AKANUTI ya Twitter ya Rais wa Marekani, Donald Trump imefungiwa kabisa, kutokana na hatari ya kuitumia kuchochea vurugu nchini humo. Anaripoti Mwandishi Wetu...
By Masalu ErastoJanuary 9, 2021DONALD Trump, Rais wa Marekani ‘amezingirwa’ na sasa amesema, “nitakabidhi madaraka kwa amani.’ Inaripoti mitandaoya kimataifa…(endelea). Kwa mara ya kwanza tangu kufanyika Uchaguzi...
By Mwandishi WetuJanuary 8, 2021RAPHEI Warnock, ndio seneta wa kwanza mweusi katika jimbo la Georgia, nchini Marekani. Anatokea chama cha Democrat cha rais mteule, Joe Biden. Anaripoti...
By Mwandishi WetuJanuary 7, 2021Bunge limeBUNGE la Marekani, limemuidhinisha rasmi, Joe Biden, kuwa rais mpya wa taifa hilo kubwa kiuchumi ulimwenguni na Kamala Hariss, kuwa makamu wake...
By Kelvin MwaipunguJanuary 7, 2021MITANDAO ya Twitter na Facebook, imezifunga kwa muda akaunti za rais wa Marekani, Donald Trump, kufuatia kutuma ujumbe kwa wafuasi wake waliovamia Bunge....
By Kelvin MwaipunguJanuary 7, 2021WAFUASI wa Donald Trump, Rais wa Marekani wamevamia bunge la nchi hiyo, jijini Washington wakitaka rais huyo kubaki madarakani. Inaripoti mitandao ya kimataifa...
By Mwandishi WetuJanuary 7, 2021MAKANISA na Mashirika ya Kikristo nchini Marekani, yamemuandika barua ya pamoja rais mteule wa taifa hilo, Joe Biden kuhusu athari za uvamizi wa...
By Mwandishi WetuJanuary 6, 2021YOWERI Kaguta Museveni, Rais wa Uganda, ameamua kumteua Brigedia Kayanja Muhanga, kusimamia masuala ya usalama wakati huu kuelekea uchaguzi mkuu nchini humo unaotarajiwa...
By Mwandishi WetuJanuary 6, 2021RAIS anayeondoka mamlakani nchini Marekani, baada ya kushindwa uchaguzi mwezi uliyopita, Donald Trump, amedukuliwa kuwa alipanga njama za wizi wa kura. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuJanuary 4, 2021BAADA ya miezi tisa ya kufungwa kwa shule nchini Kenya, leo Jumatatu tarehe 4 Januari 2021, shule hizo zimefunguliwa na kuanza masomo. Inaripoti...
By Mwandishi WetuJanuary 4, 2021BAADHI ya vijana wa kiume 344 waliotekwa nyara na kundi la Boko Haram nchini Nigeria wameanza kuokolewa na vikosi vya usalama nchini humo. Inaripoti...
By Mwandishi WetuDecember 18, 2020RAIS wa zamani wa Burundi, Pierre Buyoya (71) amefariki dunia akiwa jijini Paris nchini Ufaransa kwa ugonjwa wa COVID-19. Inaripoti mitandao ya Kimataifa...
By Mwandishi WetuDecember 18, 2020WAZIRI Mkuu wa Uswatini, Ambrose Dlamini, amefariki dunia jana Jumapili tarehe 13 Desemba 2020, hospitalini nchini Afrika Kusini alikokuwa akipatiwa matibabu. Inaripoti Mitandao...
By Mwandishi WetuDecember 14, 2020BUNGE katika Jamhuri ya Demokrasia ya Watu wa Kongo (DRC), limemuondoa madarakani, aliyekuwa Spika wake, Jeanine Mabunda, kufuatia kupigiwa kura ya kutokuwa na...
By Mwandishi WetuDecember 11, 2020TUME ya Umoja wa Mataifa (UN) ya Dawa za Kulevya, imepiga kura ya kuidhinisha kuiondoa bangi katika orodha ya dawa za kulevya. Inaripoti...
By Mwandishi WetuDecember 3, 2020MWANASHERIA Mkuu wa Marekani, William Barr amesema, wizara ya sheria imechunguza madai ya udanganyifu katika uchaguzi wa 3 Novemba mwaka huu na kushindwa...
By Mwandishi WetuDecember 2, 2020GARI la Robert Kyagulanyi ‘Bob Wine,’ mgombea urais nchini Uganda kupitia chama cha upinzani cha FDC, limeshambuliwa kwa risasi. Vinaripoti vyombo vya habari vya...
