Monday , 4 March 2024
Home Kitengo Habari Kimataifa Spika wa Bunge Uganda amvaa Rais Museveni
Kimataifa

Spika wa Bunge Uganda amvaa Rais Museveni

Spread the love

REBECCA Kadaga, Spika wa Bunge la Uganda amemwandikia barua Rais Yoweri Museveni akimtaka kuhakikisha kwamba, polisi waliohusika kumpiga na kumjeruhi, Robert Kyagulanyi ‘Bobi Wine,’ Mbunge wa Kyadondo wanachukuliwa hatua. Anaripoti Regina Kelvin … (endelea).

Spika Kadaga ametaka polisi hao wanaodaiwa kuwa baadhi yao ni walinzi wa Rais wa Museveni wanakamatwa mara moja na kuchukuliwa hatua za kinidhamu.

Kassiano Wadri, miongoni mwa wanasiasa waliowekwa kizuizini na Bobi Wine alidai kuwa Mbunge huyo wa Kyadondo alipigwa mara kwa mara na walinzi wa rais ambapo baadhi yao walikuwa wameficha nyuso zao.

Hata hivyo, serikali ya Rais Museveni imekanusha madai hayo ikisema kuwa ni ya uongo.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Kimataifa

Wanajeshi Ukraine waishiwa risasi, 31,000 wauawa

Spread the loveRais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskyy amesema zaidi ya wanajeshi 31,000...

Kimataifa

Waziri mkuu Palestina ajiuzulu

Spread the loveWaziri Mkuu wa Palestina, Mohammed Shtayyeh ametangaza kujiuzulu pamoja na...

Kimataifa

Rais mstaafu ahukumiwa miaka 4 jela

Spread the loveMahakama ya mjini Tunis imemhukumu rais wa zamani wa Tunisia,...

Kimataifa

Malawi yaondoa vikwazo vya viza kwa nchi 79 ikiwamo TZ

Spread the loveWaziri wa usalama wa ndani nchini Malawi, Ken Zikhałe ametangaza...

error: Content is protected !!