Categorizing posts based on content
HISTORIA ya mpira wa miguu ilikuwepo tangu karne ya 15C, lakini ilisambaa Zaidi karne ya 19C huko Uingereza ambapo mpira wa miguu...
By Mwandishi WetuApril 14, 2023BILA shaka simulizi za kale huwa zina sisimua na kufurahisha haswa unapopata mtu anayejua kusimulia au stori nzuri iliyoandikwa kwenye mtiririko mzuri...
By Mwandishi WetuApril 13, 2023INAELEZWA kuwa China imekuja na mkakati mpya wa kupunguza ushawishi wa Marekani pamoja na kuishusha dola kwa kuanzisha Diplomasia ya Yuan ambapo...
By Mwandishi WetuApril 11, 2023ZILIANZA timu 32, zikafika 16, na hatimaye zimebaki 8 katika hatua ya Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, unatabiri timu zipi...
By Mwandishi WetuApril 11, 2023KILA mtu ana siku yake ya kutoboa kwenye Maisha, kama haijafika basi ipo karibu kufika ongeza bidi na juhudi piga sala na...
By Mwandishi WetuApril 11, 2023APRILI ni mwezi uliobarikiwa sana ndio maana Meridianbet wanasema ni mwezi wa kutoboa, wakati ukisherehekea Sikukuu ya Pasaka nakukumbusha kwamba unahitaji uwe...
By Mwandishi WetuApril 9, 2023MHALIFU wa makosa ya mauaji na ubakaji kutoka Afrika Kusini, Thabo Bester amekamatwa jijini Arusha nchini baada ya kusakwa kwa muda mrefu toka...
By Mwandishi WetuApril 8, 2023WATU 10 wanadaiwa kupoteza maisha baada ya lori lililokuwa likisafirisha changarawe kupoteza mwelekeo na kuparamia kijiwe cha bodaboda katika eneo lao mjini Migori...
By Mwandishi WetuApril 8, 2023MAHAKAMA nchini Uganda imemfungulia rasmi mashtaka ya ufisadi na rushwa Waziri Marie Goretti Kitutu kutokana na tuhuma za kuuza mabati 14,500 ya...
By Mwandishi WetuApril 8, 2023WANANCHI wa Rwanda leo Ijumaa, tarehe 7 Aprili 2023, wanaadhimisha miaka 29 ya mauaji ya Kimbari, ambapo Wahutu wenye msimamo mkali waliwaua...
By Mwandishi WetuApril 7, 2023PICHA za hati za siri kutoka Pentagon na NATO juu ya utayarishaji wa shambulio la Ukraine dhidi ya Urusi zimevuja katika mitandao...
By Mwandishi WetuApril 7, 2023JESHI la Israel limesema kuwa limeshambulia maeneo yenye uhusiano na kundi la wapiganaji wa Palestina Hamas ndani ya Lebanon na katika Ukanda...
By Mwandishi WetuApril 7, 2023KAMPUNI ya Meridianbet Tanzania wanaendelea walipoishia kwa kuhakikisha wateja wake wanapata huduma popote na ndio sababu ya kuendelea kusambaza maduka, Na leo...
By Mwandishi WetuApril 6, 2023UJENZI wa mradi wa Zahanati ya Mwanalugali A Kibaha Mjini unaofadhiliwa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii-TASAF itakayowahudhumia wakati 3367 umefikia asilimia...
By Mwandishi WetuApril 6, 2023FURAHIA sloti mpya kutoka Kasino ya Mtandaoni ikielezea Roma ya Kale! Cheza kipekee katika sloti ya Meridianbet Veni Vidi Vici! Miongoni mwa...
By Mwandishi WetuApril 5, 2023SERIKALI imetenga kiasi cha fedha Sh. 15 bilioni, katika mwaka wa fedha wa 2022/23, kwa ajili ya ukamilishaji ujenzi wa maboma ya...
By Regina MkondeApril 5, 2023RAIS wa zamani Marekani, Donald Trump jana Jumanne amefikishwa mahakamani kwa mashtaka ya kumlipa mwanamke mmoja nyota wa filamu za ngono kabla...
