MAIN STORY: Minimum – a picture, video, audio and pull-quote. It might also include a picture gallery, a text box (2 paragraphs – linking to a profile), a time line, a fact file (list of bullet points), Q&A, a map and embedded tweet(s).
CHAMA cha Chadema, kimewasilisha kwa Rais Samia Suluhu Hassan, mapendekezo 10 yatakayosaidia kutibu madhila yaliyotokea miaka sita iliyopita. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...
By Mwandishi WetuMay 23, 2022CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimewataka Watanzania kuwa wavumilivu na wastahimilivu katika kusubiri kuelezwa kile alichozungumza Rais Samia Suluhu Hassan na viongozi mbalimbali...
By Mwandishi WetuMay 23, 2022BAJETI ya Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi imeibua kizaazaa bungeni baada ya wabunge waliokuwa wakichangia kufanya matukio yasiyo ya kawaida kuonesha kusikitishwa na...
By Mwandishi WetuMay 23, 2022HALMASHAURI Kuu ya Chama cha NCCR-Mageuzi, imemsimamisha Mwenyekiti wa chama hicho Taifa, James Mbatia na Makamu Mwenyekiti wake Bara, Angelina Mtaigwa, kwa...
By Bupe MwakitelekoMay 21, 2022MWENYEKITI wa NCCR- Mageuzi, James Francis Mbatia, amedai kuwa unaoitwa, “mkutano wa Halmashauri Kuu (NEC) ya chama chake” uliomsimamisha wadhifa wake,...
By Mwandishi WetuMay 21, 2022HADI kufikia tarehe 30 Aprili, 2022 Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari (Fungu 68) imepokea jumla ya Sh. bilioni 129.7...
By Mwandishi WetuMay 20, 2022ALIYEKUWA Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali nchini-CAG, Profesa Mussa Assad amesema licha ya kuwa kuna umuhimu wa kuwa na Katiba...
By Faki SosiMay 19, 2022KLABU za Simba na Azam FC zimetoshana nguvu kwa sare ya mabao 1-1, kwenye mchezo wa mzunguko wa 24 wa Ligi Kuu...
By Kelvin MwaipunguMay 18, 2022MAHAKAMA Kuu ya Tanzania Kanda ya Mbeya imeahirisha kesi namba 3/2022 na kesi namba 14/2022 inayohusu mgogoro wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri...
By Gabriel MushiMay 18, 2022KIONGOZI wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema, Freeman Mbowe ameonesha kushangazwa na uamuzi wa Spika wa Bunge, Dk. Tulia...
By Mwandishi WetuMay 17, 2022MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imesema wabunge 19 wa Chadema (Covid 19) waliovuliwa uanachama wa chama hicho hivi karibuni wataendelea...
By Mwandishi WetuMay 16, 2022MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)-Bara nchini Tanzania, Tundu Lissu ameukosoa vikali uamuzi wa Spika Tulia Ackson kuwabakisha bungeni Halima...
By Gabriel MushiMay 16, 2022BUNGE la Tanzania limesema wabunge 19 wa viti maalumu waliofukuzwa uanachama wa Chadema, wataendelea kutumikia mhimili huo hadi pale Mahakama Kuu, itakapotoa uamuzi...
By Gabriel MushiMay 16, 2022LICHA ya Halima Mdee na wenzake 18 kufukuzwa uanachama ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), leo Jumatatu tarehe 16 Mei...
By Mwandishi WetuMay 16, 2022RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameridhia mapendekezo ya nyongeza ya mshahara kwa watumishi wa umma, ambapo kima cha chini kimeongezwa kwa...
By Regina MkondeMay 14, 2022CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimetoa wito kwa watetezi wa haki za binadamu Tanzania kuungana na vyama vya siasa vya upinzani katika harakati za...
By Mwandishi WetuMay 14, 2022RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewataka watetezi wa haki za binadamu waache harakati zenye lengo la kupambana na Serikali bali wafanye...
By Regina MkondeMay 13, 2022BAADHI ya Wabunge wa Viti Maalum waliofukuzwa uanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wametinga bungeni siku moja baada ya Baraza...
By Mwandishi WetuMay 13, 2022CHAMA kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema kimesema, kimewasilisha barua kwa Spika wa Bunge kumweleza kuhusu hatima ya rufaa za waliokuwa...
By Mwandishi WetuMay 13, 2022RUFAA za Halima Mdee na wenzake 18 za kupingwa kufukuzwa uanachama na kamati kuu ya Chadema zimetupiliwa mbali na wajumbe wa Baraza...
By Mwandishi WetuMay 12, 2022BARAZA Kuu la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) nchini Tanzania limemaliza kusikiliza rufaa za Halima Mdee na wenzake 18 . Anaripoti...
By Mwandishi WetuMay 11, 2022KIONGOZI wa Harakati za nguvu za umma na Rais wa chama cha National Unit Platform (NUP), Robert Kyagulanyi Ssentamu amesema alishinda urais katika...
By Mwandishi WetuMay 11, 2022MWENYEKITI wa chama cha ACT-Wazalendo Juma Duni Haji, amesema upinzani ukishirikiana uchaguzi ujao 2025 utaweza kukiondoa madarakani Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaripoti Mwandishi...
By Gabriel MushiMay 11, 2022HALIMA Mdee na wenzake 18 wamesema wamefika kusikiliza rufaa zao wakisema “tuko tayari kwa lolote.” Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam …...
By Mwandishi WetuMay 11, 2022MKUTANO wa Baraza Kuu la chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema unafanyika leo Jumatano tarehe 11 Mei 2022, katika ukumbi...
