Friday , 19 April 2024
Home Kitengo Habari Kimataifa Wanafunzi wafunikwa na kifusi baada ya kudondokewa na ghorofa
Kimataifa

Wanafunzi wafunikwa na kifusi baada ya kudondokewa na ghorofa

Spread the love

WATU  kadhaa ikiwemo wanafunzi wanahofiwa kufunikwa na kifusi baada ya jengo moja lililoko katika maeneo ya Ita Faji kwenye mji kibiashara wa Nigeria, Lagos kuanguka mchana wa leo tarehe 13 Machi 2019. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea).

Msemaji wa Shirika la Usimamizi wa Masuala ya Dharula nchini Nigeria,  Ibrahim Farinloye ameeleza kuwa, jengo hilo lilianguka majira ya saa asubuhi.

Taarifa za awali zianeleza kuwa, vikosi vya uokoaji viko eneo la tukio kwa ajili ya shughuli za uokoaji majeruhi. Hadi sasa ripoti kamili ya majeruhi katika tukio hilo haijawekwa wazi na mamlaka husika, ingawa taarifa zinaeleza kuwa, jengo hilo lilikuwa na wanafunzi takribani 100.

Kwa mujibu wa mitandao ya kimataifa, ghorofa hilo lilikuwa na shule pamoja na makazi ya watu. Shule ilikuwa katika ghorofa ya juu.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

KimataifaTangulizi

Mkuu wa majeshi Kenya afariki, Ruto atangaza maombolezo

Spread the loveRais wa Kenya, William Ruto ametangaza maombezo ya siku tatu...

Kimataifa

Majaji kuamua hatima ya Zuma leo

Spread the loveMajaji nchini Afrika Kusini leo Jumanne wataamua ikiwa rais wa...

Habari za SiasaKimataifa

Spika Afrika Kusini ajiuzulu kwa tuhuma za rushwa

Spread the loveSpika wa Bunge la Afrika Kusini, Nosiviwe Mapisa-Nqakula ametangaza kujiuzulu...

Habari MchanganyikoKimataifa

Tetemeko la ardhi laua 7, lajeruhi 800 Taiwan

Spread the loveWatu wapatao saba wamefariki dunia na wengine zaidi ya 800...

error: Content is protected !!