Monday , 6 May 2024

Habari

Kimataifa

Hekaheka yaibuka ndani ya ndege Marekani

HEKAHEKA imeibuka ndani ya ndege ya Jet Blue, ambapo abiriwa waliokuwa wakitoka katika uwanja wa Ndege wa San Juan (Carolina) kwenda Miami, waligoma kusafiri. Unaripoti...

Kimataifa

‘Lockdown’ siku ya Eid

SIKU ya Sikukuu ya Eid el Fitr na siku nne mbele, wananchi wa Saudi Arabia wametangaziwa kutotoka nje. Utekelezaji wa tangazo hilo utaanzia...

Habari MchanganyikoKimataifa

Weijia Jiang, mwandishi aliyemtoa Rais Trump kwenye ‘reli’

MKUTANO wa Rais wa Marekani, Donald Trump na wanahabari, umevunjika baada ya rais huyo kuulizwa maswali yaliyomchefua. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa…(endelea).  Mkutano huo ulifanyika...

Kimataifa

Obama amnaga Trump, Ikulu yamtetea

BARACK Obama, Rais Mstaafu wa Marekani, amemtuhumu rais wa sasa Donald Trump kwamba ameshindwa kuukabili ugonjwa wa mapafu unaosababishwa na virusi vya corona...

Kimataifa

Corona: WHO yatoa onyo

SHIRIKA la Afya Duniani (WHO), limetoa tahadhari kwa dawa za mitishamba zinazotengenezwa ili kukabiliana na virusi vinavyosababisha homa ya mapafu (corona). Inaripoti Mitandao ya...

Kimataifa

China yaidhinisha nyongo ya dubu kutibu corona

TAIFA la China limeidhinisha matumizi ya nyongo ya dubu kuwatibu wagonjwa wa  corona (COVID-19). Inaripoti Mitandao ya Kimataifa…(endelea). Kwa kujibu wa taarifa ya Shirika la...

Kimataifa

Waathirika wa Corona Kenya wafikia 25

SERIKALI jijini Nairobi, imetangaza kuongezeka wagonjwa 25 wa visa vya karibuni vya maambukizi ya Corona, kwatu tisa. Kati yao, saba ni raia wa...

Kimataifa

Wahudumu wodi ya corona Kenya wagoma

MGOMO umeibuka katika wodi iliyotengwa kuwahudumia watu walioambukizwa virusi vya corona nchini Kenya. Inaripoti mitandao ya kimataifa … (endelea). Taarifa zaidi kutoka nchini humo...

Kimataifa

Corona yatua Kenya

KENYA inakuwa nchi ya kwanza katika Jumuiya ya Afrika Mashariki kuripotiwa kugundulika kwa mtu mwenye virusi vya Corona (COVID-19, mamlaka ya nchi hiyo...

Kimataifa

Hofu ya Corona: Saud Arabia yazuia Ibada ya Umra

IBADA ya Umra inayotekelezwa na Waislamu nchini Saud Arabia, imezuiwa kwa muda kutokana na hofu ya kusambaa kwa virusi vya Corona. Inaripoti Mitandao ya...

Kimataifa

Hosni Mubarak afariki dunia

RAIS wa zamani wa Mirsi, Hosni Mubarak (91) amefariki dunia leo tarehe 25 Februari 2020, wakati akipatiwa matibabu jijini Cairo. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa…(endelea)....

Habari za SiasaKimataifa

Hivi ndivyo Trump anavyoiua Palestina

RAIS wa Marekani, Donald Trump anataka dunia itambue, kwamba anashughulika kutatua mgogoro kati ya Israel na Palestina. Anaandika Mwandishi Wetu… (endelea). Harakati na...

Kimataifa

Rais Moi aagwa kwa aina yake bungeni

MAELFU ya raia na viongozi wa Serikali ya Kenya, leo tarehe 8 Februari 2020, wamejitokeza katika viwanja vya bunge jijini Nairobi, kutoa heshima...

Kimataifa

Corona janga la dharura – WHO

TEDROS Adhanom, Kiongozi Mkuu wa Shirika la Afya duniani (WHO), ametangaza kwamba virusi vya Corona sasa ni janga la dharura duniani. Inaripoti Mitandao ya...

KimataifaMichezo

Shujaa wa kikapu: Kobe Bryant, hatuko naye tena

NI majonzi. Ni simamizi. Ni vilio kote duniani, kufuatia kifo cha ghafla cha nyota wa mpira wa kipaku nchini Marekani, Kobe Bryant. Mwanamichezo...

Kimataifa

Habari za hivi punde: Iran yakiri kuangusha ndege ya Ukraine

HATIMAYE Serikali mjini Tehran, imekiri madai kuwa imeidungua ndege ya abiria Ukraine, runinga ya taifa ya Iran imeripoti. Kwa mujibu wa taarifa hiyo,...

