WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, ameshauri aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, Hayati John Magufuli, aenziwe kwa kutimiza ndoto yake ya uanzishwaji somo...
By Masalu ErastoMay 21, 2021SERIKALI iko katika hatua za mwisho kulifanya eneo la Mlima Nkongore mkoani Mara, kuwa hifadhi ya Taifa. Anaripoti Nasra Bakari, DMC …...
By Masalu ErastoMay 21, 2021NAIBU Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega, amesema Vyombo vya Ulinzi na Usalama vinawachunguza baadhi ya viongozi wa Soko la Kimataifa...
By Masalu ErastoMay 19, 2021MBUNGE wa Maswa Mashariki (CCM), Stanslaus Nyongo, amehoji lini serikali itaanza ujenzi wa barabara kwa kiwamgo cha lami ya Maswa hadi Lalago....
By Masalu ErastoMay 19, 2021GRACE Tendega, Mbunge viti maalumu (asiye na chama), ameitaka serikali ya Tanzania, kuona umuhimu wa huduma za afya kwa wazee, watoto na...
By Masalu ErastoMay 19, 2021MAKAMU wa Rais wa Tanzania, Dk. Philip Mpango amesema, kiongozi yoyote ili aweze kutekeleza majukumu yake ipasavyo lazima awe hodari wa kazi...
By Masalu ErastoMay 19, 2021BARAZA la Wanawake la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), nchini Tanzania, limepewa jukumu la kupigania upatikanaji wa katiba mpya na tume...
By Masalu ErastoMay 18, 2021WIKI mbili baada ya mauaji ya mtoto mwenye ualbino, mkoani Tabora, Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), kwa kusirikiana na...
By Masalu ErastoMay 18, 2021SERIKALI ya Tanzania imetenga Sh.500 milioni kwa ajili ya kununua vifaa tiba kwa ajili ya Hospitali ya Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa....
By Masalu ErastoMay 18, 2021AYSHAROSE Mattenbe, Mbunge viti maalumu (CCM), ameitaka serikali kuona umuhimu wa kuzijenga barabara zinazounganisha jimbo la Singida Kaskazini mkoani humo. Anaripoti Jemima...
By Masalu ErastoMay 18, 2021SOPHIA Mwakagenda, Mbunge viti maalumu (asiye na chama), amehoji lini barabara ya Kiloba Ngugilo yenye urefu wa kilometa saba itajengwa ili kurahisisha...
By Masalu ErastoMay 18, 2021WIZARA ya Ujenzi na Uchukuzi nchini Tanania, imetenga fedha kwa ajili ya kujenga maegesho ya Kayenzi na Kanyinya. Anaripoti Nasra Bakari, DMC...
By Masalu ErastoMay 18, 2021SERIKALI ya Tanzania imerejesha mfumo wa zamani wa ununuzi wa mazao ya kimkakati, ili kuondoa changamoto za mfumo wa soko huria. Anaripoti...
By Masalu ErastoMay 18, 2021LEO Jumatatu, tarehe 17 Mei 2021, Kamati iliyoundwa na Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, kufanya tathimini ya ugonjwa wa corona (COVID-19),...
By Masalu ErastoMay 17, 2021MBUNGE wa Igalula mkoani Tabora (CCM), Venant Daudi, ameiomba Serikali ipeleke mawasiliano ya simu kwenye vijiji vya jimbo hilo. Anaripoti Jemima Samwel...
By Masalu ErastoMay 13, 2021SERIKALI ya Tanzania, imejikita katika kukamilisha ujenzi wa kiwanja cha ndege cha Sumbawanga kilichopo mkoani Rukwa. Anaripoti Nasra Bakari, DMC … (endelea)....
By Masalu ErastoMay 12, 2021WIZARA ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, imeielekeza Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga kuanza kuchukua hatua za kisheria ikiwa ni pamoja...
By Masalu ErastoMay 12, 2021JESHI la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam, limepiga marufuku disko toto katika kumbi zote za starehe mkoani humo, wakati wa sherehe...
