April 12, 2021

Uhuru hauna Mipaka

Mazishi ya Soleiman; 30 wapoteza maisha

Mazishi ya Qasem Soleiman

Spread the love

ZAIDI ya watu 30, wamefariki dunia na wengine kadhaa kujeruhiwa katika msongamano wa watu, waliojitokeza kumzika Qasem Soleiman, aliyekuwa kiongozi mwandamizi wa Jeshi la Irani. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea).

Kwa mujibu wa mitandao ya kimataifa, tukio hilo limetokea leo tarehe 7 Januari 2020 katika Mji wa Kerman, kufuatia msongamano mkubwa wa mamilioni ya watu, waliojitokeza kumzika Jenerali Soleiman, aliyefariki dunia tarehe 3 Januari 2020, nchini Iraqi.

Jenerali Soleiman aliuawa katika shambulio la anga, lililotekelezwa na Nchi ya Marekani, mjini Baghdad nchini Iraqi.

error: Content is protected !!