October 5, 2022

Uhuru hauna Mipaka

Mbunge Richard Ndassa afariki dunia

Marehemu Richard Ndassa

Spread the love

RICHARD Mganga Ndassa, Mbunge wa Jimbo la Sumve (CCM), amefariki leo tarehe 29 Aprili, 2020, jijijni Dodoma alipokuwa akipatiwa matibabu. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea).

Ndassa alizaliwa tarehe 21 Machi 1959, aliongoza jimbo la Sumve mkoani Mwanza tangu mwaka 2010.

Taarifa zaidi zitakujia….

error: Content is protected !!