Sunday , 5 May 2024

Tangulizi

MAIN STORY: Minimum – a picture, video, audio and pull-quote. It might also include a picture gallery, a text box (2 paragraphs – linking to a profile), a time line, a fact file (list of bullet points), Q&A, a map and embedded tweet(s).

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia aunda Kamati kufumua vyombo vya haki jinai

  RAIS Samia Suluhu Hassan ameunda Kamati ya watu 12 na sekretarieti ya watu watano kwaajili ya kuchunguza na kumshauri muundo mzuri wa...

Habari za SiasaTangulizi

Waziri Ndumbaro: Katiba iliyopo ina mapungufu

WAZIRI wa Sheria na Katiba, Dk. Damas Ndumbaro amesema  licha ya kuwa Katiba iliyopo inafaa lakini ina mapungufu yake ndio maana Serikali imetoa...

Habari MchanganyikoTangulizi

Wambura, Kingai mabosi wapya Polisi, Sirro apelekwa Ubalozi

  RAIS wa Jamhuri, Samia Suluhu Hassan, amemteuwa Camillus Mongoso Wambura, kuwa mkuu mpya wa jeshi la polisi nchini (IGP). Anachukua nafasi ya...

Habari za SiasaTangulizi

Msuya: Mjadala wa Katiba uishe

WAZIRI Mkuu mstaafu, Cleopa Msuya amesema ingependeza iwapo mchakato wa Katiba mpya ungefikia mwisho, ili kuruhusu Watanzania kufanya kazi, huku akisisitiza elimu ya...

Habari MchanganyikoTangulizi

Wakili akina Mdee: Tupo hatua za mwisho kufungua kesi

WAKILI wa Halima Mdee na wenzake, Edson Kilatu, amesema wako katika hatua za mwisho za kufungua kesi ya wabunge hao viti maalum, kupinga...

Habari MchanganyikoTangulizi

Kigogo Z’bar ataka mchakato Katiba mpya uendelee ulipoishia

NI Katiba mpya, Tume Huru ya Uchaguzi tu. Hivyo ndivyo unaweza kusema kutokana na walivyosema watoa maoni wengi waliofika mbele ya Kikosi Kazi...

Habari MchanganyikoTangulizi

Waziri Ummy: Ugonjwa wa homa ya mgunda unatibika

WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu, amesema ugonjwa wa homa ya Mgunda uliogundulika huko Ruagwa mkoani Lindi unaweza kuzuilika na unatibika. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea)....

Habari MchanganyikoTangulizi

Ugonjwa wa ajabu Lindi ni homa ya Mgunda

WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu amesema kuwa upimaji wa sampuli za wagonjwa waliokuwa wakiugua Ugonjwa Usiojulikana katika Wilaya ya Ruangwa katika Mkoa wa...

Habari za SiasaTangulizi

Lipumba amchambua Rais Samia, ampa 75%

MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba amechambua uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassana ambapo amesema kwa kipindi cha mwaka mmoja...

Habari za SiasaTangulizi

NCCR-Mageuzi kuvishtaki vyombo vya habari

CHAMA cha NCCR-Mageuzi upande unaongozwa Haji Ambar Khamis umesema chombo cha habari kinachomtambua James Mbatia kama Mwenyekiti, watakishtaki. Anaripoti Faki Ubwa… ( endelea)....

Habari MchanganyikoTangulizi

Sakata la Loliondo – Amnesty International wamuandikia barua nzito Samia

SHIRIKA la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limemuandikia barua Rais Samia Suluhu Hassan, kutaka kusitishwa kwa oparesheni ya kuweka alama za...

MichezoTangulizi

Nandy angua kilio ndoa na Billnass

  ‘COUPLE’ maarufu wa Bongofleva, William Lyimo ‘Billnass’ na Faustina Mfinanga ‘Nandy’ leo tarehe 16 Julai, 2022 wamefunga ndoa takatifu katika Kanisa la...

Habari MchanganyikoTangulizi

Jaji Mkuu awataka mahakimu wajitenge na siasa

  JAJI Mkuu wa Tanzania, Profesa Ibrahim Juma, amewataka mahakimu wasijihusishe na masuala ya siasa, kwani yamepigwa marufuku na Ibara ya 113 A...

Habari za SiasaTangulizi

Chenge aunga mkono Rasimu ya Katiba kuhusu Tume Huru

  MWANASHERIA Mkuu mstaafu wa Tanzania(AG), Andrew Chenge, amesema mapendekezo ya mfumo na muundo uliopendekezwa kwenye rasimu ya Katiba mpya kupata wajumbe wa...

Habari za SiasaTangulizi

Mwenyekiti Jumuiya Wazazi CCM asema kipindi cha nyuma walikalia msumari

  MWENYEKITI wa Jumuiya ya Wazazi CCM Taifa Dk. Edmund Mndolwa, meupiga madogo uongozi uliopita kwa kile alichoeleza kuwa ni kupitia kipindi kigumu...