By Mwandishi WetuDecember 2, 2020RASHID Charles Mberesero, Mtanzania aliyehukumiwa kifungo cha maisha kutokana na kuhusika katika shambulio la kigaidi la Garisa, Kenya mwaka 2015, amejinyonga na kufariki...
By Mwandishi WetuNovember 30, 2020WAKATI dunia ikidhani imepumua baada ya Donald Trump, Rais wa Marekani (2016-2020) kuangushwa, China na Korea Kaskazini zinaweza ‘kukasirishwa’ na uamuzi wa raia...
By Mwandishi WetuNovember 9, 2020NCHINI Nigeria, zaidi ya miili 20 imepatikana baada ya kumiminiwa risasi na jeshi la nchi hiyo kuwamiminia risasi waandamanaji wanaopinga ukatili wa polisi...
By Mwandishi WetuOctober 21, 2020PIERRE Buyoya, Rais Mstaafu wa Burundi, amehukumiwa kifungo cha maisha gerezani baada kubaini kuhusika katika mauaji ya aliyekuwa rais wa taifa hilo, Melchior...
By Mwandishi WetuOctober 21, 2020RAIS wa Marekani, Donald Trump na mkewe Melania Trump, sasa wapo karantini baada ya kukumbwa na virusi vya corona (COVID-19). Inaripoti BBC … (endelea). Kabla...
By Mwandishi WetuOctober 2, 2020ZALMAY Khalilzad, mjumbe wa Marekani katika kutafuta amani nchini Afghanstan, bado anatetea uamuzi wa kuwachia huru maelfu ya wafungwa wa Talban, ingawa bado...
By Mwandishi WetuSeptember 15, 2020WAGONJWA milioni 20.1 waliokuwa wameambukizwa virusi vya corona (COVID-19) duniani wamepona. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea). Mtandao wa worldometer umeripoti leo Alhamisi...
By Mwandishi WetuSeptember 10, 2020NEYMAR de Santos, mshambuliaji wa timu ya Paris Saint-Germain (PSG) ya nchini Ufaransa na wachezaji watatu wa timu hiyo, amekutwa na virusi vya...
By Mwandishi WetuSeptember 4, 2020DUNIA imelaani hatua ya mwanajeshi wa Jeshi la Israel, kumkandamiza kwa kifuti cha mguu kwenye shingo ya muandamanaji wa Palestina. Inaripoti Shirika la Utangazaji...
By Mwandishi WetuSeptember 3, 2020PAUL Pogba, kiungo wa Manchester United, ameachwa katika kikosi cha Timu ya Taifa ya Ufaransa, baada ya kubainika kuambukizwa virusi vya corona (COVID-19)....
By Mwandishi WetuAugust 27, 2020MOHAMED Ould Abdel Aziz (63), aliyekuwa Rais wa Mauritania (2008–2019), amekamatwa na kuhojiwa kwa tuhuma za rushwa alipokuwa madarakani. Inaripoti mitandao ya kimataifa…(endelea). Rais...
By Mwandishi WetuAugust 25, 2020MAANDAMANO yameibuka jimbo la Wisconsin nchini Marekani baada ya polisi kutuhumiwa kumpiga risasi mtu mweusi nchini humo, Jacob Blake. Inaripoti BBC…(endelea) Video zilizosambaa...
By Mwandishi WetuAugust 24, 2020MARAIS wastaafu wa Marekani, Bill Clinton na Jimmy Carter wamesema Donald Trump, rais wa sasa wa Taifa hilo amesababisa vurugu kwa taifa hilo....
By Mwandishi WetuAugust 19, 2020RAIS wa Mali, Ibrahim Boubacar Keita ametangaza kujiuzulu pamoja na Waziri Mkuu wake, Boubou Cissé muda mfupi baada ya wanajeshi waasi kuwakamata na...
By Mwandishi WetuAugust 19, 2020VITA ya maneno kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Marekani Novemba 2020, sasa imebebwa na Michelle Obama, mke wa Rais mstaafu wa taifa hilo, Barack...
By Mwandishi WetuAugust 18, 2020NCHINI Zimbabwe, Serikali imegoma kupokea barua iliyoandikwa na Baraza la Maaskofu la Katoliki ikilalamikia vitendo vya rushwa, unyanyasaji, umasikini na haki za binadamu....
