Sunday , 28 April 2024

Tangulizi

MAIN STORY: Minimum – a picture, video, audio and pull-quote. It might also include a picture gallery, a text box (2 paragraphs – linking to a profile), a time line, a fact file (list of bullet points), Q&A, a map and embedded tweet(s).

Habari za SiasaTangulizi

Rais Mwinyi azindua Kamati ya Maridhiano Visiwani

  RAIS wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Dk. Hussein Ally Mwinyi, amezindua Kamati ya Maridhiano Visiwani, yenye lengo la kuendeleza dhamira ya...

Habari MchanganyikoTangulizi

Wanakijiji Singida walia na mgodi

  BAADHI ya wananchi wanaozunguka kampuni ya uchimbaji madini ya Ashanta kata ya Mang’onyi wilayani hapa wamedai kutonufaika na uwekezaji wake. Anaripoti Selemani...

Habari za SiasaTangulizi

Mabadiliko ya sheria ya usalama wa taifa yazua mjadala

  SERIKALI iko mbioni, kuwasilisha bungeni muswaada wa marekebisho ya sheria ya Idara ya Usalama wa taifa (TISS), uliosheheni utata, ikiwamo kuweka kinga...

Habari za SiasaTangulizi

Uamuzi juu ya wakurugenzi kusimamia uchaguzi 13 Juni

  MAHAKAMA ya Afrika ya Haki za Binadamu (ACHPR), imepanga kutoa uamuzi wa shauri la madai lililofunguliwa na Bob Chacha Wangwe, dhidi ya...

Habari MchanganyikoTangulizi

Jeshi la Polisi kushirikiana na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam katika utafiti

  JESHI la Polisi Nchini limesema kuwa katika kukabiliana na mabadiliko ya sayansi na technolojia limepanga kuja na mkakati wa Pamoja kwa kushirikiana...

KimataifaTangulizi

Mtuhumiwa wa mauaji ya halaiki ya Rwanda akamatwa Afrika Kusini

  MMOJA wa watuhumiwa wakuu wa mauaji ya Kimbari ya Rwanda (1994), Fulgence Kayishema, amekamatwa nchini Afrika Kusini, baada ya msako wa zaidi...

Habari MchanganyikoTangulizi

6 wadakwa tuhuma za mauaji ya daktari Tarime, mfanyakazi GGML

HATIMAYE Jeshi la Polisi nchini limewadaka watuhumiwa watatu wa mauaji ya Dk. Isack Daniel Athumani aliyekuwa Mganga Mfawidhi wa Kituo cha Afya Kerende...

ElimuTangulizi

Global Education Link kuitafutia TIA fursa vyuo vya nje.

TAASISI ya  Uhasibu Tanzania (TIA), imesaini mkataba na wakala wa vyuo vikuu nje ya nchi Global Education Link (GEL), lengo ikiwa ni kushirikiana kuitafutia...

Habari za SiasaTangulizi

Mbunge CCM ataka Mwigulu, Mbarawa washtakiwe kwa uhujumu uchumi

MBUNGE wa Kisesa, Luhaga Mpina (CCM) amesema kutokana na madudu yaliyoibuliwa katika ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG),...

Tangulizi

Prof. Muhongo agawa msaada kwa wananchi waliokumbwa na mafuriko

  MBUNGE wa Musoma Vijijini, Prof. Sospeter Muhongo, ametoa msaada wa dharura ikiwemo vyakula, kwa wananchi walioathirika na mafuriko ya mvua jimboni humo....

Habari MchanganyikoTangulizi

Rais Samia ampandisha cheo RPC wa Dar

MKUU wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Camillus Wambura, amesema Rais Samia Suluhu Hassan, amempandisha cheo Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar...

Habari za SiasaTangulizi

Wanachama 384 CUF watimkia Chadema, Mbowe awapokea, Kambaya ndani…

JUMLA ya wanachama 384 wanachama wa Chama cha Wananchi CUF akiwamo aliyekuwa Mkurugenzi wa habari na uenezi wa chama hicho, Abdul Kambaya, wametangaza...

Habari za SiasaTangulizi

Mawakili wa Chadema wabadilishia gia angani

MAWAKILI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wameiomba Mahakama Kuu, Masjala Kuu, jijini Dar es Salaam, wafunge maswali ya dodoso kwa baadhi...

Habari za SiasaTangulizi

Mbunge Jesca Kishoa avunja ndoa na Kafulila

  NDOA baina ya Jesca David Kishoa, mbunge wa Viti Maalum katika Bunge la Jamhuri na David Kafulila, Kamishena katika wizara ya fedha,...

Tangulizi

Hiki hapa alichokifanya Lema mara tu baada kuwasili Tanzania

  MUDA mfupi baada ya kuwasili Tanzania akitokea uhamishoni nchini Canada, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Kanda ya Kaskazini, Godbless...