By Mwandishi WetuMay 11, 2022SPIKA wa Bunge, Dk. Tulia Ackson amemuonya Mbunge Sengerema, Hamisi Tabasamu (CCM) baada ya kudaiwa kutweza mchango wa Mbunge wa Momba, Condester Sichwale...
By Gabriel MushiMay 10, 2022SERIKALI imetopa ruzuku ya Sh 100 bilioni kwa kipindi cha mwezi mmoja kwaajili ya kuleta ahueni katika bei ya nishati ya mafuta....
By Mwandishi WetuMay 10, 2022ALIYEKUWA Mkurugenzi wa Mradi wa Mabasi yaendayo kasi (UDART), Robert Kisena na wenzake watatu wamesomewa mashataka 15 kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu...
By Faki SosiMay 9, 2022RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amekutana kwa mara nyingine na kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini humo cha Chadema, Freeman...
By Mwandishi WetuMay 9, 2022MBUNGE wa Kawe, Askofu Dk. Josephat Gwajima (CCM) leo Jumatatu amesema licha ya kwamba ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) lilikuwa wazo...
By Mwandishi WetuMay 9, 2022MVUTANO umeibuka bungeni baina ya Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo na Waziri wa Fedha na Mipango, Mwigulu Nchemba kuhusu nchi kuporomoka kutoka...
By Mwandishi WetuMay 9, 2022RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewaagiza viongozi akiwemo Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kutafuta suluhisho la haraka katika kukabiliana na tatizo la...
By Mwandishi WetuMay 9, 2022MWANASIASA mkongwe na Spika mstaafu nchini Tanzania, Job Ndugai ametangaza kutogombea tena nafasi ya ubunge wa Kongwa mkoani Dodoma katika uchaguzi mkuu...
By Danson KaijageMay 8, 2022JUMLA ya watahiniwa 95,955 kutoka shule za sekondari 841 na vituo vya watahiniwa wa kujitegemea 250 wanatarajia kuanza mitihani ya kumaliza kidato ya...
By Gabriel MushiMay 8, 2022KAIMU Kamanda Polisi Mkoa wa Tanga, David Mwasimbo amesema chanzo cha ajali ya gari aliyopata Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, Basila Mwanukuzi jana...
By Gabriel MushiMay 8, 2022WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ameagiza Idara ya Uhamiaji Mkoa wa Mwanza kuzishikilia paspoti za wafanyakazi wa Kampuni ya Gas Entec Ship-building Engineering ya...
By Gabriel MushiMay 7, 2022MJADALA kuhusu lugha gani itumike kufundishia kati ya kiingereza au Kiswahili umeendelea kutikisa baada ya asilimia kubwa ya wabunge kushauri kuwa kiingereza kitumike...
By Gabriel MushiMay 7, 2022MAHAKAMA Kuu ya Kanda ya Arusha imemuachia huru aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wawili waliokuwa wamekata rufaa...
By Mwandishi WetuMay 6, 2022SERIKALI imetangaza nafasi za kazi za muda za makarani na wasimamizi wa Sensa ya mwaka 2022 itakayofanyika Agosti 23 mwaka huu. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuMay 5, 2022Kampuni ya vinjwaji Baridi ya Coca Cola kwa kushirikiana na Shirikisho la Mpira wa Miguu Dunia (FIFA), linatarajia kulileta nchini kombe la Dunia...
By Mwandishi WetuMay 5, 2022WABUNGE wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wameishauri Serikali kuondoa tozo zisizo na athari katika miradi muhimu kwa wananchi pamoja...
By Mwandishi WetuMay 5, 2022MKUTANO wa saba kikao cha 16 cha Bunge la Tanzania leo Alhamisi kumesimamisha shughuli zake za kawaida na kuanza kujadili kupanda kwa...
By Mwandishi WetuMay 5, 2022WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Serikali inaendelea kutafuta njia mbadala zitakazopunguza gharama ya maisha kwa Watanzania kutokana na kupanda kwa...
By Mwandishi WetuMay 5, 2022RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema Serikali yake inawachukulia hatua watu wanaotajwa kufanya ubadhirifu katika ripoti za ukaguzi za Mdhibiti na...
By Mwandishi WetuMay 4, 2022RAIS Samia amesema alinukuliwa vibaya na vyombo vya Habari vilivyosema kwamba alisema hakuwa na maelewano mazuri na Rais John Magufuli kipindi yeye akiwa...
By Mwandishi WetuMay 4, 2022WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, amempa siku saba Inspekta Jenerali wa Polisi nchini (IGP), Simon Sirro, adhibiti...
By Regina MkondeMay 4, 2022RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefafanua kuwa baada ya kukutana Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris, alipokuwa kwenye ziara nchini humo,...
By Gabriel MushiMay 3, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan amewataka waandishi wa habari nchini kuzingatia sheria na kufanya kazi kwa uungwana kwani wakimkorofisha hatowaacha. Anaripoti Mwandishi Wetu …...
By Gabriel MushiMay 3, 2022WAZIRI wa Habari Teknolojia ya Habari na Mawasiliano, Nape Nnauye amewaonya wanahabari wanaokiuka Sheria zilizopo katika utendaji kazi wao. Anaripoti mwandishi Wetu …...
By Gabriel MushiMay 3, 2022MWENYEKITI wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile, ameziomba Serikali barani Afrika kuziondolea tozo karatasi za kuchapisha magazeti. Anaripoti Mwandishi Wetu… (endelea)...
By Gabriel MushiMay 3, 2022