Friday , 19 April 2024
Home erasto
1150 Articles147 Comments
Michezo

Yanga warejea kimyakimya

  KLABU ya Yanga imerejea nchini usiku wa kuamkia leo ikitokea Nigeria ilikokwenda kupepetana na River United ikiwa ni mchezo wa marudiano wa...

Michezo

Kaze afunguka kurejea Yanga

  WAKATI fununu za aliyekuwa Kocha mkuu wa Yanga, Cedric Kaze kwamba anarejea jangwani zikiendelea kushika kasi, kocha huyo amefunguka ujumbe mzito unaoashiria...

KimataifaTangulizi

Hichilema kama Nyerere: Atinga Marekani na msafara wa watu 3, apiga teke ndege ya rais

  ANAFUATA nyayo za Hayati Mwalimu Nyerere? Ndilo swali linaloibuka miongoni mwa Watanzania baada ya Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema kuelekea nchini Marekani...

Tangulizi

Azam FC sasa kuvaana na pyramid ya Misri 

  MARA baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0, dhidi ya FC Horsed kutoka Somalia, klabu ya soka ya Azam FC, sasa...

Kimataifa

Marekani kuwarejesha wahamiaji wa Haiti

  SERIKALI ya Marekani chini ya utawala wa Rais Joe Biden inaendelea na mpango wake wa kuwarudisha nyumbani wahamiaji kutoka Haiti. Anaripoti Glory...

Habari za Siasa

Majaliwa awapa ujumbe watumishi wa umma

  WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewataka watumishi wa umma kufanya kazi kwa weledi, uaminifu na uadilifu ili waweze kuleta matokeo chanya...

Habari za Siasa

Rais Samia kuendelea kuboresha maisha ya Watanzania

  WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema, Rais Samia Suluhu Hassan ametoa fedha nyingi kwa ajili ya uendelezaji na ujenzi wa miradi...

Habari Mchanganyiko

Jaji mstaafu Othuman Chande apewa shavu ICC

  ALIYEKUWA Jaji Mkuu wa Tanzania, Othuman Chande, ameteuliwa na Mwendesha Mashitaka Mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai, inayojihusisha na uhalifu dhidi...

ElimuHabari za SiasaTangulizi

Veta kujengwa kila halmashauri Tanzania

  SERIKALI ya Tanzania inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan imedhamiria kuendeleza ujenzi wa Vyuo vya Ufundi Stadi (Veta) kwa kila halmashauri. Anaripoti...

Michezo

Simba Day: TP Mazembe kuwasilia leo

  KIKOSI cha wachezaji 23 wa timu ya TP Mazembe ya Congo kinawasili nchini Tanzania leo Jumamosi, tarehe 18 Septemba 2021. Anaripoti Hunda...

Kimataifa

Swahiba wa Dk. Salim afariki dunia

  RAIS wa zamani wa Algeria, Abdelaziz Bouteflika amehitimisha safari ya maisha yake hapa duniani akiwa na miaka 84. Anaripoti Victoria Mwakisimba, TUDARCo...

Michezo

Simba kuwavaa Wabotswana klabu bigwa

  TIMU ya soka ya Simba ya jijini Dar es Salaam nchini Tanzania, itacheza na Jwaneng Galaxy FC ya Botswana katika michuano ya...

Kimataifa

Kisa bintiye kunyolewa nywele… mzazi adai fidia ya Sh bilioni 2.3

  BABA mmoja raia wa Marekani amedai alipwe dola milioni moja sawa na Sh bilioni 2.3 baada ya binti yake mwenye umri wa...

Kimataifa

Ruto akubali kupatanishwa na Uhuru

  NAIBU Rais wa Kenya, William Ruto amekubaliana na ombi la Maaskofu wa Kanisa Katoliki nchini humo la kumpatanisha na Rais Uhuru Kenyatta....

Michezo

Yanga kama Simba, sasa kutangaza utalii Zanzibar na kilimanjaro

  KLABU ya soka ya Yanga leo imeingia makubaliano maalumu ya kutangaza vivutio vya utalii kwa viwani Zanzibar na Mlima wa Kilimanjoro kupitia...

Habari Mchanganyiko

Makamu mkuu mstaafu UDSM afariki dunia

  ALIYEKUWA Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) nchini Tanzania, kati ya mwaka 1991-2006, Profesa Matthew Luhanga (73), amefariki...

Michezo

Simba wasaini mkataba na ATCL

  UONGOZI wa Klabu ya Simba SC na Shirika la Ndege nchini Tanzania (ATCL) wameingia mkataba wa ushirikiano wa kibiashara ambao utakuwa na...

