Michezo
MABIGWA watetezi wa Kombe la Shirikisho Azam Federation CUP (ASFC), Simba ya Dar es Salaam, imetinga robo fainali ya michuano hiyo, baada...
By Mwandishi WetuMay 1, 2021USHINDI wa bao 1-0, limewatosha kuifanya Yanga, kutinga hatua ya robo fainali ya michuano Kombe la Shirikisho (FA Cup) dhidi ya Tanzania...
By Kelvin MwaipunguApril 30, 2021KLABU ya Simba imepangwa kucheza na Kaizer Chiefs kwenye hatua ya robo fainali ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya...
By Kelvin MwaipunguApril 30, 2021SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limepanga droo ya hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho ambapo Orlando Pirates kutoka...
By Kelvin MwaipunguApril 30, 2021MANCHESTER United ya Uingereza, imetoa kipigo cha ‘mbwa koko’ cha 6-2 kwa As Roma ya Italia, katika mchezo wa nusu fainali ya...
By Mwandishi WetuApril 30, 2021FC Barecelona imejikuta ikipoteza pointi tatu muhimu, katika Uwanja wake wa nyumbani “Camp Nou” kwa kukubali kipigo cha 2-1 kutoka kwa Granada....
By Mwandishi WetuApril 30, 2021MABIGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba ya jijini Dar es Salaam, imemwongezea mkataba beki wake kisiki, Shomari Kapombe. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuApril 30, 2021IKIWA msimu wa Ligi Kuu Tanzania Bara unaelekea mwishoni na klabu mbalimbali zimeanza kufanya mandalizi ya usajili, klabu ya Yanga ipo kwenye...
By Kelvin MwaipunguApril 29, 2021SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) kesho tarehe 30 Aprili 2021 itatangaza Uwanja utakaopigwa mchezo wa fainali ya Ligi ya Mabingwa...
By Kelvin MwaipunguApril 29, 2021UONGOZI wa klabu ya Simba umemalizana na nahodha wa kikosi hiko John Bocco kwa kumsainisha mkataba mpya mara baada yaw a awali...
By Kelvin MwaipunguApril 28, 2021Baada ya tetesi nyingi hatimaye klabu ya Simba imemuongezea mkataba beki wake wa kushoto Mohammed Hussen ‘Tshabalala’. Anaripoti Kelvin Mwaipungu, Dar es Salaam...
By Kelvin MwaipunguApril 28, 2021KUFUATIA taarifa za beki wa kulia wa Simba, Shomary Kapombe kutaka kutimkia Yanga, baada ya mkataba wake kumalizika mwishoni mwa msimu uongozi...
By Kelvin MwaipunguApril 28, 2021KIKOSI cha Namungo FC leo kitashuka dimbani kwenye mchezo wa kukamilisha hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Pyramids...
By Kelvin MwaipunguApril 28, 2021BAADA ya kutoka sare ya mabao 1-1, kwenye mchezo wa hatua ya nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Chelsea,...
By Kelvin MwaipunguApril 28, 2021KIUNGO wa Simba, Clatous Chama amekuwa na msimu bora mpaka sasa kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya kuhusika katika mabao 20...
By Kelvin MwaipunguApril 28, 2021IKIWA imebakia miezi miwili kumaliza kwa mkataba wake ndani ya klabu ya Simba, beki wa kushoto na nahodha msaidizi wa kikosi hiko,...
By Kelvin MwaipunguApril 27, 2021KLABU ya Real Madrid itashuka dimbani leo kuwaalika Chelsea kwenye nusu fainali ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya (UEFA) kwenye...
By Kelvin MwaipunguApril 27, 2021PRESHA ya mashabiki wa Klabu ya Arsenal, inayoshiriki Ligi Kuu ya Uingereza kwamba timu hiyo iuzwe, imetiwa ndimu na mfanyabiashara bilionea Daniel...
By Mwandishi WetuApril 27, 2021KOCHA msaidizi wa kikosi cha Dodoma Jiji, Renatus Shija ameapa kuibuka na ushindi kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya...
By Kelvin MwaipunguApril 26, 2021TIMU za Mtibwa na Kagera Sugar zimeendelea kujiweka katika mazingira magumu ya kusalia Ligi Kuu Tanzania Bara, baada ya kukubali kipigo katika...
By Mwandishi WetuApril 26, 2021KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Luis Miquissone pamoja na mlinzi wa kati, Pascal Wawa wamerejea kikosini baada ya kukosa mchezo uliopita wa Ligi...
By Kelvin MwaipunguApril 26, 2021BAO la dakika ya 86 lililofungwa na Prince Dube lilitosha kuifanya Azam FC kutoka kifua mbele kwenye mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya...
By Kelvin MwaipunguApril 25, 2021Afisa Habari wa klabu ya Simba Haji Manara amemtaka beki wa kushoto wa Timu hiyo Mohammed Hussein kuongeza mkataba kutokana na uwezo...
By Kelvin MwaipunguApril 25, 2021Bao la dakika ya 28 lililofungwa na Mohammed Hussein kwenye mchezo dhidi ya Gwambina lilitosha kuipeleka Simba kileleni kwenye msimamo wa Ligi Kuu...
By Kelvin MwaipunguApril 24, 2021SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) limeifungia klabu ya Simba kusajili katika kipindi kimoja cha dirisha hilo kufuatia kutiwa hatiani kwa...
By Kelvin MwaipunguApril 23, 2021USHINDI wa mabao 2-0, ulitosha kuifanya Simba kuondoka na pointi tatu kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Kagera Sugar....
By Kelvin MwaipunguApril 21, 2021MICHUANO ya Europian Super League haitafanyika tena baada ya klabu sita kutoka nchini England kujitoa kushiriki kutokana na mashabiki na wadau wa...
