Michezo
Mlinda mlango namba mbili wa klabu ya Simba Beno Kakolanya, amepata pigo la kufiwa na Mama yake mzazi Eva Mwankusye leo asubuhi Jijini...
By Mwandishi WetuAugust 19, 2021Kocha wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa stars) Kim poulsen ametangaza majina ya wachezaji 28 watakaoingia kambini kujiandaa na mashinadano ya...
By Masalu ErastoAugust 19, 2021MSANII wa muziki wa bongo fleva nchini Tanzania, Gift Stanford maarufu Giggy Money ameahidi mashabiki zake kwamba hatofanya makosa tena kamak kama...
By Masalu ErastoAugust 19, 2021Klabu ya Yanga ipo mbioni hivi karibuni kumtambulisha mchezaji mwengine mpya atakayejiunga na timu hiyo kwa ajili ya msimu ujao wa mashindano....
By Kelvin MwaipunguAugust 18, 2021KLABU ya soka ya Simba imefanikiwa kunyaka saini ya kiungo mshambuliaji Jimmyson Mwanuke (18) kutoka klabu ya Gwambina FC yenye maskani yake...
By Masalu ErastoAugust 18, 2021Klabu ya soka ya Yanga itazindua rasmi wiki ya Mwananchi visiwani Zanzibar Agost 22, mwaka huu, kwa kufanya shughuli mbalimbali za kijamii,...
By Kelvin MwaipunguAugust 18, 2021KLABU ya Simba imefanikiwa kunasa saini ya kiungo mshambuliaji wa klabu ya Kagera Sugar, Abdulsamad Kassim mwenye umri wa miaka 24. Anaripoti...
By Masalu ErastoAugust 17, 2021BENKI ya NMB imezindua mbio ndefu (Marathon) ambazo zitakuwa na kauli mbiu ya ‘Mwendo wa Upendo’ zikiwa na lengo ya kuchangia matibabu kwa...
By Masalu ErastoAugust 16, 2021Klabu ya simba imekamilisha usajili wa beki wa pembeni kutoka klabu ya KMC Israel Patrick Mwenda mwenye umri wa miaka 21. Anaripoti Mintanga...
By Masalu ErastoAugust 16, 2021KLABU ya Soka ya Azam Fc imemtambulisha katibu Mkuu wa zamani wa klabu ya Yanga, Dk. Jonas Tiboroha kuwa mkurugenzi Mkuu wa...
By Kelvin MwaipunguAugust 16, 2021WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameziagiza wizara zote zinazohusika na uratibu na uandaaji wa Michezo ya Wizara na Idara za Serikali...
By Mwandishi WetuAugust 15, 2021KLABU ya Soka ya Simba imefanikiwa kunasa saini ya mchezaji wa kimataifa wa Senegal Pape Ousmane Sakho (24), kuuelekea msimu mpya wa...
By Kelvin MwaipunguAugust 14, 2021KLABU ya Simba, imefanikiwa kunyakuwa winga wa kimataifa wa Malawi, Duncan Nyoni ambaye amejiunga rasmi na kikosi hiko, kwa ajili ya msimu...
By Kelvin MwaipunguAugust 13, 2021WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu...
By Kelvin MwaipunguAugust 13, 2021WINGA mpya wa klabu ya Yanga raia wa Jamhuri ya Congo, Jesus Moloko amesema kuwa atawafurahisha mashabiki wa Yanga, zaidi ya Tusila...
By Kelvin MwaipunguAugust 13, 2021TIMU kongwe nchini Tanzania za Simba na Yanga zote za jijini Dar es Salaam, zinatarajia kukwea pipa kwenda nchini Morocco kwa ajili...
By Kelvin MwaipunguAugust 10, 2021MABINGWA wa kihistoria nchini Tanzania, Yanga ya Dar es Salaam, imeendelea kujiimalisha kwa msimu wa 2021/22 kwa kumsajili kiungo mkabaji, Kharid Haucho....