Kimataifa

Mvutano: Trump anataka vita, bunge linamgomea

AZIMIO la kumzuia Rais wa Marekani, Donald Trump kuanzisha vita na Iran, limezua mvutano baina ya Chama cha Democrats na Republicans. Inaripoti Mitandao...

Kimataifa

Marekani yaghairi kuichapa Iran, kuiwekea vikwazo kiuchumi

NCHI ya Marekani imetangaza kuiwekea vikwazo vya kiuchumi vya kihistoria Iran, hadi pale taifa hilo litakapoacha kufadhili vikundi vya ugaidi pamoja na matumizi...

Kimataifa

Iran yalianzisha, yashambulia kambi za Trump

VIASHIRIA vya Vita ya Tatu vya Dunia tayari vimedhihiri, Iran imeanza kutekeleza kile ilichoahidi kwamba, itashambulia Marekani kulipiza kisasi. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa...

Kimataifa

Mazishi ya Soleiman; 30 wapoteza maisha

ZAIDI ya watu 30, wamefariki dunia na wengine kadhaa kujeruhiwa katika msongamano wa watu, waliojitokeza kumzika Qasem Soleiman, aliyekuwa kiongozi mwandamizi wa Jeshi...

Kimataifa

Kifo cha Generali Soleiman: Marekani kumweka ‘mtu kati’ Rais Trump

BARAZA la Wawakilishi nchini Marekani,  limepanga kupiga kura ya Azimio la Kumdhibiti Rais wa nchi hiyo, Donald Trump, kutumia nguvu za Kijeshi dhidi...

Kimataifa

Rais Pakistan ahukumiwa kifo

PERVES Musharraf, aliyekuwa Rais wa Pakistan (76) amehukumiwa adhabu ya kifo, baada ya kukutwa na hatia ya kosa la uhaini. Inaripoti Mitandao ya...

KimataifaMakala & Uchambuzi

Conservative chaibua mshindi Uingereza

CHAMA cha Conservative cha Uingereza, kimeshinda uchaguzi wa mapema nchini humo. Kimepata viti 364, kutoka 326 ilivyokuwa inavihitaji kutangazwa mshindi. Anaripoti Mwandishi Wetu...

Kimataifa

Palestina walaani mauaji ya wafungwa Israel

UBALOZI wa Palestina nchini Tanzania umelaani mauaji ya wafungwa katika magereza ya Israel. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea). Taarifa hiyo imetolewa na...

Habari za SiasaKimataifa

Spika Ndugai aimwagia sifa Kenya

JOB Ndugai, Spika wa Bunge ameipongeza Kenya kwa kuzindua Kanuni za Kudumu za Bunge lake, kwa lugha ya Kiswahili. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea)....

KimataifaTangulizi

Wauwaji wa mwandishi wa habari Jamal Khashoggi waumbuka

SIRI juu ya mauaji ya mwandishi wa habari wa kimataifa raia wa Saudia, Jamal Khashoggi, zimeanza kufichuka. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Taarifa kutoka...

Kimataifa

Trump aanza kuonja machungu

RAIS wa Marekani, Donald Trump ameanza kuonja machungu baada ya mchakato wa kung’olewa kushika kasi. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea). Kupitia tamko...

Kimataifa

Ratiba mazishi ya Mugabe

MWILI wa Robert Mugabe, aliyekuwa Rais Mstaafu wa Zimbabwe unatarajiwa kuwasili nchini mwake tarehe 11 Septemba 2019, ukitokea Singapore alikofariki dunia wakati anapatiwa...

Kimataifa

Rais Robert Mugabe afariki dunia

ROBERT Mugabe, aliyekuwa Rais wa kwanza wa Zimbabwe, amefariki dunia. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea). Taarifa kutoka ndani ya familia ya gwiji...

Habari MchanganyikoKimataifa

Mashambulizi Afrika Kusini: Tanzania yasitisha safari zake 

SERIKALI imesitisha safari za Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) kwenda Afrika Kusini, kufuatia vurugu zinazoendelea nchini humo. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Raia...

Siasa

Wabunge 5 CUF wabanwa mbavu Handeni

WABUNGE watano kutoka Chama cha Wananchi (CUF), tarehe 3 Agosti 2019 walikamatwa na kuhojiwa na Jeshi la Polisi wilayani Handeni, Tanga kwa madai...

Kimataifa

Ni uvamizi, unyanyasaji na mauaji tu Palestina

WAKAZI wa Palestina ni moja ya raia wanaoishi katika mateso makubwa ndani ya ardhi yao. Wananyanyaswa, wanateswa na hata kuuawa. Kutoka katika mitandao...

KimataifaTangulizi

Serikali kuingia mgogoro na Marekani?

SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano, yaweza kujiingiza kwenye mgogoro mwingine wa kidplomasia na mataifa ya Magharibi, kufuatia uamuzi wake wa kumpokea na kumruhusu...