Habari Mchanganyiko

Wafanyabiashara 45,000 wageukia umachinga Dar

  MEYA wa Manispaa ya Kinondoni, Songoro Mnyonge amesema zaidi ya wafanyabiashara 45,000 waliokuwa kwenye mfumo rasmi mkoani Dar es Salaam wamegeukia umachinga...

Afya

Tahadhari homa ya uti wa mgongo

  SERIKALI imewataka Watanzania kuchukua tahadhari kutokana na mlipuko wa ugonjwa wa homa ya uti wa mgongo uliotokea katika jimbo la Tshopo nchini...

Michezo

Kocha wa Simba aomba radhi

  KOCHA msaidizi wa Simba, Thiery Hitimana ameiomba radhi klabu ya Mtibwa sugar kwa kile kilichotokea baina yake na viongozi wa timu hiyo....

Habari Mchanganyiko

Rais Samia kuendeleza kilimo Tanzania

  SERIKALI ya awamu ya sita nchini Tanzania inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan imedhamiria kundeleza kilimo cha mazao ya chakula na biashara....

Habari Mchanganyiko

150 mbaroni kwa makosa ya jinai

  JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewatia mbaroni watuhumiwa zaidi ya 150 wa makosa ya jinai, 17 makosa ya...

Kimataifa

Kisa kugomea chanjo ya Corona; watabibu 3,000 watimuliwa, waanzisha mgomo wa kutokula

  SERIKALI ya Ufaransa imetangaza kuwaachisha kazi wahudumu wa afya 3,000 waliogoma kuchanjwa chanjo ya Corona licha ya nchi hiyo kupitisha sheria ya...

Kimataifa

Wabunge Uganda washtakiwa kwa ugaidi

  WAENDESHA mashtaka nchini Uganda wamewaongezea mashtaka ya ugaidi wabunge wawili wa chama cha upinzani nchini humo – National Unity Party (NUP). Anaripoti...

Michezo

Rais Samia kuzindua tamasha la michezo la wanawake

  RAIS Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua Tamasha la Kwanza la Michezo la Wanawake la Tanzanite litakalofanyika katika viwanja vya Uhuru na Benjamin...

Michezo

Biriani Ulaya; Messi, Ronaldo chaliii!

  PAZIA la michuano ya Klabu Bingwa Ulaya limefunguliwa rasmi tarehe 14, 15 Septemba mwaka huu na kushuhudia mastaa namba moja duniani, Lionel...

Habari za Siasa

Rais Samia ateua viongozi 2

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa viongozi wawili. Anaripoti Mwanaharusi Abdallah … (endelea). Uteuzi huo, umetangazwa leo Alhamisi tarehe...

Afya

Wizara ya afya yajipanga kuchanja watu 600,000

  Wizara ya afya maendeleo, jinsia, wazee na watoto inatarajia kuzindua mpango wa kuharakisha chanjo ya Uviko-19 kuanzia tarehe 20 Septemba, 2021. Anaripoti...

Kimataifa

Rais wa zamani Angola arejea nyumbani baada ya kuishi uhamishoni miaka 2

  RAIS wa zamani wa Angola, José Eduardo dos Santos amerejea nchini humo kimya kimya ili isizue mtafaruku hasa ikizingatiwa bado ana nguvu...

Habari za Siasa

DC Jokate: Wanaume mtuunge mkono 2025

  JOKATE Mwengelo, Mkuu wa Wilaya ya Temeke (DC) Mkoa wa Dar es Salaam, nchini Tanzania amewaomba wanaume kuwaunga mkono wanawake ili kushinda...

Habari za Siasa

Kesi ndogo ya Mbowe: Jamhuri kutumia mashahidi 7

  UPANDE wa Jamhuri, katika kesi ya uhujumu uchumi yenye mashtama ya ugaidi, inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake, katika Mahakama ...

Habari za Siasa

Rais Samia aahidi kufufua majukwaa yote ya wanawake nchini

  RAIS Samia Suluhu Hassan ameahidi kukuza uchumi wa wanawake na kutekeleza malengo yote yaliyowekwa na serikali ya wamu ya nne. Anaripoti Patricia...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia: Wametuchokoza, tukiacha nafasi ya urais 2025 Mungu atatulaani

  RAIS Samia Suluhu Hassan amewataka wanawake wote Tanzania kuweka mipango vizuri ili katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 wamuweka rais mwanamke madarakani...

Kimataifa

Mabilioni ya dola yaahidiwa Pakistan

  MKUU wa misaada ya kimataifa, Martin Griffiths ameahidi kutoa dola bilioni 1.2 kuwasaidia mzozo unaoendelea nchini Pakistani. Anaripoti Helena Mkonyi TUDARCo …...

