Sunday , 19 May 2024

Habari

SiasaTangulizi

Prof. Safari: AG anaweza kutenda jinai

MBOBEZI wa sheria nchini na Wakili wa Mahakama Kuu, Prof. Abdallah Safari amesema, iwapoDk. Adelardus Kilangi, Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), atagoma kutekeleza hukumu...

Kimataifa

Waziri Mkuu Uingereza atangaza kujiuzulu

WAZIRI Mkuu wa Uingereza, Theresa May ametangaza kujiuzulu wadhifa huo ifikapo tarehe 7 Juni 2019, kufuatia mkakati wake wa kuliondoa taifa hilo kwenye...

Kimataifa

Kachero CIA afungwa kwa kuipa China siri za Marekani

AFISA wa Zamani wa Shirika la Ujasusi la Marekani (CIA), Kevin Mallory (62) amefungwa miaka 20 jela kwa kosa la kutoa siri za...

Kimataifa

Rais wa Nigeria ashitakiwa mahakamani

SERIKALI ya Nigeria imemshitaki aliyekuwa Rais wa Taifa hilo, Goodluck Jonathan katika Mahakama ya Biashara ya London, kwa tuhuma za kupokea rushwa kutoka...

Kimataifa

Kanisa Katoliki Sri Lanka lasitisha ibada

KANISA Katoliki nchini Sri Lanka limesitisha ibada zake kwa maelezo ya kujihami na shambulio la kigaidi. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea). Hatua hiyo...

Kimataifa

Kenya Airway yapata hasara ya mabilioni

SHIRIKA la Ndege la Kenya limetangaza kupata hasara ya kiasi cha Shilingi za Kenya 7. 59 Bil (Takriban 151 Bil za Tanzania )...

Kimataifa

Mfalme wa Japan ang’atuka mwenyewe

MFALME wa Japan, Akihito (85) ameng’atuka katika wadhifa huo baada ya kutawala kwa miongo mitatu, kutokana na kusumbuliwa na maradhi. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa...

Kimataifa

Washukiwa 15 mauaji kanisani Sri Lanka wauawa

WATU 15 wanaoshukiwa kuhusika katika shambulio la kigaidi lililopoteza maisha ya watu 253 kwenye makanisa nchini Sri Lanka, wameuawa katika majibizano ya risasi. Inaripoti...

Kimataifa

Waliouawa kanisani Sri Lanka wafika 290

MIILI ya watu waliopoteza maisha katika shambulio la kigaidi kwenye makanisa matatu na hoteli za kifahari nchini Sri Lanka, imefikia 290. Inaripoti Mitandao...

Kimataifa

Rais ajiua kwa risasi kukwepa kukamatwa na Jeshi

RAIS Mstaafu wa nchi ya Peru, Alan Garcia amejiua  kwa kujipiga risasi akikwepa kuingia mikononi mwa Jeshi la Polisi la nchi hiyo, kufuatia...

Kimataifa

Ubalozi Palestina waadhimisha ‘Siku ya Mateka wa Kipalestina’ 

BALOZI za Palestina duniani kote, leo tarehe 17 Aprili 2019 zinaadhimisha Siku ya Mateka wa Kiapestina wanaoendelea kushikiliwa na Jeshi la Israel kwenye...

Kimataifa

Omar al-Bashir aanza kusulubiwa

ALIYEKUWA Rais wa Sudan, Omar al-Bashir ameanza kusulubiwa, Jeshi la nchi hiyo limempeleka katika gereza lenye ulinzi mkali la Kobar, lililoko mjini Khatoum...

Kimataifa

Watu 150 wahofiwa kufa ziwani

WATU 150 wanahofiwa kufa baada ya boti walilokuwa wanasafiria kuzama kwenye Ziwa Kivu, Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Inaripoti Mitandao ya...

KimataifaTangulizi

Wa-Sudan waling’ang’ania jeshi, kiongozi wa Mapinduzi naye ang’olewa

WAZIRI wa Ulinzi wa Sudan, ambaye Ijumaa ya tarehe 12 Aprili 2019, aliapishwa kuwa kiongozi mpya wa nchi hiyo, kuchukua nafasi ya Rais...

KimataifaTangulizi

Jeshi Sudan: Wamkamata Rais Bashir, kuongoza nchi miaka miwili

BAADA ya Jeshi la Sudan kumng’oa madarakani Rais wa taifa hilo, Omar al-Bashir, limetangaza hali ya hatari katika kipindi cha miezi mitatu,  huku...

KimataifaTangulizi

BREAKING NEWS: Rais Omar al – Bashir ang’olewa Sudan

UTAWALA wa miaka 30 wa Rais wa Sudan, Omar al-Bashir, umefika kikomo nchini humo. Anaripoti Saed Kubenea … (endelea). Taarifa kutoka mji mkuu...

