Thursday , 2 May 2024

Gazeti

Categorizing posts based on type of post

Habari za SiasaTangulizi

Zitto aweka hadharani sababu 10 za kuing’oa CCM 2020

ZITTO Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, ameeleza sababu 10 za kuking’oa Chama cha Mapinduzi (CCM), katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020....

Habari za Siasa

Tendai Biti kuhutubia mkutano mkuu ACT-Wazalendo

CHAMA cha ACT-Wazalendo, kinachotimiza miaka mitano tangu kuanzishwa, leo tarehe 14 Machi 2020 kinaanza mkutano wake mkuu wa pili kwenye ukumbi wa Mlimani...

Habari za Siasa

Jussa amwendesha Zitto 

ISMAIL Jussa, mgombea nafasi ya Uongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, ametumia vyema mdahalo wa kuwapima wagombea wa chama hicho, kuonesha udhaifu wake,...

Habari za Siasa

Maalim Seif, Shilungushela watoana jasho

MAALIM Seif Shariff Hamad, Mshauri Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo amechuana vikali na mwanasiasa nguli, Nyagaki Shilungushela katika mdahalo wa kupima wagombea wa uenyekiti...

Habari za Siasa

Mabomu yarindima Segerea ‘kwa Mbowe’

ASKARI wa Jeshi la Magereza katika gereza la Segerea, wametumia mabomu ya machozi kuwatawanya wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), walikwenda...

Habari za SiasaTangulizi

Mch. Msigwa: Niligoma kutoka jela

MCHUNGAJI Peter Msigwa, Mbunge wa Iringa Mjini, aligoma kutoka jela. Anaripoti Kelvin Mwaipungu, Dar es Salaam … (endelea). Akizungumza na wanahabari katika Makao...

AfyaHabari za Siasa

Virusi vya Corona: Tahadhari ya Rais Magufuli kwa taifa

RAIS John Magufuli amewataka Watanzania kuchukua tahadhari kutokana na kusambaa kwa virusi vya Corona. Anaripoti Faki Sosi, Dar es Salaam…(endelea). Akizungumza kwenye uzinduzi wa...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema wamaliza kazi, Mbowe kuliona jua leo

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimekamilisha mchakato wa kumtoa kifungoni mwenyekiti wake, Freeman Mbowe, aliyekuwa anatumikia kifungo cha miezi mitano kwenye Gereza...

AfyaMakala & Uchambuzi

Corona inavyoitoa machozi dunia

DUNIA inatikisika, virusi vya ugonjwa wa Corona vimeendelea kusamba na kusababisha hofu kubwa sambamba na vifo. Anaandika Regina Mkonde, Dar es Salaam…(endelea). Shughuli za uzalishaji...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Magufuli azua tafrani Chadema

RAIS John Pombe Magufuli, ametoa kiasi cha Sh. 38 milioni kati ya Sh. 40 milioni, zinazotakiwa kulipia faini ya Mbunge wa Iringa Mjini...

Habari za Siasa

Nondo: Maumivu ya Chadema tunayahisi ACT–Wazalendo 

CHAMA cha ACT – Wazalendo kitaendelea kupigania umoja na mshikamano ndani na nje ya chama kwa lengo la kuunga mkono mikakati ya kuirudisha...

Habari za Siasa

Lema kupishana na Mbowe jela?

GODBLESS Lema, Mbunge wa Iringa Mjini anaweza kupishana na mwenyekiti wake (Chadema) Freeman Mbowe, iwapo Biswalo Mganga, Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP) ‘atamkomalia.’...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe mfungwa Na. 305, apigwa ‘para’

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, tayari amevishwa gwanda na kuwa mfungwa rasmi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam...

Habari za Siasa

Faini Chadema: Mil 234 zachangwa

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimefanikiwa kukusanya Sh. 234 milioni, kwa ajili ya kulipa hukumu faini zaidi ya milioni 350, inayowakabili viongozi...

Habari za Siasa

ACT-Wazalendo watoa Mil 2 kuwachomoa Mbowe na wenzake

CHAMA cha ACT – Wazalendo kimechangia kiasi Sh. 2 milioni fedha taslim ili kuwezesha kutolewa gerezani viongozi wa juu wa Chama cha Demokrasia...

Habari za Siasa

Mdee, Bulaya, Matiko kuwa huru leo

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimelipa hukumu ya faini ya Sh. 100 milioni katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kwa ajili ya...

Habari za SiasaTangulizi

Ujumbe wa Dk. Mashinji baada ya kutoka jela

DAKTARI Vincent Mashinji, aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na mwanachama mpya wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), ametuma salamu...

Habari za Siasa

Hukumu ya Mbowe: Hivi ndivyo hakimu alivyomkwepa Akwilini

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam imesema hukumu yake juu ya kesi ya jinai Na. 112/2018 iliyokuwa ikiwakabili viongozi waandamizi...

AfyaMakala & Uchambuzi

Tahadhari ya Corona (COVID-19) Tanzania

VIRUSI vya Corona vinaendeleo kuitesa dunia, tayai imesababisha madhara makubwa katika nchi mbalimbali duniani. Anaandika James Iyambogo, Mwanza … (endelea). Ugonjwa huo husambaa...

Habari za Siasa

CCM kumchomoa ‘mtu wao’ Dk. Mashinji leo?

MAISHA ya kutengwa, kuzomewa na hata kupuuzwa anayopita Dk. Vicent Mashinji, aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), yanapata faraja...

