Michezo
TIMU za Mtibwa Sugar ya Morogoro na Coastal Union ya Tanga zimefanikiwa kubaki Ligi Kuu ya Tanzania Bara kwa msimu ujao wa...
By Mwandishi WetuJuly 24, 2021KOCHA wa klabu ya Simba ya Dar es Salaam nchini Tanzania, Didier Gomes amesema, hana presha kuelekea mchezo wa fainali wa kombe...
By Kelvin MwaipunguJuly 24, 2021TIMU ya Azam FC ya Chamanzi Dar es Salaam nchini Tanzania, imetangaza kuachana na wachezaji wake wanne wa kimataifa akiwemo mshambuliaji Obrey...
By Mwandishi WetuJuly 24, 2021KOCHA mkuu wa kikosi cha Yanga, Nasriddine Nabi ameshindwa kutokea kwenye mkutano na wanahabari kuelekea mchezo wa fainali wa kombe la Shirikisho,...
By Hamisi MgutaJuly 24, 2021JUMLA ya tiketi elfu 11 zimeshauzwa kuelekea mchezo wa fainali wa Kombe la Shirikisho (FA) kati ya Simba dhidi ya Yanga utakaopigwa...
By Kelvin MwaipunguJuly 23, 2021WIZARA ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo nchini Tanzania, imeiagiza Taasisi ya Hakimiliki nchini humo (COSOTA), kufuatilia na kuhakikisha msanii Mb Dogg...
By Mwandishi WetuJuly 23, 2021KIKOSI cha klabu ya Simba, kimewasili mkoani Kigoma kwa ajili ya mchezo wa Fainali wa kombe la Shirikisho dhidi ya Yanga. Anaripoti Kelvin...
By Kelvin MwaipunguJuly 22, 2021KLABU ya Yanga imeonekana kusikitishwa na kitendo cha Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kumchagua Ahmed Arajiga kuwa mwamuzi wa mchezo...
By Kelvin MwaipunguJuly 22, 2021KUELEKEA mchezo wa fainali wa Kombe la Shirikisho (Azam Sports Federation) siku ya tarehe 25 Julai, 2021, vikosi vya Simba na Yanga...
By Kelvin MwaipunguJuly 22, 2021KIKOSI cha klabu ya Yanga kimetua rasmi mkoani Kigoma, kwa ajili ya mchezo wa fainali wa Kombe la Shirikisho (FA) dhidi ya...
By Kelvin MwaipunguJuly 22, 2021KUELEKEA mchezo wa Fainali wa Kombe la Shirikisho (Azam Sports Federation), Shabiki wa klabu ya Yanga, Iddi Mkuu (69) ametinga Kigoma leo...
By Masalu ErastoJuly 21, 2021TIMU ya Azam FC ya Chamanzi, Tanzania imeendelea kukisuka kikosi chake cha msimu ujao wa 2021/22, kwa kusajili wachezaji wanne wa Kimataifa....
By Mwandishi WetuJuly 21, 2021HAJI Manara, Msemaji wa mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2020/21, Simba ya Dar es Salaam, ametangaza kung’atuka katika nafasi hiyo. Anaripoti...
By Mwandishi WetuJuly 21, 2021SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limefungua rasmi dirisha kubwa la usajili litakalodumu kwa siku 42, baada ya kumalizika kwa msimu...
By Kelvin MwaipunguJuly 19, 2021KAMATI ya Miss Tanzania imebainisha makosa sita yaliyosababisha Miss Tanzania 2020, Rose Manfere kuvuliwa uwakilishi wa nchi katika mashindano ya urembo duniani....
By Masalu ErastoJuly 17, 2021MSANII wa muziki nchini Tanzania, Ali Kiba amesaini mkataba wa kinywaji cha “Power Horse” kuwa balozi wa kinywaji hicho. Anaripoti Matlida Peter,...
