MAIN STORY: Minimum – a picture, video, audio and pull-quote. It might also include a picture gallery, a text box (2 paragraphs – linking to a profile), a time line, a fact file (list of bullet points), Q&A, a map and embedded tweet(s).
SERIKALI ya Tanzania, imeshauriwa kuitisha mjadala wa kitaifa kuhusu takwimu za matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya 2022, ili kubaini...
By Regina MkondeNovember 2, 2022MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini ambapo...
By Mwandishi WetuNovember 1, 2022MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, ameishauri Serikali ipunguze kasi ya ongezeko la idadi ya watu, ili kukabiliana na athari...
By Regina MkondeNovember 1, 2022RAIS wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ametangaza kuwa idadi ya Watanzania imefikia milioni 61.7 kufikia tarehe 31 Oktoba 2022. Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Mwandishi WetuOctober 31, 2022NCHI ya Tanzania, ina majengo 14,348,372 (milioni 14.3), ambapo Bara kuna majengo 13,907,951 na Zanzibar 440,421. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam...
By Regina MkondeOctober 31, 2022KIONGOZI wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, ameoneshwa shahuku na ndoto aliyonayo ya kuwa Rais wa Tanzania, baada kusimulia alivyokuwa akimfariji mama yake kuwa...
By Mwandishi WetuOctober 30, 2022CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimehudhuria uzinduzi wa jengo jipya la makao makuu ya Chama cha ACT-Wazalendo lililopewa jina la Maalim Seif...
By Gabriel MushiOctober 30, 2022KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema baadhi ya mapendekezo yaliyotolewa na wanasiasa wa vyama vya upinzani katika Kikosi Kazi cha Rais...
By Mwandishi WetuOctober 28, 2022WAZIRI wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa ameruhusu Magari kuanza kutumia daraja jipya la wami kufuatia Ujenzi wake kukamilika kwa asilimia...
By Mwandishi WetuOctober 27, 2022MAKANDARASI nchini wametakiwa kuacha tabia ya kulalamika badala yake waweke juhudi ili wapate kazi kubwa zinazotangazwa ndani ya nje nchi. Na Mwandishi Wetu,...
By Mwandishi WetuOctober 27, 2022ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia, amemfungulia kesi Mwenyekiti wa Baraza la Wadhamini la chama hicho, Joseph Selasini, katika Mahakama Kuu,...
By Gabriel MushiOctober 27, 2022MBUNGE wa Ndanda Cecil Mwambe ameishauri Serikali kufuta tozo zilizokuwepo kwenye utaratibu za maozo ya kurosho ghafi ili kunusuru bei ya korosho...
By Mwandishi WetuOctober 26, 2022KAMATI ya Makamu Wakuu wa Vyuo Vikuu nchini (CVCPT), imeishauri serikali kuongeza wigo wa kutoa mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu ili...
By Mwandishi WetuOctober 26, 2022SERIKALI imeifungia Shule ya Awali na Msingi ya Chalinze Modern Islamic kuwa kituo cha Mitihani pamoja na kuwafuta kazi wasimamizi wa mtihani...
By Mwandishi WetuOctober 25, 2022MWANACHUO wa Chuo Kikuu cha SAUT mkoani Mwanza, Warren Lyimo anayedaiwa kupigwa na kuteswa na Polisi hadi kupasuka korodani, amesimulia mambo mazito na...
By Mwandishi WetuOctober 25, 2022CHAMA cha Wahariri nchini Kenya (KEG) kimetoa wito ufanyike uchunguzi wa haraka kuhusu mauaji ya kushtua ya mwanahabari wa Pakistani, Arshad Sharif. Sharif...
By Gabriel MushiOctober 25, 2022MWANASIASA wa Uingereza Rishi Sunak amechaguliwa jana tarehe 24 Oktoba, 2022 kuwa kiongozi wa chama cha Conservative na atakuwa waziri mkuu ajaye,...
By Mwandishi WetuOctober 25, 2022MKUU wa Jeshi la Magereza nchini Kamishna Jenerali Mzee Ramadhani Nyamka amewataka wahitimu wa kidato cha nne wa Shule ya Sekondari Bwawani...
By Mwandishi WetuOctober 24, 2022MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Abdulrahman Kinana, amesema kinachokwamisha dhamira ya Rais Samia Suluhu Hassan, kuleta maridhiano nchini ni mabishano...
By Gabriel MushiOctober 24, 2022Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan pamoja na Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Felix Tshisekedi wameshuhudia utiaji saini hati ya...
By Gabriel MushiOctober 24, 2022BAHATI yao! Ndilo neno lililotamalaki katika ndimi za mashabiki wa timu kongwe nchini, Simba na Yanga baada ya leo tarehe 23 Oktoba, 2022...
By Gabriel MushiOctober 23, 2022CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimemwomba Rais Samia Suluhu Hassan, aruhusu mikutano ya hadhara kabla ya marekebisho ya Sheria ya Vyama...
By Regina MkondeOctober 22, 2022KIKOSI kazi cha kukusanya maoni ya wadau wa demokrasia ya vyama vingi nchini Tanzania, kimependekeza hatua sita zitakazosaidia mchakato wa kupata Katiba mpya...
By Mwandishi WetuOctober 21, 2022HATIMAYE Kikosi Kazi cha kukusanya maoni ya wadau wa demokrasia ya vyama vingi nchini Tanzania kilichoundwa na Rais Samia Suluhu Hassan kimeitimisha kazi...
By Jonas MushiOctober 21, 2022ZIMBABWE imekuwa nchi ya kwanza barani Afrika na ya tatu duniani kuidhinisha dawa ya kuzuia VVU iliyopendekezwa hivi karibuni na Shirika la Afya...
