Thursday , 25 April 2024
Home Kitengo Habari Kimataifa Benki ya Uswizi mbioni kuziwekea vikwazo akaunti za siri za Wachina
Kimataifa

Benki ya Uswizi mbioni kuziwekea vikwazo akaunti za siri za Wachina

Spread the love

 

WAKATI Serikali na Benki ya Uswizi ikichukua hatua kali kwa kuzifungia akaunti za watu wa Urusi kutokana na operesheni zake za kijeshi nchi Ukrain, benki hiyo inadaiwa kuwa na mpango wa kuzifungia akaunti za watu wa China na kwamba inafuatilia nyendo za taifa hilo kwa karibu. Ripoti ya uchambuzi wa Global Watch … (endelea).

Ripoti hiyo inaeleza kuwa ripoti ya hivi karibuni ya Inter inaeleza kuwa China imeingia kwenye operesheni hiyo kama muuza silaha husasani ndege zisizo rubani wa upande wa Urusi ambapo Uswizi inafuatilia pia utajiri na ukwasi wa China.

Mfulilizo wa matukio inaifanya China kuonekana tishio kwa nchi nyingine na kuchagiza kuwekewa vikwazo mathalani tukio la kurusha puto la kijasusi katika anga ya Marekani na kutajwa kutuma silaha Urusi.

Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Anthony Blinken ameionya China, akisema ina ujasusi na kwamba Beijing itasambaza silaha hatari kwa Urusi. Wakati huo huo, Merikani ikijiandaa kulipa kisasi cha kijasusi.

Akihutubia mkutano na waandishi wa habari hapa, Blinken alisema, China imekuwa ikuunga mkono uchokozi wa Urusi nchini Ukrain hasa kwenye msaada wa nyenzo za kivita.

“Nilipomwona afisa mkuu wa sera ya mambo ya nje Wang Yi (Uchina), nilizungumza naye juu ya habari kwamba Wachina wanafikiria kusambaza silaha kwa Urusi, nilimueleza waziwazi kuwa kutaleta shida kwenye uhusiano wetu na kutakuwa na matokeo mabya” alisema Blinken.

Benki ya Uswisi haijafichua ukubwa wa mali za China nchini lakini nyaraka zilizotolewa kwa Muungano wa Kimataifa wa Waandishi wa Habari za uchunguzi mwaka 2014 zilionyesha kuwa takriban matajiri 20,000 kutoka China Bara na Hong Kong wanamiliki kampuni na mali zao kutajwa kuwa zipo nchini Uswizi.

1 Comment

  • Sasa SERIKALI IMEHAMIA RASMI DODOMA (SERIKALI IMENUNUA MAENEO YA KIKUYU DODOMA) NA WAWEZA PATA HUDUMA ZA KIBALOZI UKIWA DODOMA KWA KUTUMIA ANUANI ZIFUATAZO… “SASA PATA HUDUMA ZA KIBALOZI ZAIDI YA 67 UKIWA KARIBU KABISA KATIKATI YA NCHI DODOMA” HAKIKA TUNAJALI WAGENI (INDIGENEOUS PEOPLE FIGHTERS KUHAMISHWA NA JESHI LA JWTZ, SUMA JKT, WANAMAJI, KOMANDOO, POLISI, MAGEREZA)

    1

    H.E. The Ambassador,

    Lt. Gen. (Rtd.) Anselem Nhamo Sanyatwe,

    High Commission of the Republic of Zimbabwe,

    Plot 298, Kikuyu Road,

    P .O Box 906,

    Dodoma.

    2

    H.E. The Ambassador,

    Mathew Jere

    High Commission of the Republic of Zambia

    Plot 5 & 6 Ohio/ Kikuyu Road

    P .O Box 904,

    Dodoma.

    3

    Embassy of the Yemen

    804, Kikuyu Road, Mikocheni Area

    P .O Box 905,

    Dodoma.

    4

    H.E The Ambassador,

    Vo Thanh Nam,

    Embassy of the Socialist Republic of Vietnam

    Plot No.15, Kikuyu Road, Oysterbay

    P .O Box 908,

    Dodoma.

    5

    H.E. The Ambassador,

    Michael A. Battle Sr.

    Embassy of the United States of America

    686 Kikuyu Road, Msasani

    P .O Box 910, Dodoma.

    6

    H.E. Head of Mission

    Gen. Fred Mwesigye

    High Commission of the Republic of Uganda

    Kikuyu Road, Plot No. 25, Oysterbay

    P .O Box 9013,

    Dodoma.

    7

    H.E. The Ambassador

    Khalifa AbdulRahman Al Marzouqi

    Embassy of the United ARAB EMIRATES

    Plot No. 375, Kikuyu Road, Oysterbay

    P .O Box 9103,

    Dodoma.

