Sunday , 19 May 2024

Habari

Kimataifa

Bobi Wine amnyima usingizi Museven

Bobi Wine mwanamuziki wa miondoko ya pop na mwanasiasa wa upinzani nchini Uganda, anamnyima usingizi rais wan chi hiyo Yower Museven. Inaripoti mitandao...

Kimataifa

Hekaheka DRC, uchaguzi njia panda

UCHAGUZI Mkuu katika Taifa la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) upo njia panda baada ya mamlaka za nchi hiyo kujiumauma. Vinaripoti vyombo...

Kimataifa

Polisi Afrika Kusini wamsaka mke wa Mugabe

MAMLAKA ya Taifa ya Mashtaka nchini Afrika Kusini (NPA) imetoa hati ya kukamatwa kwa Grace Mugabe, mke wa Rais mstaafu wa taifa hilo,...

Kimataifa

Seneta: Mohammed Bin Salman ni mtu hatari

JOTO la mauaji ya mwandishi wa habari Jamal Khashoggi, Raia wa Saud Arabia limeendelea kupanda na sasa, Rais Donald Trump anatakiwa ‘kumlaani’ Mohammed...

KimataifaTangulizi

Mbunge aliyefyatua risasi bungeni apelekwa ICC

MBUNGE Alfred Yekatom maarufu kama Rambo, aliyekamatwa na vyombo vya dola baada ya kufyatua risasi bungeni nchini Afrika ya Kati (CAR) amefikishwa katika...

Kimataifa

Kuanguka Trump, mwanasheria mkuu ang’oka

MWANASHERIA Mkuu wa Marekani, Jeff Sessions amejiuzulu wadhifa huo akitekeleza agizo la Rais Donald Trump, lililomtaka kuachia ngazi. Yanaripoti Mashirika ya Kimataifa …(endelea)....

Kimataifa

Mkuu wa shule, wanafunzi 79 watekwa nyara

MKUU wa shule pamoja na wanafunzi wa kiume 79 wametekwa nyara na makundi ya waasi katika jiji la Bamenda nchini Cameroon. Anaripoti Mwandishi...

Kimataifa

Iran yagomea vikwazo vya Marekani

RAIS wa Iran, Hassan Rouhani ameahidi kupinga vikwazo vya Marekani dhidi ya taifa lake, vinavyotarajiwa kuanza kutekelezwa leo tarehe 5 Novemba 2018. Anaripoti...

Kimataifa

Trump aitunishia misuli Iran, yajibu mapigo

BAADA ya Rais wa Marekani Donald Trump mwanzoni mwa mwezi Mei 2018, kujitoa katika mkataba wa kimataifa wa nyuklia na Iran wa mwaka...

Kimataifa

Mbunge azua taharuki akifyatua risasi bungeni

MBUNGE wa M’baiki Mashariki nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati, Alfred Yekatom amekamatwa ndani ya bunge baada ya kufyatua risasi hewani, wakati wabunge...

Kimataifa

Watu 188 wahofiwa kupoteza maisha kwenye ajali ya ndege

WATU takribani 188 wanahofiwa kupoteza maisha kwenye ajali ya ndege ya abiria ya Shirika la Lion Air iliyokuwa safarini kutoka mji mkuu wa...

Kimataifa

Video ya ngono ya Waziri yavuja, aomba radhi

WAZIRI wa Mambo ya Ndani wa Afrika Kusini, Malusi Gigaba yuko katika wakati mgumu baada ya video ya ngono iliyomhusisha yeye na mkewe...

Kimataifa

Trump: Wauaji Khashoggi walikuwa na mawazo duni

SERIKALI ya Saudi Arabia inatokomea kwenye tope baada ya siri za mauaji ya mwandishi wa habari wa gazeti la Washington Post, Jamal Khashoggi...

Kimataifa

Basi lateketeza maisha ya watu 50

BASI la abiria lililokuwa likitokea jijini Nairobi kuelekea Kisumu nchini Kenya, limepata ajali na kuua watu takribani 50. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea)....

KimataifaTangulizi

Marekani, China washusha uchumi wa Dunia

MIVUTANO ya kibiashara ya kidunia imetajwa kuwa miongoni mwa sababu za kushuka kwa uchumi  wa dunia katika kipindi cha mwaka 2018/2019 huku vita...

Kimataifa

Hospitali matatani kwa kumuambukiza mgonjwa VVU

HOSPITALI moja nchini Uingereza inayofahamika kwa jina la Pinderfields imeingia matatani baada ya kutuhumiwa kutaka kumsabishia mgonjwa Paul Batty (52) kupata maambukizi ya...

Kimataifa

China yathibitisha kumshikiria Rais wa Interpol

NCHI ya China imethibitisha kumzuia Rais wa Shirika la Polisi wa Kimataifa (Interpol), Meng Hongwei ikidai kuwa anafanyiwa uchunguzi na Tume ya Kupambana...

