Friday , 26 April 2024

Month: December 2019

Habari Mchanganyiko

Vijiji vinne kuondoka gizani kabla ya mwakani

WANANCHI wa vijiji vinne vya kata ya Ulaya, wilaya ya Kilosa, Morogoro wanatarajia kuondoka gizani kufuatia mradi wa umeme vijijini (REA) awamu ya...

Habari Mchanganyiko

Maofisa ugani wapewa somo kuongeza ufanisi

WAZIRI Kilimo, Japhet Hasunga amewataka Maofisa ugani nchini kuweka mipango kazi yao itakayowawezesha kufanikisha ufanisi wa kilimo. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea)....

Habari Mchanganyiko

Waliokula chakula cha sumu, afya zao zaimarika

WATU 53 wanaosadikiwa kula chakula chenye sumu katika msiba kata ya Mtumba Jijini Dodoma na kukimbizwa katika hospitali ya Rufaa, afya zao zimeimarika...

Habari za Siasa

 Mchungaji Msigwa awavaa wanaoikosoa Chadema

MCHUNGAJI Peter Msigwa, Mbunge wa Iringa Mjini amewashukia wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wanao kikosoa chama hicho mitandaoni. Anaripoti Mwandishi...

Habari Mchanganyiko

Wizara ya Elimu yaingilia kati ukata wa mikopo UDSM

WIZARA ya Elimu imeagiza Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HELSB),  kukutana na Uongozi wa Chuo Kikuu cha Dar es...

Elimu

Wadau wa elimu waililia serikali mtaala wa elimu

WADAU wa elimu nchini wamehoji walimu kutoshirikishwa katika mchakato wa kuandaa mtaala wa elimu mwaka 2016, kabla ya serikali kuupeleka mashuleni. Anaripoti Danson...

Habari za SiasaTangulizi

ACT- Wazalendo kimenuka, ‘swahiba wa Zitto’ aachia ngazi

NAIBU Katibu Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, Msafiri Mtemelwa, ametangaza kujiuzulu nyazifa zake, kufuatia kuvuja kwa mazungumzo yake na mbunge wa Moshi Vijijini...

Habari Mchanganyiko

Kilichosababisha kifo cha Mzee Akilimali chaanikwa

FAMILIA ya mwanachama wa siku nyingi na maarufu  ndani ya Klabu ya soko ya Yanga Ibrahim Akilimali, yaeleza kuwa ugonjwa wa saratani ndio...

Habari Mchanganyiko

Watu mil 3 ‘wapiga chenga’ kusajili laini za simu

LICHA ya kuwa na namba za utambulisho wa uraia (NIDA), watu 3,000,000 hawajasajili laini zao za simu kwa alama za vidole. Anaripoti Faki...

Habari za SiasaTangulizi

Wito kuhojiwa CCM; Makamba ‘nawasubiri’

KOMREDI Yusuf Makama, Katibu Mkuu Mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), ameonesha kutotikiswa na wito uliotolewa na Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya...

Habari za SiasaTangulizi

Bernard Membe ajibu mapigo

WAZIRI wa zamani wa mambo ya nje na mahusiano ya kimataifa nchini Tanzania, Benard Membe amesema, anasubiri kwa hamu, barua ya wito ya...

Michezo

Yanga, Simba wamlilia Mzee Akilimali

KLABU ya Yanga imemlilia aliyekuwa Katibu wa Baraza la Wazee wa klabu ya Yanga, Mzee Ibrahim Akilimali, aliyefariki dunia alfajiri ya leo tarehe...

Habari za SiasaTangulizi

Urais wa Magufuli, wamponza Membe, hatarini kufukuzwa 

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimeelekeza wanachama wake watatu, makatibu wastaafu, Yusuf Makamba na Abdulrahaman Kinana, kuhojiwa na kamati yake ya Ulinzi, Usalama  na...

Habari za Siasa

Maalim Seif amvimbia Waziri wa JPM

MAALIM Seif Sharif Hamad, Mshauri Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, ‘amemvimbia’ Hamadi Massauni, Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, kwamba hawezi...

KimataifaMakala & Uchambuzi

Conservative chaibua mshindi Uingereza

CHAMA cha Conservative cha Uingereza, kimeshinda uchaguzi wa mapema nchini humo. Kimepata viti 364, kutoka 326 ilivyokuwa inavihitaji kutangazwa mshindi. Anaripoti Mwandishi Wetu...

Habari za Siasa

Rais anapotoshwa – LHRC

ANNA Henga, Mkurugenzi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), amesema baadhi ya wasaidizi wa Rais John Magufuli, wanampotosha kwa maslahi...

