Thursday , 28 March 2024
Home erasto
1146 Articles147 Comments
Habari za Siasa

Serikali ya Tanzania: Wananchi 300,000 wamechanjwa

  SERIKALI ya Tanzania imesema, jumla ya wananchi wake 300,000 wamepata chanjo ya kujikinga na maambukizi ya virusi vya corona (COVID-19). Anaripoti Patricia...

Habari MchanganyikoTangulizi

IGP Sirro awapa soma askari polisi, atangaza kiama kwa waharifu

  INSPEKTA Jenerali wa Polisi nchini Tanzania (IGP), Simon Sirro amewataka askari polisi nchini humo wasimuamini kila mtu wanapokuwa katika majukumu yao ya...

Habari MchanganyikoTangulizi

Vilio, simanzi vyatawala miili askari ikiagwa Dar

  VILIO na simanzi vimetawala wakati miili ya askari polisi watatu na mlinzi wa Kampuni ya Ulinzi ya SGA, ikiagwa katika viwanja vya...

Michezo

Wizkid aachia Deluxe Edition ya albamu ya Made in Lagos

  MSANII wa muziki kutoka Nigeria, Ayodeji Ibrahim Balogum ‘Wizkid’, leo ameachia Deluxe Edition ya albamu yake ya ‘’Made in Lagos.’’ Anaripoti Glory...

Habari Mchanganyiko

RC Makalla: Majeruhi tukio la mauaji Dar wanaendelea vizuri

  MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam (RC) nchini Tanzania, Amos Makalla, amesema majeruhi wa tukio la mauaji lililotokea jirani na Ubalozi...

Habari za SiasaTangulizi

Uchaguzi ubunge Konde, Ushetu Oktoba 9

  TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imetangaza uchaguzi wa marudio wa ubunge katika majimbo ya Konde mkoa wa Kaskazini Pemba na Ushetu...

Michezo

Nandy, Koffie kupagawisha wanayanga Jumapili

NGULI wa muziki barani Afrika kutoka Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, Koffie Olomide pamoja na msanii mashuhuri kutoka nchini Tanzania Nandy wanatarajia kutoa...

Habari Mchanganyiko

Simbachawene, IGP Sirro kuongoza mamia kuiaga miili ya Polisi

  WAZIRI wa Mambo ya Ndani nchini Tanzania, George Simbachawene, anaongoza mamia ya waombolezaji kuaga miili ya askari Polisi watatu na mlinzi wa...

Kimataifa

Bonde la ajabu Afghanistan

  NCHI ya Afghanistan imeendelea kutikisa vichwa vya habari duniani baada ya kundi la Taliban kuipindua serika iliyokuwa madarakani na Rais wa nchi...

Michezo

Twiga Stars wamshukuru Rais Samia

  TIMU ya Taifa ya wanawake nchini ‘Twiga Stars’ imemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kwa kukubali kudhamini...

Michezo

Bayern yapiga 12 bila Lewandowsik

  KLABU ya Bayern Munich imeibuka na ushindi wa mabao 12 -0 dhidi ya Bremer SV katika mchezo wa raundi ya kwanza ndani...

Michezo

Aubameyang azinduka Arsenal ikishusha mvua ya magoli

  STAA wa Arsenal aliyekuwa na ukame wa magoli, Pierre-Emerick Aubameyang jana tarehe 25 Agosti, 2021 amezinduka na kuifungia timu yake magoli matatu...

Kimataifa

Mwanaume mrefu zaidi Marekani afariki dunia

  MWANAUME mrefu zaidi nchini Marekani aliyejulikana kwa jina la Igor Vovkovinsky, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 38 kutokana na ugonjwa...

Michezo

Serikali kurudisha tuzo za wasanii, kujenga arena Dar, Dodoma

  KATIBU Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Hassan Abbas amesema serikali kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa sanaa...

Habari Mchanganyiko

Rais Samia: Polisi tumieni Tehama kudhibiti uhalifu

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amelitaka jeshi la polisi kujipanga vizuri kwenye masuala ya teknolojia ya habari na mawasiliano (Tehama) ili...

Michezo

Azam FC yaanza kujinoa Zambia

  KLABU ya Azam imeanza mazoezi yake ya maandalizi ya msimu ujao 2021/22 katika kambi iliopo mji wa Ndola nchini  Zambia. Anaripoti Wiston...

Michezo

Chelsea wamweka kikaangoni Arteta

  KIPIGO cha bao 2-0 kutoka kwa mabingwa wa Ulaya, Chelsea, kimemuweka kikaangoni Kocha Mkuu wa Arsenal, Mikel Arteta baada ya mashabiki kuutaka...