KimataifaTangulizi

Wafungwa wateka gereza, watoa masharti mazito

KATIKA hali isiyo ya kawaida, wafungwa wanaoshikiliwa kwenye gereza la Juba nchini Sudan Kusini wanadaiwa kuliteka gereza hilo huku wakiwa na silaha ikiwemo...

Kimataifa

Marekani, Saudi Arabia watibuana

MARAFIKI wawili, Taifa la Saudi Arabia na Marekani yameingia kwenye mgogoro. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Kwa mujibu wa mtandao wa taarifa, Prince Salman ameishambulia...

KimataifaTangulizi

China yashukiwa kupotea kwa Rais wa Interpol

UTATA umeibuka kufuatia madai ya kupotea kwa Rais wa Shirika la Polisi la Kimataifa (Interpol), Meng Hongwei baada ya  Afisa Mkuu wa masuala...

Kimataifa

Rais wa Korea atupwa jela miaka 15

ALIYEKUWA Rais wa Korea Kusini, Lee Myung-bak amehukumiwa kifungo cha miaka 15 jela baada ya kupatikana na hatia ya makosa ya rushwa. Anaripoti...

Kimataifa

Wanaume watinga ofisini na mavazi ya kike

WAFANYAKAZI wa Kiume katika kampuni ya Chloride Exide nchini Kenya, wametinga ofisini wakiwa wamevaa mavazi ya kike ikiwa ni mkakati wao wa kuhamasisha...

Kimataifa

NGO’s zapigwa ‘stop’ Burundi, kisa ushoga

TAASISI na Mashirika yasiyo ya kiserikali nchini Burundi yamesitishwa kutoa huduma katika kipindi cha miezi mitatu kuanzia mwezi Oktoba hadi Disemba mwaka huu,...

Kimataifa

Marekani yamkaba koo Rais Museveni kuhusu bobi Wine

MAREKANI imeitaka serikali ya Rais wa Uganda, Yoweri Museveni kufuta mashtaka ya uhaini iliyofungua mahakamani dhidi ya Mbunge wa Kyadondo Mashariki , Robert...

Kimataifa

Aibu Ikulu, Mtoto wa Rais ashikiliwa kwa utakatishaji fedha

VYOMBO vya dola nchini Angola vimemuweka kizuizini Jose Filomeno Dos Santos, mtoto wa rais wa zamani wa nchi hiyo, Jose Eduardo Dos Santos...

KimataifaTangulizi

Museveni kung’oka madarakani?

RAIS wa Jamhuri ya Uganda, Yoweri Kaguta Museveni, aweza kung’oka madarakani ndani ya kipindi cha miaka miwili kutoka sasa. Anaripoti Mwandishi Wetu …...

Kimataifa

Dada wa Kabila akamatwa na begi la hela Dubai

DADA wa Rais wa Kongo (DRC), Joseph Kabila, anayefahamika kwa jina la Janeth Kabila, amekamatwa na mamilioni ya dola za Kimarekani nchini Imarati...

KimataifaTangulizi

Bobi Wine akamatwa tena, apelekwa pasipojulikana

MBUNGE wa Kyadondo Mashariki nchini Uganda, Robert Kyagulanyi maarufu kama ‘Bobi Wine’ amekamatwa na Jeshi la Polisi alipowasilisi katika Uwanja wa Ndege wa...

Kimataifa

Hili ndio chimbuko la uadui wa Israeel, Iran

TANGU kufanyika kwa Mapinduzi ya Iran ya mwaka 1979, ambapo viongozi wa kidini wenye msimamo mkali walichukua mamlaka na kumaliza utawala wa Kifalme...

Kimataifa

Trump aichimba mkwara mzito mahakama ya ICC

UTAWALA wa Rais wa Marekani, Donald Trump umetishia kuchukua hatua kali dhidi ya Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita (ICC), ikiwemo kuwawekea...

Kimataifa

Wanajeshi 10 wahukumiwa kwa mauaji, ubakaji

MAHAKAMA ya kijeshi nchini Sudan Kusini imewahukumu wanajeshi 10 vifungo vya kati ya miaka saba na maisha kwa makosa ya mauaji na ubakaji....

KimataifaTangulizi

Bobi Wine alazwa ICU, madaktari wasema alipewa sumu

MBUNGE wa Kyadondo Mashariki nchini Uganda, Robert Kyagulanyi hali yake kiafya ni tete, amelazwa katika chumba cha uangalizi maalumu (ICU) nchini Marekani alikokwenda...

Kimataifa

Wapinzani DRC kumtikisa Kabila

HATUA ya Mahakama ya Juu nchini Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) kutangaza kuwa, mgombea wa chama kikuu cha upinzani-MCL- Jean-Pierre Bemba hana...