By Masalu ErastoMay 12, 2021PETER Madeleka, Wakili wa Mahakama Kuu ya Tanzania na mtetezi wa haki za binadamu, amedai sheria ya uhujumu uchumi inatumika kama nyundo kwa...
By Masalu ErastoMay 12, 2021MHAZINI wa Baraza la Wanawake la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAWACHA), katika jimbo la Kawe, Esther Dafi amesema, amesikitishwa na upotoshaji...
By Masalu ErastoMay 11, 2021SERIKALI ya Tanzania, kupitia Shirika la Petroli Tanzania (TPDC) linaendelea na kazi ya ujenzi wa miundombinu ya kusambaza gesi asilia katika mikoa...
By Masalu ErastoMay 11, 2021SERIKALI ya Tanzania, imetenga kiasi cha Sh. 57 bilioni kwa ajili ya ukamilishaji wa miundombinu ya hospitali za rufaa za mikoa ukiwemo...
By Masalu ErastoMay 11, 2021SERIKALI imetenga jumla ya Sh. 3.61 bilion kwa ajili ya matengenezo ya barabara ya Lumecha – Londo. Anaripoti Jemima Samwel DMC…(endelea). Kauli...
By Masalu ErastoMay 10, 2021SERIKALI ya Tanzania, imeendelea kuweka mazingira rafiki na wezeshi kwa sekta binafsi ili iweze kuanzisha na kuendeleza shughuli za viwanda nchini. Anaripoti...
By Masalu ErastoMay 10, 2021SERIKALI ya Tanzania, imeunda kikosi maalum kitachoshirikiana na wadau mbalimbali, kwa ajili ya kudhibiti wanyamapori wakali na wahalibifu katika maeneo yanayozunguka hifadhi....
By Masalu ErastoMay 10, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amekwisha kuwasili ukumbi wa Mliman City, Dar es Salaam, ambapo atazungumza na wazee wa mkoa huo....
By Masalu ErastoMay 7, 2021KUELEKEA mchezo wa watani wa jadi (Simba na Yanga) Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limesema kuwa wachezaji wa timu zote mbili...
By Masalu ErastoMay 7, 2021SERIKALI ya Tanzania, imenunua vifaa vya kisasa vya mafunzo ya ukalimani kwa vitendo na matumizi ya tehama katika ukuzaji wa Lugha ya...
By Masalu ErastoMay 7, 2021SERIKALI ya Tanzania, imepanga kuboresha vyuo vikuu na taasisi za elimu ya juu, kwa kukarabati na kujenga miundombinu mipya pamoja na kuongeza...
By Masalu ErastoMay 7, 2021KAMANDA wa Polisi, Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amesema, wanamshikilia Mzee Said Abdallah (61), baada ya kumkuta akiwa na...
By Masalu ErastoMay 6, 2021SERIKALI ya Tanzania na ile ya Zanzibar zitakutana, kujadili na kushughulikia bei ya kuuza na kununua umeme. Anaripoti Jemima Samwel DMC …...
By Masalu ErastoMay 5, 2021SERIKALI ya Tanzania, imetenga zaidi ya Sh.1 bilioni kwa ajili ya kuboresha hospitali ya wilaya Kibondo, mkoani Kigoma, ili kuhakikisha wakazi wa...
By Masalu ErastoMay 5, 2021SERIKALI ya Tanzania, imetenga Sh. 6 Bilioni kwa ajili ya kuanza maandalizi ya ujenzi wa barabara ya Handeni – Kiberashi – Kiteto...
By Masalu ErastoMay 5, 2021GHARAMA za ujenzi wa Daraja la Mto Buhu (Munguri B), lililopo Kondoa, mkoani Dodoma, zitaingizwa katika bajeti ya Mwaka wa Fedha 2021/22....
