MAIN STORY: Minimum – a picture, video, audio and pull-quote. It might also include a picture gallery, a text box (2 paragraphs – linking to a profile), a time line, a fact file (list of bullet points), Q&A, a map and embedded tweet(s).
RAIS Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa wananchi ambao hawatafikiwa kesho tarehe 23 Agosti, 2022 na makarani wa sensa kuhakikisha wanatunza kumbukumbu...
By Mwandishi WetuAugust 22, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan amesema taarifa zitakazokusanywa na makarani wa sensa nchi nzima ni taarifa za siri kwa mujibu wa sheria ya...
By Mwandishi WetuAugust 22, 2022MWILI wa Mwenyekiti wa Chama cha Tanzania Labour Party (TLP) Agustino Lyatonga Mrema unatarajiwa kuzikwa Alhamisi tarehe 25 Agosti, 2022 nyumbani kwake...
By Masalu ErastoAugust 22, 2022MHADHIRI wa uchumi kutoka Chuo kikuu caha Dar Es Salaam, Profesa Humphrey Moshi, amemtaka waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba pamoja...
By Gabriel MushiAugust 21, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za rambirambi kutokana na msiba wa Mwenyekiti wa Chama cha Tanzania Labour Party (TLP), Agustino Mrema kilichotokea...
By Mwandishi WetuAugust 21, 2022MWENYEKITI wa chama cha TLP, Augustino Lyatonga Mrema (77) amefariki duninia leo tarehe 21 Agosti, 2022, saa 12.15 asubuhi, katika Hospitali ya Taifa...
By Mwandishi WetuAugust 21, 2022MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam imefuta hukumu iliyomtia hatiani aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Ubungo (2015-2020), Saed Kubenea...
By Faki SosiAugust 18, 2022HATIMAYE Rais Samia Suluhu Hassan ameridhia tarehe 23 Agosti, 2022 iwe siku ya mapumziko ili Watanzania wawepo majumbani na waweze kuwapokea makarani wa...
By Gabriel MushiAugust 18, 2022SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) limeahirisha zoezi la matengenezo kinga ya mfumo wa ununuzi wa umeme LUKU ambalo lingesababisha kusitishwa kwa huduma hiyo...
By Gabriel MushiAugust 17, 2022MAKAMU wa Rais Dk. Philip Mpango amelazimika kuanza hotuba yake kwa kufundisha wananchi namna ya kusimama wakati wa kuimba Wimbo wa Taifa. Anaripoti...
By Gabriel MushiAugust 17, 2022RAIS mteule w Kenya, Dk. William Ruto amewataka machifu na watumishi wa umma waliokuwa wanatumiwa na wanasiasa kuwafanyia kampeni, warejee kazini ili watekeleza...
By Gabriel MushiAugust 17, 2022MAMLAKA ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imesema mojawapo ya sababu ya baadhi ya Kampuni za teksi mtandaoni kusitisha huduma za usafiri wa magari...
By Gabriel MushiAugust 17, 2022RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Wallace Karia ameweka wazi kwamba yeye sio wanachama wala shabiki wa klabu ya...
By Kelvin MwaipunguAugust 16, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan ameungana na viongozi wengine wa Bara la Afrika kwa kumpongea mshindi wa nafasi ya urais pamoja na kuwapongeza...
By Mwandishi WetuAugust 16, 2022RAIS Mteule wa Jamhuri ya Kenya, William Ruto amewahakikishia wananchi kuwa ataongoza Serikali kwa uwazi na demokrasia ya hali ya juu huku...
By Mwandishi WetuAugust 15, 2022MGOMBEA Urais wa Muungano wa Kenya Kwanza na Chama cha UDA, William Ruto ametangazwa kuwa mshindi wa uchaguzi mkuu kwa kura 7,176,141...
By Mwandishi WetuAugust 15, 2022WAKENYA watajua rais wao mpya wakati wowote kuanzia leo wakati Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC), Wafula Chebukati akiwa amebakisha...