By Kelvin MwaipunguAugust 9, 2021UONGOZI wa mabingwa wa kihistoria nchini Tanzania, Yanga ya Dar es Salaam umesema, unakamilisha majadiliano na moja ya timu nchini Morocco kwa...
By Kelvin MwaipunguAugust 9, 2021WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo nchini Tanzania, Innocent Bashungwa ametoa siku saba kuanzia kwa Taasisi ya Hakimiliki Tanzania (COSOTA), kufanya...
By Masalu ErastoAugust 9, 2021JONAS Mkunde, Kiungo mkabaji wa mabingwa wa ligi kuu Tanzania Bara 2020/21 na kombe la shirikisho, Simba ya jijini Dar es Salaam,...
By Kelvin MwaipunguAugust 9, 2021MARA baada ya kucheza kwa miaka 21, hatimaye mchezaji hatari kwa sasa Duniani, Lionel Messi ameiaga rasmi klabu yake ya Barcelona, Uwanjani...
By Kelvin MwaipunguAugust 8, 2021KLABU ya soka ya Yanga, imekamilisha usajili wa mlinda mlango Djigui Diarra, kutoka nchini Mali ambaye ameingia mkataba wa miaka miwili na...
By Kelvin MwaipunguAugust 8, 2021WAJUMBE wa mkutano mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), wamemuthibitisha Wallace Karia kuendelea kuwa Rais wa shirikisho hilo kwa...
By Mwandishi WetuAugust 7, 2021MSANII wa maigizo nchini Tanzania, Elizabeth Michael maarufu Lulu amemwandikia ujumbe mwaanae mwenye siku 21 akichambua jina alilompa. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...
By Mwandishi WetuAugust 6, 2021MTANGAZAJI maarufu nchini Tanzania wa vipindi vya michezo, Maulid Kitenge leo Ijumaa, tarehe 6 Agosti 2021, amerejea kituo cha Redio cha EFM,...
By Mwandishi WetuAugust 6, 2021ALIYEKUWA Afisa Habari na mawasiliano wa klabu ya Simba, Haji Manara amesema kuwa sababu za kufanya biashara na kampuni zingine na umaarufu...
By Kelvin MwaipunguAugust 4, 2021Winga wa kimataifa wa Malawi Peter Banda, amekuwa mchezaji wa kwanza kufungua dirisha la usajilin ndani ya klabu ya Simba mara baada...
By Kelvin MwaipunguAugust 4, 2021LIGI Kuu soka Tanzania Bara kwa msimu wa 2021/22, itaanza kupigwa kuanzia tarehe 29 Septemba 2021, mara baada ya kuchezwa mchezo wa...
By Kelvin MwaipunguAugust 3, 2021KLABU ya Soka ya Yanga, imekana kuhusishwa na kumsajili winga wa kimataifa wa Malawi, Peter Banda kufuatia tetesi za kuwa fundi huyo...
By Kelvin MwaipunguAugust 3, 2021SHIRIKA la Utangazaji Tanzania (TBC) limeingia mkataba wa miaka 10, wa matangazo ya matnagazo ya Radio kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara na...
By Kelvin MwaipunguAugust 3, 2021IKIWA Ligi Kuu Tanzania Bara imemalizika na Shirikisho la Mpira Tanzania (TFF), limeshafungua dirisha la usajili kwa klabu za Ligi Kuu na...
By Kelvin MwaipunguAugust 2, 2021KLABU ya soka ya Yanga, imefanikiwa kunasa saini ya mshambuliaji Yusuph Athuman Akitokea klabu ya Biashara United, Mara iliyokuwa inashiriki Ligi Kuu...
By Kelvin MwaipunguAugust 2, 2021SAMIA Suluhu Hassan, Rais wa Tanzania ameipongeza timu ya taifa ya vijana chini ya miaka 23 (U23), kwa kutwaa ubingwa wa mashindano...
By Mwandishi WetuAugust 1, 2021MICHUANO ya klabu kwa ukanda wa Afrika Mashariki na kati (CECAFA Kagame Cup) yataanza kutimu vumbi rasmi kesho kwa jumla ya timu tisa...
