MBUNGE wa Viti Maalumu (CCM), Christine Mnzava, ameihoji serikali juu ya kutokuwatumia vizuri wanafunzi wanaohitimu shahada ya sayansi ya menejimenti ya uhandisi...
By Masalu ErastoApril 21, 2021UONGOZI wa Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAWACHA), umemuomba Rais Samia Suluhu Hasani kuwafukuza wabunge waliopo bungeni bila...
By Masalu ErastoApril 21, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewahakikishia wafanyabiashara wa China kuandaa mazingira mazuri ya biashara nchini. Anaripoti Nasra Bakari, DMC … (endelea)....
By Masalu ErastoApril 21, 2021SERIKALI imetenga Sh. 14 Bilioni kwa ajili ya kuanza ujenzi wa hospitali mpya 28, ikiwepo Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga...
By Masalu ErastoApril 21, 2021WATEJA wa Benki ya Biashara ya FBME, wameshindwa kulipwa fedha zao kwa haraka kutokana na kutokukamilika kwa taratibu za kisheria. Anaripoti Jemima...
By Masalu ErastoApril 21, 2021SERIKALI imepanga kufanya usanifu na thathmini ya gharama za ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami katika Mji wa Ikungi. Anaripoti Jemima...
By Masalu ErastoApril 21, 2021SERIKALI ya Tanzania imetenga jumla ya Sh. 5.96 Bilioni, kwa ajili ya kuanza ujenzi wa barabara ya Kibena –Lupembe, mkoani Njombe. Anaripoti...
By Masalu ErastoApril 20, 2021HALIMASHAURI ya Wilaya ya Biharamulo, Kagera ilipatiwa kiasi cha Sh. 500 Milioni katika mwaka wa fedha 2019\20 kwa ajili ya kuanza ujenzi...
By Masalu ErastoApril 20, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefanya mazungumzo na Spika wa Bunge la nchi hiyo, Job Ndugai. Anaripoti Matilda Peter, Dodoma …...
By Masalu ErastoApril 20, 2021MKURUGENZI wa Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema, Magesa Mafuru, amesimamishwa kazi ili kupisha uchunguzi wa tuhuma za ubadhirifu wa fedha za miradi...
By Masalu ErastoApril 20, 2021WAZIRI Mkuu wa Tanzanua, Kassim Majaliwa amewatoa hofu Watanzania kuhusu kuendelezwa kwa Makao Makuu ya nchi Dodoma akisema, Serikali imeweka mfumo mzuri...
By Masalu ErastoApril 17, 2021KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, amemshauri Rais Mteule wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), Dk. Edward Hoseah, kuwaunganisha mawakili...
By Masalu ErastoApril 16, 2021Serikali ya Tanzania imewaita mezani viongozi wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), kwa ajili ya kujadili namna ya kuimarisha mahusiano ya...
By Masalu ErastoApril 15, 2021ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheli Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe, Dk. Benson Bagonza, amekitaka Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS),...
By Masalu ErastoApril 14, 2021PROFESA Ibrahim Lipumba, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), amemshauri Rais Samia Suluhu Hassan, katika utawala wake kulenga Tuzo ya Mo Ibrahim....
By Masalu ErastoApril 14, 2021CHAMA cha Wanasheria Tanganyika (TLS), kinatarajia kufanya uchaguzi wa viongozi wa Kanda na Umoja wa Vijana Wanasheria. Anaripoti Regina Mkonde, Arusha …...
By Masalu ErastoApril 14, 2021RIPOTI ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), kwa mwaka wa fedha wa 2019/2020, imemuweka matatani aliyekuwa Waziri wa...
By Masalu ErastoApril 8, 2021WAZIRI wa Fedha na Mipango nchini Tanzania, Dk. Mwigulu Nchemba, ametoa sababu ya kuongezeka kwa deni la taifa, kutoka Sh.54.8 trilioni mwaka...
