupata...

MichezoTangulizi

Shabiki wa Yanga awekwa Makumbusho ya Taifa

  SHABIKI wa Yanga, Mansur Hussen aliyetembea kwa miguu kutoka Kigoma hadi Dar es Salaam kwa ajili ya kutazama mchezo wa Simba na...

MichezoTangulizi

Man City bingwa mpya EPL

  KLABU ya Manchester City imetangzwa kuwa bingwa mpya wa Ligi Kuu nchini England mara baada ya Manchester United kukubali kichapo cha mabao...

MichezoTangulizi

Yanga na Mwadui, Simba na Dodoma Jiji, robo fainali Kombe la Shirikisho

RATIBA ya michuano ya Kombe la Azam Federation CUP (ASFC) nchini Tanzania, hatua ya robo fainali, itashuhudia Yanga ikisafiri kwenda Shinyanga kuwavaa Mwadui...

MichezoTangulizi

Bodi ya Ligi yahairisha tena mechi ya Simba

  MARA baada ya kuahirisha mchezo dhidi ya Yanga bodi ya Ligi Kuu imeahirisha tena mchezo wa Simba dhidi ya Coastal union kutoka...

Michezo

Sakata Simba, Yanga lapelekwa Kamati ya saa 72

  Kamati ua uwendeshaji na usimamizi wa Ligi (kamati ya saa 72) itakutana hii leo tarehe 10 Mei 2021, kwa ajenda moja ya...

MichezoTangulizi

Waziri Mkuu ataka wizara itoe taarifa kuahirishwa mchezo Simba na Yanga

  WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa ameitaka Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo kutoa tamko kuhusiana na...

Michezo

Simba yataka Yanga ishushwe daraja

KLABU ya Simba imelitaka Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kuishusha daraja Yanga kwa kugomea mchezo wao wa jan0a wa Ligi Kuu...

MichezoTangulizi

Mchezo wa Simba na Yanga waota mbawa

  Mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya Simba umeahilishwa kufuatia mkanganyiko wa muda wa kuanza mchezo huo. Anaripoti Kelvin Mwaipungu, Dar...

MichezoTangulizi

Yanga yaigomea TFF, kuingiza timu saa 11 jioni

  MABINGWA wa Kihistoria nchini Tanzania, Yanga ya jijini Dar es Salaam umesema, utaipeleka timu yao katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, muda uliopangwa...

Michezo

Simba, Yanga kupigwa saa 1 usiku

  SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limeusogeza mbele, mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara 2020/21, kati ya Simba dhidi ya...

Michezo

Guardiolla kutangaza ubingwa mbele ya Chelsea

  KLABU ya Manchester City ambayo kikosi chake kipo chini ya Pep Guardiolla huenda leo wakatangazwa mabingwa wapya wa Ligi Kuu England kama...

Michezo

Simba, Yanga mageti kufungwa Saa 10

  IKIWA umebaki muda mchache kabla ya mtanange wa watani wa jadi Simba na Yanga, kupigwa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)...

HabariMichezo

Matola awaita mashabiki Uwanjani

KOCHA msaidizi wa Simba Suleiman Matola, awataka washabiki wa simba wajitokeze kwa wingi kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya watani...

Michezo

Wachezaji Simba, Yanga kufturu wakati wa mchezo

  KUELEKEA mchezo wa watani wa jadi (Simba na Yanga) Shirikisho  la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limesema kuwa wachezaji wa timu zote mbili...

MichezoTangulizi

Kocha Simba ahaidi Burudaani dhidi ya Yanga

  KOCHA Msaidizi wa Simba, Seleman Matola amesema kuwa kikosi chake kesho kimepanga kwenda kuonesha burudani kwenye mchezo wao dhidi ya Yanga. Anaripoti...

Michezo

Rekodi ya 1977 inayosakwa na wachezaji Simba, Yanga

  WACHEZAJI wa kabu kubwa Tanzania – Simba na Yanga zote za jijini Dar es Salaam, wana jambo ambalo hawajaweza kulifanya tangu lilipofanyika...

MichezoTangulizi

Kocha Yanga: Siwaogopi Simba, awaita mashabiki uwanjani

  WAKATI joto la mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2020/21 kati ya watani wa jadi, Simba dhidi ya Yanga likipamba moto, Kocha...

HabariMichezo

Kaizer Chiefs dhidi ya Simba kupigwa Mei 15

  MCHEZO war obo fainali ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika kati ya Kaizer Chief dhidi ya Simba rasmi sasa utachezwa...

HabariMichezo

Chama, Gomes washinda tuzo VPL mwezi Aprili

  KIUNGO wa klabu ya Simba Clatous Chama amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi Aprili 2021 kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara huku kocha...

HabariMichezo

Jeshi la Polisi latoa masharti matano mchezo Simba na Yanga

  JESHI la Polisi kanda maalumu ya Dar es Salaam limetoa masharti matano kuelekea mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya Simba...

Michezo

Ukuta wa Simba, Yanga, kuathiriwa na swaumu ya Ramadhan?

  KUELEKEA mchezo wa watani wa jadi (Simba na Yanga) kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara tutashuhudia baadhi ya wachezaji wanaocheza eneo la ulinzi...

Michezo

Baada ya kuiadhibu Real Madrid, Tuchel awamwagia sifa wachezaji wake

  BAADA ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Real Madrid, kocha wa kikosi cha Chelsea, Thomas Tuchel ametoa pongezi kwa...

HabariMichezo

Man United wahamia kwa Harry Kane

  Klabu ya Manchester United ya nchini England ipo tayari kutoa kiasi Euro 90 milioni sawa na shilingi 250.8 bilioni, kwa jili ya...

Michezo

Zidane: Ramos ‘Fit’ dhidi ya Chelsea

  KOCHA wa kikosi cha Real Madrid Zinedine Zidane amethibitisha kurejea kwa naohodha wa kikosi hiko Sergio Ramos kwenye mchezo wa leo wa...

Michezo

Carlinho hati hati mchezo wa Simba na Yanga, Kisinda arejea

KIUNGO mshambuliaji wa Yanga C,arlos Carlinho yupo hatihati kuukosa mchezo dhidi ya Simba, kutokana na kuumia kwenye mchezo uliopita wa Kombe la Shirikisho...

Michezo

Buku 7000 tu, kuiona Simba na Yanga

  KLABU ya Simba imetangaza viingilio vya mchezo wao dhidi ya Yanga utakaochezwa Jumamosi ya tarehe 8 Mei, 2021, ambapo kiingilio cha chini...

Michezo

Mmbape hati hati dhidi Man City leo

  MSHAMBULIAJI wa PSG, Kylian Mmbape huenda akaokosa mchezo wao dhidi ya Manchester City leo, baada ya kupata majeruhi ya kifundo cha mguu...

Michezo

Refa wa Yanga na Prisons, apewa mechi ya watani wa jadi

  EMMANUEL Mwandemba kutoka Arusha, ndiye atakayekuwa mwamuzi wa mchezo wa watani wa jadi kati ya Simba na Yanga utakaopigwa kwenye Uwanja wa...

error: Content is protected !!