By Kelvin MwaipunguJuly 31, 2021KLABU ya Azam FC imefanikiwa kunasa saini ya mshambuliaji raiawa kidemokrasia ya Congo, Idris Mbombo kwa mkataba wa miaka miwili. Anaripoti Kelvin Mwaipungu…(endelea)...
By Kelvin MwaipunguJuly 31, 2021Mfanyabiashara na mwekezaji ndani ya klabu ya Simba, Mohammed Dewji (MO), ameweka rasmi kiasi cha pesa shilingi 20 bilioni, kama sehemu ya uwekezaji...
By Kelvin MwaipunguJuly 30, 2021Wachezaji Bernad Morrison wa klabu ya Simba na Mukoko Tonombe kutoka Yanga wamefungiwa kutocheza michezo mitatu na kamati ya mashindano ara baaada...
By Kelvin MwaipunguJuly 30, 2021MAHAKAMA ya Kimataifa ya Usuluhishi wa Kimichezo (CAS), itatoa hukumu ya kesi ya rufaa kati ya klabu ya Yanga na mchezaji, Bernard...
By Kelvin MwaipunguJuly 29, 2021RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Wallace Karia ni miongoni mwa viuongozi waliopata chanjo ya corona, katika hafla iliyofanyika...
By Kelvin MwaipunguJuly 29, 2021KLABU ya Yanga imeachana rasmi na mlinzi wake wa kati, ambaye pia alikuwa nahodha wa kikosi hicho, Lamine Moro baada ya makubaliano...
By Kelvin MwaipunguJuly 29, 2021BAO la dakika ya 79, lilofungwa na Thadeo Lwanga, lillitosha kuifanya Simba kutetea ubingwa wake wa kombe la Shirikisho (ASFC), dhidi ya Yanga,...
By Kelvin MwaipunguJuly 25, 2021CHAMA cha soka Mkoa wa Kigoma nchini Tanzania, kitagawa barakoa bure kwa mashabiki watakaoudhuria mchezo wa fainali kombe la shirikisho utakaowakutanisha Simba...
By Mwandishi WetuJuly 24, 2021TIMU za Mtibwa Sugar ya Morogoro na Coastal Union ya Tanga zimefanikiwa kubaki Ligi Kuu ya Tanzania Bara kwa msimu ujao wa...
By Mwandishi WetuJuly 24, 2021KOCHA wa klabu ya Simba ya Dar es Salaam nchini Tanzania, Didier Gomes amesema, hana presha kuelekea mchezo wa fainali wa kombe...
By Kelvin MwaipunguJuly 24, 2021TIMU ya Azam FC ya Chamanzi Dar es Salaam nchini Tanzania, imetangaza kuachana na wachezaji wake wanne wa kimataifa akiwemo mshambuliaji Obrey...
By Mwandishi WetuJuly 24, 2021KOCHA mkuu wa kikosi cha Yanga, Nasriddine Nabi ameshindwa kutokea kwenye mkutano na wanahabari kuelekea mchezo wa fainali wa kombe la Shirikisho,...
By Hamisi MgutaJuly 24, 2021JUMLA ya tiketi elfu 11 zimeshauzwa kuelekea mchezo wa fainali wa Kombe la Shirikisho (FA) kati ya Simba dhidi ya Yanga utakaopigwa...
By Kelvin MwaipunguJuly 23, 2021WIZARA ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo nchini Tanzania, imeiagiza Taasisi ya Hakimiliki nchini humo (COSOTA), kufuatilia na kuhakikisha msanii Mb Dogg...
By Mwandishi WetuJuly 23, 2021KIKOSI cha klabu ya Simba, kimewasili mkoani Kigoma kwa ajili ya mchezo wa Fainali wa kombe la Shirikisho dhidi ya Yanga. Anaripoti Kelvin...
By Kelvin MwaipunguJuly 22, 2021KLABU ya Yanga imeonekana kusikitishwa na kitendo cha Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kumchagua Ahmed Arajiga kuwa mwamuzi wa mchezo...
By Kelvin MwaipunguJuly 22, 2021