Kimataifa

Algeria yatangaza rais wa mpito

BUNGE la Algeria limemtangaza rasmi Abdelkader Bensalah kurithi mikoba ya aliyekuwa rais wa nchi hiyo, Abdelaziz Bouteflika katika kipindi cha miezi mitatu mfululizo....

Kimataifa

Muuaji New Zealand kukumbwa na hukumu ya kihistoria

MTUHUMIWA wa mauaji ya watu 50 katika misikiti miwili iliyoko mjini Christchurch, New Zealand, Brenton Tarrant (28) huenda akakumbwa na adhabu ya kihistoria. Inaripoti...

Kimataifa

‘Wahuni’ Afrika Kusini waanza kuua wageni

WATU watatu wameuawa huku 50 wakitafuta hifadhi kwenye vituo vya polisi katika mashambulizi yaliyofanywa na baadhi ya raia wa Afrika Kusini, wanaopinga uwepo...

Kimataifa

BBC na VOA wapigwa marufuku tena Burundi    

SERIKALI ya Burundi, imewapiga marufuku waandishi wa shirika la BBC na Sauti ya Marekani (VOA), kutofanya kazi nchini humo. Baraza la taifa la...

Kimataifa

New Zealand kufanya tukio la kihistoria leo

KUSHAMBULIWA na kuua wa kwa Waiumini wa Dini ya Kiislam msikitini kumeibua mambo mengi nchini New Zealand ikiwa ni pamoja na kuimarisha mshikamano...

Kimataifa

Baada ya Jerusalem Trump ataka Irsael itwae mlima Golan, Syria

BAADA ya kuteka Mji wa Jerusalem kutoka Taifa la Palestina na kuukabidhi kwa Israel, sasa Donald Trump, Rais wa Marekani anaelekeza nguvu kuuteka...

Kimataifa

Waliokimbia vita Syria, wafia msikitini New Zealand

HAMZA Mustafa (15) na baba yake aliyetajwa kwa jina moja Khalid (44), raia wa Syria waliokimbilia New Zealand, waliuawa kwenye mashambulizi yaliyotokea msikitini...

Kimataifa

Tanzania yatoa msaada Zimbabwe, Malawi na Msumbiji

TANZANIA  imetoa msaada wa kibinadamu kwa nchi za Zimbabwe, Malawi na Msumbiji, baada ya nchi hizo kukumbwa na maafa yaliyotokana na kimbunga cha...

Kimataifa

Gharika Zimbawe, Msumbiji 120 wafariki

ZAIDI ya watu 120 wamepoteza maisha huku kadhaa wakipotea kusikojuliakana kutokana na kimbunga kilichotokea katika nchi ya Msumbiji na Zimbabwe. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa...

Kimataifa

‘Muuaji msikitini New Zealand alijaza silaha kwenye gari lake’

BRENTON Tarrant (28) aliyeshiriki kufanya mauaji msikitini nchini New Zealand jana tarehe 15 Machi 2019 na kusababisha vifo vya waumini wa dini ya...

Kimataifa

Magaidi wavamia, waua 49 msikitini New Zealand

HALI ya taharuki, wasiwasi na hofu imetanda kwa saa kadhaa katika mji wa Christchurch nchini New Zealand baada ya watu kadhaa kufanya shambulizi...

Kimataifa

Wanafunzi wafunikwa na kifusi baada ya kudondokewa na ghorofa

WATU  kadhaa ikiwemo wanafunzi wanahofiwa kufunikwa na kifusi baada ya jengo moja lililoko katika maeneo ya Ita Faji kwenye mji kibiashara wa Nigeria,...

Kimataifa

Kagame, Museven wakaribia kuzichapa  

RAIS wa Rwanda, Paul Kagame (62), amemtuhumu “swahiba wake wa miaka mingi,” Rais wa Uganda, Yower Musseven, kwamba anapanga njama za kuangusha serikali...

KimataifaTangulizi

Ndege ya Ethiopia yapata ajali, 157 wahofiwa kufariki

NDEGE ya kampuni ya Ethiopia aina ya Boeing 737 iliyokuwa ikisafiri kutoka Adis Ababa kuelekea Nairobi imeanguka Jumapili asubuhi. Anaripoti Mwandishi Wetu …...

MpyaSiasa

Prof. Lipumba amtumia Lowassa kujiimarisha

PROFESA Ibrahim Lipumba, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) anayetambuliwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, ameanza kumtumia Edward Lowassa...

Kimataifa

Rais Buhari ashinda uchaguzi Nigeria

RAIS wa Nigeria, Muhamadu Buhari ameshinda katika matokeo ya awali ya kinyang’anyiro cha uchaguzi wa urais uliofanyika Jumamosi ya tarehe 23 Februari 2019...

Kimataifa

‘Hiki ndio kilio kikuu cha Wapalestina’

PALESTINA haihitaji kupendelewa, kubebwa wala kubembelezwa bali inahitaji haki yake na hiki ndio itasimamia milele. Anaripoti Yusuph Katimba … (endelea). Akizungumza na waandishi wa...

