Thursday , 28 March 2024
Home erasto
1146 Articles147 Comments
Michezo

Onyango, Kanoute ‘out’ dhdi ya Biashara Leo

  Beki wa kati wa klabu ya Simba Josh Onyango pamoja na kiungo wa mkabaji Sadio Kanoute wataukosa mchezo wa leo wa Ligi...

Kimataifa

Ujerumani kuunda serikali ya mseto

  WAJERUMANI wameamua. Ndivyo unavyoweza kutafsiri matokeo ya uchaguzi uliofanyika tarehe 26 Septemba mwaka huu nchini humo, baada ya kuupiga chini muungano wa...

Michezo

Azam FC yabanwa mbavu Mkwakwani, Mtibwa mambo magumu

  Pazia la Ligi Kuu Tanzania Bara limefunguliwa rasmi hii leo Septemba 27, 2021 kwa kupigwa jumla ya michezo mitatu kwa kuchezwa michezo...

MichezoTangulizi

Kamwaga kuachana na Simba

  EZEKIEL Kamwanga, amehitimisha safari ya mkataba wake wa miezi miwili ndani ya mabingwa watetezi wa ligi kuu Tanzania Bara, Simba ya jijini...

Habari Mchanganyiko

CoRI waitaka Serikali ya Tanzania kuteua maofisa taarifa

  UMOJA wa asasi zinazotetea haki ya kupata taarifaTanzania (CoRI) umeitaka Serikali ya nchi hiyo kuteua maafisa taarifa katika ofisi zote za umma,...

Michezo

Poulsen aita 25, Bocco na Mkude ndani

  KOCHA Mkuu wa timu ya soka ya Tanzania ‘Taifa Satrs’ Kim Poulsen amewaitaka kambini wachezaji 25 wawiwemo Jonas Mkude na John Bocco....

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia: Wanaosema huyu mama hamna kitu, nitaongea nao kwa kalamu

  KWA mara ya pili Rais Samia Suluhu Hassan amewakemea watumishi wanaodhani kuwa yeye ni mpole na kurudia kusisitiza kuwa ataongea nao kwa...

AfyaElimuHabari za Siasa

Serikali kujenga madarasa 15,000, vituo vya afya 250

  RAIS Samia Suluhu Hassan amesema kuna fedha ambayo ameipata na sasa anatarajia kushirikiana na halmashauri zenye uwezo kifedha kujenga madarasa 15,000 nchi...

Michezo

Kipa wa Yanga atua Polisi Tanzania

  ALIYEKUWA golikipa namba moja wa mabingwa wa kihistoria Yanga ya jijini Dar es Salaam nchini Tanzania, Metacha Mnata amesajiliwa na maafande wa...

Habari za SiasaTangulizi

CUF, ACT-Wazalendo, NCCR-Mageuzi na Chadema wasusia kikao cha msajili, IGP Sirro

  MKUTANO ulioitishwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Tanzania, huwenda unaweza usifanyike baada ya baadhi ya wahusika kutangaza kuususia....

AfyaHabari za SiasaTangulizi

Watanzania laki 4 wachanjwa, milioni 2 zaagiwa China

  MSEMAJI Mkuu wa Serikali ya Tanzania, Gerson Msigwa amesema, idadi ya wananchi waliochanjwa chanjo ya corona imefikia 400,000. Anaripoti Victoria Mwakisimba, TUDARCo...

Michezo

Anthony Joshua apigwa, Usyk bingwa wa dunia

  ANTHONY Joshua (31), raia wa Uingereza amepoteza ubingwa wa dunia uzani wa juu kwa kutwanga na Oleksandr Usyk wa Ukraine. Anaripoti Damas...

Michezo

Simba walamba dili la milioni 800, mabasi matatu

  KLABU ya Simba ya Dar es Salaam imesaini mkataba wa miaka minne na Kampuni ya Africarrier Group inayohusika na usambazaji wa magari...

Michezo

Kocha wa zamani Simba, Azam atua Mtibwa

  TIMU ya Mtibwa Sugar ya Morogoro nchini Tanzania, imemtambulisha Omog Joseph Marious (49), raia wa Cameroon kuwa kocha mkuu wa timu hiyo....

Kimataifa

Polisi aliyemuua George Floyd akata rufaa

  DEREK Chauvin (46), aliyekuwa askari polisi wa mji wa Minneapolis, Jimbo la Minnesota nchini Marekani, anayetumikia kifungo cha miaka 22 na nusu...

Michezo

Rayvanny atibua party Harmonize

  KITENDO cha msanii wa Bongofleva kutoka lebo Wasafi Classic Baby (WCB) na mwanzilishi wa lebo Next Level Music, Raymond Mwakyusa ‘Rayvanny’ kutangaza...