By Mwandishi WetuApril 5, 2023USIFANYE makosa katika kuutafuta utajiri haswa kwenye harakati zako za kila siku, hata iweje ishi na Imani ya kuwa siku moja utatoboa...
By Mwandishi WetuApril 4, 2023SERIKALI ya Tanzania, imesema imefanikiwa kudhibiti maambukizi ya ugonjwa wa virusi vya Murburg, huku ikiahidi kuutokomeza kwa kufuata miongozo ya Shirika la...
By Regina MkondeApril 4, 2023KENYA inajiandaa kurusha satelaiti yake ya kwanza kabisa ya uchunguzi wa dunia katika kile kinachoelezwa kuwa mafanikio ya kihistoria katika juhudi za...
By Mwandishi WetuApril 4, 2023BAADHI ya wabunge wameihoji Serikali ina mpango gani wa kuboresha vituo vya afya chakavu, ili viweze kutoa huduma bora za afya kwa...
By Mwandishi WetuApril 4, 2023NI stori ambayo inafanya vizuri sana kwa vijana wengi wenye ndoto za kumiliki magari, nyumba na kusimamia biashara zao, habari za Mwarabu mshindi...
By Mwandishi WetuApril 3, 2023RAIS wa Benki ya Dunia (WB), David Malpass amesema ana wasiwasi kuhusu baadhi ya mikopo ambayo China imekuwa ikitoa kwa nchi zinazoendelea...
By Mwandishi WetuApril 3, 2023Mabalozi kutoka nchi sita za Magharibi, zikiongozwa na Marekani, zimeonesha wasiwasi kuhusu maandamano yanayoendelea nchini Kenya na kutaka kuwepo kwa maridhiano kati...
By Mwandishi WetuMarch 30, 2023KIONGOZI wa Kanisa katoliki duniani, Papa Francis jana Jumatano amelazwa hospitali kutokana na maambukizi ya mapafu baada ya kukabiliwa na matatizo ya...
By Mwandishi WetuMarch 30, 2023KAMALA Harris, makamu wa rais wa Marekani, amepanga kutembelea nyumba ambayo aliwahi kuishi yeye na babu yake miaka ya 1960, jambo ambalo...
By Mwandishi WetuMarch 28, 2023WAKATI Serikali na Benki ya Uswizi ikichukua hatua kali kwa kuzifungia akaunti za watu wa Urusi kutokana na operesheni zake za kijeshi...
By Mwandishi WetuMarch 28, 2023WAZIRI Mkuu wa nchini Israel, Benjamin Netanyahu amesema atachelewesha sehemu muhimu ya mipango yenye utata ya kurekebisha mfumo wa sheria ambao umefanya...
By Mwandishi WetuMarch 28, 2023SERIKALI imewahamasisha vijana kujiunga na program atamizi inayotolewa na Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), ili wapate ujuzi wa biashara na hatimaye...
By Kelvin MwaipunguMarch 27, 2023MSAFARA wa kiongozi wa Azimio la Umoja-One Kenya, Raila Odinga umepita katika eneo la Kawangware jijini Nairobi nchini Kenya na kupata fursa ya...
By Mwandishi WetuMarch 27, 2023WIZARA ya mambo ya ndani ya Kenya inapendekeza mabadiliko ya sheria za usalama ambayo yatafanya iwe vigumu kwa watu kufanya maandamano. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuMarch 27, 2023SERIKALI ya Kenya imedaiwa kuwaondoa walinzi wa washirika wa kinara wa muungano wa upinzani nchini humo unaofahamika kama ‘Azimio la Umoja’ wanaoshiriki maandamano...
By Mwandishi WetuMarch 27, 2023MAKAMU wa Rais wa Marekani Kamala Harris, amewasili hii jana tarehe 26 Machi 2023 mjini Accra nchini Ghana ambako amesema ana matumaini na...
By Mwandishi WetuMarch 27, 2023WAKALA wa barabara Tanzania (TANROADS) imesema michezo inapaswa kuzingatiwa kwa watumishi kazini na hata jamii majumbani ili kuboresha Afya ya mwili kupambana...
