Categorizing posts based on type of post
RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli amemteua Dk. Mwigulu Nchemba kuwa waziri wa katiba na sheria. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam …....
By Mwandishi WetuMay 2, 2020SAFARI ya mwisho hapa duniani ya Waziri wa Katiba na Sheria, Balozi Augustine Mahiga imehitimishwa leo Jumamosi tarehe Mei 2, 2020 kwa mwili...
By Mwandishi WetuMay 2, 2020WAZIRI wa Katiba na Sheria, Balozi Augustine Mahiga amefariki dunia leo alfajiri akiwa nyumbani kwake. Anaripoti Faki Sosi, Dar es Salaam … (endelea)....
By Faki SosiMay 1, 2020BALOZI Dk. Augustine Philip Mahiga, amefariki dunia, asubuhi hii ya leo, tarehe 1 Mei 2020, mjini Dodoma. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea)....
By Mwandishi WetuMay 1, 2020WIZARA ya Afya, kupitia Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii inatarajia kutumia Jumla ya Sh. 33.1 bilioni kutekeleza shughuli mbalimbali za kijamii hususani...
By Mwandishi WetuApril 30, 2020HOFU ya kusambaa kwa virusi vya corona (COVID-19), ndani ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, sasa inazungumzwa waziwazi. Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Hamisi MgutaApril 30, 2020ALOYCE Bent Kimaro, aliyekuwa Mbunge wa Vunjo mkoani Kilimanjaro (CCM), amefariki dunia leo tarehe 30 machi 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, Kilimanjaro…(endelea). Kimaro alizaliwa tarehe 24 Juni 1953....
By Hamisi MgutaApril 30, 2020MAHAKAMA ya Mkoa wa Mtwara leo tarehe 30 Aprili, 2020, imemwachia huru aliyekuwa Mbunge wa Ndanda kwa tiketi ya Chadema, Cecil Mwambe katika...
By Mwandishi WetuApril 30, 2020WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ametangaza kuongezeka kwa wagonjwa wapya corona 196, ambapo kati yao kutoka Bara ni 174, Zanzibar 22 na kufanya jumla...
By Hamisi MgutaApril 29, 2020RICHARD Mganga Ndassa, Mbunge wa Jimbo la Sumve (CCM), amefariki leo tarehe 29 Aprili, 2020, jijijni Dodoma alipokuwa akipatiwa matibabu. Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Mwandishi WetuApril 29, 2020KASISI wa Kanisa la Anglikana Visiwani Zanzibar, Jaji Augostino Ramadhani (74), ameaga dunia. Amekutwa na mauti jana Jumanne, katika hospitali ya Aga Khan,...
By Saed KubeneaApril 28, 2020SERIKALI imepokea msaada wa Sh. 14.9 bilioni kutoka Global Fund, Airtel Tanzania, Rotary Club Tanzania ambazo sehemu kubwa zitatumika kununua vifaa kinga kwa...
By Hamisi MgutaApril 27, 2020EVOD Mmanda, naomba uamke kaka yangu. Umeondoka mapema mno kaka. Kwa nini lakini? Anaandika Moses Machali … (endelea) Kwangu hukuwa rafiki tu, bali...
By Mwandishi MaalumApril 27, 2020WAGONJWA 37 waliokuwa wameambukizwa virusi vya Corona (COVID-19) wamepona na kuruhusiwa kurejea nyumbani baada ya vipimo vya mwisho kuthibitisha kwamba hawana maambukizi ya...
By Hamisi MgutaApril 24, 2020NAIBU Spika wa Bunge la Jamhuri, Dk. Tulia Akson, amelitangazia Bunge kuwa mmoja wa wabunge wa Bunge hilo, amepatwa na virusi vya Corona....
By Mwandishi WetuApril 20, 2020MCHUNGAJI wa Kanisa la Mlima wa Moto (Mikocheni B Assemblies of God), amefariki dunia alfajiri ya leo tarehe 20 Aprili 2020. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuApril 20, 2020JOB Ndugai, Spika wa Bunge, amezuia Hotuba ya Kambi Rasmi ya Upinzani kuhusu Wizara ya Katiba na Sheria kusomwa bungeni jijini Dodoma, kwa...
