Saturday , 20 April 2024

Michezo

Michezo

Michezo

Mkude apiga simu Yanga 

  MARA baada ya kuripotiwa kuwa na matatizo ya kinidhamu na klabu yake wakati walipokuwa kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa nchini Afrika...

MichezoTangulizi

Wadau kumchukulia Karia fomu Urais TFF

  BAADA ya kufunguliwa kwa zoezi la uchukuaji fomu kwa ajili ya uchaguzi Mkuu ndani ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF),...

MichezoTangulizi

Kisa utovu wa Nidhamu, Mkude kufanyiwa vipimo

  KAMATI ya nidhamu ya klabu ya Simba, iliyokuwa chini ya Mwenyekiti wake Seleman Kova, imeuagiza uongozi wa klabu hiyo, kumfanyia vipimo vya...

Michezo

Uchaguzi TFF, zoezi la uchukuaji fomu lafunguliwa

  BAADA ya jana kutangazwa kwa Uchaguzi Mkuu ndani ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi, Wakili...

MichezoTangulizi

Bocco, Dube hapatoshi

WAKATI Ligi Kuu Tanzania Bara inaelekea ukingoni huku kukiwa na vita tatu tofauti katika maeneo mablimabli kwenye msimu huu wa 2020/21, huku vita...

Michezo

Uchaguzi mkuu TFF Agosti 8

  SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limetangaza Uchaguzi Mkuu wa shirikisho hilo, utafanyika tarehe 7 Agosti 2021. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Taarifa...

Michezo

Guardiola kocha bora Ligi Kuu England

  KOCHA wa klabu ya Manchester City ya England Pep Guardiola amefanikiwa kushinda tuzo ya kuwa kocha bora wa Ligi Kuu nchini England...

Michezo

Kahata aondoka rasmi Simba

  KIUNGO Raia wa Kenya Francis Kahata ameachana rasmi na klabu ya Simba mara baada ya mkataba wake kumalizika na kuwashukuru viongozi pamoja...

Michezo

GSM wamkaribisha Manji Yanga

  MARA baada ya kurejea nchini kwa mfanya biashara Yusuf Manji na kuibuka kwa hisia kali za mashabiki wa klabu ya Yanga kutaka...

Michezo

Stars kuingia kambini kesho

KIKOSI cha Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) kesho tarehe 5 Mei, 2021 kinatarajia kuingia kambini kujiandaa na mchezo wa kirafiki dhidi...

MichezoTangulizi

Mkude mikononi kwa Kamanda Kova

  KIUNGO wa klabu ya Simba J,onas Mkude kesho tarehe 5 Juni, 2021 atakwenda kujadiliwa mbele ya kamati ya nidhamu ya klabu hiyo,...

Michezo

Kisa Simba, Yanga yamkana Bumbuli

  Mara baada ya Afisa habari wa klabu ya Yanga Hassan bumbuli kusema hautambui mchezo wao wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya...

MichezoTangulizi

Bocco mchezaji bora mwezi Mei

Mshambuliaji wa klabu ya Simba John Bocco ameshinda tuzo ya kuwa mchezaji bora wa mashabiki mwezi Mei, mara baada ya kuwabwaga Thadeo Lwanga...

Michezo

Yanga, Morrison kuanza upya leo

  MAHAKAMA ya usuluhishi wa michezo kimataifa (CAS) imezitaka pande zote mbili kwenye kesi ya kimkataba kati ya Yanga na Morrison kutoa taarifa...

MichezoTangulizi

Kiongozi Yanga amkataa Ajibu

  Mara baada ya kuwepo kwa fununu nyingi ya mshambuliaji wa klabu ya Simba Ibrahim Ajibu kutaka kusaini Yanga, Arafati Haji ambaye ni...

Michezo

Simba kumalizana na Ruvu Shooting kesho

  KLABU ya Simba kesho itashuka Uwanjani kumenyana na Ruvu Shooting kwenye mchezo wa mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Tanzania Bara utakaochezwa...

Michezo

Mbunge ataka bei bidhaa sokoni kushuka, serikali yajibu

  MBUNGE wa Viti Maalum asiye na chama bungeni, Cecilia Daniel Paresso, ameiomba serikali kudhibiti mfumo wa bei kubwa za bidhaa sokoni ili...