Habari za SiasaTangulizi

Halima Mdee apeta Chadema

HALIMA James Mdee, ametetea kiti chake cha Uenyekiti wa Baraza la Wanawake Chadema (Bawacha) Taifa kwa kupata kura nyingi za ndio. Anaripoti Hamis...

Afya

Hospitali zaagizwa kuanzisha ‘mfuko wa fedha za dawa’

SERIKALI kupitia Wizara ya Afya, imeagiza Waganga Wakuu wa Vituo vya Afya na Hospitali zote nchini, kuanzisha mfuko wa fedha za dawa. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe: Ya Mwanza sio woga, ajibu ‘tuhuma’

FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chadema Taifa, amelazimika kutoa ufafanuzi wa kile kilichoonekana woga, baada ya kuomba muafaka kwa Rais John Magufuli. Anaripoti Regina Mkonde...

Habari za Siasa

Rais Magufuli atuhumu AZAKI, NGO’s

RAIS John Magufuli ametuhumu baadhi ya asasi za kiraia (AZAKI) na mashirika yasiyo ya kiserikali (NGO’s), zinazofanya kazi ya ‘ukuadi.’ Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Amesema,...

Habari za Siasa

Pinda atamani JPM ‘adumu’

MIZENGO Pinda, Waziri Mkuu Mstaafu katika Serikali ya Awamu ya Nne, ameeleza kutamani Rais John Magufuli adumu madarakani kwa zaidi ya miaka 10...

Habari za Siasa

Hashimu, Lutembeka warudishwa Baraza la Wazee Chadema

HASHIMU Juma Issa, amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wazee la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Wakati huo...

Habari za SiasaTangulizi

JPM: Ndege iliyoshikwa Canada, inakuja

RAIS John Magufuli amesema, ndege ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) Bombardier Q400, iliyoshikiliwa nchini Canada, imeachwa. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Akishiriki kwenye Semina...

Habari Mchanganyiko

Malinzi ahukumiwa  jela au faini

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu  jijini Dar es Salaam imemuhukumu Jamali Malinzi aliyekuwa Rais  Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Selestine Mwesigwa aliyekuwa Katibu...

Elimu

Waziri atia msisitizo uandishi wa Insha

WILLIAM Ole Nasha, Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, amewataka wakuu wa shule nchini kushawishi wanafunzi kuchangamkia fursa za mashindano ya uandishi...

Elimu

MET: Kuna haja kuboresha elimu nchini

MTANDAO wa Elimu Tanzania (MET), unaojumuisha asasi za kiraia 210 umeeleza, kuna haja ya kuboresha elimu nchini kwa lengo la kupata wasomi makini. Anaripoti...

Habari Mchanganyiko

Gavana Sonko aachwa kwa dhamana, apewa masharti

MAHAKAMA ya Milimani nchini Kenya, imemuacha kwa dhamana ya Ksh. 15 milioni, Mike Sonko, Gavana wa Nairobi anayekabiliwa na mashataka ya ufisadi. Inaripoti...

Habari Mchanganyiko

Ireland yaahidi kuendeleza mapambano ya unyanyasaji

SERIKALI ya Irelanda imeahidi kuendelea na kupambana na vitendo vya ukatili wa kijinsia kwa wanawake na watoto nchini ili kutokomeza vitendo hivyo vinavyo...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu amkingia kifua Mbowe

TUNDU Lissu, Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ametetea uamuzi wa Freeman Mbowe, ‘kuomba maridhiano’ na Rais John Magufuli. Anaripoti...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Elimu Bure ina changamoto -Ripoti

WADAU wa elimu nchini, wameishauri serikali kupitia upya sera ya elimu bure, ili kuondoa changamoto zinazojitokeza katika utekelezaji wake. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). Ushauri huo...

Habari Mchanganyiko

Mamia wamlilia Marehemu Ali Mufuruki

MAISHA ya mfanyabiashara bilionea, Ali Abdul Mufuruki (60), aliyefariki dunia Jumapili iliyopit, nchini Afrika Kusini, yamegusa watu wengi na kutoka kada tofauti.  Anaripoti Faki Sosi...

Habari MchanganyikoTangulizi

Mfungwa agomea msamaha wa JPM

MERAD Abraham, aliyekuwa mfungwa katika gereza kuu la Ruanda, mkoani Mbeya, amegoma kutoka gerezani, kufuatia kupata msamaha wa rais. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Taarifa kutoka...

Habari za Siasa

Chadema yawatibua ‘Kigogo’, Sarungi, Zitto 

HATUA ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, kuomba Rais wa Jamhuri, Dk. John Pombe Magufuli, kile alichoita, “maridhiano...

Habari Mchanganyiko

Ujumbe wa mwisho wa Bilionea Mufuruki kwa familia yake

ADIL Mufuruki, mdogo wa marehemu Ali Mufuruki, ameeleza ujumbe wa mwisho ulioachwa na mfanyabiashara huyo maarufu barani Afrika, kwa familia yake. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea)....