Habari MchanganyikoTangulizi

Kesi ya Makonda yaiva

MAHAKAMA Kuu, kanda ya Dar es Salaam, imepanga kusikiliza shauri la jinai, lililofunguliwa na mwanahabari mahiri nchini, Saed Kubenea, dhidi ya Paul Makonda,...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Slaa asema hana chama “nikialikwa CCM, ACT, CHADEMA nitakwenda”

  BAADA ya kuibua mjadala kufuatia hatua yake ya kuhutubia mkutano wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), mkoani Arusha, Balozi Dk. Wilbroad...

Habari za SiasaTangulizi

Wazanzibari waoneshwa ya 2035

CHAMA cha ACT Wazalendo kimebuni utaratibu mpya wa kujisogeza kwa umma mapema hata kuliko kawaida ya uendeshaji siasa nchini Tanzania. Anaripoti Mwandishi Wetu,...

Habari za SiasaTangulizi

Mabadiliko viongozi wa Serikali: Rais Samia afyeka, ateua wapya, wengine wahamishwa

RAIS Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki na Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Omary Mgumba katika...

Habari za SiasaTangulizi

Zitto amkumbuka Maalim Seif

  KIONGOZI wa Chama Cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema chama chake kinaendelea kumuenzi aliyekuwa Mwenyekiti wake Taifa, Maalim Seif Shariff Hamad, aliyefariki Dunia...

HabariTangulizi

Serikali kuja na kibano kwa wasambaza picha za ngono

SERIKALI kupitia Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), iko katika hatua za mwisho za uwekezaji wa mradi wa kudhibiti usambaaji wa picha na video...

Habari MchanganyikoTangulizi

Hatimaye muswada marekebisho sheria ya habari watinga bungeni, TEF yampongeza Rais Samia

MUSWADA wa Marekebisho ya Sheria ya Huduma za Habari ya 2016, umesomwa kwa mara ya kwanza bungeni jijini Dodoma, kupitia Muswada wa Sheria...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu atinga Polisi kuchukua gari lake “nataka nilipeleke makumbusho”

  MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, ametinga katika Ofisi ya Jeshi la Polisi mkoani Dodoma, kufuata gari...

Habari za SiasaTangulizi

Spika Dk. Tulia achachamaa degree za heshima kuuzwa kama pipi

  SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Tulia Ackson amesema shahada za udaktari wa falsafa ‘degree za heshima’ zinazotolewa...

ElimuTangulizi

12 mbaroni udanganyifu mitihani kidato cha nne, Bunge lagongea msumari

  WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Adolf Mkenda amesema jumla ya watu 12 wamekamatwa na kuwekwa mahabusu kwa kuvujisha mtihani wa...

Habari za SiasaTangulizi

Kauli ya Mwigulu yatibua Bunge, Spika aifuta

  KAULI ya Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba aliyoitoa bungeni kuwa “wabunge wajadili mambo mengine yanayohusu uganga” imeendelea kuutibua muhimili...

Habari za SiasaTangulizi

Mpina akiwasha bungeni mkwamo marekebisho ya katiba

MBUNGE wa Kisesa, Luhaga Mpina, amehoji bungeni jijini Dodoma, sababu za mchakato wa marekebisho ya katiba, kukwama licha ya Rais Samia Suluhu Hassan,...

Habari za SiasaTangulizi

Bunge lalia msongamano wa mizigo bandari Dar es Salaam

  KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC),limeishauri Serikali kuchukua hatua za kumaliza changamoto za msongamano wa shehena...

Habari MchanganyikoTangulizi

Haya hapa majina 12 ya familia moja waliofariki kwenye ajali Tanga

  MAJINA 12 kati ya 17 ya waliofariki dunia katika ajali ya gari iliyotokea usiku wa kuamkia leo, Jumamosi tarehe 4 Februari, mkoani...

Habari za SiasaTangulizi

Vigogo wanaokwamisha mradi Liganga na Mchuchuma kitanzani

  NAIBU Spika wa Bunge, Mussa Zungu, watu wanaokwamisha utekelezaji wa mradi wa uchimbaji chuma cha Liganga na Makaa ya Mawe ya Mchuchuma,...

Habari MchanganyikoTangulizi

Hii hapa kauli ya Sheikh mpya mkoa wa Dar

SAA chache baada ya kuteuliwa kukaimu nafasi ya aliyekuwa Sheikh wa mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum, Sheikh mpya wa mkoa...

Habari MchanganyikoTangulizi

Breaking news! Mufti amng’oa Sheikh mkoa Dar

BARAZA la Ulamaa la Bakwata katika kikao kilichofanyika tarehe 1 Februari 2023 chini Mwenyekiti Mufti Abubakar Zubeir limetengeua uteuzi wa Sheikh Alhad Mussa...

Habari za SiasaTangulizi

Serikali yatoa tamko bungeni sakatala la viboko shuleni

  SERIKALI imewaagiza maafisa elimu wa mikoa na wilaya kuratibu usimamizi wa adhabu ya viboko shuleni, ili kuepusha vitendo vya walimu kutoa adhabu...

Habari za SiasaTangulizi

Lema kurejea Machi 3 na sumu ya kuangamiza chawa

  HATIMAYE Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Godbless Lema, ametangaza kurejea nchini tarehe 3 Machi 2023. Anaripoti...

