MAIN STORY: Minimum – a picture, video, audio and pull-quote. It might also include a picture gallery, a text box (2 paragraphs – linking to a profile), a time line, a fact file (list of bullet points), Q&A, a map and embedded tweet(s).
HOSPITALI ya Taifa Muhimbili leo tarehe 1 Julai, 2022 imefanya upasuaji mkubwa wa kutenganisha watoto pacha waliozaliwa wameungana sehemu ya kifua, tumbo na...
By Gabriel MushiJuly 1, 2022LEO Tanzania inatimiza miaka 30 tangu turejee rasmi katika siasa za mfumo wa vyama vingi. Katika kipindi hicho, taifa letu limepitia katika kipindi...
By Gabriel MushiJuly 1, 2022VIGOGO wanne wa Mamlaka ya Bandari nchini (TPA), wamefikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashitaka matatu, likiwemo la kuisababishia...
By Mwandishi WetuJune 30, 2022HATIMAYE Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini Tanzania mstaafu Jenerali Venance Mabeyo kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya...
By Mwandishi WetuJune 30, 2022MAWAKILI wa pande mbili (waleta maombi na wajibu maombi) katika kesi ya Halima Mdee na wenzake 18 wameibua mvutano Mahakamani ikiwa kama...
By Regina MkondeJune 30, 2022MBUNGE wa jimbo la Kisesa nchini Tanzania, Luhaga Mpina amesema Waziri wa Kilimo Hussein Bashe alilidanganya bunge kwa kutoa takwimu mbili tofaui...
By Mwandishi WetuJune 30, 2022WABUNGE viti maalum 19, wakiongozwa na Halima Mdee, wamewasilisha Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Kuu ya Dar es Salaam, sababu tano za...
By Mwandishi WetuJune 30, 2022WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa, ameipongeza klabu ya soka ya Yanga kwa kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu...
By Kelvin MwaipunguJune 30, 2022MAOMBI ya kuomba kibali cha kufungua kesi ya madai kupinga kuvuliwa uanachama wa Chadema, yaliyofunguliwa na wabunge viti maalum 19, wakiongozwa na...
By Regina MkondeJune 30, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan amempandisha cheo Meja Jenerali Jacob Mkunda kuwa Jenerali na kumteua kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi(CDF). Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Mwandishi WetuJune 29, 2022HATIMA ya endapo Halima Mdee na wenzake 18 wataendelea kusalia kuwa wabunge itajulikana ndani ya siku 14 za usikilizaji wa shauri namba...
By Faki SosiJune 29, 2022KLABU ya Yanga, rasmi imeingia kwenye rekodi ya kuwa moja ya timu iliyomaliza Ligi kuu Tanzania Bara, bila kupoteza mchezo wowote katika...
By Mwandishi WetuJune 29, 2022MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imekubali ombi la Wakili wa Chadema, Peter Kibatala, la kuondoa mapingamizi yao dhidi ya kesi...
By Faki SosiJune 29, 2022RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali akiwemo Tuma Abdallah kuwa Mhariri Mkuu wa Kampuni ya Magazeti ya...
By Mwandishi WetuJune 28, 2022JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, linawashikilia watu 22, kwa tuhuma za kufanya uhalifu kwa njia ya mtandao. Regina Mkonde,...
By Regina MkondeJune 28, 2022SERIKALI ya Tanzania imesema ziara za mkuu wa nchi hiyo Rais Samia Suluhu Hassan nje ya nchi zimeongeza uwekezaji wa ndani kwa...
By Mwandishi WetuJune 28, 2022MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetoa zuio la muda la kutofanyika chocholate kwenye ubunge wa Halima Mdee na wenzake 18 mpaka...
By Mwandishi WetuJune 27, 2022MWENYEKITI wa Mfuko wa Fursa sawa kwa Wote (EOTF), Mama Anna Mkapa ambaye pia ni mke wa Hayati Rais Benjamin Mkapa amesema...
By Mwandishi WetuJune 27, 2022WABUNGE wa viti maalum nchini Tanzania, Halima Mdee na wenzake 18 wasio na chama bungeni, leo Jumatatu tarehe 27 Juni 2022 wameendelea...
By Mwandishi WetuJune 27, 2022CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) leo Jumapili kimemtaka Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson ajiuzulu nafasi hiyo kwa kushindwa kuwatimua bungeni wabunge...
By Gabriel MushiJune 26, 2022OFISI ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) imetangaza majina 16,676 ya watumishi wapya waliopangiwa vituo vya kazi katika Sekta...
By Gabriel MushiJune 26, 2022WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI), Innocent Bashungwa amesema nafasi 736 kada za afya zimekosa...
By Gabriel MushiJune 26, 2022OFISI ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) imetangaza majina 16,676 ya watumishi wapya waliopangiwa vituo vya kazi katika Sekta...
By Gabriel MushiJune 26, 2022JUMLA ya watu 17 wamepoteza maisha katika klabu moja ya usiku iliyopo katika Mji wa London Mashariki nchini Afrika Kusini, kutokana na hali...
By Gabriel MushiJune 26, 2022ASILIMIA 90 ya viwanda 33,000 vya kusindika vyakula vilivyofanyiwa sensa na Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) vimebainika kutoweka virutubishi. Anaripoti Mwandishi...
By Gabriel MushiJune 26, 2022BAADHI ya wabunge wa viti maalum wasio na chama katika Bunge la Tanzania, Halima Mdee na wenzake 18 wameshindwa kuamua juu ya...
