Friday , 3 May 2024

Kitengo

Categorizing posts based on content

Kimataifa

Mhubiri Paul Mackenzie, mkewe, wenzie 16 wafikishwa mahakamani

MHUBIRI mwenye utata wa kanisa la Good News International lililopo kaunti ya Kilifi Malindi, Kenya na mkewe Rhoda Mackenzie pamoja na watuhumiwa wengine...

Kimataifa

Uhaba wataalam wa kidijitali waitia dosari China

KUKITHIRI kwa uhaba wataalam wa kidijitali nchini China huku mahitaji ya watalaam hayo yakiongezeka wakati wa kujiimarisha kiuchumi kumetajwa kuwa ni dosari nchini...

Michezo

Meridianbet yazindua wa duka jipya Buguruni Malapa

  KAMPUNI ya Meridianbet imeendelea kuwasogelea wateja wake baada ya kufanya uzinduzi wa maduka ya kubetia katika maeneo mbalimbali na safari hii wamezindua...

Burudika

Stonebwoy adondosha ‘Dimension’ kolabo na Stormzy, Davido…

MSANII mahiri wa Afro- Dancehall kutoka nchini Ghana aliyesainiwa na lebo ya Def Jam Records, Stonebwoy ameachia albamu mpya ya 5th Dimension, ikiwa...

Kimataifa

Wabunge wapitisha muswada wa ushoga, wapinga pendekezo la Museveni

BUNGE la Uganda jana Jumanne limepitisha rasimu mpya ya muswada wa kupambana na ushoga nchini humo, huku likibakisha baadhi ya vipengele ambavyo Rais...

Michezo

Meridianbet yatambulisha promosheni ya Bonus ya Ukaribisho

MERIDIANBET imetanbulisha promosheni mpya ya bonasi ya ukaribisho kutoka kasino ya mtandaoni ambayo inayompa mteja mpya anapata Sh 25,000 na mizunguko 50 ya bure...

Kimataifa

Waziri Uganda auawa na mlinzi wake

  MWANAJESHI wa Jeshi la Uganda amempiga risasi na kumuua waziri katika Serikali ya Uganda ambaye alikuwa akimlinda. Kanali mstaafu Charles Okello Engola,...

Elimu

SUA kuboresha ufundishaji kupambania ajira za wahitimu

  CHUO kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) mkoani hapa kinajipanga kuboresha mbinu za ufundishaji kwa vitendo ili kuwafanya wahitimu kujiajiri na kuajiri...

Elimu

Wanakijiji waamua kujenga sekondari, wamuangukia Rais Samia

  WANANCHI wa Kijiji cha Wanyere, Wilaya ya Musoma Vijijini mkoani Mara, wamemua kuanza ujenzi wa shule ya sekondari kwa ajili ya kuwaondolea...

Elimu

Shule ya Wasichana – Dk. Samia yamwagiwa Sh. 50 milioni za vitanda

  SERIKALI ya imetoa Sh. 50 milioni kwa Halmashauri ya Mji Tunduma kwa ajili ya ununuzi wa vitanda katika shule mpya ya sekondari...

Elimu

Rais Samia awapa ujumbe watahiniwa kidato cha sita

RAIS Samia Suluhu Hassan, amewataka kheri watahiniwa wa mtihani wa kumaliza kidato cha sita, huku akiwaahidi kwamba Serikali yake inaandaa mazingira Bora ya...

Michezo

Sakata kuzima taa Taifa: Vigogo wasimamishwa, mechi za usiku zapigwa ‘stop’

  VIONGOZI wanaosimamia Uwanja wa Taifa wa Benjamin Mkapa, jijini Dar es Salaam, wamesimamishwa kazi kupisha uchunguzi wa sakata la kuzima kwa taa...

Burudika

Mr Eazi, DJ Edu kuachia ngoma mpya ya Wena

BAADA ya kutangaza habari kubwa za ujio wa project ya Afrodance Soundsystem, wasanii wakubwa wa muziki, Mr Eazi na DJ Edu wameachia ngoma...

Kimataifa

Hofu ya ukosefu wa ajira yatanda China

  WAKATI Serikali ya Kikomonisti nchini China ikiweka mkakati wa kukuza ajira hofu ya vijana kukosa ajira mijini imeongezeka. Imeripotiwa na Bloomberg …...

Michezo

Meridianbet yatoboa siri ya kushinda kirahisi kupitia BlackJack Live

MOJA kati ya michezo pendwa na wengi ni Sloti ya BlackJack Live, mchezo huu unapatikana kasino ya mtandaoni ya Meridianbet ambapo huu unakuwa...

Kimataifa

Al-Bashiru bado anashikiliwa na jeshi

  MAMLAKA ya kijeshi nchini Sudan limesema, aliyekuwa rais wa taifa hilo aliyepinduliwa Omar Hassan al-Bashir, bado yuko mikononi mwa jeshi. Aidha, jeshi...