By Masalu ErastoJuly 16, 2021MAHAKAMA Kuu kanda ya Dar es Salaam, imeiweka pembeni kesi ndogo namba 305, ya zuio la shughuli za uchaguzi TFF, na kutaka...
By Kelvin MwaipunguJuly 16, 2021RAIS wa Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (Fifa), Gianni Infantino, ameipongeza timu ya soka ya Simba ya Dar es Salaam...
By Mwandishi WetuJuly 16, 2021KLABU ya Biashara United, kutoka Mara imefanikiwa kushiriki michuano ya kimataifa kwa msimu ujao, mara baada ya kumaliza katika nafasi ya nne...
By Kelvin MwaipunguJuly 16, 2021KOCHA wa klabu ya Simba, Didier Gomes pamoja na mshambuliaji wa klabu hiyo John Bocco wameshinda tuzo, mwezi Juni kwenye Ligi Kuu...
By Kelvin MwaipunguJuly 16, 2021KIUNGO wa klabu ya Yanga, Feisal Salum ambaye ndiye mfunga wa mabao yote mawili kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, dhidi...
By Kelvin MwaipunguJuly 15, 2021KLABU ya Soka ya Yanga imepenga kwenda kufanya maandalizi (Pre Season) kwa ajili ya msimu ujao wa mashindano nchini Morroco, siku chache...
By Kelvin MwaipunguJuly 15, 2021MSHAMBULIAJI wa klabu ya Azam FC, Prince Dube pamoja na kiungo wa klabu hiyo, Salum Abubakar ‘Sure Boy’ wataokusa mchezo dhidi ya Simba...
By Kelvin MwaipunguJuly 14, 2021KUELEKEA mchezo wa fainali wa kombe la Shirikisho (Azam Sports Federation Cup), idadi ya mashabiki watakaoruhusiwa kutazama mchezo huo ni elfu 10...
By Kelvin MwaipunguJuly 14, 2021KUFUATIA klabu ya Simba kutangazwa kuwa mabingwa wapya wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2020/21, washambuliaji Prince Dube wa Azam FC,...
By Mwandishi WetuJuly 13, 2021NAHODHA wa Timu ya Taifa ya Uingereza Harry Maguire, Rahim Sterling na Kyle Walker wamejumuhishwa kwenye kikosi cha wachezaji 11 bora wa michuano...
By Kelvin MwaipunguJuly 13, 2021KIUNGO mshambuliaji Raia wa Rwanda, Haruna Niyonzima, ataagwa rasmi ndani ya klabu ya Yanga tarehe 15 Julai, 2021, baada ya kuhudumu kwenye kikosi...
By Kelvin MwaipunguJuly 13, 2021MARA baada ya kutangazwa kuwa mabingwa wapya wa Ligi Kuu Tanzania Bara, kwa mara ya nne mfululizo, klabu ya Simba itakabidhiwa kombe hilo...
By Kelvin MwaipunguJuly 13, 2021WACHEZAJI Haruna Niyonzima pamoja na Lamine Moro wamerejea kwenye kambi ya klabu hiyo, Kigamboni Jijini Dar es Salaam mara baada ya kusimamishwa...
By Kelvin MwaipunguJuly 12, 2021KUFUATIA kupata ajali mbaya ya gari, kwa kikosi cha timu ya Polisi Tanzania mkoani Kilimanjaro, bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imesogeza...
By Kelvin MwaipunguJuly 12, 2021STAA na Nahodha wa timu ya Taifa ya Ureno, Cristiano Ronaldo, pamoja na mlinda mlango wa timu ya Taifa ya Italia, Gianluigi Donnarumma,...
By Kelvin MwaipunguJuly 12, 2021MABAO mawili ya John Bocco na Chriss Mugalu yalitosha kuifanya Simba kutangazwa kuwa mabingwa wapya wa Ligi Kuu Tanzania Bara kwa msimu...
By Kelvin MwaipunguJuly 11, 2021KUFUATIA kupata ajali mbaya ya gari, kwa kikosi cha timu ya Polisi Tanzania mkoani Kilimanjaro, Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imesogeza...