By Danson KaijageApril 18, 2020MNYUKANO mkali umeibuka bungeni, baada ya baadhi ya wabunge kuhoji kuwapo kwa vifungu vya Katiba ya Zanzibar, vinavyopingana na Katiba ya Jamhuri ya...
By Mwandishi WetuApril 17, 2020SERIKALI imetangaza ongezeko la wagonjwa wapya 53, wa Homa Kali ya Mapafu, inayosababishwa na Virusi vya Corona (COVID-19). Anaripoti Regina Mkonde, Dar es...
By Regina MkondeApril 17, 2020JOB Ndugai, Spika wa Bunge, ametoa waraka kwa wabunge wenye muongozo juu ya namna ya kujikinga na maambukizi ya Ugonjwa wa Homa ya...
By Danson KaijageApril 17, 2020ROSTAM Aziz, mfanyabiashara mkubwa na mbunge wa zamani wa Igunga, Tabora ametoa mashine kubwa 25 za vitakasa mwili wote ili kukabili virusi vya...
By Hamisi MgutaApril 16, 2020WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu ametangaza ongezeko la wagonjwa wa homa ya mapafu inayosababishwa na virusi vya corona nchini kutoka 53 hadi 88...
By Mwandishi WetuApril 15, 2020SERIKALI imeeleza, Kituo cha Afya Igoma kilipatiwa kiasi cha Sh. 400 milioni kwa ajili ya ukarabati na upanuzi na kazi hiyo imekamilika. Anaripoti Danson...
By Danson KaijageApril 15, 2020JIJI la Dar es Salamu linaongoza kwa kuwa na wagonjwa wa figo huku Arusha ikishika namba mbili. Mkoa wa Simuyu unaongoza kwa wagonjwa...
By Danson KaijageApril 15, 2020Ujumbe wa ACT-Wazalendo kwa taifa kuhusu uchumi & corona Ndugu Wananchi, Itakumbukwa kuwa Kiongozi wa Chama Chetu alimwandikia barua Rais wa Jamhuri ya...
By Mwandishi WetuApril 15, 2020WATU 18 wamepoteza maisha huku 15 wakijeruhiwa, katika ajali iliyohusisha lori la gari la abiria, iliyotokea asubuhi ya leo tarehe 15 Aprili 2020,...
By Mwandishi WetuApril 15, 2020MWANDISHI wa habari wa Sauti ya Ujerumani (DW), anayefanyia shughuli zake Visiwani Zanzibar, Salma Said, amethibitika kukutwa na maambukizi ya virusi vya Corona...
By Mwandishi WetuApril 15, 2020WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema agizo la kufungwa kwa shule na vyuo vya kati na vya elimu ya juu, liliotolewa tarehe 17 na...
By Mwandishi WetuApril 14, 2020MKAZI wa kijiji cha Nyahanga, Wilayani Kahama, Shinyanga, Magohe Kafumu, amemfuata bungeni jijini Dodoma, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William...
By Danson KaijageApril 14, 2020CHANGANYA lita moja ya Jik na lita sita za maji, kisha pulizia gari lao, hapo litakuwa salama dhidi ya virusi vya corona (COVID-19). Anaripoti...
By Mwandishi WetuApril 14, 2020SERIKALI imetakiwa ieleze, kwanini Ranchi ya NARCO Mbarali iliyoanzishwa kwa ajili ya mifugo, imeacha matumizi yake na sasa eneo hilo linatumika kwa kilimo? Anaripoti Danson...
By Danson KaijageApril 14, 2020JOEL Mwaka, Mbunge wa Jimbo la Chilonwa (CCM), amehoji serikali kwamba ina mpango gani wa kuhakikisha wataalam wa kilimo cha zabibu, wanapatikana ili...
By Danson KaijageApril 14, 2020SERIKALI imesema, Mgodi wa Geita Gold Mine (GGM), ni moja ya waajiri walioandikishwa na Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF). Anaripoti...
