Thursday , 2 May 2024

Kitengo

Categorizing posts based on content

Michezo

Watanzania wang’ara Kilimanjaro International Marathon

WANARIADHA wa kitanzania wameng’ara katika mbio za 21 za Kilimanjaro Premium Lager International Marathon, baada ya kufanya vizuri katika mbio za Km 42...

Elimu

Wahitimu wa kidato cha sita watakiwa kuwa ndoto na mipango madhubuti

KAMISHNA wa Utawala na Raslimali watu wa Jeshi la Polisi nchini, C.P Suzan Kaganda amewataka vijana  hasa wasichana ambao ni wahitimu wa kidato...

ElimuHabari

NACTVET yatoa tuzo kwa wanaotoa nafasi kuendeleza ujuzi,Majaliwa ataka uwekezaji kwenye rasilimali watu

BARAZA la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTIVET) kwa kushirikiana na Chama cha Waajiri nchini (ATE), wamewapa tuzo kampuni na taasisi amabzo zimetoa...

ElimuHabari

CBE yazindua klabu ya ujasiriamali sekondari ya Temeke Wailes

CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE), kimezindua klabu ya ujasiriamali kwa shule ya sekondari Temeke Wailes iliyoko Wilaya ya Temeke jijini Dar es...

ElimuHabari

Vyuo Vikuu bora vya Cyprus, India, Uturuki na Uingereza kufanya maonyesho Dar na Zanzibar

VYUO vikuu bora kutoka  nchi za India, Cyprus, Uingereza, Malaysia na Uturuki vimeleta wawakilishi wake nchini kwaajili ya kuonyesha shughuli zao kwa watanzania...

Michezo

Masanja wa Simba aaga dunia gerezani China

  KIONGOZI mwandamizi klabu ya soka ya Simba ya Tanzania, Marco Masanja, aliyekuwa kifungoni nchini China, amefariki dunia. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam...

Kimataifa

Ujumbe wa Bunge la Marekani wafanya ziara nchini Taiwan

  MWAKILISHI wa Marekani, Ro Khanna ameongoza msafara wa wajumbe wa Bunge la nchi hiyo nchini Taiwan wikiendi hii kwa lengo la kuimarisha...

ElimuHabari

CBE yaja na klabu za ujasiriamali mashuleni

CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE), kimepanga kuanzisha vilabu vya ujasiriamali kwa shule za sekondari mkoani Dar es Salaam na kwa kuanzia kimezindua...

Elimu

Toufiq kutatua changamoto Shule ya Msingi Buigiri

  MBUNGE wa Viti maalum Dodoma (CCM), Fatma Toufiq, ameahidi kushughulikia changamoto ambazo zinaikabili shule ya msingi maalum ya Buigiri iliyopo Chamwino mkoani...

Elimu

Msongamano wanafunzi darasani wazitesa shule Tunduma

  WANANCHI katika Halmashauri ya Mji wa Tunduma wilayani Momba mkoani Songwe wameiomba serikali kuongeza vyumba vya madarasa katika shule za msingi ili...

Kimataifa

Eric Omondi mbaroni kwa kuongoza maandamano Kenya

  MCHEKASHAJI maarufu kutoka nchini Kenya Eric Omondi ametiwa mbaroni na jeshi la polisi nchini humo, kwa tuhuma za kuongoza kundi la vijana...

Kimataifa

Mwili wa Mwai Kibaki huenda ukafukuliwa, kupimwa DNA

MWILI wa aliyewahi kuwa Rais wa Kenya, Mwai Kibaki, huenda ukafukuliwa kwaajili ya kufanyiwa vipimo vya DNA endapo Mahakama Kuu nchini humo itakubaliana...

Elimu

Wanafunzi watakiwa kujiamini

MKURUGENZI wa Shule za Feza Tanzania, Ibrahim Yunus amewataka wanafunzi wa shule za msingi na sekondari nchini kujiamini wanaposhiriki midahalo ya kitaifa na...

Kimataifa

Tetemeko jingine la ardhi laua watatu

TETEMEKO la ardhi lenye kipimo cha 6.4 limeua watu watatu jana tarehe 20 Februari 2023 na kujeruhi wengine zaidi ya 200 katika baadhi...

Kimataifa

Viongozi kanisa la kianglikana duniani wamkataa askofu mkuu anayeunga mkono wapenzi wa jinsia moja

  KUNDI la viongozi wa kanisa la kianglikana kutoka sehemu mbalimbali duniani wamemkataa Askofu Mkuu wa Canterbury, Justin Welby, kuwa kiongozi wao baada...

ElimuHabari

CBE yatamba kuzalisha wahitimu walio tayari kwa soko la ajira

CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE), kimesema mpango wa kuwasaidia wanafunzi wajasiriamali kuendeleza biashara zao au kuatamia mawazo ya biashara zao utakuwa wa...