Tangulizi

Tanzania yapokea dozi milioni 3 za Sinopharm- chanjo ya Uviko – 19

  TANZANIA imepokea chanjo ya UVIKO-19 aina ya Sinopharm dozi milioni tatu ambazo zitasaidia kuwakinga wananchi milioni 1.5 dhidi ya maambukizi ya ugonjwa...

Habari za SiasaTangulizi

Mrema ataka Tume Huru, “Katiba mpya sio mwarobaini”

  MWENYEKITI wa Chama cha (TLP), Augustine Mrema amesema ili kuhakikisha uchaguzi unakuwa huru na haki ni lazima kuwepo tume huru ya uchaguzi,...

Tangulizi

Heche awashangaa Januari, Nape kufanya ziara zisizo za lazima

  MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chadema, John Heche, ameonesha kushangazwa na matumizi ya Serikali yasiyo na tija huku ikiwaeleza wananchi kuwa hali...

Habari za SiasaTangulizi

Heche: Serikali imeshindwa, iwaachie wanaoweza

  MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Tanzania, John Heche amesema Serikali iiliyopo madarakani imeshindwa kutatua changamoto za...

AfyaTangulizi

Ugonjwa wa ajabu waua watatu Lindi, wawili wapona

  WIZARA ya afya kupitia Mganga Mkuu wa serikali, Dk. Alfello Sichalwe imesema jumla ya watu watatu wamefariki dunia kutokana na ugonjwa wa...

KimataifaTangulizi

Kisa ugumu wa maisha, Uganda waandamana

Polisi Uganda imewakamata waandamanaji 12 waliokuwa wakipinga kupanda kwa gharama ya maisha katika eneo la Jinja, lililopo kusini-mashariki mwa nchi hiyo. Inaripoti Mitandao...

Habari za SiasaTangulizi

NEC, ZEC: Tupo tayari kwa mabadiliko

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), zimesema changamoto zinazotokea wakati uchaguzi asilimia kubwa zinachangiwa na wasimamizi wa...

Habari MchanganyikoTangulizi

Mbaroni akituhumiwa kumuua ‘house girl’, kuficha mwili stoo

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, linamshikilia Selemani Haruna (24),  kwa tuhuma za kumuuwa mfanyakazi za ndani, Editha Charles, kisha...

Habari MchanganyikoTangulizi

Mmoja wa pacha waliotenganishwa Muhimbili afariki

SIMANZI. Ndivyo unavyoweza kusema baada ya mmoja wa pacha waliotenganishwa Muhimbili, Neema kufariki dunia Jumapili tarehe 10 Julai, 2022. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Neema...

Habari MchanganyikoTangulizi

Samia athibitisha uwepo ugonjwa wa kuvuja damu puani na kuanguka

RAIS Samia Suluhu Hassan amesema katika mikoa ya kusini mwa Tanzania kumeibuka ugonjwa wa ajabu ambapo watu wengi mfululizo wanavuja damu puani na...

Tangulizi

HKMU watoa ushauri na elimu tatizo la afya ya akili Mlimani City

  IDARA ya Ustawi wa Jamii ya Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Hubert Kairuki (HKMU) kwa kushirikiana na Hospitali ya Kairuki wameandaa kambi...

KimataifaTangulizi

Kagame: Nipo tayari kuendelea kuongoza kwa miaka 20 zaidi

RAIS wa Rwanda, Paul Kagame amesema kwamba haoni shida yoyote akiendelea kuongoza Rwanda kwa miaka mingine 20, na kuashiria kwamba atagombea muhula mwingine...

Habari MchanganyikoTangulizi

ATCL yarejesha safari za Dar es Salaam-Guangzhou

SHIRIKA la Ndege Tanzania (ATCL) imerejesha safari za kutoka Dar es Salaam kwenda Guangzhou China kuanzia tarehe 17 Julai, 2022. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea)....

HabariMichezoTangulizi

Yanga yamtambulisha rasmi Bigirimana

  IKIWA katikati ya mkutano mkuu wa mwaka wa klabu hiyo, ambao umebeba ajenda kubwa ya Uchaguzi, Rais mteule wa klabu hiyo Mhandisi...

Habari za SiasaTangulizi

Kina Mdee waibwaga Chadema mahakamani

  WABUNGE Viti Maalum 19 wakiongozwa na Halima Mdee, wamekibwaga Chama cha Chadema mahakamani baada ya Mahakama Kuu, Masjala Kuu ya Dar es...

Habari MchanganyikoTangulizi

Uamuzi kesi ya kina Mdee leo

MAHAKAMA Kuu ya Tanzania, Masjala Kuu ya Dar es Salaam, inatarajia kutoa uamuzi dhidi ya maombi yaliyofunguliwa na wabunge viti maalum 19, wakiongozwa...

Habari MchanganyikoTangulizi

BREAKING NEWS – Waziri mkuu wa zamani Japan apigwa risasi, afariki

WAZIRI Mkuu wa zamani wa Japan Shinzo Abe (67) amefariki dunia, kwa mujibu wa vyombo vya habari vya kimataifa. Anaripoti Mwandishi Wetu kwa...

