Michezo
MIAMBA nane itachuana katika hatua ya robo fainali ya michuano ya Euro 2020 kuanzia Ijumaa hii ya tarehe 2 na 3 Julai...
By Mwandishi WetuJune 30, 2021HATUA ya 16 ya michuano ya Euro imemalizika jana, kwa kigogo mwengine wa soka barani humo, timu ya Taifa ya Ujerumani kutupwa...
By Kelvin MwaipunguJune 30, 2021KAMATI ya Uchaguzi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania, (TFF), imepitisha jina la Wallace Karia kuwa mgombea peke kwenye uchaguzi mkuu...
By Kelvin MwaipunguJune 29, 2021HATUA ya 16 bora ya michuano ya Euro imeanza mwisho wa juma lililopita ambapo mpaka sasa imeshapigwa jumla ya michezo minne, huku...
By Kelvin MwaipunguJune 28, 2021KUELEKEA kumaliza kwa msimu wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2020/21, wafadhiri wa Yanga, Kampuni ya GSM, wameahidi kumwaga fedha kwa ajili ya...
By Masalu ErastoJune 28, 2021MSANII wa Nigeria, Burna Boy ameibuka mshindi wa tuzo ya BET 2021 kama msanii bora wa kimataifa na kuwaangusha wasanii wengine akiwemo,...
By Regina MkondeJune 28, 2021RAIS mstaafu wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, ameutaka uongozi na wanachama wa mabingwa wa soka nchini humo, Yanga kuwa wavumilivu kufikia mafanikio...
By Kelvin MwaipunguJune 27, 2021JAKAYA Mrisho Kikwete, Rais mstaafu wa Tanzania amesema, atafurahia iwapo Yanga itaibuka na ushindi dhidi ya mtani wake, Simba. Anaripoti Kelvin Mwaipungu,...
By Kelvin MwaipunguJune 27, 2021RAIS mstaafu wa Tanzania, Jakaya Kikwete amewataka wanachama wa Klabu ya Yanga kuwa wawazi kushauri na kukosoa ili iweze kusonga mbele. Anaripoti...
By Kelvin MwaipunguJune 27, 2021MKUTANO Mkutano Mkuu wa Klabu ya Yanga ya Dar es Salaam, imepitisha majina matano likiwemo Mama Fatuma Karume, kuwa wajumbe wa Baraza...
By Kelvin MwaipunguJune 27, 2021GOLI pekee ya mshambuliaji wa kimataifa kutoka Ghana wa Yanga ya Dar es Salaam, Yacouba Sogne, limeipeleka fainali ya michuano ya Azam...
By Kelvin MwaipunguJune 25, 2021MSHAMBULIAJI kinda wa Timu ya Taifa ya Tanzania, (Taifa Stars) Kelvin John amesajiliwa kwa mkataba wa miaka mitatu na klabu ya KRC...
By Kelvin MwaipunguJune 25, 2021Kuelekea mchezo wa kesho wa nusu fainali ya michuano ya kombe la FA (Azam Federation Cup) kati ya Yanga dhidi ya Biashara...
By Kelvin MwaipunguJune 24, 2021Kamati ya maadili ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), imemuondoa kifungoni Makamu Mwenyekiti wa klabu ya Yanga Fedrick Mwakalebela, mara...
By Kelvin MwaipunguJune 24, 2021RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ally Mwinyi amemteuwa Arafat Ally Haji ambaye ni mjumbe wa kamati...
By Kelvin MwaipunguJune 24, 2021MARA baada ya kukamilika hatua ya makundi ya michuano ya Euro 2020, hatimaye michezo ya 16 bora itaanza kupigwa siku ya Jumamosi,...
By Kelvin MwaipunguJune 24, 2021Mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara ambao utakaopigwa hii leo kati ya Simba dhidi ya Mbeya City, utakuwa na umuhimu kwa kila timu,...
By Mwandishi WetuJune 22, 2021WAZIRI wa fedha na Mipango Dk. Mwigulu Nchemba, amesema kuwa kilichosababisha klabu ya Simba kukumbana na kadhia ya kipigo cha mabao 4-0,...
By Kelvin MwaipunguJune 22, 2021Mara baada ya kukosekana Uwanjani kwa wiki tatu, kiungo wa klabu ya Simba, Clatous Chama amerejea Uwanjani, huku mlinda mlango wa klabu hiyo...
By Kelvin MwaipunguJune 22, 2021SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limethibitisha kuwa msimu ujao wa mashindano ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Africa (CAF), Tanzania...
By Mwandishi WetuJune 21, 2021Ni kama huko ndani ya klabu ya Yanga, kumekuwa na hali yasintofahamu mara baada ya kuwepo kwa taarifa za kuomba kuondoka nahodha wa...
By Mwandishi WetuJune 21, 2021MARA baada ya uongozi wa klabu ya Yanga kumfungia mlinda mlango wake Metacha Mnata, kwa kosa la utovu wa nidhamu, mchezaji huyo...
By Kelvin MwaipunguJune 18, 2021KOCHA msaidizi wa klabu ya Simba, Seleman Matola amejinasibu kikosi chake kuwa tayari kwa ajili ya mchezo wa kesho wa Ligi Kuu...
By Kelvin MwaipunguJune 18, 2021MABINGWA wa Kihistoria nchini Tanzania, Yanga ya Dar es Salaam, imetoa salamu za rambirambi, kufuatia kifo cha Kenneth Kaunda, Rais wa kwanza...
By Kelvin MwaipunguJune 18, 2021Nasreddine Nabi kocha mkuu wa kikosi cha Yanga , amefunguka mipango yake ya usajili kuelekea msimu ujao wa mashindano huku akikili kuhitaji mlinzi...