MichezoTangulizi

Azam FC wampa mkataba mpya Dube mpaka 2024

Klabu ya Azam Fc imemuongezea mkataba miaka miwili mshambuliaji wake raia wa Zimbabwe Prince Dube ambapo utamfanya kusalia hapo hadi 2024. Anaripoti Kelvin...

Michezo

Guardiola, Solskjaer kwenye vita kocha bora England

  MAKOCHA Pep Guardiolla wa Manchester City na Ole Gunner Solskjaer wa Manchester United wamejuimishwa kwenye orodha ya makocha watano kuwania tuzo ya...

Michezo

Greenwood aondolewa kikosini England Euro

  KLABU ya Manchester United imethibitisha kuondolewa kikosini kwa kinda wake Mason Greenwood mara baada ya kupata majeraha katika kuelekea fainali ya michuano...

Michezo

Nane waingia kinyang’anyiro tuzo mchezaji bora Epl

   WACHEZAJI nane kutoka klabu tofauti ndani ya Ligi Kuu nchini England wameingia kwenye kinyang’anyiro cha tuzo ya mchezaji bora wa Ligi hiyo...

MichezoTangulizi

Staa Ligi Kuu England atua Bungeni

  Mlinzi wa kati wa klabu ya Crystal Palace ya nchini England Mamadou Sakho amefika Bungeni Jijini Dodoma na kuangalia shughuli za uwendeshaji...

Habari MchanganyikoMichezo

CAS yatupilia mbali rufaa ya Morrison kwa Yanga

  MAHAKAMA ya usuluhishi wa michezo ya kimataifa (CAS) imetupilia mbali rufaa ya mchezaji Bernad Morrison dhidi ya Yanga kwenye kesi ya kimkataba...

MichezoTangulizi

Beki wa zamani wa Liverpool atua Ikulu Zanzibar

Beki wa zamani wa Liverpool na klabu ya Crystal Palace kwa sasa Mamadou Sakho amekutana na Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar...

Michezo

Carlinhos avunja mkataba Yanga, asepa zake

  UONGOZI wa klabu ya Yanga umethibitisha kuvunja mkataba na kiungo wake Raia wa Angola, Carlos Stenio Fernandes ‘Carlinhos’ mara baada ya makubaliano...

MichezoTangulizi

Chama, Onyango ‘out’ dhidi ya Namungo

  Wachezaji watatu wa klabu ya Simba Josh Onyango, Clatous Chama na Ame Ibrahim watakosekana kwenye mchezo wa kesho dhidi ya Namungo kocha...

Michezo

Dilunga aondolewa kikosini Stars, Mudathiri ajumuishwa

KIUNGO wa klabu ya Simba Hassan Dilunga ameondolewa kwenye kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) mara baada ya jina lake...

Michezo

27 waitwa kambini Stars, kuingia kambini Juni 5

  KOCHA wa timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars), Kim Poulsen ameita kikosi cha wachezaji 27 kitakachoingia kambani tarehe 5 Juni, 2021...

MichezoTangulizi

Ligi Kuu Bara kusimama wiki mbili

   Mara baada ya kukamilika kwa mchezo wa tarehe 3 Juni, 2021 kati ya Ruvu Shooting dhidi ya Simba, Ligi Kuu Tanzania Bara...

Michezo

Zidane aondoka Real Madrid

  KOCHA wa klabu ya Real Madrid amechukua maamuzi ya kuachana na klabu hiyo mara baada ya kumaliza kwa msimu huu wa Ligi...

MichezoTangulizi

Klabu zenye madeni kutoshiriki Ligi Kuu msimu ujao

  SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeelezeka kuwa klabu yoyote ambayo inadaiwa na wachezaji haitoweza leseni na kushiriki michuano mbalimbali msimu...

MichezoTangulizi

Azam FC waitaka Simba nusu fainali

  MARA baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-1, dhidi ya Rhino Rangers kocha msaidizi wa Azam FC vivie Bahati anaitaka klabu...

Michezo

Azam Fc, Simba dimbani leo

  Robo fainali ya tatu nan ne zitaendelea tena hii leo kwenye viwanja tofauti, ambapo Jijini Dar es Salaam mabingwa watetezi wa michuano...

Michezo

Manchester United, Villarreal kuminyana fainali Euroa leo

  Manchester United leo itashuka dimbani kumenyana na Villarreal kwenye fainali ya kombe la Europa ambao itapigwa kwenye dimba la Gudansk nchini Poland...