By Danson KaijageApril 14, 2020SERIKALI imetangaza ongezeko la “kesi mpya kumi na nne” (14) za maambukizi ya ugonjwa wa Corona (Covid 19) nchini. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es...
By Mwandishi WetuApril 13, 2020KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe ameeleza kuwa ameliandikia barua Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), kulitaka kuja nchini kuifanyia ukaguzi Benki...
By Faki SosiApril 11, 2020FREEMAN Mbowe, Kiongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amemhoji Rais John Magufuli ya kwamba, idadi ngapi ya vifo vitakavyotokana na Ugonjwa...
By Mwandishi WetuApril 11, 2020TAKRIBANI wabunge tisa kutoka vyama viwili vikubwa vya upinzani bungeni – Chama cha Wananchi (CUF) na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wako...
By Mwandishi WetuApril 11, 2020SERIKALI imetangaza vifo viwili vya wagonjwa wa Homa Kali ya Mapafu, inayosababishwa na Virusi vya Corona (COVID-19). Anaripoti Hamis Mguta…(endelea). Kwa mujibu wa...
By Hamisi MgutaApril 10, 2020ILI UWEZE kufanikisha jambo ni lazima uweke mipango mikakati ya jambo ambalo unataka kulifanya kwa maana ya mpango wa mrefu wa kati na...
By Danson KaijageApril 10, 2020WATANZANIA wametakiwa kuongeza umakini katika kujilinda na virusi vya corona (COVID-19), kwa kuwa siku chache zijazo, nchi itaingia katika hatua ya kuambukizana wenyewe...
By Mwandishi WetuApril 9, 2020CHAMA cha NCCR- Mageuzi, kimekana madai kuwa kimetumia kiasi Sh. 1.19 bilioni, zilizotolewa na serikali, bila kuwa na uthibitisho wa nyaraka. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuApril 9, 2020TUNDU Lissu, aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki amemshangaa Spika Job Ndugai, kwa madai ya kufanya kazi kama ‘mkusanya mapato ya benki.’Anaripoti Mwandishi wetu…...
By Mwandishi WetuApril 7, 2020PROFESA Jumanne Kishimba, Mbunge wa Kahama (CCM), ameishauri serikali kuruhusu pombe ya gongo, itumike katika kukabiliana na mlipuko wa Virusi vya Corona, kwa...
By Mwandishi WetuApril 7, 2020KAULI ya Boniface Jacob, Diwani wa Kata ya Ubungo (Chadema) na Meya wa Manispaa ya Ubungo, kwamba hatogombea tena udiwani katika Uchaguzi Mkuu...
By Faki SosiApril 6, 2020WAKATI baadhi ya misikiti ikitumia dakika 20 pekee katika Ibada ya Ijumaa, Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) sasa litaumia dakika 45...
By Faki SosiApril 5, 2020BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imezifanyia maboresho fedha za noti, toleo la mwaka 2010, katika kipengele cha usalama. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Kwa mujibu...
By Mwandishi WetuApril 4, 2020CHAMA cha ACT-Wazalendo kimeziomba jumuiya za kimataifa, hususan taasisi za fedha, kuzipa nafuu katika ulipaji madeni, nchi masikini zenye mikopo, ili ziweze kupata...
By Faki SosiApril 4, 2020SHAHIDI wa mwisho wa upande wa utetezi kwenye kesi namba 327/2018, inayomkabili Zitto Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, ameieleza mahakama kuwa...
By Faki SosiApril 3, 2020JAMES Mbatia, Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi amekataa kufanya kazi na Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Anaripoti Danson Kaijage,...
By Danson KaijageApril 3, 2020MPAKA sasa, watu watatu wawaliokuwa wakisumbuliwa na ugonjwa wa corona, wamepona. Anaripoti Hamis Mguta, Dar es Salaam…(endelea) Taarifa iliyotolewa na Ummy Mwalimu, Waziri wa...
By Hamisi MgutaApril 3, 2020