By Mwandishi WetuJune 24, 2022SERIKALI ya Tanzania, imesema ongezeko la deni la taifa linatokana na hatua yake ya kukopa fedha, kwa ajili ya kutekeleza miradi ya...
By Mwandishi WetuJune 24, 2022CHANZO cha ugomvi uliosababisha kifo cha Esther Gadeu anayedaiwa kuuawa na mumewe, Godbles Sawe kimetajwa kuwa ni madai ya wivu wa kimapenzi...
By Mwandishi WetuJune 24, 2022SIKU mbili kupita tangu Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam kuyaondoa maombi Halima Mdee na wenzake 18 ya kuomba...
By Mwandishi WetuJune 24, 2022CHAMA cha Chadema, kimemwandikia barua Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson, kumkumbusha kuhusu utekelezaji wa barua yake ya tarehe 12 Mei 2022,...
By Masalu ErastoJune 23, 2022LICHA ya Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam kuyaondoa maombi Halima Mdee na wenzake 18 ya kuomba kufungua kesi...
By Mwandishi WetuJune 23, 2022KIKAO cha Halmashauri Kuu ya chama tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeishauri Serikali kuona namna bora ya kufufua, kukwamua na...
By Danson KaijageJune 22, 2022BAADA ya Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Kuu kuyatupilia mbali maombi ya Halima Mdee na wenzake 18 ya kufungua kesi ya kupinga...
By Mwandishi WetuJune 22, 2022MGOGORO wa kiuongozi unaoendelea ndani ya Chama cha NCCR-Mageuzi umeendelea kukitikisa na upande wa Mwenyekiti, James Mbatia umeibuka na kuzitaka mamlaka zote...
By Mwandishi WetuJune 22, 2022HATIMA ya Halima James Mdee na wenzake 18, kuendelea kuupigania ama kuutema, ubunge wao wa Viti Maalum, wanaodaiwa kuupata kinyemela, utajulikana leo...
By Mwandishi WetuJune 22, 2022MBUNGE wa Bunge la Tanzania, Esther Bulaya ameitaka Serikali kuachana na kikokotoo kipya cha mafao kinachompa mstaafu asilimia 33 ya mafao yake...
By Mwandishi WetuJune 21, 2022ALIYEKUWA Mkuu wa Wilaya ya Hai, Mkoa wa Kilimanjaro nchini Tanzania,Lengai Ole Sabaya amecharuka mahakamani na kudai mashtaka dhidi yake ni ya...
By Mwandishi WetuJune 21, 2022IKIWA vuguvugu la marekebisho ya sheria zinazosimamia sekta ya habari likizidi kuongezeka nchini Tanzania, wanahabari wamepaza sauti zao kuhusu uboreshwaji wa uhuru...
By Regina MkondeJune 20, 2022MBUNGE wa Simanjiro (CCM) nchini Tanzania, Christopher Ole Sendeka ameibua sakata la wilaya nne za mikoa ya Arusha na Manyara ambazo zinaweza...
By Mwandishi WetuJune 20, 2022MBUNGE wa Kisesa, Luhaga Mpinga, ameliomba Bunge liunde tume kwa ajili ya kuchunguza masuala mbalimbali yenye tija kwa taifa, ikiwemo Mradi wa...
By Mwandishi WetuJune 20, 2022MKUTANO wa saba, Kikao cha 47 cha Bunge la Tanzania kinaendelea leo Jumatatu tarehe 20 Juni 2022 jijini Dodoma. Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Mwandishi WetuJune 20, 2022VYAMA vya CUF na Chadema vimesema Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka 2022/2023 iliyowasilishwa bungeni wiki iliyopita na Waziri wa Fedha na Mipango,...
By Gabriel MushiJune 19, 2022MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi- CUF, Profesa Ibrahim Lipumba amesema Hotuba ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka 2022/2023 iliyowasilishwa bungeni wiki iliyopita...
By Gabriel MushiJune 19, 2022BODI ya Wadhamini ya Chama cha NCCR-Mageuzi, imefungua jalada la uchunguzi wa tuhuma za kuvunjwa kwa ofisi ya chama hicho, zinazodaiwa kufanywa na...
By Gabriel MushiJune 18, 2022WANANCHI wa Kijiji cha Yakobi, Halmashauri ya Mji wa Njombe wamemkataa mwananchi mwenzao aliyefahamika kwa jina la mzee Gerhad Makinda kuishi kijijini hapo...
By Gabriel MushiJune 18, 2022MAWAKILI wa upande wa utetezi katika kesi inayomkabili Mchungaji Diana Bundala, maarufu kama ‘Mfalme Zumaridi’ na wenzake wameiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Mwanza...
By Mwandishi WetuJune 17, 2022KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), kimeipongeza Serikali kwa kuja na bajeti inayogusa maisha ya wananchi moja kwa moja, huku...
By Regina MkondeJune 17, 2022SPIKA wa Bunge, Dk Tulia Ackson amewaagiza mawaziri waliopo bungeni kuwaita manaibu na mawaziri ambao hawahudhurii vikao vya Bunge licha ya kwamba...
By Mwandishi WetuJune 16, 2022BAADHI ya wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wamemtaka Spika Dk. Tulia Ackson aruhusu Klabu ya Yanga SC. ambayo...
By Mwandishi WetuJune 16, 2022KWA mara ya pili, leo tarehe 16 Juni, 2022 Bunge limetengua kanuni ya 160 (1) ambayo inatoa masharti kwa wageni wasio wabunge...
By Mwandishi WetuJune 16, 2022