MAIN STORY: Minimum – a picture, video, audio and pull-quote. It might also include a picture gallery, a text box (2 paragraphs – linking to a profile), a time line, a fact file (list of bullet points), Q&A, a map and embedded tweet(s).
KESI iliyofunguliwa na wabunge viti maalum 19, kupinga kuvuliwa uanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), imekwama kusikilizwa baada ya shahidi kushindwa...
By Mwandishi WetuJuly 26, 2023HOJA sita zinatarajiwa kutikisa katika usikilizwaji kesi ya kikatiba iliyofunguliwa kupinga mkataba wa ushirikiano wa kiserikali kati ya Serikali ya Tanzania na Dubai,...
By Mwandishi WetuJuly 26, 2023NAIBU Waziri Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Dk. Festo Dugange leo Jumanne ameonekana kwa mara ya kwanza hadharani kwenye shughuli ya kiserikali ikiwa...
By Mwandishi WetuJuly 25, 2023MBUNGE Viti Maalum, aliyefukuzwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Jesca Kishoa, ameibuka katika mkutano wa hadhara wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
By Mwandishi WetuJuly 24, 2023BALOZI Mstaafu Dk. Wilbroad Slaa amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan atokeo hadharani atoke hadharani na kutoa kauli ili kuliokoa Taifa katika janga lililoibuka...
By Mwandishi WetuJuly 23, 2023VIONGOZI machachari wa vyama vya upinzani, Profesa Ibrahim Lipumba (Mwenyekiti CUF) na Zitto Kabwe (Kiongozi Mkuu ACT Wazalendo) wametajwa kuutosa mkutano ulioandaliwa leo...
By Mwandishi WetuJuly 23, 2023ALIYEKUWA Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, James Mbatia leo Jumapili ametoa wito kwa Serikali kuacha kiburi na kukubali kurudi kwenye meza ya mazungumzo ili...
By Mwandishi WetuJuly 23, 2023CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimegoma kutii agizo la Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, la kuahirisha kufanya mkutano uliolenga kuchambua...
By Mwandishi WetuJuly 23, 2023MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Heche amemtaka Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Bandari...
By Mwandishi WetuJuly 23, 2023BAADHI ya viongozi wa dini, wameiangukia Serikali wakiitaka ivunje mkataba iliyoingia na Serikali ya Dubai kupitia kampuni ya DP world kwa ajili ya...
By Mwandishi WetuJuly 23, 2023CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimemsimisha uongozi Mwenyekiti wa chama hicho mkoa wa Tabora, Lucas Kiberenge na wenzake kwa kushiriki kumuandalia mkutano...
By Faki SosiJuly 22, 2023RAIS mstaafu wa Kenya, Uhuru Kenyatta, amesema nyumba ya mwanaye wa kiume imevamiwa. Anaripoti Mwandishi Wetu, kwa msaada wa BBC…(endelea). Akizungumza na waandishi...
By Mwandishi WetuJuly 22, 2023Jeshi la Polisi mkoa wa Songwe linamshikilia mtumishi mmoja aitwaye Rioba Nyamos (34) ambaye ni Mganga mfawidhi wa Zahanati ya Kijiji Cha Iporoto...
By Mwandishi WetuJuly 22, 2023JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, kinamshikilia mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Qiblaten Kawe, Mohamed Jabir, kwa tuhuma za kumuua...
By Regina MkondeJuly 21, 2023MWANASHERIA Mkuu wa Serikali (AG), Dk. Eliezer Feleshi, amedai baadhi ya mahabusu ambao makosa yao yanaruhusu kupewa dhamana, wamekuwa wakikataa nafuu hiyo ya...
By Mwandishi WetuJuly 20, 2023MAHABUSU zaidi ya 2,240 waliokuwa wanashikiliwa katika vyombo vya kisheria kwa kesi za kubambikizwa, wameachwa huru tangu Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan,...
By Mwandishi WetuJuly 20, 2023MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amedai kuitwa na Ofisi ya Mkuu wa Upelelezi Kanda Maalum Dar es...
