BARAZA la Ulamaa la Bakwata katika kikao kilichofanyika tarehe 1 Februari 2023 chini Mwenyekiti Mufti Abubakar Zubeir limetengeua uteuzi wa Sheikh Alhad Mussa Salum kama Sheikh mkuu wa mkoa Dar es Salaam kuanzia leo tarehe 2 Februari 2023. Anaripoti Kelvin Mwaipungu, Dar es Salaam…(endelea).

Akizungumza na waandishi wa habari leo tarehe 2 Februari 2023, Katibu wa Baraza la Ulamaa, Sheikh Hassan Said Chizenga amesema baraza hilo limemteua Sheikh Walid Alhad Omar kukaimu nafasi hiyo ya Sheikh Alhad Mussa Salum kuanzia leo.

Leave a comment