By Kelvin MwaipunguApril 21, 2021MTENDAJI Mkuu wa Manchester United, Ed Woodward ataachana na timu hiyo mwisho wa mwaka 2021, kufuatia kuhusishwa kwake na kuanzishwa kwa michuano...
By Kelvin MwaipunguApril 21, 2021BAADA ya kupachika bao lake baada ya mwaka mmoja na siku 52 kupita, mshambuliaji wa klabu ya Yanga, Ditram Nchimbi amesema kuwa...
By Kelvin MwaipunguApril 20, 2021MABINGWA wa kihistoria Tanzania Bara, Yanga ya Dar es Salaam, imeendeleza vipigo kwenye ligi kuu nchini humo, kwa kuifunga 3-1, Gwambina FC...
By Kelvin MwaipunguApril 20, 2021KLABU ya Soka ya Yanga leo imemtambulisha Mohamed Nasreddine Nabi aliyedumu kwenye kikosi cha Al Merreikh ya Sudan kwa siku 41, kuwa...
By Kelvin MwaipunguApril 20, 2021BAADA ya kupita mwaka mmoja na siku 52, hatimaye mshambuliaji wa klabu ya Yanga, Ditram Nchimbi amefanikiwa kupachika bao kwenye mchezo wa...
By Kelvin MwaipunguApril 20, 2021KLABU ya Simba leo imeingia mkataba wa kiasi cha Sh. bilioni mbili na kampuni ya Vunja Bei Group, ambapo watakuwa watengenezaji na...
By Kelvin MwaipunguApril 20, 2021JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, limekemea tabia ya wasanii kuvunja sharia hasa kusambaza picha za utupu. Anaripoti Regina...
By Regina MkondeApril 20, 2021TIMU ya Tottenham Hotspur ya Uingereza, imemfukuza kocha wake mkuu, Jose Mourinho kutokana na mwenendo usioridhisha. Anaripoti Matrida Peter … (endelea). Mourinho...
By Mwandishi WetuApril 19, 2021GOLI pekee lililofungwa dakika ya 66 na Nahodha John Bocco wa Simba ya Dar es Salaam dhidi ya Mwadui FC, limewafanya kufikisha...
By Mwandishi WetuApril 18, 2021MTIFUANO wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2020/21, inaendelea leo Jumamosi tarehe 17 Aprili 2021 na kesho Jumapili, katika viwanja mbalimbali nchini humo....
By Kelvin MwaipunguApril 17, 2021TIMU ya KMC imewabana mbavu Yanga kwa kuwalazikisha sare ya bao 1-1, katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliopigwa kwenye Uwanja...
By Kelvin MwaipunguApril 10, 2021BAADA ya kukubali kichapo cha bao 1-0, dhidi ya Al Ahly na kumaliza nafasi ya kwanza kwenye kundi A, klabu ya Simba...
By Kelvin MwaipunguApril 10, 2021MBUNGE wa Makete (CCM), Festo Sanga ametaka wawekezaji kwenye mpira wa miguu nchini walindwe na kutoruhusu watu kuwashambulia bila utaratibu wakati michakato...
By Kelvin MwaipunguApril 10, 2021NAHODHA wa klabu ya Yanga, Lamine Moro amewashangaa wanaodai kuwa timu hiyo imekata tamaa na ubingwa wa Ligi kuu Tanzania Bara, baada...
By Kelvin MwaipunguApril 9, 2021MSHAMBULIAJI wa timu ya Taifa ya Uganda na klabu ya Al Ittihad Alexandria, Emmanuel Okwi ameongeza mzuka kwenye kambi ya Simba iliyopo...
By Kelvin MwaipunguApril 9, 2021KLABU ya Yanga kupitia kwa Afisa Habari na Mawasiliano, Hassan Bumbuli, amesema mpaka sasa hawajapokea nakala ya hukumu ya Makamu Mwenyekiti wao,...
By Kelvin MwaipunguApril 9, 2021MICHEZO miwili ya Ligi Kuu imemalizika kwa michezo yote miwili kutoka bila mbabe na kila timu kuondoka na pointi moja. Anaripoti Kelvin...
By Kelvin MwaipunguApril 8, 2021UONGOZI wa klabu ya Yanga upo mbioni kuitisha mkutano mkuu wa wanachama hivi karibuni huku moja ya ajenda ikiwa ni mabadiliko ya...
By Kelvin MwaipunguApril 8, 2021WAZIRI wa Fedha na Mipango, Mwigulu Nchemba amesema kuwa kuteuliwa kwake kuwa waziri wa wizara hiyo pamoja na uteuzi wa Makamu wa...
By Kelvin MwaipunguApril 8, 2021LIGI Kuu Tanzania Bara inaendelea tena leo, ambapo michezo miwili itapigwa kwenye viwanja tofauti. Anaripoti Kelvin Mwaipungu, Dar es Salaam … (endelea)....
By Kelvin MwaipunguApril 8, 2021KIKOSI cha wachezaji pamoja na viongozi wa klabu ya Simba umewasili salama jijini Cairo, Misri kwa ajili wa Ligi ya Mabingwa dhidi...
By Kelvin MwaipunguApril 7, 2021KIUNGO wa klabu ya Simba, Clatous Chama amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa wiki barani Afrika mara baada ya kuwashinda, Ricardo Goss wa Mamelodi...
By Kelvin MwaipunguApril 7, 2021UONGOZI wa klabu ya Yanga umesema kuwa haujaridhishwa kufungiwa kwa miaka mitano kwa Makamu Mwenyekiti wao, Fredrick Mwakalebela baada ya kukutwa na...
By Kelvin MwaipunguApril 6, 2021