Kimataifa

Biden afanya ziara ya kushtukiza Ukraine

RAIS wa Marekani Joe Biden amewasili Kyiv – ziara yake ya kwanza nchini Ukraine tangu Urusi ilipovamia karibu mwaka mmoja uliopita. Imeripoti Mitandao...

Elimu

Prof. Mkenda aagiza uchunguzi wa kina shule zilizofanya udanganyifu

  WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda, amemuagiza Kamishna wa Elimu kufanya uchunguzi wa kina kwa shule nne zilizobainika kufanya...

Afya

Naibu Waziri awabebesha Wakurugenzi zigo la miradi chini ya kiwango

IMEELEZWA kuwa usimamizi mbovu wa miradi ya maendeleo na ujenzi wa majengo ya ofisi za serikali kwa baadhi ya halmshauri nchini unaotokana na...

Elimu

Chuo cha Kilimo cha Mwl. Nyerere kuanza kutoa mafunzo mwaka huu

WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda amekitaka Chuo Kikuu cha Mwalimu Julius K. Nyerere cha Kilimo na Teknolojia (MJNUAT) kilichopo...

Kimataifa

Bajeti ya India ya 2023 inawezaje kuongeza fursa kwa viwanda vya Taiwan?

  BAJETI ya India ya mwaka 2023 iliyosomwa tarehe 1 Februari ambayo imeelezwa kuwa itafungua dirisha la ushirikiano wa nchi mbili kati ya...

Kimataifa

Nikki Haley ajitosa kumvaa Trump urais Marekani

GAVANA wa zamani wa jimbo la South Carolina, Nikki Haley amesema kwamba atawania uteuzi wa mgombea urais wa Marekani kupitia chama cha Republikan....

Michezo

Rais Samia kununua kila goli la Simba, Yanga kwa Mil 5

  RAIS Samia Suluhu Hassan, ametangaza kununua kila goli litakalofungwa katika michezo ya kimataifa ya Simba na Yanga itakayochezwa mwishoni mwa wiki hii....

Elimu

Wanafunzi St Marys wazichachafya shule 59, Ni katika Quiz iliyoandaliwa na TRA

WANAFUNZI wa shule ya St Mary’s Mbezi Beach jijini Dar es Salaam, wameibuka kidedea kwenye shindano la kujibu maswali mbalimbali yanayohusu kodi. Anaripoti...

Burudika

Msanii maarufu AKA adaiwa kuuawa kwa risasi

RAPA maarufu nchini Afrika Kusini, Kiernan Forbes ‘AKA’ ameuawa akiwa amesimama nje ya mgahawa mmoja huko Durban jana usiku. Kwa mujibu wa taarifa...

Kimataifa

Tetemeko la ardhi laangamiza watu 24,000, mjamzito aokolewa

WAOKOAJI nchini Uturuki na Syria wameendelea na kazi ya kupekua vifusi kuwatafuta manusura au kuopoa miili ya watu waliopoteza maisha kutokana na tetemeko...

Kimataifa

Puto la Kijasusi la China latia mashaka mahusiano yake na Marekani

  PUTO la Kijajasusi la China liliorushwa kwenye anga ya Marekani limetajwa kuwa chanzo cha kuteteresha mahusiano ya nchini hizo mbili. Imeripoti Mitandao...

ElimuTangulizi

12 mbaroni udanganyifu mitihani kidato cha nne, Bunge lagongea msumari

  WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Adolf Mkenda amesema jumla ya watu 12 wamekamatwa na kuwekwa mahabusu kwa kuvujisha mtihani wa...

Kimataifa

Waziri wa mambo ya ndani Kenya matatani, Raila amkingia kifua

ALIYEKUWA Waziri wa Mambo ya Ndani wa Kenya, Fred Matiang’i, anasakwa na Jeshi la Polisi nchini humo, huku sababu za hatua hiyo kutowekwa...

Kimataifa

Raia Pakistan walilia haki siku ya Mshikamano Kashimir

RAIA wa Pakistani waishio nchini Tanzania wameadhimisha siku ya Mshikamano wa Kashmir (Kashmir Solidarity Day) inayoadhimishwa kila mwaka tarehe 5 Februari huku wakiomba...

Kimataifa

Ramaphosa akiri tatizo la umeme Afrika Kusini kuathiri sekta ya madini

  RAIS wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa amesema tatizo la umeme limeathiri kwa kiwango kikubwa sekta ya madini ambayo ni nguzo muhimu ya...

Kimataifa

Idadi ya vifo tetemeko la ardhi yafikia 9000

  IDADI ya vifo vilivyotokana na tetemeko la ardhi lililotokea Jumatatu wiki hii nchini Syria na Uturuki vimefikia 9,000. Inaripoti Mitandao ya Kijamii...

Kimataifa

Tetemeko la ardhi Uturuki: Vifo vyaongezeka hadi 4,800

  Idadi ya vifo vilivyotokana na tetemeko lililotokea jana Jumatatu katika mpaka wa Syria na Uturuki, imeongezeka hadi kufikia zaidi ya 4,800 bada...