By Mwandishi WetuAugust 17, 2020MAAMBUKIZO ya virusi vya corona (COVID-19) duniani, yamefikia milioni 21.8, waliopona milioni 14.5 huku waliofariki dunia kutokana na ugonjwa huo wakiwa 773,122. Inaripoti...
By Mwandishi WetuAugust 17, 2020RAIS wa Namibia, Hage Geingob amekataa kupokea fidia iliyotolewa na serikali ya Ujerumani, kama fidia ya mauaji ya kimbari. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa...
By Masalu ErastoAugust 12, 2020JOE Biden, mgombea urais kupitia Chama cha Democratic nchini Marekani, amemteua Kamala Harris, Seneta wa California kuwa mgombea mwenza wake. Inaripoti mitandao ya...
By Mwandishi WetuAugust 12, 2020NCHI ya Bangladesh imetangaza kupeleka msaada wa chakua na dawa haraka baada ya Mji wa Beirut, Lebanon kukumbwa na janga la mlipuko. Inaripoti...
By Mwandishi WetuAugust 6, 2020SERIKALI ya Kenya, imetangaza wagonjwa wapya 727 wa virusi vya corona (COVID-19) baada ya kupima sampuli 6,371 ndani ya saa 24 zilizopita. Anaripoti...
By Mwandishi WetuAugust 1, 2020WAGONJWA milioni 10.7 wamepona ugonjwa unaosababishwa na virusi vya corona (COVID-19) duniani. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Kwa mujibu wa mtandao wa worldometer, unaonyesha hadi...
By Mwandishi WetuJuly 30, 2020WAKATI hali ya sintofahamu kati ya China na India ikishika hatamu, India imenunua ndege tano mpya za kivita aina ya Rafale zilizo na uwezo wa...
By Mwandishi WetuJuly 30, 2020BUNGE la Uturuki limepitisha sheria tata, ambayo inaipa serikali ya nchi hiyo mamlaka ya kuingilia maudhui kwenye mitandao ya kijamii na hata kulazimisha...
By Mwandishi WetuJuly 29, 2020SAA 24 zilizopita, watu 572 wameripotiwa kufariki dunia nchini Afrika Kusini kwa ugonjwa wa homa ya mapafu unaosababishwa na virusi vya corona (COVID-19). Inaripoti...
By Mwandishi MaalumJuly 23, 2020MASISTA 12 katika Mji wa Michigan, Marekani wamepoteza maisha ndani ya siku 30 (Mei 2020), kwa ugonjwa wa homa ya mapafu unaosababishwa na...
By Mwandishi WetuJuly 22, 2020KANYE West, mwamauziki wa mtindo wa kufoka foka, ameanza safari ya kutaka kuwa rais wa Marekani kwenye uchaguzi mkuu mwaka huu. Inaripoti mitandao ya...
By Mwandishi WetuJuly 20, 2020CHRISTOPHER Wray, Mkurugenzi wa Shirika la Upelelezi la Mareani (FBI) amesema, vitendo vya Serikali ya China ni tishio kwa taifa hilo. Inaripoti mitandao ya kimataifa…(endelea)....
By Masalu ErastoJuly 8, 2020SERIKALI ya Kenya imesema, shule za msingi na sekondori nchini humo zitafunguliwa Januari 2020. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea). Hayo yamesemwa na...
By Mwandishi WetuJuly 7, 2020JESHI la Polisi nchini Ethiopia, limethibitisha mauaji ya watu 166, raia wa taifa hilo kwenye maandamano ya kulaani mauaji ya mwanamuziki Haacaaluu Hundeessa. Inaripoti...
By Kelvin MwaipunguJuly 6, 2020MAOFISA wawili wa Shirika la Umoja wa Mataifa (UN), waliokuwa wanaotajwa kufanya ngono kwenye gari la shirika hilo nchini Israel, wamepelekwa likizo ya...
By Mwandishi WetuJuly 3, 2020RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli amefanya mazungumzo kwa simu na Rais wa Msumbuji, Filipe Nyusi kuhusu masuala mbalimbali yahusuyo uhusiano na ushirikiano...
By Mwandishi WetuJuly 1, 2020WAGONJWA wapya 307 wa virusi vya corona (COVID-19), wameripotiwa nchini Kenya baada ya sampuli 3,591 kupimwa ndani ya saa 24 zilizopita. Inaripoti Mitandao...
By Mwandishi WetuJuly 1, 2020