Thursday , 2 May 2024
Home erasto
1151 Articles148 Comments
KimataifaTangulizi

Uchaguzi Zambia wawaibua wanasiasa, wanaharakati Tanzania

  USHINDI wa aliyekuwa mgombea urais wa upinzani nchini Zambia, Hakainde Hichilema, katika Uchaguzi Mkuu uliofanyika tarehe 12 Agosti 2021, umeacha fundisho kwa...

Habari Mchanganyiko

Biteko apiga marufuku usafirishaji gesi Mbeya

  WAZIRI wa Madini, Doto Biteko amepiga marufuku kusafirisha gesi ya Kampuni ya kuzalisha Gesi Asilia ya Kabon Daioksaidi ya Tol Gases Limited...

Michezo

Simba yang’oa beki KMC

Klabu ya simba imekamilisha usajili wa beki wa pembeni kutoka klabu ya KMC Israel Patrick Mwenda mwenye umri wa miaka 21. Anaripoti Mintanga...

Habari Mchanganyiko

Naibu Waziri akagua anwani za makazi Shinyanga, atoa maagizo

  NAIBU Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhandisi Kundo Mathew ameitaka Halmashauri ya Shinyanga kutenga fedha kutoka katika mapato ya ndani...

Michezo

Waziri Bashungwa aipa siku 7 COSOTA

  WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo nchini Tanzania, Innocent Bashungwa ametoa siku saba kuanzia kwa Taasisi ya Hakimiliki Tanzania (COSOTA), kufanya...

Habari za SiasaTangulizi

ACT-Wazalendo yaonyesha njia mapambano dhidi ya Korona

  CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimeishauri Serikali ya Tanzania, iwasilishe  bungeni mpango maalumu wa kunusuru sekta zilizoathirika kiuchumi, kutokana na janga la Ugonjwa wa Korona...

Tangulizi

Zitto: Hamumkomoi Mbowe, Rais Samia usiingie kwenye mtego

  KIONGOZI wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema mashtaka ya kula njama za kufanya ugaidi, aliyofunguliwa Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe na wenzake...

Habari za Siasa

Rais Samia ziarani Rwanda

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, kesho Jumatatu tarehe 2 Agosti, 2021, anafanya ziara ya rasmi ya Kiserikali ya siku mbili nchini...

Habari za Siasa

Mbunge CCM ataka zigo la kodi lihamishwe kwa wabunge

  Mbunge wa Ukonga (CCM), Jerry Slaa, ameshauri wabunge wakatwe kodi katika mishahara yao, ili wachangie maendeleo ya nchi, kama wananchi wanavyochangia kupitia...

Michezo

Shabiki wa Yanga atisha, atoka Arusha mpaka Kigoma kwa baiskeli

  KUELEKEA mchezo wa Fainali wa Kombe la Shirikisho (Azam Sports Federation), Shabiki wa klabu ya Yanga, Iddi Mkuu (69) ametinga Kigoma leo...

Habari Mchanganyiko

Wakulima Njombe walia na bei za pembejeo

  WAKULIMA wa Mkoa wa Njombe, wamefikisha kilio cha bei kubwa za pembejeo serikalini, wakitaka ipungue. Anaripoti Mwandishi Wetu, Njombe … (endelea). Wakulima...

Habari za SiasaTangulizi

Covid-19: Mbowe ataka vigogo wizara ya afya Tanzania wajiuzulu

  MWENYEKITI wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania- Chadema, Freeman Mbowe, amemtaka Waziri wa Afya, Dk. Dorothy Gwajima na wasaidizi wake, wajiuzulu...

Michezo

Mambo 6 yamponza Miss Tanzania 2020

  KAMATI ya Miss Tanzania imebainisha makosa sita yaliyosababisha Miss Tanzania 2020, Rose Manfere kuvuliwa uwakilishi wa nchi katika mashindano ya urembo duniani....

Michezo

Ali Kiba akwaa ubalozi wa kinywaji

  MSANII wa muziki nchini Tanzania, Ali Kiba amesaini mkataba wa kinywaji cha “Power Horse” kuwa balozi wa kinywaji hicho. Anaripoti Matlida Peter,...

Habari za SiasaTangulizi

Katiba mpya: Dk. Kigwangalla ashambuliwa, ajitetea

  DAKTARI Hamis Kigwangalla, Mbunge wa Nzega Vijijini kupitia chama tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM), ameibua mjadala makali wa mchakato wa...

Habari za SiasaTangulizi

ACT-Wazalendo wamkunjulia makucha Rais Samia

  CHAMA cha siasa cha upinzani nchini Tanzania-ACT Wazalendo, kimesikitishwa na kauli ya Rais wa Taifa hilo, Samia Suluhu Hassan kuwa mikutano ya...