By Masalu ErastoMay 3, 2021SERIKALI ya Tanzania, imetenga Sh. 250 milioni kwa ajili ya kukamilisha maboma matano ya Zahanati ya Minyeye, Mnung’una na Msikii katika Wilaya...
By Masalu ErastoMay 3, 2021SERIKALI nchini Tanzania, inatarajia kuanza ujenzi wa Kiwanja cha Ndege cha Mwada, mkoani Manyara. Anaripoti Nasra Bakari, DMC … (endelea). Kauli hiyo...
By Masalu ErastoMay 3, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa viongozi watatu na kuivunja Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Posta Tanzania. Anaripoti...
By Masalu ErastoMay 3, 2021NUSRAT Hanje, Mbunge wa Viti Maalum asiye na chama bungeni, ameihoji serikali ni kwanini haioni umuhimu wa kurekebisha mfumo wa elimu na...
By Masalu ErastoMay 1, 2021NASHON Bidyanguze, Mbunge wa Kigoma Kusini (CCM), amehoji lini watumishi waliohamishiwa halmashauri ya Uvinza kutoka Kigoma Vijijini watalipwa stahiki zao. Anaripoti Jemima...
By Masalu ErastoApril 30, 2021SERIKALI ya Tanzania, imetenga Sh.7.15 bilioni, kwa ajili ya kutengeneza madawati 710,000 kwa mwaka wa fedha 2021/2022 yatakayotumika shule za msingi. Anaripoti...
By Masalu ErastoApril 30, 2021BWAWA la Choma cha Nkola lipo katika Kijiji cha Choma, Kata ya Choma iliyopo Wilaya ya Igunga, Tabora lina uwezo wa kutunza...
By Masalu ErastoApril 29, 2021SERIKALI imetenga Sh. 500 Milioni kwa ajili ya ununuzi wa vifaa tiba katika Hospitali ya Busega, Simiyu. Anaripoti Jemima Samwel DMC …...
By Masalu ErastoApril 29, 2021BONNA Kamoli, Mbunge wa Segerea, jijini Dar es Salaam (CCM), ameihoji Serikali, lini itaongeza vituo vya afya katika jimbo hilo, ili kuondoa...
By Masalu ErastoApril 28, 2021WIZARA ya Maliasili na Utalii nchini Tanzania, imewahimiza wananchi walio karibu na hifadhi za wanyamapori, kutumia mbinu mbadala ili kuwadhibiti wasiingie kwenye...
By Masalu ErastoApril 28, 2021SERIKALI ya Tanzania, imetenga Sh.8.4 bilioni kwa ajili ya ujenzi wa mirefeji ya maji katika maeneo ya Mbweni mkoani Dar es Salaam....
By Masalu ErastoApril 27, 2021WAZIRI wa Maji, Jumaa Aweso amewataka wahandisi na wakandarasi kujiandaa na mabadiliko yatakayofanyika yenye lengo la kuboresha ufanisi. Anaripoti Jemima Samwel, DMC...
By Masalu ErastoApril 23, 2021SERIKALI imetenga Sh.57 Bilioni kwa ajili ya ukamilishaji wa miundombinu ya Hospitali za Rufaa za Mikoa, ikiwemo ya Mawenzi, mkoani Kilimanjaro. Anaripoti...
By Masalu ErastoApril 23, 2021SERIKALI ya Tanzania, imesisitiza ifikapo Desemba 2022, vijiji vyote vya Tanzania Bara, vitakuwa vimefikishiwa umeme na Wakala wa Nishati Vijijini (REA). Anaripoti...
By Masalu ErastoApril 23, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali. Anaripoti Nasra Bakari, DMC … (endelea). Uteuzi huo, umetangazwa jana Alhamisi,...
By Masalu ErastoApril 23, 2021JAFARI Chege, Mbunge wa Rorya (CCM), mkoani Mara, amehoji serikali lini itakipandisha hadhi kituo cha afya Kinesi kinachohudumia vijiji 27 ili kiwe...
By Masalu ErastoApril 22, 2021