By Mwandishi WetuMarch 27, 2023BARAZA la mawaziri la Rwanda limesema ofisi ya waziri mkuu imeamua kuoanisha tarehe za uchaguzi wa rais na wabunge nchini humo. Inaripoti Mitandao...
By Mwandishi WetuMarch 26, 2023PAUL Rusesabagina, aliyewahi kuripotiwa kama ‘shujaa’ katika filamu ya Hollywood “Hotel Rwanda,” baadaye akahukumiwa kifungo cha miaka 25 gerezani na serikali ya...
By Mwandishi WetuMarch 25, 2023RAIS wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Felix Tshisekedi, amemteua aliyekuwa kiongozi wa wanamgambo wa DR Congo kuwa waziri wa ulinzi. Anaripoti...
By Mwandishi WetuMarch 24, 2023WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu amesema ugonjwa wa ajabu uliosababisha vifo vya watu watano kati ya wanane waliougua wilayani Bukoba Vijijini mkoani Kagera...
By Mwandishi WetuMarch 21, 2023KIONGOZI wa upinzani nchini Kenya, Raila Amollo Odinga ametangaza kuwa muungano wa Azimio la Umoja (One Kenya), sasa utafanya maandamano makubwa mara mbili...
By Mwandishi WetuMarch 21, 2023KUVUNJIKA ushirhikiano wa China na Magharibi uliodumu kwa takribani kwa miaka 20 katika mkoa wa Bahari ya China Kusini, umechochea kupanda kwa matumizi...
By Mwandishi WetuMarch 21, 2023RAIS wa Kenya William Ruto amesema kwamba hatakubali “kutoijali nchi” baada ya maandamano ya ghasia kukumba mji mkuu, Nairobi na mji wa...
By Mwandishi WetuMarch 21, 2023Vladimir Putin amesema atajadili mpango wenye vipengele 12 wa Xi Jinping wa “kusuluhisha mgogoro mkubwa nchini Ukraine”, wakati wa ziara inayotarajiwa mjini...
By Mwandishi WetuMarch 21, 2023RAIS wa uchini Xi Jinping amewasili sasa nchini Urusi, na kulingana na Shirika la habari la Urusi TASS news , Xi Jinping...
By Mwandishi WetuMarch 20, 2023MAANDAMANO ya kupinga serikali zilizoko madarakani nchini Kenya na Afrika Kusini, yameendelea kushika kasi katika mataifa hayo, huku baadhi ya walioandamana wakitiwa...
By Mwandishi WetuMarch 20, 2023MFUKO wa Jimbo la Musoma Vijijini, Mkoa wa Mara, umetoa fedha kiasi cha Sh. 75.8 milioni, kwa ajili ya ujenzi na ukamilishaji...
By Mwandishi WetuMarch 20, 2023WAKATI maandamano yaliyoitishwa na Chama cha upinzani Afrika Kusini, Economic Freedom Fighters, yakiendelea kufanyika katika maeneo mbalimbali , Ubalozi wa Tanzania nchini...
By Mwandishi WetuMarch 20, 2023MAHAKAMA ya Kimataifa ya Uhalifu wa kivita (ICC) imetoa hati ya kukamatwa kwa Rais wa Urusi Vladimir Putin. Vinaripoti Vyombo vya Habari...
By Mwandishi WetuMarch 17, 2023PUTO la kijasusi la China limetajwa kuwa halikuweza kusababisha tishio la usalama nchini Marekani badala yake limeweza kugundua udhaifu wa kijeshi Marekani...
By Mwandishi WetuMarch 17, 2023JUMLA ya watu watano wanaidaiwa kufariki dunia katika vijiji vya Bulinda na Butayaibega vilivyopo kata ya Maruku na Kanyangereko wilaya ya Bukoba vijijini...
By Gabriel MushiMarch 16, 2023MTOTO wa kiume wa Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, Jenerali Muhoozi Kainerugaba amesema akiwa kama kijana amechoka kusubiri na sasa atagombea kiti cha...
By Mwandishi WetuMarch 16, 2023