Habari MchanganyikoTangulizi

Mfugale wa Tanroads afariki dunia

  MTENDAJI Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads), Mhandisi Patrick Mfugale amefariki dunia leo Jumanne, tarehe 29 Juni 2021, jijini Dodoma. Anaripoti...

Habari za Siasa

Kasi ya Rais Samia kwenye muziki yamkosha Wakazi

  HATUA ya Rais Samia Suluhu Hassan, kuagiza wanamuziki waanze kulipwa mirabaha kutokana na nyimbo zao kupigwa kwenye redio, imemkosha msanii wa muziki...

Michezo

Usajili Yanga usipime, GSM kumwaga tena pesa

  KUELEKEA kumaliza kwa msimu wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2020/21, wafadhiri wa Yanga, Kampuni ya GSM, wameahidi kumwaga fedha kwa ajili ya...

Habari za SiasaTangulizi

Vyama vya siasa Tanzania vyamsubiri Rais Samia

  VIONGOZI wa vyama vya siasa vya upinzani nchini Tanzania, wamemkumbusha Rais wa Taifa hilo, Samia Suluhu Hassan, atekeleze ahadi yake ya kuonana...

Habari MchanganyikoTangulizi

Maaskofu wambebesha mizigo Rais Samia

  BARAZA la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), limemuomba Rais wa Awamu ya Sita, Samia Suluhu Hassan, apitie upya sera ya ushirikiano baina ya...

Habari MchanganyikoTangulizi

Benki ya NMB yatoa gawio la 21.8 bilioni kwa Serikali

  SERIKALI imepokea gawio la kiasi cha Sh. 21.8 bilioni, kutoka benki ya makabwela – National Microfinance Bank (NMB) – ikiwa  ni sehemu...

Habari za Siasa

Watumishi 1,164 hawana vibali vya kukaimu, Serikali yatoa agizo

  SERIKALI ya Tanzania imesema, watumishi 1,496 wanakaimu nafasi za uongozi katika taasisi mbalimbali zikiwemo halmashauri za wilaya na sekretarieti za mikoa. Anaripoti...

Habari Mchanganyiko

Rais Samia ateta na bosi AfDB, wakubaliana haya

  RAIS wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), Dk. Adesina Akinumwi amemhakikishia, Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, kuwa benki hiyo itaendelea...

Habari za Siasa

Rais wa Botswana aondoka Tanzania, Balozi Mulamula atoa neno

  RAIS wa Botswana, Mokgweetsi Masisi, amehitimisha ziara ya kikazi ya siku mbili nchini Tanzania na kuondoka kurejea nchini mwake. Anaripoti Nasra Bakari,...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Mwigulu awachambua Kikwete, Hayati Magufuli na Samia

  WAZIRI wa Fedha na Mipango wa Tanzania, Dk. Mwigulu Nchemba, amewafananisha waliokuwa marais wa Taifa hilo, Jakaya Mrisho Kikwete na Hayati John...

Habari za SiasaTangulizi

Katiba mpya: Mbowe atangaza J’mosi kuvaa sare za Chadema

  FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama Kikuu cha Upinzani, Tanzania- Chadema amesema, Jumamosi zote kuanzia kesho, tarehe 12 Juni 2021, atakuwa akivaa sare...

Habari Mchanganyiko

Maumivu watumiaji wa simu, miamala ya fedha

WAZIRI wa Fedha na Mipango wa Tanzania, Dk. Mwigulu Nchemba, amependekeza kuongeza gharama za kufanya mialama ya simu pamoja na gharama za laini....

Habari Mchanganyiko

Bajeti 2021/22: bodaboda, bajaji ‘faini buku 10’

  WAZIRI wa Fedha na Mipango Tanzania, Dk. Mwigulu Nchemba amependekeza, kupunguza tozo kwa makosa yanayofanywa barabarani na pikipiki maarufu ‘bodaboda na Bajaji...

Habari MchanganyikoTangulizi

Ushuru bidhaa ya bia kupunguzwa 2021/22

  WAZIRI wa Fedha na Mipango Tanzania, Dk. Mwigulu Nchemba amependekeza kufanya ushuru wa bidhaa ikiwemo bia kuanzia mwaka wa fedha 2021/22. Anaripoti...

Habari Mchanganyiko

Marekebisho VAT ya Tanzania, Zanzibar kufanyika 2021/22

  WAZIRI wa Fedha na Mipango wa Tanzania, Dk. Mwigulu Nchemba, amependekeza marekebisho ya Sheria ya Kodi ya Ongezeko la Thamani ili kurudisha...

Habari Mchanganyiko

Bajeti 2021/22: Mabadiliko makubwa Jeshi la Polisi

  WAZIRI wa Fedha na Mipango nchini Tanzania, Dk. Mwigulu Nchemba amesema, kuanzia mwaka wa fedha 2021/22, askari wa Jeshi la Polisi wataingia...