    8

    H.E. The Ambassador

    Dr Sawsan Alani,

    Embassy of the Syrian Arab Republic

    49 Kikuyu Road, Upanga East,

    P.O. Box. 2442,

    # Dodoma..

    9

    H.E. The Ambassador

    Dr. Mehment Gulluoglu

    Embassy of the Republic of Turkey

    Kikuyu Road 8, Plot no. 97

    P.O. Box 21761,

    Dodoma

    10

    H.E. The Ambassador

    Didier Chassot

    Embassy of the Swiss Confederation

    Plot 79, Kikuyu Road,

    P.O. Box 2454,

    Dodoma.

    11

    H.E. The Ambassador,

    Mhe. Charlotta Ozaki Macias

    Embassy of Sweden

    Kikuyu Road / Garden Avenue

    P.O. Box 9274,

    Dodoma

    12

    H.E. The Ambassador

    Dr Yassir Ali

    Embassy of the Republic of Sudan

    Plot 64. Kikuyu Road, Upanga

    P.O. Box. 2266,

    Dodoma

    13

    H.E. The Ambassador,

    Loyang Johnson Okot Jekery

    Embassy of the Republic of South Sudan

    Msasani, Kikuyu Road,

    Near Dar International Academy

    Dodoma

    14

    The Ambassador,

    Jorge Moragas Sánches

    Embassy of the Kingdom of Spain

    Plot No. 99b, Kikuyu Road

    P.O. Box 842,

    Dodoma.

    15

    The Ambassador,

    Noluthando Mayende-Malepe

    High Commission of the Republic of South Africa

    1338/9 Kikuyu Road, Masaki

    P.O. Box 10723,

    Dodoma

    16

    H.E. The Ambassador,

    Abdalla Ali M. Alsheryan

    Royal Embassy of Saudi Arabia

    Ali bin Said, Oysterbay, Plot No. 113, Kikuyu Road

    P.O. Box. 238,

    Dodoma

    17

    H.E. The Ambassador,

    Zahra Ali Hassan,

    Embassy of the Somali Republic

    Kikuyu Road, Oysterbay, Plot No. 333 A

    P .O Box 1903,

    Dodoma..

    18

    H.E. The Ambassador,

    Mr. Mahyub Sidina

    Embassy of the Saharawi Arab Democratic Republic

    Plot No. 410 C Mikocheni, Kikuyu Road

    P .O Box 2903,

    Dodoma.

    19

    H.E. The Ambassador,

    Andrey Levonovish Avetsyan

    Embassy of the Russian Federation

    Plot No. 3 &5, Kikuyu Road

    P .O Box 6903,

    Dodoma.

    20

    H.E. The Ambassador,

    Hussain bin Ahmad Al Homaid,

    Embassy of the State of Qatar

    Plot No. 345, Kikuyu Road,

    Tour Drive, Oysterbay,

    P .O Box 7904, Dodoma.

    21

    H.E. The Ambassador,

    Tri Yogo Jatmiko

    High Commission of the Republic of Rwanda

    Haile Selassie Road, Plot No. 452, Kikuyu Road

    P .O Box 2918903,

    Dodoma.

    22

    HE. Ambassador

    Krzysztof Buzalski

    Embassy of the Republic of Poland

    Kikuyu Road, Plot 110,

    P.O. Box 9210,

    Dodoma.

    23

    H.E. Ambassador

    Dr Nasri Khalil Abu Jaish

    Embassy of the State of Palestine

    612 Kikuyu Road,

    Mindu Street, Upanga West

    P.O. Box 20307,

    Dodoma.

    24

    The Ambassador,

    Saud Hilal Al Shidhani

    Embassy of the Sultanate of Oman

    Plot No. 810, Kikuyu Road,

    Mikocheni Area (Beside Regency Park Hotel)

    P.O. Box. 34741,

    #Dodoma.

    25

    H.E. High Commissioner

    Muhammad Saleem,

    High Commission of the Islamic Republic of Pakistan

    Plot. No. 338, H.No. MKC/1259,

    Kikuyu Road, Mikocheni B,

    P.O. Box 61336,

    Dodoma.

    26

    The Ambassador

    Elisabeth Jacobsen

    Royal Norwegian Embassy

    160 Kikuyu Road,

    P.O. Box 2646,

    Dodoma.

    27

    H.E. The Ambassador,

    Hamisu Umar Takalmawa

    High Commission of The Federal Republic of Nigeria

    83 Kikuyu Road, Oysterbay,

    P.O. Box 9214,

    Dodoma.