Habari MchanganyikoTangulizi

Prof. Hoseah awakabidhi mawakili wapya zigo la migogoro ya wananchi

RAIS wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), Profesa Edward Hoseah, amewataka mawakili wapya, kuwasaidia wananchi katika kutatua migogoro inayowakabili.Anaripoti Regina Mkonde, Dar...

KimataifaTangulizi

Kashfa ya ngono yamng’oa waziri mkuu

UINGEREZA leo tarehe 7 Julai, imeandika historia nyingine baada ya Waziri Mkuu wa taifa hilo, Boris Johnson ambaye pia ni kiongozi wa chama...

KimataifaTangulizi

Waziri Mkuu: Ninasikitika kuacha kazi nzuri zaidi duniani

  “Ninasikitika kuacha kazi nzuri zaidi duniani lakini ndiyo hali halisi”, hayo ni maneno ya Waziri Mkuu wa Uingerea, Boris Johnson ambaye leo...

KimataifaTangulizi

Waziri mkuu akubali yaishe, kujiuzulu leo

  WAZIIRI Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson anatarajiwa kujiuzulu kama kiongozi wa chama tawala cha Conservative baadaye leo, lakini ataendelea kuhudumu kama waziri...

Habari za SiasaTangulizi

ACT-Wazalendo yasema bei ya vyakula imepaa, yatoa mapendekezo

  CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimedai gharama za maisha zimezidi kupanda huku hali ya uchumi wa wananchi ikiwa ngumu, hususan katika bei ya vyakula...

Tangulizi

Maandalizi Sensa yafikia asilimia 87 zikiwa zimebaki siku 48

  MAANDALIZI Sensa ya watu na makazi inayotarajiwa kufanyika tarehe 23 Agosti mwaka huu, yamefikia asilimia 87 ikiwa zimebaki siku 48 kufika siku...

Habari za SiasaTangulizi

Mahakama yasema uamuzi kesi ya kina Mdee haujakamilika

  MAHAKAMA Kuu, Masjala Kuu ya Dar es Salaam, imeahirisha kutoa uamuzi dhidi ya maombi yaliyofunguliwa na wabunge viti maalum 19, wakiongozwa na...

Habari za SiasaTangulizi

Mbivu, mbichi kesi ya kina Mdee kujulikana leo

  MAHAKAMA Kuu ya Tanzania, Masjala Kuu ya Dar es Salaam, inatarajia kutoa uamuzi dhidi ya maombi yaliyofunguliwa na wabunge viti maalum 19,...

Habari za SiasaTangulizi

Shaka: CCM hakuna mpasuko

  KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Shaka Hamdu Shaka, amesema ndani ya chama hicho hakuna mpasuko, kama inavyovumishwa...

Habari MchanganyikoTangulizi

Bei ya petroli yapaa, dizeli yashuka

  MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei mpya za mafuta kwa mwezi Julai ambapo bei ya petroli...

Habari MchanganyikoTangulizi

Shaka atembelea MwanaHALISI, Raia Mwema

  KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), ametembelea ofisi za magazeti ya Raia Mwema na MwanaHALISI, ikiwa ni muendelezo...

ElimuTangulizi

Shule za Serikali, wasichana wang’ara matokeo kidato cha sita

  SHULE za Sekondari za Serikali, pamoja na watahiniwa wasichana, wameng’ara katika matokeo ya mtihani wa kidato cha sita. Anaripoti Regina Mkonde, Dar...

Habari za SiasaTangulizi

Jamhuri yakwamisha kesi ya Chadema dhidi ya Jeshi la Polisi

  MAHAKAMA Kuu, Masjala ya Dodoma, imeahirisha usikilizwaji wa kesi ya Chadema dhidi ya Jeshi la Polisi baada ya Mawakili wa Jamhuri kutofika...

AfyaTangulizi

Jengo la mama na mtoto CCBRT kuhudumia wajawazito 12,000 kwa mwaka

  RAIS Samia Suluhu Hassan amezindua jengo la mama na mtoto katika Hospitali ya CCBRT ambalo lina uwezo wa kuhudumia wajawazito 12,000 kwa...

Habari za SiasaTangulizi

Serikali yapewa neno ununuzi treni zilizotumika

  SERIKALI ya Tanzania imeshauriwa kufikiria upya mpango wake wa kununua vifaa vya treni ya umeme vilivyotumika, maarufu kama mitumba, ili kujua kama...

Habari MchanganyikoTangulizi

Rais Samia amtumbua Mkurugenzi bandari

  RAIS Samia Suluhu Hassan leo tarehe 4 Julai, 2022 ametengua uteuzi wa mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari (TPA), Eric...

Habari MchanganyikoTangulizi

Siasa, longongo zamchefua Samia utendaji bandari

RAIS Samia Suluhu Hassan, amesema haridhishwi na kasi ya utendaji wa bandari za Tanzania na kuwataka watendaji waache siasa na longolongo wakati wa...

Habari MchanganyikoTangulizi

Rais Samia: Tutanunua vifaa vya treni vipya, mtumba

RAIS Samia Suluhu Hassan amesema Serikali imetoa fedha kwa ajili ya ununuzi wa vifaa vya treni ya kisasa, huku akisema miongoni mwa vifaa...

error: Content is protected !!