Kimataifa

China kutoa msaada wa Bil 60

RAIS wa China, Xi Jinping amesema serikali yake itatoa dola za kimarekani 60 bilioni katika mpango wake wa miaka mitatu wa ushirikiano na...

Kimataifa

Waandishi wa habari za uchunguzi wahukumiwa kifungo

WAANDISHI wa habari wawili wa mtandao wa Reuters wa Lone na Kyaw Soe Oo, wamehukumiwa kifungo cha miaka saba jela na Mahakama nchini...

Kimataifa

Spika wa Bunge Uganda amvaa Rais Museveni

REBECCA Kadaga, Spika wa Bunge la Uganda amemwandikia barua Rais Yoweri Museveni akimtaka kuhakikisha kwamba, polisi waliohusika kumpiga na kumjeruhi, Robert Kyagulanyi ‘Bobi...

Kimataifa

Jaji Mkuu akamatwa kwa ufisadi

PHILOMENA Mwilu, Naibu Jaji Mkuu wa Kenya amekamatwa na vyombo vya dola kwa tuhuma za ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka. Anaripoti Regina...

Kimataifa

Marekani, Kenya wasaini mkataba wa usalama, biashara

DONALD Trump, Rais wa Marekani na Rais Uhuru Kenyetta wa Kenya wamesaini mikataba yenye thamani ya dola za kimarekani 900 milioni, huku sehemu...

Kimataifa

Bobi Wine atinga mahakamani na magongo, aachiwa kwa dhamana

ROBERT Kyagulanyi ‘Bob Wine’ Mbunge wa jimbo la Kyadondo nchini Uganda na wabunge wengine watatu wameachiwa huru kwa dhamana na Mahakama Kuu mjini...

Kimataifa

Papa Francis atakiwa kujiuzuru

CARLO Maria Vigano, Mjumbe wa zamani wa Vatican amemtaka Papa Francis, Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani kujiuzulu kufuatia kadhia inayoliandama kanisa hilo...

KimataifaTangulizi

McCain afariki dunia

MPINZANI was Rais Mstaafu wa Marekani Barack Obama mwaka 2008 na seneta maarufu nchini Marekani, John McCain (81), amefariki dunia akiwa katika chumba...

Kimataifa

Trump asitisha msaada Palestina

DONALD Trump, Rais wa Marekani amesitisha utoaji msaada wa zaidi ya dola 200 milioni kwa Palestina. Anaripoti Regina Kelvin … (endelea). Marekani ilipanga...

Kimataifa

Wanaompinga Rais Mnangagwa watoswa Zimbabwe

MAHAKAMA ya Kikatiba nchini Zimbabwe imetupilia mbali maombi yaliyowasilishwa mahakamani hapo na chama kikuu cha upinzani nchini humo MDC, ya kukata rufaa dhidi...

Kimataifa

Kiongozi wa Upinzani Uganda akamatwa tena na Polisi

KIZZA Besigye, Kiongozi Mkuu wa Upinzani nchini Uganda amekamatwa na Jeshi la Polisi nchini humo wakati akijaribu kuondoka nyumbani kwake mjini Kasangati. Anaripoti...

KimataifaTangulizi

Bobi Wine aachiwa huru, akamatwa tena

SERIKALI ya Uganda imemuondolea mashtaka Mbunge wa Kyadondo, Robert Kyagulanyi maarufu kama Bobi Wine, lakini alikamatwa tena muda mfupi baada ya kuachiwa huru....

Kimataifa

Uganda kwazidi kuchafuka

MTU mmoja amepoteza maisha na zaidi ya watu 100 wamekamatwa na Jeshi la Polisi nchini Uganda, katika maandamano yaliyozuka kwa ajili ya kupinga...

Kimataifa

 BREAKING NEWS: Kofi Annan afariki dunia

KATIBU Mkuu wa zamani wa Umoja wa Mataifa (UN) Kofi Annan (80), amefariki dunia asubuhi leo. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Taarifa zilizopatikana...

KimataifaTangulizi

Dereva wa mbunge auwawa na polisi

DEREVA wa Mbunge wa Jimbo la Kyaddondo Mashariki  nchini Uganda,  Robert Kyagulanyi  Bobi Wine, Yasin Kawuma amefariki baada ya kupigwa risasi na watu...

Kimataifa

Urais wa Mnangagwa wapingwa mahakamani

CHAMA kikuu cha upinzani nchini Zimbabwe ‘Movement for Democratic’ (MDC) kimeenda mahakamani kwa lengo la kukata rufaa, ili kupinga matokeo ya uchaguzi wa...

Kimataifa

Rais Kabila akaa pembeni Urais DR Congo

VYAMA vinavyounda Muungano wa Common Front for Congo (FCC) umemteua aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani nchini humo, Emannuel Shadari kuwa mrithi wa...

error: Content is protected !!