Kimataifa

Joe Biden amchefua Balozi Haiti, ajiuzulu

  RAIS wa Marekani, Joe Biden amedaiwa kumchefua Mwakilishi wake maalumu nchini Haiti, Balozi Daniel Foote baada ya kukataa mapendekezo yake kuhusu njia...

Michezo

Nabi: Yanga itakuwa tishio Afrika, kesho tunachukua kombe

  KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi ametamba kuwa Yanga itakuwa tishio ndani ya Tanzania na Afrika kwa ujumla kutokana na wachezaji wazuri...

Habari za Siasa

Majaliwa asema viwanda vimechangia kuondoa umasikini

  WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema sekta ya viwanda ina mchango mkubwa katika kukuza uchumi na kuondoa umaskini nchini pamoja na...

Habari za Siasa

Wazee CUF wamlilia Rais Samia madai Katiba mpya

  JUMUIYA ya Wazee wa Chama cha Wananchi (CUF) imemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kufufua mchakato wa Katiba mpya pamoja na kuruhusu mikutano...

Habari za Siasa

Wazee CUF wamkingia kifua Profesa Lipumba

  JUMUIYA ya Wazee wa chama cha upinzani cha wananchi nchini Tanzania (CUF), kimeonya wale wote wanaoendesha vuguvugu la kumng’oa kwenye nafasi hiyo,...

KimataifaTangulizi

Rais Hichilema aalikwa Ikulu ya Marekani

  BAADA ya miaka 30 kupita pasina uongozi wa juu wa Zambia kualikwa White House ya Marekani, hatimaye Rais mpya wa Taifa hilo,...

Michezo

La Liga yanoga, Benzema aweka rekodi Madrid

  LIGI kuu ya Hispania maarufu kama ‘La liga Santander’ jana tarehe 22 Septemba imeendelea kutimua vumbi katika viwanja mbalimbali huku mshambuliaji wa...

Michezo

Carabao Cup mguu mmoja mbele, Man U wamelala yooo!

  MICHUANO ya Carabao Cup inayoshirikisha timu za ligi kuu England na ligi za chini za nchini humo imezidi kupamba moto na kufikia...

Habari Mchanganyiko

Kampeni ya ‘Vuna zaidi na NBC Shambani’ yawavutia wakulima wa Korosho Lindi na Mtwara

  CHANGAMOTO ya huduma za kifedha iliyokuwa ikiwakabili wakulima wa korosho mikoa ya Mtwara na Lindi ikiwemo kutopata mikopo kwa wakati na makato...

Kimataifa

Uganda walegeza masharti ya Corona

  RAIS wa Uganda, Yoweri Museveni imetangaza kulegeza masharti dhidi ya janga la maambukizi ya Uviko-19 ambapo nyumba za ibada zitafunguliwa huku idadi...

Michezo

Diamond, Harmonize, Alikiba wachomoza tuzo Afrimma

  WAANDAAJI wa tuzo za Afrimma (Afrian Music Magazine Awards) wametoa orodha mpya ya wasanii watakaowania tuzo hizo kwa mwaka 2021 huku Tanzania...

Afya

Ukusanyaji damu wabadilisha mwelekeo

  MPANGO wa Taifa wa Damu Salama umebadilisha mwelekeo wake wa kuigeukia jamii ili kukusanya damu kwa ajiri ya kukabiliana na changamoto ya...

Habari Mchanganyiko

Waziri Mkuu aipongeza GGML kuajiri Watanzania 5,000

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ameipongeza Kampuni ya Uchimbaji Dhahabu Geita (GGML) kwa kutoa ajira zaidi ya 5000 kwa Watanzania huku asilimia zaidi ya...

Habari za SiasaTangulizi

Waziri Simbachawene: Hakuna umuhimu wa katiba mpya

  WAZIRI wa Mambo ya Ndani wa Tanzania, George Simbachawene amesema, kwa sasa hakuna umuhimu wa Katiba mpya kwani iliyopo inajitosheleza na imeivusha...

Kimataifa

Baba mbaroni kwa kufyeka ‘matiti’ ya binti’ye kwa jiwe la moto

  POLISI wa jimbo la Lagos nchini Nigeria wamemtia mbaroni mwanaume mmoja kwa madai ya kuyaondoa matiti ya binti yake mwenye umri wa...

MichezoTangulizi

Yanga yaipiga bao Simba

  MABINGWA wa kihistoria wa soka nchini Tanzania, Yanga ya jijini Dar es Salaam imeipiga bao Simba kwa kuingiza mashabiki wengi viwanjani pamoja...

Kimataifa

Kamati ya siri UN kujadili ombi la Taliban kuhutubia marais

  UMOJA wa Mataifa (UN) umeunda Kamati maalumu ya siri yenye wajumbe tisa kujadili mkanganyiko uliojitokeza kuhusu viongozi wa Serikali Afghanistan wanaopaswa kuhudhuria...