By Kelvin MwaipunguJuly 11, 2021HATIMAYE Lionel Messi wa Argentina, amenyakua taji la ubingwa wa kwanza la Copa America, akiwa na timu ya Taifa, baada ya kuifunga...
By Mwandishi WetuJuly 11, 2021MAHAKAMA Kuu kanda ya Dar es Salaam, itatoa maamuzi ya kesi ndogo ya zuio la uchaguzi namba 305, iliyofunguliwa na mwanamichezo Ally...
By Kelvin MwaipunguJuly 9, 2021KLABU ya soka ya Yanga, imeingia mktaba wenye thamani ya shilini 41 bilioni, katika kipindi cha miaka 1o na kampuni ya Azam...
By Kelvin MwaipunguJuly 8, 2021KLABU ya Soka ya Yanga, imepigwa faini ya Shilingi milioni tatu, mara baada ya kufanya makossa manne kwenye mchezo wa Ligi Kuu...
By Kelvin MwaipunguJuly 8, 2021FAINALI ya michuano ya Copa America, itapigwa siku ya Jumapili ambapo itaikutanisha miamba ya soka barani humo, tumu ya Taifa ya Argentina...
By Kelvin MwaipunguJuly 7, 2021KIKOSI cha klabu ya Simba leo kitashuka dimbani, kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya KMC, ambapo Kocha Msaidizi, Selaman Matola...
By Kelvin MwaipunguJuly 6, 2021KAMATI ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) itakutana Julai 16, 2021, nchini Morocco kujadili mfumo wa mashindano mapya...
By Kelvin MwaipunguJuly 6, 2021ALIYEKUWA mlinzi wa kulia wa klabu ya AS Vita ya nchini DR Congo, Djuma Shaban rasmi kukipiga ndani ya Yanga, kwenye msimu...
By Kelvin MwaipunguJuly 6, 2021KLABU ya soka ya Azam FC, imekamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji, Charles Zulu raia wa Zambia, aliyekuwa anakipiga kwenye klabu ya Cape...
By Mwandishi WetuJuly 5, 2021KUFUATIA klabu yake ya Simba kupoteza mchezo wao dhidi ya Yanga, kwa bao 1-0, Afisa Habari wa klabu hiyo, Haji Manara ameahidi...
By Kelvin MwaipunguJuly 5, 2021MARA baada ya kufanyika kwa mchezo mkubwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara, kati ya Simba ambao walikuwa wenyeji mbele ya Yanga na...
By Kelvin MwaipunguJuly 5, 2021Katika hali ya kustajabisha, kwenye mchezo watani wa jadi kati ya Simba na Yanga, kikosi cha klabu ya Yanga ambao walikuwa wageni...
By Kelvin MwaipunguJuly 3, 2021MARA baada ya kuondoka na ushindi wa bao 1-0. kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, kocha Mkuu wa klabu ya Yanga,...
By Kelvin MwaipunguJuly 3, 2021TIMU ya Yanga ya Dar es Salaam, imeibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya watani zao Simba, katika mchezo wa Ligi Kuu...
By Kelvin MwaipunguJuly 3, 2021KESHO Mafahari wawili kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara, klabu za Simba na Yanga, zinashuka dimbani kusaka pointi tatu, huku kila upande ukijinasibu...
By Kelvin MwaipunguJuly 2, 2021JUKWAA la Wahariri Tanzania (TEF), wameutaka uongozi wa Klabu ya Simba umwonye, msemaji wake, Haji Manara kwa udhalilishaji alioufanya dhidi ya Mwandishi...
By Mwandishi WetuJuly 2, 2021MAHAKAMA Kuu, Kanda ya Dar es Salaam, imetoa mwongozo wa kesi ya zuio la uchaguzi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), isikilizwe...
By Kelvin MwaipunguJuly 2, 2021