By Mwandishi WetuOctober 20, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan, amesema kesho Ijumaa, tarehe 21 Oktoba 2022, atapokea ripoti ya kikosi kazi alichokiunda kuratibu maoni ya wadau wa...
By Regina MkondeOctober 20, 2022Waziri Mkuu wa Uingereza, Liz Truss leo tarehe 20 Oktoba, 2022 amejiuzulu uongozi wa chama cha Conservative na uwaziri mkuu baada ya...
By Mwandishi WetuOctober 20, 2022WADAU wa tasnia ya habari Tanzania, wameshauri mchakato wa marekebisho ya sheria zinazosimamia vyombo vya habari, ukamilike ili kukidhi dhamira ya Rais...
By Regina MkondeOctober 20, 2022MARA baada ya kuangukia kwenye michuano ya kombe la Shirikisho, klabu ya soka ya Yanga imepangwa kumenyana dhidi ya Club Africain ya...
By Masalu ErastoOctober 18, 2022MSHAMBULIAJI hatari raia wa Ufaransa, Karim Benzema anayekipiga katika Klabu ya Real Madrid ya nchini Uhispania, ametwaa tuzo ya mchezaji soka bora...
By Mwandishi WetuOctober 18, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan amesema shughuli za kuleta maendeleo katika nchi ni hatua na kuwahakikishia wale ambao bado hawajafikiwa na huduma mbalimbali kuwa...
By Mwandishi WetuOctober 17, 2022WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema kitendo cha chama cha upinzani Chadema, kuanzisha mfumo wa usajili wanachama...
By Mwandishi WetuOctober 17, 2022MWENGE wa Uhuru wa mwaka 2022 imefanikiwa kurejesha Sh 2.2 bilioni za mfuko wa maendeleo ya vijana ambazo zilikuwa zimekusanywa na Halmashauri na...
By Mwandishi WetuOctober 14, 2022JINA la Kiongozi wa Chama Cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, limetajwa katika kesi iliyofunguliwa na wabunge viti maalum 19, katika Mahakama Kuu, Masjala Kuu,...
By Mwandishi WetuOctober 13, 2022MAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), imedhamiria kufanikisha maono ya Rais Samia Suluhu Hassan ya kufanya mageuzi makubwa ya uchumi wa...
By Masalu ErastoOctober 13, 2022MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, imetoa siku 14 kwa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuwasilisha majibu yake dhidi...
By Gabriel MushiOctober 13, 2022SERIKALI imesema ina mkakati wa kuhakikisha kila wilaya ina chuo kimoja cha ufundi stadi (VETA) itakayowezesha vijana wasio na uwezo wa kulipia vyuo...
By Gabriel MushiOctober 13, 2022MBUNGE wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Mussa Hassan Mussa Silima wa Jimbo la Amani Zanzibar (CCM) amefariki dunia leo...
By Gabriel MushiOctober 13, 2022MBUNGE Viti Maalum, Grace Tendega, amedai Katibu Mkuu wa Chama cha Chadema, John Mnyika, alishiriki kikao cha Sekretarieti ya Baraza la Wanawake la...
By Gabriel MushiOctober 13, 2022KESI namba 36/2022 ya kupinga kuvuliwa uanachama wa Chama Cha Chadema, iliyofunguliwa na wabunge viti maalum 19 wakiongozwa na Halima Mdee, inaendelea...
By Regina MkondeOctober 13, 2022SERIKALI imeunda kamati ya watu saba itakayochunguza sakata la matokeo ya mtihani wa uwakili katika Taasisi ya Mafunzo ya Uanasheria kwa Vitendo (Law...
By Gabriel MushiOctober 12, 2022JINAMIZI la ajali limeendelea kuandama mkoa wa Mbeya baada ya watu watano kufariki dunia na wengine 28 kujeruhiwa baada ya gari aina ya...
By Gabriel MushiOctober 11, 2022WATU watatu akiwemo mtoto mwenye umri wa mwezi mmoja wakazi wa kijiji cha Rushungi wilayani Kilwa mkoani Lindi wamefariki dunia baada ya kula...
By Gabriel MushiOctober 11, 2022WANANCHI wilayani Mafia wameilalamikia kukosekana kwa huduma ya usafiri wa kuvuka kuingia na kutoka kisiwani humo kwa zaidi ya siku tatu huku...
By Faki SosiOctober 11, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan amesema wamekubaliana mambo saba kati yake na Rais wa Kenya, Dk. William Ruto na kusisitiza kuwa ziara kiongozi wa...
By Mwandishi WetuOctober 10, 2022RAIS wa Kenya, Dk. William Ruto jana jioni tarehe 9 Oktoba, 2022 amewasili Tanzania kuanza ziara rasmi ya siku mbili. Ruto atakutana na...
By Mwandishi WetuOctober 10, 2022BODI ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA), imeandaa maonesho ya huduma za kihasibu ikiwa sehemu ya shamra shamra za maadhimisho ya...
By Kelvin MwaipunguOctober 9, 2022WAZIRI Mkuu Kivuli kutoka ACT-Wazalendo, Dorothy Semu amesema viongozi na wanachama wa chama hicho, hawataacha kuikosoa na kuishauri Serikali kwa kuhofia kukosa nafasi...
By Seleman MsuyaOctober 7, 2022MAWAKILI wa Chama cha Chadema, wameanza kuwahoji maswali ya dodoso wabunge viti maalum nane kati ya 19, dhidi ya malalamiko waliyoweka katika...
By Regina MkondeOctober 7, 2022JUKWAA la Asasi za Kiraia (RCSF) za Ukanda wa Nchi za Maziwa Makuu Afrika (ICGLR) limetakiwa kusimamia mambo nane ambayo yatagusa jamii...
By Seleman MsuyaOctober 5, 2022