Michezo

Corona yatibua dili la Harmonize Ulaya

  MSANII wa Bongofleva, Rajabu Abdul maarufu kama Harmonize au Kondeboy amewaomba radhi mashabiki wake baada ya kubadili ratiba ya ‘tour’ (ziara) yake...

Kimataifa

Pakistan waonya vita vya wenyewe kwa wenyewe Afghanistan

  WAZIRI Mkuu wa Pakistani, Imran Khan ameuonya uongozi mpya ya Afghanistan kuunda haraka Serikali shirikishi ili kuzuia uwezekano wa kuibuka kwa vita...

Michezo

Simba yaingia mkataba mnono, yavuta milioni 300

  KLABU ya soka ya Simba imeingia mkataba na kampuni ya Emirates Aluminium leo 21 septemba 2021 katika makao makuu ya Emirates Aluminium...

Michezo

Dk. Tulia: Mashindano ya ngoma kufanyika Mbeya

  MASHINDANO ya Ngoma za Jadi ‘Tulia Traditional Dances Festival’ yanayohusisha tamaduni kutoka mikoa mbalimbali yataanza Alhamisi hii tarehe 23 hadi 25 Septemba...

Kimataifa

Mapacha wazee duniani wavunja rekodi

  MAPACHA wawili raia wa Japan, Umeno na Koume wenye miaka 107, wamevunja rekodi ya kuwa pacha wazee zaidi duniani. Anaripoti Noela Shila,...

Habari MchanganyikoTangulizi

Sheikh Alhad akerwa na maaskofu wa mitaani

  SHEIKH wa Mkoa wa Dar es Salaam nchini Tanzania, Alhad Mussa Salum amebainisha mambo mawili ambayo dini za Kiislamu na Kikristu zinatofautiana...

Habari Mchanganyiko

Mapadre Mchamungu, Msomba wawekwa wakfu uaskofu Dar

  MAPADRE Stephano Msomba na Henry Mchamungu wamewekwa wakfu wa kuwa maaskofu wasaidizi wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam nchini Tanzania....

MichezoTangulizi

Kuziona Simba, Yanga buku 10

  JOTO la miamba ya soka nchini Tanzania maarufu Kariakoo Derby limeanza kushika kasi kwa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kutangaza viingilio ambavyo...

Kimataifa

Jaribio la mapinduzi Sudani latibuliwa

  MAMLAKA ya usalama nchini Sudan imeripoti kuwa jaribio la mapinduzi lililofanywa leo asubuhi tarehe 21 Septemba 2021 na kundi la wanajeshi walioasi...

Kimataifa

Hatari! Cheki wanafunzi walivyojirusha ghorofani kumkimbia mshambuliaji, nane wamiminiwa risasi

  TAKRIBAN watu wanane wameuawa na wengine sita kujeruhiwa vibaya na mtu mwenye bunduki aliyefyatua risasi katika Chuo kikuu Perm kilichopo katika mji...

Habari za Siasa

Rais Samia ateua viongozi akiwa Marekani

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa viongozi wawili. Anaripoti Helena Mkonyi, TUDARCo … (endelea). Taarifa ya uteuzi imefanyika leo...

Kimataifa

Daktari aua wanawe 2 kwa sumu, naye ajaribu kujiua

  DAKTARI mmoja mkazi wa Nakuru nchini Kenya anadaiwa kuwaua wanawe wawili kisha kujaribu kujitoa uhai usiku wa Jumamosi tarehe 18 Septemba mwaka...

Habari za SiasaTangulizi

Kesi ya Mbowe: Kibatala ahoji matumizi ya bisibisi, ajibiwa

  KIONGOZI wa jopo la mawakili wa utetezi katika shauri dogo la kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake, Peter Kibatala,...

Michezo

Yanga warejea kimyakimya

  KLABU ya Yanga imerejea nchini usiku wa kuamkia leo ikitokea Nigeria ilikokwenda kupepetana na River United ikiwa ni mchezo wa marudiano wa...

Michezo

Kaze afunguka kurejea Yanga

  WAKATI fununu za aliyekuwa Kocha mkuu wa Yanga, Cedric Kaze kwamba anarejea jangwani zikiendelea kushika kasi, kocha huyo amefunguka ujumbe mzito unaoashiria...

KimataifaTangulizi

Hichilema kama Nyerere: Atinga Marekani na msafara wa watu 3, apiga teke ndege ya rais

  ANAFUATA nyayo za Hayati Mwalimu Nyerere? Ndilo swali linaloibuka miongoni mwa Watanzania baada ya Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema kuelekea nchini Marekani...

Tangulizi

Azam FC sasa kuvaana na pyramid ya Misri 

  MARA baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0, dhidi ya FC Horsed kutoka Somalia, klabu ya soka ya Azam FC, sasa...

error: Content is protected !!