By Masalu ErastoApril 8, 2021VIONGOZI wa magereza nchini Nigeria, wameeleza jumla ya wafungwa 1,800 wametoroka jela baada ya watu wenye silaha kuvamia gereza la Owerri, kusini mwa...
By Masalu ErastoApril 6, 2021UMOJA wa Vijana wa Chama tawala Tanzania (UVCCM), umewaomba radhi Watanzania kwa kauli na matendo waliyotoa katika utawala uliopita wa Hayati John...
By Masalu ErastoMarch 29, 2021UMOJA wa Afrika (AU) umesema, kifo cha aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati John Pombe Magufuli, kimelitingisha Bara la Afrika. Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Masalu ErastoMarch 22, 2021ALIYEKUWA Rais wa Tanzania, Hayati John Pombe Joseph Magufuli (61), hadi mauti yanamfika saa 12:00 jioni ya Jumatano tarehe 17 Machi 2021,...
By Masalu ErastoMarch 22, 2021RAIS mstaafu wa Tanzania, Jakaya Kikwete amesema, kifo cha aliyekiwa Rais wa Taifa hilo, Dk. John Pombe Magufuli, kimewashtua wengi nani pigo...
By Masalu ErastoMarch 20, 2021VIONGOZI wa kimataifa wameungana na Watanzania kuomboleza kifo cha Rais wa Tanzania, Dk. John Magufuli. Anaripoti Hamis Mguta, Dar es Salaam…(endelea). Rais Magufuli...
By Masalu ErastoMarch 18, 2021VYAMA vya Siasa nchini Tanzania vimeungana na viongozi mbalimbali kutoa salamu zao za rambirambi kufuatia kifo cha Rais John Magufuli kilichotokea jana...
By Masalu ErastoMarch 18, 2021JOHN Pombe Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, anakuwa kiongozi wa tatu wa juu wa taifa hilo, kufariki dunia ndani...
By Masalu ErastoMarch 18, 2021NAHODHA wa timu ya soka ya Tanzania ‘Taifa Stars’, Mbwana Samatta amewaomba wananchi, kushikamana katika kipindi hiki cha majonzi ya kumpoteza, Rais...
By Masalu ErastoMarch 18, 2021MAKAMU wa Rais Tanzania, Samia Suluhu Hassani amewaonya tabia ya madiwani kutumia fedha za mifuko ya kuwezesha wananchi kwa ajili ya masilahi...
By Masalu ErastoMarch 17, 2021LAZARO Mambosasa, Kamanda wa Jeshi la Polisi, Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, amewataka watu wanaosambaza taarifa, kwamba Rais John Magufuli mgonjwa,...
By Masalu ErastoMarch 17, 2021MJADALA wa nani atakayeshika nafasi ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), umeanza kushika kasi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam …...
By Masalu ErastoMarch 6, 2021KIONGOZI wa Kanisa Katoliki ulimwenguni, Papa Francis, amepanga ziara ya historia nchini Iraq, kuanzia leo Ijumaa. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Taarifa...
By Masalu ErastoMarch 5, 2021HALIMA James Mdee, mmoja watu “waliodekezwa” ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), hadi kujigeuza “mungu mtu,” anatajwa kutaka kujimilikisha baraza la...
By Masalu ErastoMarch 4, 2021KASIMU Majaliwa, Waziri Mkuu wa Tanzania, ameiagiza Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), kuimarisha usimamizi wa mitambo ya mita za upimaji wa mafuta...
By Masalu ErastoMarch 3, 2021KLABU ya Simba ya Dar es Salaam nchini Tanzania, imemtangaza muigizaji maarufu nchini humo, Yvonne Cherrie ‘Monalisa’ kuwa msemaji wa timu ya...
By Masalu ErastoMarch 3, 2021RAIS wa Zanzibar, Hussein Mwinyi, amemteua Othuman Masoud Othuman wa ACT-Wazalendo kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais visiwani humo, kuchukua nafasi ya...