Habari za Siasa

Tril. 13.3 kugharamia miradi ya maendeleo 2021/22

  TAKRIBANI Sh. 13,326.8 bilioni sawa na Sh. 13.326 trilioni, zinatarajiwa kutumika katika utekelezaji miradi ya maendeleo, kwenye mwaka wa fedha wa 2021/22....

Habari za Siasa

Rais wa Botswana awasili Tanzania

  RAIS wa Botswana, Dk. Mokgweets Masisi amewasilia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Julius Nyerere, Dar es Salaam nchini Tanzania. Anaripoti Nasra Bakari,...

Habari za Siasa

Dk. Mwigulu abainisha mkakati kupunguza foleni Dar, barabara mikoani

  WAZIRI wa Fedha na Mipango nchini Tanzania, Dk. Mwigulu Nchemba, amebainisha mikakati mbalimbali ya kupunguza msongamano jijini Dar es Salaam ni ukarabati...

Habari za SiasaTangulizi

Ndugai aomba Rais Samia aitishe mkutano wa wanaume

  SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai, amemwomba Rais wa nchi hiyo, Samia Suluhu Hassan, kufanya kikao maaluma na wanaume pekee. Anaripoti...

Habari Mchanganyiko

Sheikh Ponda adaiwa kuvamiwa

  KATIBU wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda, anadaiwa kuvamiwa na mtu asiyejulikana, ofisini kwake katika Msikiti wa...

Habari za Siasa

Jaffar Haniu amrithi Msigwa Ikulu

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amemteua Jaffar Mohamed Haniu kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais (Ikulu). Anaripoti Jemima Samwel, DMC …...

Elimu

Majaliwa aagiza kufufuliwa madarasa MEMKWA

  WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewataka wakurugenzi wa halmashauri zote nchini (DED), kuhakikisha wanafufua madarasa kwa ajili ya Mpango wa Elimu...

Habari za SiasaKimataifa

Samia kuzungumza na Rais wa Botswana

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, kesho tarehe 10 Juni 2021, anatarajia kuzungumza na Rais wa Botswana, Mokgweetsi Masisi, katika Ikulu ya...

Habari Mchanganyiko

Makalla amtaka Kamanda Muliro kukomesha uhalifu Dar

  MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam (RC), Amos Makalla amemuagiza Kamanda mpya wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne...

Michezo

Umitashumta, Umisseta yazinduliwa, Majaliwa atoa maagizo

  WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameagiza ufundishaji wa somo la elimu kwa michezo ufanyike kwa wanafunzi wote katika Shule za Msingi...

Habari za Siasa

Rais Samia awapa kibarua wanawake

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewaomba wanawake wamuunge mkono katika uongozi wake, ili alifikishe Taifa sehemu nzuri. Anaripoti Jemima Samwel, DMC...

Habari Mchanganyiko

IGP Sirro atangaza operesheni kusaka wahalifu nchi nzima

  INSPEKTA Jenerali wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP), Simon Sirro, ametangaza operesheni ya mwezi mmoja ya kusaka wahalifu nchini. Anaripoti Nasra Bakari,...

MichezoTangulizi

Tuzo BET: Elfu 19 wampinga Dimaond

  KAMPENI ya kuhakikisha msanii wa muziki nchini Tanzania, Nasibu Abdul maarufu ‘Diamond Platnumz’ anaondolewa kwenye mbio za kuwania tuzo za Black Entertainment...

Habari Mchanganyiko

Halmashauri zapewa angalizo

  SAMIA Suluhu Hassan, Rais wa Tanzania, amepiga marufuku vitendo vya ubaguzi vinavyofanyika katika utolewaji fedha za mikopo ya halmashauri nchini, kwa makundi...

Habari MchanganyikoTangulizi

Rais Samia atoa utaratibu mpya maiti kutokuzuiwa

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amemuagiza Waziri wa Afya, Dk. Dorothy Gwajima, aandae utaratibu mpya wa malipo ya madeni ya gharama...

Habari MchanganyikoTangulizi

Hatma kesi ya wadhamini ‘kumtosa’ Lissu kujulikana Julai 5

  MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, imeahirisha kutoa uamuzi wa pingamizi la Jamhuri dhidi ya kesi Na. 2/2020, iliyofunguliwa na wadhamini wa Tundu...

Habari Mchanganyiko

Mbunge ahoji sababu ofisi za CCM kugeuzwa Mahakama

  MBUNGE wa Kalambo mkoani Rukwa (CCM), Josephat Kandege, amehoji sababu za jengo la Chama cha Mapinduzi (CCM), kutumiwa na Mahakama ya Wilaya...

Tangulizi

Chanjo ya corona kuingia Tanzania

  SERIKALI ya Tanzania, imeruhusu kuingizwa nchini, chanjo ya corona, miezi mitatu baada ya aliyekuwa rais wake, John Magufuli, kufariki dunia. Anaripoti Mwandishi...

error: Content is protected !!