Friday , 26 April 2024
Home erasto
1150 Articles147 Comments
Habari za Siasa

Majaliwa: Tuende tukawatumikie wananchi

  WAZIRI mkuu Kassim Majaliwa amewataka mawaziri walioapishwa leo jijini Dodoma kwenda kuwatumikia wananchi kwa kuwa ndilo jukumu kuu la serikali. Anaripoti Noela...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia awaagiza wakuu wa mikoa kuwapanga wamachinga

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewaagiza wakuu wa mikoa na wilaya nchini, wawapange wafanyabiashara ndogo ndogo ‘wamachinga’, katika maeneo rasmi. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Wabunge waivaa Serikali hatima ya ‘Bureau de change’

  NAIBU Waziri wa Fedha na Mipango, Mhandisi Hamadi Masauni imetoa wito kwa wafanyabiashara wa maduka ya kubadilisha fedha nchini ‘Bureau de change’...

Habari MchanganyikoTangulizi

Kisa agizo la RC Dar…wamachinga waangua kilio, wamkumbuka JPM

  WAFANYABIASHARA wadogo maarufu kama ‘wamachinga’ wameiomba Serikali kupitia upya uamuzi wake wa kutaka kuwaondoa katika maeneo ya pembezoni mwa barabara katika soko...

Afya

Wabunge waibana Serikali ukarabati wa vituo vya afya

  SERIKALI kwa kumtumia Wakala wa majengo (TBA) imeanza upembuzi yakinifu wa majengo yatakayofanyiwa ukarabati pamoja na yale yatakayobomolewa na kujengwa upya, Anaripoti...

Habari Mchanganyiko

Watumishi 174,222 wapandishwa vyeo

  SERIKLI imesema hadi kufikia tarehe 1 Septemba, 2021 jumla ya watumishi wa umma 174,222 wamepandishwa vyeo na kubadilishiwa mishahara yao. Pia imesema...

Elimu

Serikali kupanua shule 100 zipokee wanafunzi wa kidato cha 5, 6

  SERIKALI imepanga wa kuongeza upanuzi wa shule 100 ili ziwe na uwezo wa kupokea wanafunzi wa kidato cha tano na sita. Anaripoti...

MichezoTangulizi

Gomez ‘out’ mechi za CAF

  SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limetoa orodha ya makocha ambao hawaruhusiwi kukaa kwenye benchi la ufundi katika mechi za mashindano...

Kimataifa

Trump ataka pambano na Biden

  RAIS wa zamani wa Marekani, Donald Trump ameahidi kumpiga Joe Biden ambaye ni Rais wa sasa, kama itatokea likaandaliwa pambano litakalowakutanisha ulingoni...

Habari

Mbunge ahoji vigezo miradi ya kimkakati, Serikali yamjibu

SERIKALI ya Tanzania imeahidi kuboresha vigezo vilivyowekwa na wizara ya fedha kwenye uchambuzi wa miradi ya kimkakati. Anaripoti Patricia Kighono, TUDARCo…(endelea). Ahadi hiyo...

Habari

Serikali ya Tanzania kujenga shule 1,000 za sekondari

  SERIKALI ya Tanzania inampango wa kujenga shule 26 za wasichana na shule 1,000 za sekondari kwenye kata zisizo na shule hizo. Anaripoti...

Habari MchanganyikoTangulizi

Sabaya, wenzake wasomewa mashtaka ya uhujumu uchumi

  ALIYEKUWA Mkuu waWilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya na wenzake sita, wamesomewa upya mashtaka matano katika Kesi ya Uhujumu Uchumi...

KitaifaTangulizi

Ajali ya bodaboda, mwendokasi yauwa wawili Dar

  WATU wawili wamefariki dunia katika ajali iliyohusisha basi la mwendokasi na pikipiki ‘bodaboda’, kwenye barabara ya mwendokasi, maeneo ya Lumumba jijini Dar...

Burudika

Msimu wa 12 BSS wazinduliwa, Salama Jabir arejea

  SHINDANO la Bongo Star Search (BSS) msimu wa 12 umezinduliwa huku jaji maarufu Salama Jabir akirejea ulingoni. Anaripoti Matilda Buguye (endelea). Salama...

Michezo

Biashara United kupaa leo, kuwavaa wadjibout

  KLABU ya soka ya Biashara United ya mkoani Mara inatarajia kuondoka leo 9 septemba 2021majira ya saa 10:00 jioni chini kuelekea nchini...

Tangulizi

Wizara yazitaka mamlaka kutafuta masoko kimataifa

WIZARA ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki nchini Tanzania, imeshauri mamlaka kutembelea nchi za kimkakati kwa kuzingatia maslahi ya nchi...