Habari za Siasa

Washtakiwa wenzake Mbowe wadai walazimishwa kutoa maelezo

  WASHITAKIWA watatu wenzake na kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema, Freeman Mbowe wameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu,...

Kimataifa

Rasmi wanawake wasio‘mabikra’ kuingia jeshini Indonesia

  JESHI la Indonesia limeondoa rasmi sharti lililodumu kwa miongo kadhaa la ‘ubikra’ kwa mabinti wanaotaka kujiunga na jeshi la nchi hiyo. Anaripoti...

Habari za Siasa

Ulinzi waimarishwa kesi ya kina Mbowe

  JESHI la Polisi limeimarisha ulinzi ndani na nje ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam wakati kesi ya kiongozi...

Michezo

Yanga yavunja kambi Morocco

KLABU ya Yanga imevunja kambi ya maandalizi ya michuano mbalimbali ya msimu ujao baada ya wachezaji wake wengi kuitwa kwenye timu zao za...

Habari MchanganyikoTangulizi

Maumivu mapya 17 ya tozo

  WAKATI wananchi wakiendelea kuugulia juu ya tozo za miamala ya simu, majengo na mafuta, Serikali inakuja na maumivu mengine ya tozo 17...

Habari za SiasaTangulizi

Tume ya uchaguzi yasusiwa na vyama vya siasa Tanzania

VYAMA vitatu vikubwa vya siasa nchini Tanzania – Chama cha Demekrasia na Maendeleo (Chadema), NCCR- Mageuzi naa ACT-Wazalendo – vimegoma kushiriki hafla ya...

Kimataifa

Taliban waanza msako wa mahasimu wake

  SIKU chache baada ya wanamgambo wa Taliban kuipindu Serikali ya Afghanistan, wanajeshi hao wameanza kusaka mahasimu wao. Anaripoti Noela Shila, TUDARCo, kwa...

Michezo

Yanga kutambulisha Benchi jipya la ufundi

  KLABU ya Soka ya Yanga itaweka wazi benchi lake la ufundi kwenye kilele cha siku ya Mwananchi, mara baada ya kuwepo kwa...

Michezo

Yanga kuzindua Wiki ya Mwananchi Z’bar

  MABINGWA wa Kihistoria nchini Tanzania, Yanga ya jijini Dar es Salaam itazindua ‘Wiki ya Mwananchi’ Jumapili hii tarehe 22 Agosti 2021, katika...

Habari za Siasa

Serikali ya Tanzania yaonya wafanyabiashara ukwepaji kodi

  SERIKALI ya Tanzania, imetangaza kuanza kuwachukulia hatua za kisheria wafanyabiashara wanaowaongoza wananchi kukwepa kulipa kodi. Anariooti Noela Shila, TUDARCo … (endelea). Onyo...

Habari za Siasa

Mabaraza ya madiwani yapigwa marufuku kuwapiga chenga wabunge

  WAZIRI Ofisi ya Rais-Tamisemi nchini Tanzania, Ummy Mwalimu, amepiga marufuku kitendo cha vikao vya mabaraza ya madiwani, kufanyika bila ya uwepo wa...

Habari za Siasa

Serikali iitishe kura ya maoni Katiba pendekezwa-Vyama 11

  MJADALA wa Katiba mpya umeendelea kuchukua sura mpya baada ya vyama 11 visivyokuwa na wabunge bungeni kuiomba Serikali ya Tanzania kuufufua mchakato...

Habari za Siasa

19 Chadema kizimbani kwa tuhuma za fujo kanisani

  WANACHAMA 19 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), waliokamatwa na Jeshi la Polisi mkoani Mwanza, wakiwa kanisani, wamepandishwa kizimbani na kusomewa...

MichezoTangulizi

Poulsen aita 28 Stars, Kabwili ndani

  Kocha wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa stars) Kim poulsen ametangaza majina ya wachezaji 28 watakaoingia kambini kujiandaa na mashinadano ya...

Habari za Siasa

Vyama 11 vyamshukia Askofu Gwajima

  UMOJA wa vyama 11 vya siasa nchini Tanzania vimemtaka Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima kuacha kupotosha umma juu...

Michezo

Giggy Money amaliza kifungo ‘Zanzibar nakuja kivingine’

  MSANII wa muziki wa bongo fleva nchini Tanzania, Gift Stanford maarufu Giggy Money ameahidi mashabiki zake kwamba hatofanya makosa tena kamak kama...

Kimataifa

Tetemeko Haiti, raia waachwa bila makazi, Marekani yajitosa kuisaidia

  NI takribani siku ya tano tangu kutokea kwa tetemeko la ardhi nchini Haiti. Anaripoti Victoria Mwakisimba, TUDARCo kwa msaada wa mashirika ya...