Habari MchanganyikoTangulizi

Zitto amchambua bilionea Mufuruki, amuombea makazi mema Peponi 

MWILI wa mfanyabiashara mzalendo na ambaye amejipatia umashuhuri mkubwa nchini, Ali Abdul Mufuruki, aliyefariki dunia Jumapili iliyopita, nchini Afrika Kusini, unaagwa leo jijini...

Habari za Siasa

Rais Magufuli asamehe wafungwa 5,533

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Magufuli ametoa msamaha kwa wafungwa 5,533 leo Desemba 9, 2019. Anaripoti Martin Kamote … (endelea)...

Habari za Siasa

CCM yahamia Mwanza, kuvuruga upinzani

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimepanga kufanyia mikutano yake ya Halmashauri Kuu ya taifa (NEC) na Kamati Kuu (CC), mjini Mwanza, kuanzia wiki hii....

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe atumia Sherehe za Uhuru kupenyeza ujumbe kwa JPM

FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia Maendeleo (Chadema) amesema sababu za kushiriki katika sherehe za Maadhimisho ya Miaka 58 ya Uhuru ni...

Habari MchanganyikoTangulizi

Bilionea mwingine Tanzania afariki dunia, ni Ali Mufuruki

MFANYABIASHARA mashuhuri na mmoja wa mabilionea wakubwa nchini, Ali Mufuruki (60), amefariki dunia. Alikuwa akisumbuliwa na homa ya mapafu. Anaripoti Saed Kubenea …...

Michezo

Dewji afikia kikomo cha uvumilivu Simba

MOHAMMED Dewji ‘Mo’ Mwekezaji wa klabu ya Simba, ameweka wazi kuwa klabu hiyo haitamvumilia mchezaji yeyote atakayeihujumu timu hiyo. Anaripoti Faki Sosi …(endelea)....

Tangulizi

Polisi wamuonya Prof. Lipumba, Maalim Seif

JESHI la Polisi Zanzibar limesema, litashughulika kikamilifu na mfuasi yeyote wa Prof. Ibrahim Lipumba (CUF), ama Maalim Seif Sharif Hamad (ACT-Wazalendo) iwapo watatibua...

Habari za Siasa

Wapinzani wataisoma namba – Rais Magufuli

RAIS John Magufuli, amewaeleza wakazi wa Mwanza kwamba ‘wapinzani wataisoma namba.’ Ni baada ya kile alichoita ushindi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kwenye...

Elimu

Pinda mgeni rasmi mahafali DECCA

MIZENGO Pinda, Waziri Mkuu Mstaafu, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Mahafali ya Tatu ya Chuo cha Uuguzi (DECCA), yatakayofanyika tarehe 13 Desemba 2019,...

Habari Mchanganyiko

Wachawi wamtisha Spika Ndugai

JOB Ndugai, Spika wa Bunge ameingia hofu kwa wachawi kukwamisha ujenzi wa daraja la Daraja la Kigongo Busisi, Mwanza. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Hivyo,...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe kuongoza kikao cha ‘machinjio’

FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) anatarajia kuongoza kikao cha Kamati Kuu ya chama hicho, cha kuteua wagombea wa...

Habari za SiasaTangulizi

Passport ya Bulaya yaahirisha kesi

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es salaam, imeahirisha kusikiliza kesi inayowakabili viongozi waandamizi wa Chadema, kutokana na upande wa mashtaka kumtaka...

Habari za SiasaTangulizi

ACT- Wazalendo, CUF waingia tena vitani

CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimejigamba kuwa kinawasubiri wanachama wa Chama cha Wananchi (CUF), waliopanga kuchukua kwa nguvu, mali na majengo, wanayodai ni mali yao. Anaripoti...

Habari za Siasa

Waziri Aweso “atumbua” kigogo Maji, avunja bodi

NAIBU Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Juma Aweso amemsimamisha kazi Meneja wa Mamlaka ya Maji Misungwi, Charles Kampuni pamoja na kuvunja bodi ya...

Habari Mchanganyiko

Vitendo vya ukatili vyawaunganisha waganga wa jadi, wazee wa kimila

VITENDO vya ukatili, mila potofu na mimba za utotoni, vimewaibua na kuwakutanisha wazee wa mila 225 kutoka mikoa tisa nchini na kuunda mtandao...

Habari Mchanganyiko

Mtanzania aomba Ziwa Victoria libadilishwe jina

DAKTARI Abdullah Hasnuu Makame, leo tarehe 6 Desemba 2019, amefikisha azimio la kubadilisha jina la Ziwa Victoria, katika Bunge la Afrika Mashariki (EALA)....

error: Content is protected !!