Habari MchanganyikoTangulizi

Mo Dewji achomoza bilionea pekee Afrika Mashariki

MAZINGIRA mazuri ya uwekezaji nchini Tanzania yamezidi kuleta matunda baada ya Jarida la maarufu duniani la Forbes kumtaja mfanyabiashara, Mohammed Dewji ‘Mo’ kuwa...

Habari MchanganyikoTangulizi

Bilioni 213 za miradi ya DMDP zaistawisha Temeke

JUMLA ya Sh bilioni 213 zimetumika kuboresha sekta ya afya, miundombinu na michezo katika Manispaa ya Temeke kupitia Mradi wa Uendezaji wa Jiji...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Bashiru aibuka na bei za vyakula, “Njaa inadhalilisha nchi”

MBUNGE wa kuteuliwa na Rais, Dk. Bashiru Ally, ameitaka Serikali kuja na mikakati ya kutatua changamoto ya mfumuko wa bei za vyakula huku...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia ahoji fedha za Plea-Bargaining

  RAIS Samia Suluhu Hassan, ameitaka Tume ya kuangalia namna ya kuboresha taasisi za haki jinai, ikapitie mchakato kisheria wa makubaliano ya kukiri...

Tangulizi

Sheria ya kuwabana wenye nyumba yaja,Waziri Mabula ataka madalali wawe na maadili

SERIKALI imesema inakamilisha Muswada wa Sheria utakaoanzisha chombo cha kusimamia sekta ya milki (Real estate Regulatory Authority), kwaajili ya kusimamia na kulinda maslahi...

Habari MchanganyikoTangulizi

Haya hapa matokeo ya mtihani kidato cha nne 2022

BARAZA la Mitihani la Tanzania (Necta) leo Jumapili limetangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha nne yaliyofanyika Novemba 14 hadi Desemba 1, 2022,...

HabariTangulizi

Bakwata wamkangaa Sheikh wa Dar es Salaam

  BARAZA la Ulamaa, limefutilia mbali uamuzi wa “kuvunja ndoa,” uliyofanywa na sheikh wa BAKWATA mkoani Dar es Salaam, Alhadj Mussa Salum. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu:Suluhu ya ugumu wa maisha ni Katiba Mpya

  MAKAMU mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo-Chadema Bara, Tundu Lissu, amesema amekuja na “dawa” ya kupanda kwa bei za vitu kulikosababisha...

Habari za SiasaTangulizi

Mamia wajitokeza kumlaki Lissu

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) – Bara, Tundu Lissu amewasili rasmi nchini Tanzania leo Jumatano tarehe 25 Januari 2023...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu arejea, kufungua ukurasa mpya wa kisiasa nchini

BAADA ya takribani miaka mitano nje ya nchi, hatimaye mwanasiasa wa upinzani, mbunge wa zamani wa Singida Mashariki na mwanasheria nguli, Makamu Mwenyekiti...

ElimuMakala & UchambuziTangulizi

Shule ya msingi yajengwa miaka 25 bila kukamilika, wanakijiji wachoka kuchangia

  Wakazi wa Kijiji cha Makomba kilichopo kata ya Makazi katika wilaya ya Uyui mkoani Tabora wameililia serikali kwa kuwatenga katika miradi ya...

Habari za SiasaTangulizi

Mgogoro wa NCCR-Mageuzi: Wajumbe Bodi ya Wadhamini wavutana mahakamani

  UPANDE wa wajibu maombi katika kesi Na. 570/2023, iliyofunguliwa na wajumbe wa zamani wa Bodi ya Wadhamini ya Chama cha NCCR- Mageuzi,...

Habari MchanganyikoTangulizi

Serikali yafunguka kada Chadema aliyefia vitani Ukraine, mwili kuwasili muda wowote

  HATIMAYE Serikali ya Tanzania kwa mara ya kwanza imetoa kauli kuhusu Mtanzania, Nemes Tarimo aliyefariki dunia vitani nchini Ukraine akiipigania Urusi na...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe aomba radhi wanawake kwa kuwaita ‘mademu’

  MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amewaomba radhi wanawake kwa kuwaita mademu wakati anahutubia mkutano wa hadhara uliofanyika...

Habari za SiasaTangulizi

Kesi ya kina Mbatia, Selasini kuanza kusikilizwa kesho

MAHAKAMA Kuu ya Tanzania, Masjala Kuu ya Dar es Salaam, kesho Jumanne, tarehe 24 Januari 2023, itaanza kusikiliza kesi Na. 570/2022, iliyofunguliwa na...

Habari za SiasaTangulizi

Kashfa ya kununuliwa CCM yamtesa Mbowe, ‘mwenye ushahidi ajitokeze’,

  MWENYEKITI wa Chadema, Freeman Mbowe leo Jumamosi amesema kashfa ya kutuhumiwa kuwa amekula rushwa au amelamba asali ili kushiriki maridhiano ya kitaifa...

error: Content is protected !!