AfyaHabari za Siasa

Mbunge alilia hospitali ya Tunduma, Serikali yamjibu

  MBUNGE wa Viti Maalumu (CCM), Juliana Shonza ameitaka Serikali ieleze ni lini jingo la Hospitali ya Tunduma, Mkoa wa Songwe litafunguliwa. Anaripoti...

Habari za Siasa

Vifungashio vya mawese tayari, Serikali yatoa maagizo

  SHIRIKA la Kuhudumia Viwanda Vidogo (Sido), Mkoa wa Kigoma limetengeneza sampuli ya vifungashio vya mafuta ya Mawese vitakavyotumiwa na wakulima wa mafuta...

Habari za SiasaTangulizi

Wabunge waivaa Serikali ndoa za utotoni

  MJADALA wa mtoto wa kike kuolewa chini ya umri wa miaka 18 haujapoa. Ndivyo unaweza kusema baada ya suala hilo kuulizwa bungeni...

Tangulizi

Anayetafutwa na FBI apewa uongozi Afghanistan

  SIKU chache baada ya kuung’oa madarakani uongozi wa Afghanistan, wanamgambo wa kundi la Taliban wametangaza serikali mpya ya mpito nchini humo. Anaripoti...

Habari za Siasa

Rais Mwinyi aendelea kuteua, kutengua

  RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi ameendelea kufanya mabadiliko kwenye serikali kwa kuteua na kutengua...

Michezo

Zuchu aonesha jumba la kifahari, asema…

  MSANII wa muziki wa bongo fleva nchini Tanzania, Zuhura Othman maarufu Zuchu ameonesha jumba la kifahari analoishi kwa sasa. Anaripoti Matilda Buguye,...

Michezo

Simba yaahirisha kuzindua jezi

  MABINGWA wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara 2020/21, Simba ya jijini Dar es Salaam, imetangaza kuahirisha shughuli ya uzinduzi rasmi wa jezi...

Burudika

Naddy kuwapandisha jukwaani wasanii Dar

MSANII wa muziki wa bongo fleva Nandela Charles Mfinanga maarufu Nandy leo Jumamosi tarehe 4 Septemba 2021 anahitimisha kilele cha tamasha lake ‘Nandy...

Habari Mchanganyiko

Vijana Tanzania watakiwa kuchangamkia fursa za tehama

  WIZARA ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari nchini Tanzania, imewataka vijana kutumia teknolojia ya habari na mawasiliano kwa maslahi mapana ya nchi...

MichezoTangulizi

Ndemla atua Mtibwa, Shikalo akitambulishwa KMC

  MABINGWA wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara 2020/21, Simba ya jijini Dar es Salaam nchini Tanzania, imemtoa kwa mkopo wa mwaka mmoja...

Habari za Siasa

Wabunge waibana Serikali ahadi za Magufuli

  SERIKALI imesema itatekeleza ahadi zote zilizotolewa na Rais wa awamu ya tano hayati Dk. John  Magufuli  ikiwemo ujenzi wa miundombinu ya barabara...

Elimu

Nape: Serikali itoe mikopo kwa wanafunzi kidato cha tano, sita

  MBUNGE wa Mtama, Nape Nnauye (CCM) ameitaka Serikali kutoa mikopo kwa wanafunzi wa kidato cha tano na sita kama ilivyo kwa wanafunzi...

Michezo

Simba wazindua jezi zao mpya

  KLABU ya soka ya Simba imetangaza kuwa leo tarehe 3 Septemba 2021 jezi zake zitakazotumika katika msimu ujao wa mwaka 2021/2022 zitaanza...

Michezo

Harmonize, Ibraah kuwasha moto Marekani

  MKURUGENZI wa lebo ya Konde Gang, Rajabu Abdul ‘Harmonize’ hivi karibuni aliweka ratiba ya shoo zake nyingi za nchini Marekani, Bara la...

MichezoTangulizi

Stars yatoshana nguvu na Congo

  SARE ya bao 1-1, ilitosha kuifanya timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) kuondoka na pointi moja kwenye mchezo wa kusaka tiketi...

Habari za Siasa

Dk. Samizi akumbusha ahadi ya Hayati Magufuli bungeni

  MBUNGE wa Muhambwe mkoani Kigoma (CCM), Dk. Florence Samizi, ameihoji Serikali lini itatekeleza ahadi ya ujenzi wa Kituo cha Afya, cha Kata...

Habari za Siasa

Mafao ya wastaafu, vitambulisho vya NIDA vyaibuliwa bungeni

  WABUNGE wa chama tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM), wamehoji mikakati ya Serikali kutokomeza changamoto ya ucheleweshaji wa mafao ya wastaafu...

Habari Mchanganyiko

Mto Msimbazi Dar kuanza kujengwa Julai 2022

  SERIKALI ya Tanzania imesema, mradi wa ujenzi wa Mto Msimbazi jijini Dar es Salaam unatarajia kuanza Julai 2022. Anaripoti Helena Mkonyi, (TUDARCo)...