Michezo

Cheza Titan Dice kushinda karahisi

  KASINO mtandaoni ya Meridianbet inakupa ushindi kirahisi kupitia sloti ya Titan Dice ambayo ni moja ya michezo inayotoa fedha nyingi kirahisi. Anaripoti...

Kimataifa

Joe Biden atangaza kuwania urais muhula wa pili

  RAIS wa Marekani, Joe Biden ametangaza kuwa atawania muhula wa pili katika uchaguzi wa mwaka 2024. Biden mwenye umri wa miaka 80...

Afya

Kipindupindu chabisha hodi Dar, wagonjwa 10 waripotiwa

  Ugonjwa wa Kipindupindu umeibuka jijini Dar es salaam ambapo zaidi ya watu 10 wamethibitika kuugua ugonjwa huo. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea)....

Kimataifa

Waliokufa kwa njaa Kenya wafikia watu 73, walifunga ili kukutana na Yesu

  IDADI ya maiti zilizofukuliwa na polisi nchini Kenya zimefikia 73. Watu hao waliofunga hadi kufa walikuwa wafuasi wa Kanisa la Good News...

ElimuTangulizi

Global Education Link kuitafutia TIA fursa vyuo vya nje.

TAASISI ya  Uhasibu Tanzania (TIA), imesaini mkataba na wakala wa vyuo vikuu nje ya nchi Global Education Link (GEL), lengo ikiwa ni kushirikiana kuitafutia...

Michezo

Meridianbet wamwaga Reflectors katika kampeni ya Mtaa kwa Mtaa

  KAMPUNI ya ubashiri Meridianbet Tanzania kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi Usalama wa Barabarani limeanzisha kampeni ya Mtaa kwa Mtaa na Meridianbet...

Kimataifa

Ruto asema mchungaji Mackenzie ni gaidi, waliokufa wafikia 58, mwenyewe agoma kula

RAIS wa Kenya, Dk. William Ruto amemtaja mchungaji Paul Mackenzie kama mhalifu na gaidi kufuatia kufukuliwa kwa maiti 58 kutoka kwenye  ardhi yake...

Kimataifa

Miili ya waliojiua kwa njaa wakitaka kukutana na Yesu yafukuliwa

  POLISI nchini Kenya kwamba wamefukua miili ya watu watatu inayodhaniwa kuwa ya wafuasi wa dhehebu la kidini wanaoaminika walijiua kwa njaa, mashariki...

Kimataifa

Ongezeko la idadi ya watu India, waitishia usalama wa Beijing

  CHINA imeingia katika wasiwasi baada ya baada ya India kutangazwa kuwa nchi yenye idadi kubwa ya watu, ambao wanaonyesha kutishia usalama wa...

Michezo

Meridianbet wanaupiga mwingi wikiendi hii Odds za kumwaga

  MERIDIANBET wikiendi hii wanaupiga mwingi kwa kuhakikisha wanakupa odds bomba na kubwa katika michezo mbalimbali ambayo itapigwa katika ligi Barani Ulaya kuanzia...

Kimataifa

400 wapoteza maisha mapigano Sudani

  MAPIGANO yaliyozuka katikati ya mwezi wa Aprili nchini Sudan tayari yamesababisha vifo vya zaidi ya watu 400 na wengine zaidi ya 3,500...

Michezo

Shinda Sh. 2.5 milioni za Meridianbet Kasino ya mtandaoni

  KUTOKA nyumba ya mabingwa Meridianbet Kasino ya mtandaoni yaja na promosheni nyingine, baada ya kutambulisha Drops &Wins sasa kuna hii ya Spring...

Kimataifa

Rais Museven aagiza muswada wa adhabu ya kifo kwa mashoga ufanyiwe marekebisho

  RAIS wa Uganda, Yoweri Museveni amekataa kutia saini muswada wenye utata  dhidi ya mashoga na wasagaji, ambao umezungumzia adhabu ya kifo katika...

Michezo

Meridianbet yazindua duka jipya Vingunguti Relini

  KAMPUNI ya Meridianbet yenye ODDS KUBWA imeendelea kutanua wigo wa huduma kwa wateja wake baada ya kufungua duka lingine mitaa ya Vingunguti...

Kimataifa

Montana mbioni kupiga marufuku matumizi ya ‘Tiktok’

  JIMBO la Montana ya Marekani lipo Mbioni kupiga marufuku ya matumizi ya mtandao wa kijamii wa Kichana wa ‘TikTok.’ Gazeti la Montana...

Michezo

Meridianbet kutoa milioni 650 kupitia rops & Wins

  MERIDIANBET Kasino ya mtandaoni inakupa mchongo wa kutusua kimaisha kupitia shindano lake kipya la Drops & Wins ambalo litakuwa linawazadia washindi mamilioni...

Michezo

Robo fainali ya pili ya UEFA, nani kutinga Nusu Fainali?

  WAHENGA waliwahi kusema usiku wa deni hauchelewi, ni sasa kule kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya kitaeleweka nani mbambe dhidi ya mwenzake, raundi...