Kimataifa

Talban waua 20 ngome ya upinzani

  RAIA zaidi ya 20 wameuawa katika bonde la maajabu la Panjshir nchini Afghanistan katika mapigano baina ya Taliban na vikosi vya upinzani....

Kimataifa

Kimbunga chatikisa Texas, Louisiana

  KIMBUNGA Nicholas kimetokea Texas nchini Marekani na kusababisha mvua kubwa, kuharibu miundobinu ya barabara na majengo. Anaripoti Glory Massamu, TUDARCo … (endelea)....

Habari za SiasaTangulizi

Chadema wamng’ang’ania IGP Sirro, watoa ujumbe

  CHAMA kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema, kimewataka wadau mbalimbali wakiwemo vyama vya siasa, asasi za kiraia na vyombo vya habari...

Habari za Siasa

Ikulu Dodoma yafikia asilimia 75

  RAIS Samia Suluhu Hassan amesema ujenzi wa Ikulu ya Rais inayojengwa katika makao makuu ya nchi Chamwino jijini Dodoma umefikia asilimia 75....

Habari za Siasa

Serikali yawaweka wananchi mguu sawa sensa ya 2022

  SERIKALI ya Tanzania, imewaomba wananchi waachane na mila potofu wasikwamishe zoezi la sensa ya watu na makazi, litakaoiwezesha Serikali kuweka mipango bora...

Michezo

Diamond atoa ujumbe wa sensa, awapagawisha wananchi

  MSANII wa muziki nchini Tanzania, Diamond Platinum ametumia jukwaa la burudani kuwasisitiza wananchi wa Taifa hilo, kujiandaa kuandikishwa katika sensa ya watu...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia: Zoezi la sensa sio geni, viongozi wa dini tusaidinieni

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema kwa kuwa zoezi la sensa sio geni… muda utakapofika kila Mtanzania ajitokeze kuhesabiwa kwani sensa...

Habari za SiasaTangulizi

Mtakwimu mkuu: Hii ndio tofauti ya sensa ya 2022 na zilizopita

MKURUGEZI Mkuu wa ofisi ya Takwimu Tanzania (NBS), Dk. Albina Chuwa amesema sense ya watu na makazi itakayofanyika Agosti mwaka 2022, ni ya...

Michezo

Dakika 3 za Ali Kiba mbele ya Rais Samia

  ALI Kiba, msanii wa muziki nchini Tanzania, ametumia takribani dakika tatu kutumbuiza mbele ya mamia ya wananchi wakiongozwa na Rais wa Taifa...

Habari za Siasa

Makinda: Ni aibu kutohesabiwa

  KAMISAA wa Sensa upande wa Tanzania Bara, Anne Makinda amewataka Watanzania wajione fahari kuhesabiwa kwa kuwa ni aibu kutohesabiwa katika sensa ya...

MichezoTangulizi

Rais Samia awapambanisha Kiba, Diamond

  RAIS Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwapambanisha manguli wa Bongofleva nchini, Diamond Platnumz na Alikiba ambao imekuwa nadra kukutana kuperfome katika jukwaa moja....

Michezo

Manara: Nitailinda heshima ya Hans Pope

  HAJI Sunday Manara, Msemaji wa Mabingwa wa Kihistori wa soka nchini Tanzania, Yanga ya jijini Dar es Salaam amesema, wema aliooneshwa na...

Michezo

Real Madrid yashusha mvua ya mabao

TIMU ya Real Madrid imeitandika Celta Virgo mabao 5-2, jana tarehe 12 Septemba, 2021 kwenye Uwanja wa Santiago Bernabeu liliopo jijini Madrid Hispania....

MichezoTangulizi

Magori asimulia siri ya Hans Pope kumpindua Mwalimu Nyerere

  CRESCENTIUS Magori, mshauri wa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa timu ya Simba ya jijini Dar es Salaam, Mohamed Dewji amesema, kifo...

Habari Mchanganyiko

Royal tour’ ya Rais Samia yaanza kumiminia watalii, KITS wachangamkia fursa

  WAKATI filamu ya ‘Royal Tour’ ikiwa katika maandalizi kabambe kutangaza vivutio vya utalii Tanzania, Kampuni ya kimataifa inayojihusisha na masuala ya utalii...

Habari za Siasa

Jaji Mkuu, Spika Ndugai wampa kibarua mrithi wa Dk. Ndugulile

  WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dk. Ashatu Kijaji, amepewa kibarua cha kuziunganisha taasisi za Serikali na Teknolojia ya Habari...

error: Content is protected !!