Kimataifa

Rais Trump kupandishwa kizimbani

RAIS wa Marekani, Donald Trump ameshtakiwa katika mahakama ya wilaya ya Kaskazini iliyoko kwenye jimbo la Calfornia, kwa kutangaza hali ya dharura ili...

Kimataifa

Uchaguzi Nigeria waahirishwa; Buhari, Abubakar kusubiri hukumu

UCHAGUZI wa rais nchini Nigeria uliopangwa kufanyika leo tarehe 16 Februari 2019, umeahirishwa. Vinaripoti vyombo vya habari vya kimataifa…(endelea). Taarifa zaidi kutoka katika Tume...

Kimataifa

Madaktari Kenya kugoma tena

MUUNGANO wa Wauguzi nchini Kenya umepanga kufanya mgomo kuanzia leo Jumatatu tarehe 4 Februari 2019 ili kuishinikiza serikali ya nchi hiyo kuwalipa stahiki...

Kimataifa

Haya ni maajabu yake Mungu  

AMA kwa hakika duniani ni wawili wawili. Hivi ndivyo unavyoweza kusema pale utakapokutana na Cresencio Extreme pia Howard X kwenye mitaa ya Hong Kong. Vinaripoti...

Kimataifa

Rais Kagame ‘bosi’ mpya EAC

RAIS wa Rwanda, Paul Kagame amechaguliwa kuwa mwenyekiti mpya wa Kununua ya Africa Mashariki (EAC). Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Wajumbe wa mkutano...

SiasaTangulizi

CCM, UKAWA watafunana Muswada wa Vyama vya Siasa

WABUNGE kutoka chama tawala- Chama Cha Mapinduzi (CCM) na wale kutoka vyama vya upinzani wameanza kumenyana kuhusu Muswada mpya wa Vyama vya Siasa...

Siasa

Wapinzani wajibu mashambulizi Muswada Vyama vya Siasa

MUSWADA wa Sheria ya Marekebisho ya Vyama vya siasa umetua bungeni leo huku Kambi Rasmi ya Upinzani ikianisha hoja zake kupinga muswada huo. Anaripoti...

Kimataifa

Serikali ya Umoja wa Kitaifa yanukunia DRC

RAIS mteule wa DRC- Kongo, Felix Tshisekedi Tshilombo, mtoto wa mwanasiasa mkongwe  nchini Ettiene Tshisekedi, ameridhia uundwaji wa serikali ya umoja wa kitaifa...

Kimataifa

Kabila awagomea marais wenzake

RAIS Joseph Kamembe Kabila, amegomea wito wa Muungano wa Afrika (AU), wanaotaka kucheleweshwa kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi wa rais nchini mwake. Anaripoti...

Kimataifa

AU waitaka DR Congo kusitisha kutangaza matokeo

JAMHURI ya Kidemokrasia ya Congo imetakiwa kuahirisha utangazaji wa matokeo ya uchaguzi mkuu uliofanyika hivi karibuni. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea). Wito...

Kimataifa

Marekani yampa heshima mpya Mohammed Ali

UWANJA wa Ndege wa Kimataifa wa Louisville uliopo Kentucky, Marekani sasa utabadilishwa jina na kuwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mohammed Ali....

KimataifaTangulizi

Al-Shabab yaja na idadi waliouwawa Nairobi, Al-Qaeda washangilia

KUNDI la kigaidi la Al Shabab linalojinasibisha na Uislam lililofanya mashambulizi jana kwenye moja ya jengo kubwa katika Mji Mkuu wa Kenya, Nairobi...

Kimataifa

Tanzania, Kenya zaungana kulinda rasilimali za mipakani

SERIKALI ya Kenya na Tanzania zimeungana kwa pamoja kulinda rasilimali za asili zilizoko katika mipaka ya nchi hizo. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea)....

Kimataifa

Upinzani washinda uchaguzi DRC, Kabila chali

MGOMBEA wa upinzani, Felix Tshisekedi wa Chama cha UDPS ameshinda uchaguzi wa urais nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), tume ya uchaguzi...

Kimataifa

Rais wa Benki ya Dunia ajiuzulu ghafla

RAIS wa Benki ya Dunia (W.B), Jim Yong Kim aliyehudumu katika wadhifa huo tangu mwaka 2012 hadi mwanzoni mwa mwaka huu, amejiuzulu ghafla....

Kimataifa

Somalia yamtimua mjumbe wa Umoja wa Mataifa

SERIKALI ya Somalia imemfukuza Mwakilishi Maalum wa Umoja wa Mataifa (U.N) nchini humo, Nicholas Haysom kwa sababu ya kuingilia mambo ya ndani ya...

Kimataifa

Trump, Melania watinga Iraq kimyakimya

ZIARA ya Rais wa Marekani, Donald Trump na mkewe Melania imefanywa kimyakimya nchini Iraq. Vinaripoti vyombo vya kimataifa … (endelea). Hata hivyo inaelezwa...

error: Content is protected !!