Kimataifa

Tetemeko la ardhi laua watu 300 Uturuki, Syria

  WATU  300 wamefariki dunia katika tetemeko kubwa la ardhi lenye kipimo cha 7.8, lililotokea leo tarehe 6 Februari 2023, katika mpaka wa...

Kimataifa

Urusi, Ukraine zabadilishana wafungwa wa kivita

JUMLA ya wafungwa 179 wa kivita wa Urusi na Ukraine wamerejea nyumbani kufuatia mpango wa kubadilishana wafungwa. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa…(endelea). Mshauri mwandamizi...

Kimataifa

Papa Francis kukutana na wahanga wa vita Sudan Kusini

  KIONGOZI wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Francis leo Jumamosi atakutana na wahanga wa vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Sudan Kusini katika...

Kimataifa

Polisi ahukumiwa kifo kwa kumuua wakili

  MAHAKAMA kuu nchini Kenya imemhukumu kifo Ofisa wa Polisi, Fredrick Ole Leliman kwa mauaji ya wakili Willie Kimani na wengine wawili yaliyotokea...

Afya

Waziri wa Tamisemi apewa siku 14 afike Morogoro kutatua changamoto za Afya

  KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa Daniel Chongolo amempa siku 14 Waziri wa TAMISEMI kufika mkoani Morogoro kutatua changamoto za...

ElimuHabari Mchanganyiko

Waliopata Division one St Anne Marie Academy waula, Waahidiwa kupelekwa Ngorongoro, Mikumi

WANAFUNZI wa shule ya St Anne Marie Academy waliofanya vizuri kwenye matokeo ya kidato cha nne wanaandaliwa ziara ya kutembelea mbuga za wanyama...

Kimataifa

Hospitali za China zilifurika wagonjwa, wazee kipindi cha wa likizo ya Mwaka Mpya wa Lunar

HOSPITALI  nchini China zimejaa wagonjwa na wazee katika kipindi cha likizo ya Mwaka Mpya wa Lunar. hali hii imetokea ikiwa mamlaka ya China...

Kimataifa

Papa Francis ayataka mataifa ya nje kuacha kupora mali DRC

  KIONGOZI wa kanisa Katoliki Papa Francis, ameyataka mataifa ya nje kuacha kupora mali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na bara la...

Kimataifa

Mashabiki wakabiliwa na mashtaka ya mauaji baada ya wafuasi wa Arsenal na Manchester City kupigana Uganda

  MASHABIKI wawili wa soka nchini Uganda wanakabiliwa na mashtaka ya mauaji baada ya mwanamume mmoja kuuawa katika mji mkuu, Kampala kufuatia mzozo...

ElimuMakala & Uchambuzi

Waraka maalumu kwa NECTA, “hawapaswi kuungwa mkono”

HATUA iliyotangazwa na Baraza la Taifa la Mitihani (NECTA), ya kufuta utaratibu wa kutangaza shule bora na wanafunzi bora katika matokeo ya mitihani...

Kimataifa

China inatathmini upya sera za wafanyakazi

  WAKATI idadi ya watu wa nchi China inapungua, Beijing inatathmini upya sera za wafanyakazi kwa kuwa nguvu kazi kubwa imepungua. Imeripotiwa na...

Afya

Ma-RMO, DMO watakiwa kujitafakari ubadhirifu hospitali za mikoa, wilaya

  NAIBU Waziri wa Afya, Dk. Godwin Mollel, amewataka waganga wakuu wa Hospitali za Mikoa na Wilaya ambao unafanyika ubadhirifu katika vituo vyao...

Kimataifa

Vita vya Ukraine: Boris Johnson adai kutishiwa kupigwa kombora na Putin

ALIYEKUWA Waziri Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson amesema, Rais wa Urusi, Vladimir Putin alimtishia kwa shambulizi la kombora katika simu isiyo ya kawaida...

Kimataifa

DCI ajitosa uchunguzi matokeo uchaguzi mkuu Kenya

OFISI ya Mkurugenzi ya Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) nchni Kenya imetangaza kuanzisha uchunguzi wa kina kuhusu madai ya muungano wa Azimio...

Michezo

GGML: Uwanja mpya wa Geita Gold FC kukamilika Mei, 2023

UWANJA wa Magogo unaojengwa na Halmashauri ya Mji wa Geita kwa kushirikiana na Kampuni ya Geita Gold Mine Limited, unatarajiwa kukamilika mwezi Mei...

HabariKimataifa

Aliyesomeshwa na mchumba aamuriwa kurudisha Sh 9.4 Mil. baada ya kukataa kuolewa

  MWANAMKE mmoja nchini Uganda ambaye aliuumiza moyo wa mchumba wake ameamrishwa na mahakama kulipia hasara za kifedha kwa uchungu wa kisaikolojia. Yameripoti...

Elimu

NACTVET yafungua dirisha la udahili

  BARAZA la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) limefungua dirisha la udahili wa mkupuo wa mwezi Machi...

error: Content is protected !!