ElimuTangulizi

Mkakati mpya wanafunzi wanaopata ujauzito kurejea shule

  SERIKALI ya Tanzania, imeweka mkakati mpya kwa wanafunzi waliokatisha masomo kwa kupata ujauzito kuwawezesha kuwaendelea kimasomo. Anaripoti Mwanaharusi Abdallah, TUDARCo … (endelea)....

Habari MchanganyikoTangulizi

Polisi Tanzania: Hamza alikuwa gaidi, hakuwa na fedha

  JESHI la Polisi nchini Tanzania limesema, Hamza Mohamed aliyewaua askari polisi watatu na mlinzi mmoja wa kampuni ya SGA kisha kuuawa, alikuwa...

Michezo

Mshindi Miss East Africa kujinyakulia gari la milioni 110

  MSHINDI wa mashindano ya Miss East Africa 2021, anatarajia kujinyakulia gari jipya aina ya Nissan x Trail, toleo la mwaka 2021 lenye...

Michezo

Lil Baby kumsaidia Jack Boy ujenzi wa hospitali Haiti

  RAPA kutoka Marekani, Dominique Jones ‘Lil Baby’ amejitolea kumsaidia Msanii Pierre Delince (Jack Boy) katika ujenzi wa hospitali huko nchini Haiti. Anaripoti...

HabariTangulizi

Rais Samia: Tozo za Sept, Oktoba kujenga madarasa 500

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema, tozo zitakazotozwa katika miamala ya simu Septemba na Oktoba 2021, zitakwenda kujenga vyumba vya madarasa...

Elimu

Wanafunzi elimu ya juu wapewa wiki mbili kukamilisha maombi ya mkopo

  BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetoa muda wa wiki mbili kwa wanafunzi ambao hawajakamilisha maombi ya mkopo...

Tangulizi

Waandishi 59 wapenya tuzo za EJAT 2020

  KAMATI ya maandalizi ya Tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari Tanzania (EJAT) imesema jumla ya waandishi 59 wameteuliwa kuwania tuzo hizo...

Michezo

Samatta arudi tena Ubelgiji, aitosa Genk

  MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta amerejea tena katika Ligi kuu ya Ubelgiji baada ya jana tarehe 31 Agosti, 2021 kusajiliwa...

Habari MchanganyikoTangulizi

Tozo miamala ya simu yapunguzwa kwa asilimia 30

  SERIKALI ya Tanzania, imefanya marekebisho ya tozo za miamala ya simu, kwa kupunguza viwango vyake kwa asilimia 30. Anaripoti Mwanaharusi Abdallah, TUDARCo...

Habari Mchanganyiko

Utafiti wa vinasaba (DNA) kwa makabila yote waja

  WATAFITI na wanataaluma wa vinasaba nchini  wamesema kuna uhitaji mkubwa ufanyikaji wa utafiti za vinasaba vya binadamu ili kubaini vyanzo mbalimbali vya...

Habari za SiasaTangulizi

Bunge lawatia kifungoni Askofu Gwajima, Silaa hadi 2022

  WABUNGE  wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Askofu Josephat Gwajima (Kawe) na Jerry Silaa (Ukonga), wamepewa adhabu ya kutohudhuria mikutano miwili mfululizo  ya...

Habari za Siasa

Majaliwa azindua ofisi za polisi zenye thamani ya Sh bilioni 1.3

  WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa leo Agosti 30, 2021 amefungua majengo ya Makao Makuu ya Polisi Mkoa wa Singida na Ofisi za Mkuu...

Habari Mchanganyiko

STAMICO, BUCKREEF wasaini mkataba wa uchorongaji wa Sh. bil 4

  SHIRIKA la Madini la Taifa (STAMICO) limesaini mkataba wa uchorongaji na Mgodi wa Madini wa Buckreef (Buckreef Gold Company Ltd) ambayo ni...

Michezo

Coastal Union yashusha kocha Mmarekani

  KLABU ya soka ya Coastal Union imemtambulisha Kocha wake mpya, Melis Medo kwa mkataba wa miaka miwili, leo tarehe 30 Agosti, 2021...

Kimataifa

Rais Zambia aunda safu mpya ya majeshi

  RAIS wa Zambia, Hakainde Hichilema amefanya mabadiliko ya uongozi katika vyombo vya ulinzi na usalama, siku sita baada ya kuingia madarakani, tarehe...

Habari Mchanganyiko

Nyumba 19 zateketea kwa moto Rufiji

  NYUMBA 19 zimeteketea kwa moto katika kitongoji cha Shaurimoyo, kijiji cha Nyamwage wilayani Rufiji mkoani Pwani baada ya mwananchi mmoja kuwasha moto...

error: Content is protected !!