By Masalu ErastoMarch 1, 2021BUNGE nchini Uholanzi, limepitisha muswaada unaoelekeza serikali ya nchi hiyo, kuyatambua mauaji ya Waarmenia, yaliyofanyika wakati wa Vita vya Kwanza vya Dunia,...
By Masalu ErastoFebruary 27, 2021WIZARA ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imeeleza mambo manane yanayoweza kumsaidia Mtanzania kujilinda na magonjwa ya kuambukizwa ikiwemo...
By Masalu ErastoFebruary 21, 2021SHIRIKA la Afya Duniani (WHO), limeitaka serikali ya Tanzania kutoa takwimu za maambukizi ya virusi vya Covid 19, ili kuwezesha kujulikana idadi...
By Masalu ErastoFebruary 21, 2021HATUA ya Profesa Elifas Bisanda, Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Huria (OUT), kutoa waraka wa tahadhari ya maambukizi ya corona, imemuingiza matatani...
By Masalu ErastoFebruary 11, 2021RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Mwinyi amesema katika siku 100 za uongozi wake, amefanikiwa kuimarisha umoja wa Wazanzibari na kuongeza ukusanyaji mapato....
By Masalu ErastoFebruary 9, 2021KASI ya kutaka Katiba Mpya kabla ya uchaguzi mkuu 2025, imevisukuma vyama vya upinzani kutaka kuungana. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam...
By Masalu ErastoFebruary 9, 2021CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimefanyia mabadiliko makubwa muundo wake wa sektarieti ya Kamati Kuu (CC), kwa lengo la kujipanga ili...
By Masalu ErastoFebruary 3, 2021SHIRIKA la Viwango Tanzanianchini (TBS), limeeleza linatengeneza mfumo imara ili kuhakikisha, magari yote yatakayoingizwa nchini yanakuwa na viwango stahili. Anaripoti Brightness Boaz,...
By Masalu ErastoFebruary 2, 2021BARAZA la Wanawake la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAWACHA), linapanga mkakati mzito unaolenga kumzika kabisa kisiasa, aliyekuwa mwenyekiti wao wa taifa,...
By Masalu ErastoJanuary 31, 2021WIKI mbili zilizopita, Rais Mstaafu wa Zanzibar, Dk. Amani Abeid Karume, alizungumzia kwa kirefu historia ya Mapinduzi Visiwani. Akakumbusha jinsi mwafaka wa...
By Masalu ErastoJanuary 30, 2021WIZARA ya Afya nchini Tanzania, imetaka wananchi wanaokabiliwa na vitendo vya kikatili kwenye familia/nyumba zao, kuwasiliana na maofisa wa wizara hiyo moja...
By Masalu ErastoJanuary 29, 2021MSANII wa muziki nchini Tanzania, Naseeb Abdul maarufu ‘Diamond Platnum’ amesema, kiwango cha fedha anachoingiza kwa mwezi, kutokana na mikataba mbalimbali ya...
By Masalu ErastoJanuary 28, 2021MTU yeyote atakayekamatwa akitupa takataka katika Mamispaa ya Temeke, jijini Dar es Salaam, atatozwa faini.Anaripoti Brightness Boaz, Dar es Salaam … (endelea)....
By Masalu ErastoJanuary 27, 2021JAMES Mbatia, Mwenyekiti wa Chama cha siasa cha upinzani nchini Tanzania cha NCCR-Mageuzi, ameshauri wananchi kuendelea kuchukua tahadhari ya maambukizi ya virusi...
By Masalu ErastoJanuary 27, 2021WATANZANIA 64 wamehukumiwa kulipa faini zaidi ya Sh.25 million au kwenda jela mwaka mmoja kwa kosa la kwenda nje ya nchi bila...
By Masalu ErastoJanuary 26, 2021