By Gabriel MushiAugust 15, 2022MGOMBEA urais nchini Kenya kupitia muungano wa Azimio la Umoja, Raila Odinga jana Agosti 14, 2022 ameonekana hadharani kwa mara ya kwanza tangu...
By Gabriel MushiAugust 15, 2022KLABU ya Soka ya YANGA imeanza vema msimu mpya kwa kutetea taji lao la Ngao ya Jamii kwa ushindi wa mabao 2-1...
By Masalu ErastoAugust 14, 2022MWANDISHI wa habari mzaliwa wa Mumbai nchini India, Salman Rushdie, anapumulia mashine hospitalini baada ya jana tarehe 12 Agosti, 2022 kushambuliwa na visu....
By Gabriel MushiAugust 13, 2022IMEELEZWA kuwa Soko la vyakula vya baharini na wanyamapori la Huanan lililopo katika mji wa Wuhan nchini China ndio kitovu cha mlipuko wa...
By Gabriel MushiAugust 13, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa wazazi na walezi wa mkoa wa Iringa kuacha kuwapa watoto wao pombe ya kienyeji aina ya...
By Gabriel MushiAugust 13, 2022KUCHELEWESHWA kutangazwa kwa matokeo ya urais kumezidi kuzua wasiwasi nchini Kenya huku Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) ikilaumu mawakala wa Naibu...
By Gabriel MushiAugust 13, 2022MAHAKAMA Kuu ya Tanzania leo tarehe 12 Agosti, 2022, imesoma Hukumu ya Kesi namba 143 ya Mwaka 2017 iliyofunguliwa na Miza Bakari...
By Mwandishi WetuAugust 12, 2022KIONGOZI wa waangalizi wa Uchaguzi Mkuu wa Kenya kutoka Jumuiya ya Afrika Mashariki, Rais mstaafu wa Tanzania, Jakaya Kikwete ametoa wito kwa wagombea...
By Mwandishi WetuAugust 11, 2022MIONGONI mwa burudani zilizokuwa zinasubiriwa kwa hamu ni pamoja na kilele cha Siku ya Mwananchi na Siku ya Simba, sherehe ambazo huambatana na...
By Mwandishi WetuAugust 10, 2022RAIA wa Kenya jana tarehe 9 Agosti, 2022 wamejitokeza kupiga kura kumchagua rais, gavana, seneta, mwakilishi wa wanawake, mbunge na mwakilishi wa wadi. Katika...
By Kelvin MwaipunguAugust 10, 2022Matokeo ya mapema yanaonesha kwamba mgombea wa Muungano wa Azimio Raila Odinga amekuwa akitatizika kupata asilimia 20 ya kura zilizopigwa katika maeneo...
By Mwandishi WetuAugust 10, 2022ASKOFU Msaidizi wa Jimbo Katoliki la Bukoba, Methodius Kilaini amelaani kitendo cha klabu ya Simba kutumia msalaba kufanya dhihaka na kusema ni “dharau...
By Gabriel MushiAugust 9, 2022RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametoa pole kwa familia za watu 20 waliofariki ajalini na wengine 15 kujeruhiwa. Anaripoti Erick Mbawala, TUDARco...
By Masalu ErastoAugust 9, 2022UCHAGUZI Mkuu wa Kenya unafanyika leo kumsaka mrithi wa kiti cha urais kinachotarajiwa kuachwa wazi na Rais Uhur Kenyatta. Mbali na nafasi...
By Mwandishi WetuAugust 9, 2022KILELE cha Sherehe ya Siku ya Simba ‘Simba Day’ kimetamatika kwa kwa cheko la furaha baada ya kuibuka na ushindi wa bao 2:0...
By Gabriel MushiAugust 8, 2022MIKOA yote nchini imeagizwa kutenga maeneo kwaajili ya kilimo kikubwa cha mazao ambayo yanayostawi katika mikoa hiyo. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Maagizo hayo yametolewa...