Kimataifa

Mahujaji wa DRC wazuiwa kuingia Makka kisa Ebola

NCHI ya Saudi Arabia imegoma kutoa hati ya kusafiria ‘Viza’ kwa mahujaji kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), ikihofia mlipuko wa ugonjwa...

Kimataifa

Rais abaka, atesa, ashinikiza mauwaji

MWANAJESHI wa zamani wa serikali ya Yahya Jammeh, iliyotawala taifa la Gambia kwa miaka 22, Luteni Malick Jatta, amekiri kufanya mauaji ya wahamiaji...

Kimataifa

Waziri wa Fedha Kenya ajisalimisha

HENRY Rotich, Waziri wa Fedha nchini Kenya amejisalimisha kwa maafisa wa upelelezi, saa kadhaa baada ya Noordin Haji, Mkurugenzi wa Mashtaka kuagiza akamatwe. Inaripoti...

Habari MchanganyikoKimataifa

Masikini Abdul! apigwa risasi ya kichwa, yupo taaban

IJUMAA ya tarehe 12 Julai 2019, imebaki katika kumbukumbu hasi kwa wakazi wa Kijiji cha Kufr Qaddoum kilichopo Kaskazini mwa Mji wa West Bank. Inaripotiwa...

Habari za SiasaSiasa

Rais Magufuli awapa zawadi wafungwa

RAIS John Magufuli leo tarehe 16 Julai 2019, ametoa zawadi ya magunia 15 ya mchele pamoja na ng’ombe watatu kwa wafungwa na mahabusu...

Kimataifa

Bosco Ntaganda akutwa na hatia

MAHAKAMA ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai (ICC), imemtia hatiani kwa makosa ya uhalifu wa kivita na binadamu Bosco Ntaganda,  kiongozi wa zamani...

SiasaTangulizi

Sakata la Lissu: Wabunge CCM wamlalamika Ndugai

BAADHI ya wabunge kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM), wameeleza kutofurahishwa na kitendo cha Job Ndugai, Spika wa Bunge kumvua ubunge Tundu Lissu. Anaripoti Mwandishi...

Kimataifa

Jogoo ashtakiwa, kisa kuwika alfajiri

JOGOO mmoja katika kisiwa cha Oléron nchini Ufaransa, jana tarehe 4 Julai 2019 alipandishwa kizimbani akituhumiwa kuwika hivyo kusababisha usumbufu. Vinaripoti vyombo vya kimataifa...

Habari za SiasaSiasaTangulizi

Kesi ya Mbowe, wenzake:Shahidi aibua mapya

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeendelea kusikiliza kesi namba 112 ya mwaka 2018 ya viongozi wa Chadema leo tarehe 1 Julai 2019.Anaripoti Faki Sosi...

SiasaTangulizi

Kodi taulo za kike: Zitto ajenga hoja

ZITTO Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, amepinga pendekezo la serikali la kurejesha Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT), kwenye taulo za...

Kimataifa

DRC yaomba kujiunga Jumuiya ya Afrika Mashariki

NCHI ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), imeomba kujiunga na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC). Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Hayo amesema Felix...

Kimataifa

Kenya yaongoza kwa bajeti kubwa Afrika Mashariki

MATAIFA matano ya Afrika Mashariki jana tarehe 13 Juni 2019, yalitazamiwa kusoma bajeti zao kwa Mwaka wa Fedha 2019/20. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea)....

Habari za SiasaSiasaTangulizi

Lipumba maji ya shingo, Maalim Seif kicheko

KWA mara ya kwanza, Prof. Ibrahim Lipumba, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), amekiri kwamba, chama chake kinahemea pomoni. Anaandika Mwandishi Wetu …(endelea)....

SiasaTangulizi

Prof. Safari: AG anaweza kutenda jinai

MBOBEZI wa sheria nchini na Wakili wa Mahakama Kuu, Prof. Abdallah Safari amesema, iwapoDk. Adelardus Kilangi, Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), atagoma kutekeleza hukumu...

Kimataifa

Waziri Mkuu Uingereza atangaza kujiuzulu

WAZIRI Mkuu wa Uingereza, Theresa May ametangaza kujiuzulu wadhifa huo ifikapo tarehe 7 Juni 2019, kufuatia mkakati wake wa kuliondoa taifa hilo kwenye...

Kimataifa

Kachero CIA afungwa kwa kuipa China siri za Marekani

AFISA wa Zamani wa Shirika la Ujasusi la Marekani (CIA), Kevin Mallory (62) amefungwa miaka 20 jela kwa kosa la kutoa siri za...

Kimataifa

Rais wa Nigeria ashitakiwa mahakamani

SERIKALI ya Nigeria imemshitaki aliyekuwa Rais wa Taifa hilo, Goodluck Jonathan katika Mahakama ya Biashara ya London, kwa tuhuma za kupokea rushwa kutoka...

error: Content is protected !!