MichezoTangulizi

Yanga yaibamiza Mwadui FC, yatinga nusu fainali FA

  Ushindi wa mabao 2-0, dhidi ya Mwadui FC kwenye robo fainali ya pili ya michuano ya kombe la Shirikisho (Azam Federation Cup)...

Michezo

Karia atoa onyo mabilioni ya Azam TV

  RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) ametoa onyo kwa klabu za Ligi Kuu Tanzania Bara juu ya matumizi mabaya...

Michezo

Tanzania kuingiza timu nne michuano ijayo CAF

  MARA baada ya klabu ya ASC Jaraaf ya Senegal kuondolewa kwenye michuano ya kombe la Shirikisho barani Afrika dhidi ya Coton Sports...

Michezo

Ramos ‘OUT’ kikosini Hispania Euro

KOCHA Luis Enrique amemuacha mlizi wa Reala Madrid Sergio Ramos kwenye kikosi cha wachezaji 25 cha timu ya Taifa cha Hispania kitakachoshiriki michuano...

Michezo

Aguero aondoka EPL kwa kuvunja rekodi ya Rooney

  MABAO mawili kwenye dakika ya 71 na 76 yalimfanya Sergio Kun Aguero kufikisha mabao 184 ndani ya Ligi Kuu England na kuweka...

MichezoTangulizi

Ndugai aimwagia sifa Simba, atamba kuikata ngebe Yanga Julai 3

  SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai ameipongeza klabu ya Simba kwa kufikia hatua ya robo Fainali ya...

MichezoTangulizi

Simba yaipiga Kaizer Chiefs 3, yaaga mashindano

PAMOJA na ushindi wa bao 3-0 walioupata kkabu ya Simba dhidi ya Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini, lakini mabingwa hao wa Ligi Kuu...

Michezo

Wachezaji wa Simba wamvuruga kocha wao

  KUELEKEA mchezo wa marudiano dhidi ya Kaizer Chiefs, Kocha Mkuu wa kikosi cha Simba, Didier Gomes ameshangazwa na wachezaji wake kwa kila...

Michezo

Yacouba, Mukoko waitwa timu za Taifa

  Kwa mara ya kwanza toka aliposajiliwa ndani ya klabu ya Yanga mshambuliaji kutoka Burkina Faso Yacouba Sogne ameitwa kwenye timu yake ya...

Michezo

Bocco: Tunakwenda kupambana

  Nahodha wa klabu ya Simba John Bocco anaamini kuelekea mchezo wa marudiano dhidi ya Kaizer Chiefs watahakikisha wanapambana ili kuondoka na matokeo...

MichezoTangulizi

Kazier Chiefs kutua Dar na Ndege binafsi

  Wapinzani wa Simba kwenye mchezo wa robo fainali ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika klabu ya Kazier Chiefs wamewasili jana...

Michezo

Yanga waing’ang’ania Simba kileleni

  BAADA ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0, dhidi ya Jkt Tanzania Yanga sasa inafikisha jumla ya pointi 61, sawa na Simba...

Michezo

Simba: Ama zetu, Ama zao, mashabiki elfu 10 ruksa

  KUELEKEA mchezo wa marudiano wa Ligi Mabingwa Afrika dhidi ya Kaizer Chiefs, klabu ya Simba imekuja na kauli mbiu ya ‘Ama zetu,...

MichezoTangulizi

Waziri Bashungwa: Simba ni Timu ya Taifa

  WAZIRI wa Habari Utamaduni, Sanaa na Michezo innocent Bashungwa amewataka watanzania kwa pamoja kuinga mkono klabu ya Simba kwenye mchezo wa marudiano...

Michezo

Mwamuzi aliyekataa bao la Yanga dhidi ya Namungo afungiwa

Mwamuzi msaidizi namba moja Abdulaziz Ally aliyechezesha mchezo wa Namungo Fc dhidi ya Yanga ameondelewa kwenye orodha ya waamuzi kwa michezi mitatu mara...

Michezo

Mwadui FC waaga rasmi Ligi Kuu Tanzania Bara

  SASA ni rasmi klabu ya Mwadui FC imeshuka Ligi Kuu Tanzania Bara kwa msimu wa 2020/21, baada ya kukubali kichapo cha bao...

error: Content is protected !!