By Gabriel MushiAugust 8, 2022MTENDAJI wa tarafa ya Ruaha, wilayani Ulanga, mkoani Morogoro, George Kayora, ameieleza mahakama jinsi baadhi ya viongozi wa ngazi ya kitongoji wilayani Ulanga,...
By Gabriel MushiAugust 8, 2022Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania ametoa wito kwa vijana kuwekeza kwenye sekta ya kilimo kutoka na fursa nyingi zilizopo na uboreshwaji...
By Gabriel MushiAugust 8, 2022RAIS wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema maboresho ya Miundombinu yanayoendelea katika sekta ya elimu yanalenga kuhakikisha watoto wa...
By Gabriel MushiAugust 7, 2022SEKRETARIETI ya Shirikisho la Mpira wa miguu Tanzania (TFF) imewafungulia mashtaka ya kimaadili Rais wa Yanga Mhandisi Hersi Said na aliyekuwa Msemaji wa...
By Gabriel MushiAugust 7, 2022MABINGWA wa Uganda, Vipers SC wamevuruga sherehe za kilele cha Siku ya Wananchi – Yanga S.C baada ya kuwaadhibu kwa bao 2 -0...
By Mwandishi WetuAugust 6, 2022MWENYEKITI wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile, amesema mafanikio yaliyofikiwa katika kung’oa tasnia ya habari kwenye ‘shimo,’ hayakuhusisha mapambano bali...
By Mwandishi WetuAugust 6, 2022Klabu ya soka ya Yanga leo Agosti 6 2022 inaadhimisha kilele cha wiki ya mwananchi huku ikiwa na kauli mbiu ya Byuti Byuti...
By Masalu ErastoAugust 6, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan amewaweka mtegoni Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (TAMISEMI),...
By Mwandishi WetuAugust 6, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan ameteua maofisa ishirini na wawili (22) kuwa Majaji wa Mahakama Kuu. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Taarifa iliyotolewa leo...
By Gabriel MushiAugust 6, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan amesema hivi karibuni wakuu wa wilaya wataanza kutimuana tena kwa ajili ya usimamizi wa ujenzi wa madarasa 8000 ya...
By Gabriel MushiAugust 6, 2022WAZIRI wa Ujenzi na Uchukuzi Profesa Makame Mbarawa amesema hatma ya mkataba Kampuni ya Kimataifa ya Kuhudumia Makasha (TICTS) itajulikana mwezi Septemba mwaka...
By Seleman MsuyaAugust 4, 2022HATIMAYE Mahakama Kuu Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, imemuachia huru aliyekuwa diwani wa Chadema katika Kata ya Isengule wilaya ya Tanganyika mkoa...
By Mwandishi WetuAugust 4, 2022MBUNGE wa zamani wa Jimbo la Kilwa Kusini Selemani Said Bungara (Bwege) amealikwa nchini Kenya kumpigia kampeni mgombea wa Azimio la Umoja, Raila...
By Mwandishi WetuAugust 4, 2022MAREKANI imeipa nasaha Zanzibar kuendeleza moyo wa maridhiano ya kisiasa kwa kuamini kuwa ni fursa nzuri ya kuimarisha umoja na mshikamano ambao ni...
By Jabir IdrissaAugust 4, 2022MECHI inayo vikutanisha vigogo wa soka la Tanzania Simba na Yanga (Kariakoo Derby) katika Ligi Kuu Tanzania bara msimu wa 2022/23, inatarajiwa...
By Mwandishi WetuAugust 3, 2022BEI ya mafuta imepanda tena mwezi huu na kuivuka ile ya Julai licha ya Serikali kuendelea kutoa ruzuku ya Sh bilioni 100 kwa...
By Mwandishi WetuAugust 2, 2022KLABU ya Soka ya Simba hii leo tarehe 31 Julai 2022, imezindua rasmi wiki yao kuelekea kwenye tamasha kubwa la Siku ya...
By Kelvin MwaipunguJuly 31, 2022