By Mwandishi WetuJuly 19, 2023Mahakama ya Mkoa wa Vuga mjini Unguja imemwachia huru mshtakiwa Ramadhan Ali maarufu kama Afande Rama aliyekuwa akikabiliwa na mashtaka ya kuingiliwa kinyume...
By Mwandishi WetuJuly 18, 2023RAIS Mstaafu, Dk. Jakaya Kikwete, amesema anaridhika na uongozi wa Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, hususan utulivu wake anaouonesha katika kipindi ambacho Serikali...
By Mwandishi WetuJuly 18, 2023IMEBAINIKA kuwa sababu ya Wakili Peter Madeleka, kukamatwa tena jana Jumatatu na Jeshi la Polisi ni kufufua kesi ya uhujumu uchumi Na./2020...
By Mwandishi WetuJuly 18, 2023ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha, amefariki dunia akiwa anapatiwa matibabu katika Hospitali ya Jeshi la Lugalo, jijini...
By Mwandishi WetuJuly 18, 2023OFISI ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini imesema kuanzia tarehe 23 Julai 2023 itaanza uhakiki wa vyama vya siasa ambavyo vina usajili...
By Seleman MsuyaJuly 17, 2023WAKILI wa kujitegemea nchini, Peter Madeleka amekamatwa na Jeshi la polisi mkoani Arusha katika Kituo Jumuishi cha utoaji haki baada ya kutoka Mahakama...
By Mwandishi WetuJuly 17, 2023JESHI la Polisi nchini limepiga marufuku maandamano yaliyoitishwa na Umoja wa Vijana CCM (UVCCM) katika wilaya zote nchini kwa kufafanua kuwa yataleta vurugu...
By Mwandishi WetuJuly 16, 2023RAIS Samia Suluhu Hassan, ameshauri sheria itakayowabana viongozi wanaotumia madaraka yao mabaya vibaya itungwe, ili kuimarisha mfumo wa haki jinai nchini. Anaripoti Regina...
By Regina MkondeJuly 15, 2023RAIS wa Kenya William Ruto amedai kuwa aliyekuwa mtangulizi wake Uhuru Kenyatta anajaribu kubomoa serikali yake kwa kufadhili maandamano. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa…(endelea)....
By Mwandishi WetuJuly 15, 2023RAIS Samia Suluhu Hassan, amezungumzia mjadala unaondelea kuhusu sakata la ukodishwaji bandari, akisema wakati watanzania wanalumbana juu ya suala hilo, nchi jirani...
By Regina MkondeJuly 14, 2023CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimewataka watu waliohusika katika uandaaji mkataba wa ushirikiano wa kiserikali kati ya Serikali ya Tanzania na...
By Mwandishi WetuJuly 14, 2023MWENYEKITI wa Kamati ya Majadiliano kati ya Serikali ya Tanzania na Dubai, juu ya uwekezaji bandarini, Hamza Johar amesema mvutano mkali uliibuka...
By Regina MkondeJuly 14, 2023SERIKALI ya Tanzania, imesema uwekezaji wa bandari, unaotarajiwa kufanywa na kampuni ya DP World, kwamba hauna matatizo. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es...
By Regina MkondeJuly 14, 2023UFAULU wa mtihani wa kidato cha sita kwa 2023, umeongezeka kwa aislimia 0.2, kutoka 98.97%(2022) Hadi 99.23% mwaka huu. Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Mwandishi WetuJuly 14, 2023HASSAN Ruhwanya, Wakili wa Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha NCCR-Mageuzi, Joseph Selasini, amejitoa kumuwakilisha katika kesi aliyofunguliwa na James Mbatia, akimtaka amlipe...
By Regina MkondeJuly 13, 2023MAHAKAMA Kuu, Masjala Kuu, jijini Dar es Salaam, imesimamisha Kwa muda usikilizaji wa kesi iliyofunguliwa na James Mbatia, kupinga kuvuliwa uanachama wa...