Elimu

Serikali yakwama kuzuia kesi ya kupinga malipo elimu juu

  MAHAKAMA Kuu ya Tanzania, imetupilia mbali mapingamizi ya Serikali, katika kesi Na. 16/2021, iliyofunguliwa na Alexandra Bakunguza, kupinga elimu ya juu kutolewa...

Habari Mchanganyiko

Mwalimu wa madrasa ahukumiwa miaka 80 jela kwa ubakaji

  MUSSA Nassibu Ismail (21), mwalimu wa madrasa iliyopo maeneo ya Kiboje wilayani Kati, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, amehukumiwa kifungo cha miaka...

Habari Mchanganyiko

Waziri Simbachawene: Hatutahuisha usajili taasisi za dini

  WAZIRI wa Mambo ya Ndani nchini Tanzania, George Simbachawene amesema shughuli ya mabadiliko ya hadhi ya vyeti vya usajili wa jumuiya utahusisha...

Michezo

Simba yashusha chuma kingine

  KLABU ya soka ya Simba imefanikiwa kunyaka saini ya kiungo mshambuliaji Jimmyson Mwanuke (18) kutoka klabu ya Gwambina FC yenye maskani yake...

AfyaTangulizi

Baada ya chanjo ya Corona, sasa VVU

  Kampuni ya Bayoteknolojia Moderna leo Jumatano Agosti 18, 2021 inaanza kufanya majaribio ya chanjo za Virusi Vya Ukimwi (VVU) kwa binadamu. Anaripoti...

Michezo

Simba yatambulisha mwingine

  KLABU ya Simba imefanikiwa kunasa saini ya kiungo mshambuliaji wa klabu ya Kagera Sugar, Abdulsamad Kassim mwenye umri wa miaka 24. Anaripoti...

Tangulizi

Rais Samia ateua viongozi akiwa Malawi

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali leo Jumanne, tarehe 17 Agosti 2021. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Taarifa iliyotolewa...

Habari

Wazee Chadema wajitosa sakata la Mbowe, wajitosa madai katiba mpya

BARAZA la Wazee la chama kikuu nchini Tanzania cha Chadema, limeiomba Serikali imfutie mashtaka ya kula njama za kufanya ugaidi, yanayomkabili kiongozi wa...

Tangulizi

Kikwete, Koroma wamaliza ubishi Zambia

RAIS mstaafu wa Tanzania, Jakaya Kikwete kwa kushirikiana na Rais mstaafu wa Sierra Leone, Ernest Bai Koroma, wamefanikiwa kumaliza utata ulijitokeza katika uchaguzi...

Burudika

Mrembo Mobetto atisha tena, apata dili nono

  MWANAMITINDO na msanii wa muziki wa bongo fleva Hamisa Mobetto, nyota yake imeendelea ku’ngaa baada ya kusaini mkataba mpya na kampuni ya...

Michezo

NMB yazindua Marathon, mapato kutibu wagonjwa Fistula

BENKI ya NMB imezindua mbio ndefu (Marathon) ambazo zitakuwa na kauli mbiu ya ‘Mwendo wa Upendo’ zikiwa na lengo ya kuchangia matibabu kwa...

KimataifaTangulizi

Uchaguzi Zambia wawaibua wanasiasa, wanaharakati Tanzania

  USHINDI wa aliyekuwa mgombea urais wa upinzani nchini Zambia, Hakainde Hichilema, katika Uchaguzi Mkuu uliofanyika tarehe 12 Agosti 2021, umeacha fundisho kwa...

Habari Mchanganyiko

Biteko apiga marufuku usafirishaji gesi Mbeya

  WAZIRI wa Madini, Doto Biteko amepiga marufuku kusafirisha gesi ya Kampuni ya kuzalisha Gesi Asilia ya Kabon Daioksaidi ya Tol Gases Limited...

Michezo

Simba yang’oa beki KMC

Klabu ya simba imekamilisha usajili wa beki wa pembeni kutoka klabu ya KMC Israel Patrick Mwenda mwenye umri wa miaka 21. Anaripoti Mintanga...

Habari Mchanganyiko

Naibu Waziri akagua anwani za makazi Shinyanga, atoa maagizo

  NAIBU Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhandisi Kundo Mathew ameitaka Halmashauri ya Shinyanga kutenga fedha kutoka katika mapato ya ndani...

Michezo

Waziri Bashungwa aipa siku 7 COSOTA

  WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo nchini Tanzania, Innocent Bashungwa ametoa siku saba kuanzia kwa Taasisi ya Hakimiliki Tanzania (COSOTA), kufanya...

error: Content is protected !!