Ugonjwa wa Kipindupindu umeibuka jijini Dar es salaam ambapo zaidi ya watu 10 wamethibitika kuugua ugonjwa huo. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea).
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana tarehe 24 Aprili 2023 na Wizara ya Afya, ugonjwa huo ulibanika katika Kata ya Kivule Wilayani Ilala, ambapo wagonjwa saba walipimwa na kukutwa na vimelea vya ugonjwa huo.
Wagonjwa wengine watatu wamepatikana katika Kata za Tabata, Ilala na Buguruni.
Hata hivyo, taarifa hiyo imefafanua kuwa tangu kubainika kwa ugonjwa huo April 20, mwaka huu, mpaka sasa hakuna taarifa za kifo zilizotokana na ugonjwa huo.
Aidha, katika taarifa hiyo imebainisha kuwa katika wagonjwa waliobainika Kivule kati yao wanafunzi wa shule ya msingi ni wawili, wanaume wawili na wanawake wawili wote kutoka familia moja.
VIONGOZI WANAOONGOZA KUKOSOA MAAMUZI YA VIONGOZI WENZAO TANZANIA….. KWA MBINU ZOTE TULIZANI HUWA MANAKUBALIANA
Mwanasiasa maarufu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Heche ametema cheche kuhusu sakata linaloendelea la Kampuni ya Twiga Cement kutaka kuinunua Kampuni ya Tanga Cement.
Her Excel. Samia Suluhu
Mr. Daniel Chongolo
Mr. Professor Ibrahim Haruna
Mr. Hamad Masoud Hamad
Mr. Freeman Aikael Mbowe
Mr. John John Mnyika