By Regina MkondeJuly 13, 2023MWANASIASA mkongwe na Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Chadema, Balozi Dk. Willbroad Slaa ametangaza kufanya mkutano wa hadhara utakaofanyika jijini Dar es...
By Mwandishi WetuJuly 12, 2023OFISI ya Msajili wa Vyama vya Siasa, imekitaka Chama cha Tanzania Labpour Party (TLP), kuitisha uchaguzi wa kujaza nafasi ya mwenyekiti wake taifa,...
By Regina MkondeJuly 11, 2023USIKILIZWA wa kesi Na. 18/2023 iliyofunguliwa katika Mahakama Kuu, Masjala Kuu, jijini Dar es Salaam na James Mbatia, kupinga kufukuzwa ndani ya chama...
By Regina MkondeJuly 11, 2023WAKILI Rugemeleza Nshala aliyewahi kuwa Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) ameitwa na Ofisi ya Mkuu wa Upelelezi Kanda Maalum Dar es...
By Mwandishi WetuJuly 11, 2023MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umefanya uhakiki wa wanachama wa mfuko huo na kubaini mambo kadhaa na kuyachukulia hatia...
By Mwandishi WetuJuly 11, 2023RAIS Samia Suluhu Hassan amesema Serikali inakwenda kuunganisha mafunzo ya vitendo kwa vijana kupitia mpango wa “Jenga Kesho Iliyobora” Building Better Tomorrow (BBT)...
By Mwandishi WetuJuly 10, 2023MAWAKILI wa wabunge viti maalum 19, wakiongozwa na Halima Mdee, wamendelea kuwahoji maswali hya dodoso wajumbe wa Bodi ya Wadhamini ya Chama cha...
By Mwandishi WetuJuly 10, 2023KIONGOZI wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francisco amemteua Askofu Mkuu Mwandamizi Jimbo Kuu la Tabora, Protase Rugambwa kuwa kardinali nchini Tanzania. Anaripoti Mwandishi...
By Gabriel MushiJuly 9, 2023BALOZI Ali Karume amedai uamuzi kumvua uanachama uliochukuliwa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), ni batili hivyo hana haja ya kukata rufaa kuupinga. Anaripoti...
By Mwandishi WetuJuly 8, 2023CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Kusini Unguja kupitia kamati ya Halmashauri Kuu ya CCM ya mkoa huo imeridhia kumfukuza uanachama Balozi Ali...
By Mwandishi WetuJuly 8, 2023NDEGE ndogo zisizo na rubani (drone) zinatarajiwa kutumika katika ulinzi wa bomba la mafuta linalotumika kusafirisha mafuta kutoka Bandari ya Dar es Salaam...
By Gabriel MushiJuly 7, 2023ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia amemfikisha mahakamani Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, Joseph Selasini na wengine sita, akitaka wamlipe...
By Mwandishi WetuJuly 7, 2023Serikali kupitia Wizara ya Nishati imebainisha kuwa mpaka kufikia mwezi Juni 2024, Bwawa la Kufua Umeme la Julius Nyerere (JNHPP) litaanza kutoa huduma...
By Gabriel MushiJuly 6, 2023ALIYEKUWA Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), Dk. Rugemeleza Nshalla, amewataka watu anaodai wanapanga kumuuwa waache mara moja, kwa kuwa wakifanya...
By Mwandishi WetuJuly 6, 2023HATIMAYE Rais Samia Suluhu Hassan amemrejesha kwenye baraza lake la mawaziri, Prof. Kitila Mkumbo baada ya kukaa benchi kwa muda wa zaidi ya...
By Mwandishi WetuJuly 5, 2023MWANAFUNZI wa kidato cha tatu katika shule ya sekondari Lumbira kata ya Luanda wilayani Mbozi mkoani Songwe,Japhari Mwashitete (16) amekutwa amefariki dunia kwa...
By Mwandishi WetuJuly 5, 2023MFANYABIASHARA maarufu nchini Tanzania, Rostam Aziz, ameomba radhi kufuatia kauli yake iliyodai kuwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam,...
By Mwandishi WetuJuly 4, 2023