Michezo

Meridianbet yagawa vifaa vya michezo kwa timu mbili za Wanawake

MERIDIANBET ambao ndio mabingwa wa michezo ya kubashiri wenye ODDS KUBWA leo imeamua kugusa soka la wanawake baada ya kuzikifikia  timu hizo na...

Michezo

Historia ya mpira na utajiri wake

  HISTORIA ya mpira wa miguu ilikuwepo tangu karne ya 15C, lakini ilisambaa Zaidi karne ya 19C huko Uingereza ambapo mpira wa miguu...

Michezo

Simulizi za kale ndani ya Meridianbet Kasino

  BILA shaka simulizi za kale huwa zina sisimua na kufurahisha haswa unapopata mtu anayejua kusimulia au stori nzuri iliyoandikwa kwenye mtiririko mzuri...

Kimataifa

“Diplomasia ya Yuan China ni aina mpya ya mtego wa madeni

  INAELEZWA kuwa China imekuja na mkakati mpya wa kupunguza ushawishi wa Marekani pamoja na kuishusha dola kwa kuanzisha Diplomasia ya Yuan ambapo...

Michezo

Wiki ya Moto Man City vs Bayern, Madrid vs Chelsea Odds kubwa Leo

  ZILIANZA timu 32, zikafika 16, na hatimaye zimebaki 8 katika hatua ya Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, unatabiri timu zipi...

Michezo

Aliyebeti kwa 20,000 na kushinda Mil 26 atoa tamko

  KILA mtu ana siku yake ya kutoboa kwenye Maisha, kama haijafika basi ipo karibu kufika ongeza bidi na juhudi piga sala na...

Michezo

Odds kubwa Meridianbet wikiendi bomba

  APRILI ni mwezi uliobarikiwa sana ndio maana Meridianbet wanasema ni mwezi wa kutoboa, wakati ukisherehekea Sikukuu ya Pasaka nakukumbusha kwamba unahitaji uwe...

Kimataifa

Muuaji aliyetoroka jela Sauzi adakwa kimafia Arusha

MHALIFU wa makosa ya mauaji na ubakaji kutoka Afrika Kusini, Thabo Bester amekamatwa jijini Arusha nchini baada ya kusakwa kwa muda mrefu toka...

Kimataifa

Lori laparamia na kuua madereva bodaboda 10

WATU 10 wanadaiwa kupoteza maisha baada ya lori lililokuwa likisafirisha changarawe kupoteza mwelekeo na kuparamia kijiwe cha bodaboda katika eneo lao mjini Migori...

Kimataifa

Waziri aburuzwa kortini kwa kuuza mabati ya msaada

  MAHAKAMA nchini Uganda imemfungulia rasmi mashtaka ya ufisadi na rushwa Waziri Marie Goretti Kitutu kutokana na tuhuma za kuuza mabati 14,500 ya...

Kimataifa

Rwanda yaadhimisha miaka 29 ya mauaji ya Kimbari

  WANANCHI wa Rwanda leo Ijumaa, tarehe 7 Aprili 2023, wanaadhimisha miaka 29 ya mauaji ya Kimbari, ambapo Wahutu wenye msimamo mkali waliwaua...

Kimataifa

Mpango wa Ukraine, Marekani na NATO kushambulia Urusi wavuja kwenye mitandao ya kijamii

  PICHA za hati za siri kutoka Pentagon na NATO juu ya utayarishaji wa shambulio la Ukraine dhidi ya Urusi zimevuja katika mitandao...

Kimataifa

Israel yashambulia Lebanon, Gaza baada yakushambuliwa kwa roketi

  JESHI la Israel limesema kuwa limeshambulia maeneo yenye uhusiano na kundi la wapiganaji wa Palestina Hamas ndani ya Lebanon na katika Ukanda...

Michezo

Uzinduzi wa duka jipya la Meridianbet Posta

  KAMPUNI ya Meridianbet Tanzania wanaendelea walipoishia kwa kuhakikisha wateja wake wanapata huduma popote na ndio sababu ya kuendelea kusambaza maduka, Na leo...

Afya

Ujenzi wa zahanati kwa ufadhili wa TASAF wafikia asilimia 95

  UJENZI wa mradi wa Zahanati ya Mwanalugali A Kibaha Mjini unaofadhiliwa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii-TASAF itakayowahudhumia wakati 3367 umefikia asilimia...

Michezo

Kasino ya mtandaoni yaifanya stori ya Roman Empire kuwa mchezo

  FURAHIA sloti mpya kutoka Kasino ya Mtandaoni ikielezea Roma ya Kale! Cheza kipekee katika sloti ya Meridianbet Veni Vidi Vici! Miongoni mwa...

Afya

Serikali yatenga Sh. 15 bilioni kukamilisha maboma 300 ya zahanati

  SERIKALI imetenga kiasi cha fedha Sh. 15 bilioni, katika mwaka wa fedha wa 2022/23, kwa ajili ya ukamilishaji ujenzi wa maboma ya...

error: Content is protected !!