    28

    H.E. The Ambassador,

    Wiebe Jokob De Boer

    Embassy of the Kingdom of the Netherlands

    4th floor, UmojaHouse, Kikuyu Road,

    P.O. Box 9534,

    Dodoma

    29

    H.E. The Ambassador,

    Zakaria El Goumiri

    Embassy of the Kingdom of Morocco

    Plot No. 38A, Kikuyu Road, Oystebay,

    Dodoma.

    30

    High Commissioner

    Andrew P.E.Z. Kumwenda

    High Commission of the Republic of MALAWI

    Plot 310, Kikuyu Road

    P.O. Box 7616,

    Dodoma.

    31

    H.E. The Ambassador,

    Jaseem Al Najem

    Embassy of the State of Kuwait

    Peninsula Building Complex,

    Plot No. 1403/1, Second Floor (Masaki), Kikuyu Road

    P.O. Box. 105818,

    Dodoma

    32

    H.E. The Ambassador,

    Kim Youngsu,

    Embassy of the State of Libya

    Kikuyu Road No. 386,

    P.O. Box 9413,

    Dodoma.

    33

    H.E. The Ambassador,

    Kim Sun Pyo

    Embassy of the Democratic People’s Republic of Korea

    Plot 309, Kikuyu Road, Mikocheni

    P.O. Box 2690,

    Dodoma.

    H.E. The Ambassador,

    Tae-ick Cho

    Embassy of the Republic of Korea

    Golden Jubilee Tower,19th floor, Kikuyu Road,

    P.O. Box 1154,

    Dodoma..

    34

    H.E. The Ambassador,

    Yasushi Misawa

    Embassy of Japan

    Plot No. 1018 Kikuyu Road,

    P.O. Box. 2577,

    Dodoma.

    35

    H.E. The Ambassador,

    Mhe. Isaack Njenga Gatitu

    High Commission of the Republic of Kenya

    Harambee Plaza , Kikuyu Road,

    Kaunda Drive Junction, Oysterbay,

    P.O. Box 5231,

    Dodoma

    36

    H.E. The Ambassador,

    Marco Lombardi

    Embassy of the Republic of Italy

    Kikuyu Road, 316 (Upanga)

    P.O. Box 2106,

    Dodoma

    37

    H.E. The Ambassador,

    Mary O’Neil

    Embassy of the Republic of Ireland

    353 Toure Drive, Kikuyu Road

    P.O. Box 9612,

    Dodoma

    38

    H.E. The Ambassador,

    Triyogo Jatmiko

    Embassy of the Republic of Indonesia

    299, Kikuyu Road,

    P.O. Box. 572,

    Dodoma

    39

    H.E. The Ambassador,

    Hossein Alvand Behineh

    The Islamic Republic of Iran

    Masaki, Chole/Haile Selasie Road Plot No. 581 Kikuyu Road, Oysterbay

    P.O. Box 5802,

    Dodoma.

    40

    H.E. The Ambassador,

    Binaya Srikanta Pradhan

    High Commission of the Republic of India

    82, Kikuyu Road

    P.O. Box 2684,

    Dodoma.

    H.E. The Ambassador,

    Nabil Hajlaoui

    Embassy of the Republic of France

    7 Kikuyu Road, (Corner Kilimani Road),

    P.O. Box. 2349,

    Dodoma.

    41

    H.E. The Ambassador,

    Regine Hess

    Embassy of the Federal Republic of Germany

    Umoja House, 2nd Floor, Hamburg Avenue/ Kikuyu Road

    P.O. Box 9541,

    Dodoma. .

    42

    H.E. The Ambassador,

    Shibru Kedida

    Embassy of the Federal Democratic Republic of Ethiopia

    Kikuyu Road, Oyster Bay,

    P.O. Box 20793,

    Dodoma.

    43

    H.E. The Ambassador,

    Kyle Michael Nunas

    High Commission of Canada

    38 Kikuyu Road/ Garden Avenue,

    P.O. Box 1022,

    Dodoma.

    44

    H.E. The Ambassador,

    Gustavo Martins Nogueira

    Embassy of the Federative Republic of Brazil

    2nd Floor, Rooms 201-202, Coco Plaza office Complex,

    Kikuyu Road, Plot No. 254,

    Toure Drive, Msasani Penisula

    P.O. Box. 105818,

    Dodoma.

    45

    H.E. The Ambassador,

    Tereza Zitting

    Embassy of Finland

    Kikuyu Road/Garden Avenue

    P. O. Box 2455

    Dodoma

    46

    H.E. The Ambassador,

    Sherif Abdelhamid Imam Ismail

    Embassy of the Arab Republic of Egypt

    24 Kikuyu Road

    P.O. Box 1668

    Dodoma.