By Kelvin MwaipunguJune 18, 2021MARA baada ya mapumziko ya wiki mbili, hatimaye kikosi cha Simba kesho kitashuka Uwanjani dhidi ya Polisi Tanzania kutafuta pointi 10, Kwa ajili...
By Mwandishi WetuJune 18, 2021ALIYEKUWA mgombea wa nafasi ya Urais kwenye Uchaguzi Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Ally Mayay Tembele ameonesha kutokuwa...
By Kelvin MwaipunguJune 17, 2021MARA baada ya kuwa kwenye mapumziko ya wiki mbili kikosi cha Yanga kesho kitashuka dimbani kwenye muendelezo wa mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...
By Kelvin MwaipunguJune 16, 2021KLABU ya Soka ya Yanga imesema haijakata tamaa na ubingwa Ligi Kuu Bara na hivyo wamesema kuwa watapambana mpaka dakika za mwisho. Anaripoti...
By Kelvin MwaipunguJune 16, 2021RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amekitaka Chama cha Mapinduzi (Ccm), kukarabati viwanja vyake kwa kuweka nyasi bandia,...
By Kelvin MwaipunguJune 15, 2021MASHINDANO ya Miss East Africa 2021, yanatarajiwa kufanyika Novemba 2021 nchini Tanzania. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Nchi 16...
By Mwandishi WetuJune 15, 2021Ali Saleh ‘Alberto’ moja ya wagombea nafasi ya Urais kwenye uchaguzi Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) ameibuka na hoja...
By Kelvin MwaipunguJune 15, 2021LIGI Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL), iliyokuwa imesimama kupisha kalenda ya Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) ya michezo ya kirafiki kwa...
By Kelvin MwaipunguJune 15, 2021SHIRIKISHO la Mpira wa Miguuu Tanzania (TFF), limewataka wadau mbalimbali wa mchezo huo pamoja na wagombea waliojitokeza kwenye zoezi la uchukuaji fomu...
By Kelvin MwaipunguJune 14, 2021PAMBANO la mchezo wa ngumi lililofahamika kwa jina la ‘Payback Night’ kati ya mabondia, Abdallah Pazi ‘Dulla Mbabe’ na Twaha Kassim ‘Twaha...
By Kelvin MwaipunguJune 13, 2021Wakati sakata lake la utovu wa nidhamu likiwa bado kwenye mikono ya kamati ya nidhamu ya klabu hiyo, kiungo wa klabu ya...
By Kelvin MwaipunguJune 13, 2021ALIYEKUWA Mbunge wa jimbo la Ubungo Saed Kubenea jana alijitokeza kwenye makao makuu ya Shirikisho la Mpira Tanzania (TFF) kumchukulia fomu ya nafasi...
By Kelvin MwaipunguJune 11, 2021WAZIRI wa fedha na Mipango Dk. Mwigulu Nchemba amesema kuwa kwenye bajeti ya Serikali ya mwaka 2021/22 serikali itapunguza kodi kwa washindi wa...
By Kelvin MwaipunguJune 10, 2021Waziri wa Fedha na Mipangango Mwigulu Nchemba amesema kuwa katika bajeti ya mwaka 2021/22 watasamehe ongezeko la kodi la thamani (VAT) kwa...
By Kelvin MwaipunguJune 10, 2021Kikosi cha timu ya Taifa ya Malawi kinategemea kuwasili jijini Dar es Salaam kesho, kwa ajili ya mchezo wa kujipima nguvu, dhidi...
By Kelvin MwaipunguJune 10, 2021Kivumbi cha michuano ya Euro kitaanza kutimua vumbi kesho, ambapo kutapigwa mchezo mmoja wa kundi A, kati ya Uturuki dhidi ya Italy....
By Kelvin MwaipunguJune 10, 2021MWANASOKA maarufu nchini, Ally Salehe ‘Alberto,’ amejitosa katika mbio za kuwania urais ndani ya shirikisho la soka nchini (TFF). Anaripoti Saed Kubenea...
By Kelvin MwaipunguJune 10, 2021Ni kama Yanga sasa wameonekana kufanikiwa kumyakuwa beki wa pembeni kutoka klabu ya AS Vita ya nchini Congo Dr, mara baada ya...
By Kelvin MwaipunguJune 10, 2021MCHAMBUZI wa soka kutoka kituo cha radio cha E-FM, Oscar Oscar amejitokeza na kuchukua fomu ya kuwania nafasi ya urais ndani ya...
By Kelvin MwaipunguJune 9, 2021Maraba baada ya mapumziko siku tano kikosi cha mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara kimeanza tena mazoezi kwa ajili ya ungwe...
By Mwandishi WetuJune 9, 2021Aliyekuwa Mwenyekiti wa klabu ya Simba Swedy Nkwabi pamoja na Philemon Ntahilaija wamejitokeza kwenye makao Makuu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu...
By Kelvin MwaipunguJune 8, 2021WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameagiza ufundishaji wa somo la elimu kwa michezo ufanyike kwa wanafunzi wote katika Shule za Msingi...
By Masalu ErastoJune 8, 2021KAMPENI ya kuhakikisha msanii wa muziki nchini Tanzania, Nasibu Abdul maarufu ‘Diamond Platnumz’ anaondolewa kwenye mbio za kuwania tuzo za Black Entertainment...
By Masalu ErastoJune 8, 2021MARA baada ya kuripotiwa kuwa na matatizo ya kinidhamu na klabu yake wakati walipokuwa kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa nchini Afrika...
By Kelvin MwaipunguJune 8, 2021BAADA ya kufunguliwa kwa zoezi la uchukuaji fomu kwa ajili ya uchaguzi Mkuu ndani ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF),...
By Kelvin MwaipunguJune 8, 2021