    47

    H.E. The Ambassador,

    Damptey Bediako Asare

    Royal Danish Embassy

    Kikuyu Road

    P.O.Box 9171

    Dodoma

    H.E. The Ambassador,

    Yordenis Despaigne Vera

    Embassy of the Cuba

    Lugalo Road Plot 313

    P.O.Box 9282

    Dodoma

    48

    H.E. The Ambassador,

    Jean -Pierre Kassala

    Embassy of the Democratic Republic of Congo

    438 Kikuyu Road, Upanga

    P.O.Box 975

    Dodoma

    49

    H.E. The Ambassador,

    Dr. Ahamada El Badaoui Mohamed Fakih

    Embassy of Comoros

    Kikuyu Road,

    Plot No. 967,

    (Near Rose Garden)

    Mikocheni B,

    Dodoma.

    50

    H.E. The Ambassador,

    Chen Mingjian

    Embassy of The People’s Republic of China

    2 Kajificheni Close,

    Kikuyu Road,

    P.O. Box 1649

    Dodoma

    51

    H.E. The Ambassador,

    Gervais Abayeho

    Embassy of The Republic of Burundi

    1007, Kikuyu Road, Upanga East

    P.O.Box 2752

    Dodoma

    52

    HE. High Commissioner

    David Concar

    British High Commission

    Umoja House, 3rd Floor, Kikuyu Road

    P.O.Box 9200

    Dodoma

    53

    H.E. The Ambassador,

    Peter Hyghebaert

    Embassy of the Kingdom of Belgium

    5 Kikuyu Road,

    P.O.Box 9210,

    Dodoma.

    54

    H.E. The Ambassador,

    Sandro de Oliveira,

    Embassy of Republic of Angola

    Plot No. 1016 – Msasani Penisula, Buswagi Street,

    Kikuyu Road, P.O. Box 20793

    Dodoma.

    H.E. The Ambassador,

    Ahmed Djelal

    Embassy of the Democratic People’s Republic of Algeria

    34, Kikuyu Road

    P.O. Box 2963

    Dodoma,

    55

    H.E. The Archbishop,

    Angelo Accattino,

    Vatican Embassy

    Plot N. 146

    Kikuyu Road,

    Oyesterbay

    P.O. Box 480

    Dodoma

    Wapambania haki za Binadamu wamebuni Mbinu za Mwanamke kupata SIFA ZINAZOSTAHIZI KWA KUMWEKEA VIKWAZON VYA KILA MTU ANATAKIWA KUMUONA MWANAE ALIYEMZAA (MZEE/kabila ANATAKA URAIS KULE ULIKOENDA KUONA). MHE ULIKOOA KULE KUNA MTU ANATAKIWA KUGAWA NCHI YA TANZANIA KILA MKOA UWE NCHI.. …

    MHE. KULE ULIKOOA KUNA MTU ANAMAWAZO YA NYERERE TUMECHOKA…

    MHE. KULE ULIKOOA KUNA JAMBO LETU LA KATIBA MPYA…

    MHE. KULE ULIKOOA HUKUWAELEWA WANATAKA UWE WAZIRI MKUU AJAE…

    ULIKOOA ULIPELEKA NYOTA YA WATU KUSHINDA BIKO KILA SIKU….

    MHE.. KULE ULIKOOA WAMEPEWA KAZI YA KUTULETEA RAIS WA KWANZA MLEMAVU/KUTOKA UPINZANI

    KAMA UNA MATOTO WA KIKE UNAJUA FURSA ULIONAYO KAMA MZAZI

    KAMA UNA MTOTO WA KIUME UNAJUA FURSA ULIYONAYO USIMSAHAU BASH YUPO KULE

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

KimataifaTangulizi

Mkuu wa majeshi Kenya afariki, Ruto atangaza maombolezo

Spread the loveRais wa Kenya, William Ruto ametangaza maombezo ya siku tatu...

Kimataifa

Majaji kuamua hatima ya Zuma leo

Spread the loveMajaji nchini Afrika Kusini leo Jumanne wataamua ikiwa rais wa...

Habari za SiasaKimataifa

Spika Afrika Kusini ajiuzulu kwa tuhuma za rushwa

Spread the loveSpika wa Bunge la Afrika Kusini, Nosiviwe Mapisa-Nqakula ametangaza kujiuzulu...

Habari MchanganyikoKimataifa

Tetemeko la ardhi laua 7, lajeruhi 800 Taiwan

Spread the loveWatu wapatao saba wamefariki dunia na wengine zaidi ya 800...

error: Content is protected !!