Habari za SiasaTangulizi

Faini Mbowe, wenzake: 108 Mil zakusanywa usiku kucha

ZAIDI ya Tsh. 108,262,000 tayari zimekusanywa ndani ya saa 12, tangu faini ya Freeman Mbowe na wenzake kuwa wazi jana tarehe 10 Machi...

Habari za SiasaTangulizi

Baada ya kuhukumiwa kulipa mamilioni, Mbowe na wenzake walala Segerea

VIONGOZI wanane wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wakiongozwa na mwenyekiti wao, Freeman Mbowe, wamenusurika kufungwa gerezanibaada ya kuamriwa kulipa faini ya fedhataslimu...

Habari za SiasaTangulizi

Polisi wazoa wafuasi wa Chadema

WAKATI kesi Na. 112/2018 ya uchochezi inayowakabili Freeman Mbowe na viongozi wenzake wa Chadema, Jeshi la Polisi limeendesha zoezi la kuwasomba wafuasi wa...

Habari za Siasa

Dk. Vincent Mashinji azomewa kortini

DAKTARI Vincent Mashinji, aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kabla ya kujiunga Chama cha Mapinduzi (CCM), amejikuta kwenye wakati...

Habari za SiasaTangulizi

Kesi ya Chadema: Nusura ‘kiwake’ Kisutu

VURUGU, vuta nikuvute na kurushiana maneno vimetawala kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam wakati wa kusikiliza kesi ya viongozi...

Habari za Siasa

Lowassa, Sumaye wamtia gundu Membe

WASWAHILI husema ‘ukiumwa na nyoka, ukigusa jani unashtuka,’ hiki ndicho kinachomtokea Bernard Membe, Waziri wa Mambo ya Nje katika serikali ya awamu ya...

Habari za SiasaTangulizi

Ujumbe mzito wa Mbowe kabla ya hukumu

IKIWA zimesalia saa kadhaa kwa viongozi wakuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kuhukumiwa katika Kesi ya Jinai Na. 112/2018, inayowakabili kwenye...

Habari za Siasa

Agizo la kwanza la Nondo baada ya kukwaa Uenyekiti ACT

ABDUL Nondo, Mwanaharakati wa haki za binadamu nchini, amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana ya Chama cha ACT-Wazalendo. Anaripoti Regina Mkonde, Dar...

Habari za SiasaTangulizi

Mangula anyweshwa sumu

PHILIP Mangula, Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, amenyweshwa sumu. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea). Taarifa zaidi zinaeleza, Mangula...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Bashiru ‘ashughulikiwa’

KAULI ya Dk. Bashiru Ally, Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kwamba chama kinachoondoka madarakani wakati kina dola ni uzembe, imetibua wengi....

Habari za SiasaTangulizi

Wapinzani kutinga Ikulu, Mbowe atuma ujumbe kwa JPM

ZIARA za baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa vya upinzani kuteta na Rais John Magufuli  Ikulu jijini Dar es Salaam,  zimemuibua Freeman...

Makala & UchambuziTangulizi

Kosa la Mbatia ni lipi?

MIJADALA kwenye mitandao ya kijamii, imekoleza tuhumadhidi ya Mwenyekiti wa taifa wa chama cha NCCR- Mageuzi, James Francis Mbatia, kwamba anatumika na Chama...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Bashiru aeleza namna dola inavyoibeba CCM

WAKATI Rais John Magufuli akiahidi uchaguzi huru na haki, Dk. Bashiru Ally, Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), anashangazwa namna vyama vilivyo...

Habari za SiasaTangulizi

Mbatia awavuruga CCM, Chadema Mbeya   

MWENYEKITI wa chama cha NCCR- Mageuzi, James Mbatia, aliyeko mkoani Mbeya, ameanza kwa kishindo ziara yake mkoani humo, kufuatia maelfu ya watu kujitokeza...

Habari za Siasa

Polisi wamvaa Mbatia, aitwa kujieleza

ZIARA ya James Mbatia, Mwenyekiti wa Chama cha NCCR Mageuzi imeingia shubiri mkoani Mbeya baada ya polisi kuvamia na kuzuia mkutano wake wa...

Habari za SiasaTangulizi

Membe ‘aitwa’ ACT-Wazalendo

BERNALD Membe, aliyekuwa mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Waziri wa Mambo ya Nje katika serikali ya awamu ya nne, amekaribishwa ndani...

Habari za SiasaTangulizi

Maalim Seif aonesha njia ya ushindi 2020

MAALIM Seif Sharif Hamad, Mshauri Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo amesema, ushirikiano ndio njia muhimu ya kushinda kwenye uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka...

Habari za Siasa

Maalim Seif: Nani atanitongoza?

MAALIM Seif Sharif Hamad, Mshauri Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, ameeleza kwamba msimamo wake katika siasa unamweka mbali na ‘wanaotongoza’ wanasiasa ili kujiunga...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe avamiwa

FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Taifa, yupo kwenye wakati mgumu jimboni kwake Hai, Kilimanjaro. Anaripoti Mwandishi Wetu, Kilimanjaro…(endelea)....

Habari za Siasa

Mbatia: Nimemuuliza rais, nchi hii tunaipeleka wapi?

JAMES Mbatia, Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi amesema amekutana na Rais John Magufuli na kumuuliza, hatima ya Tanzania. Anaripoti Hamis Mguta, Dar es...

Habari za Siasa

Membe awekewa ‘ngumu’ kujiunga Chadema

BERNARD Membe, Waziri Mstaafu wa Mambo ya Nje katika serikali ya awamu ya nne, amewekewa ngumu kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo...

Habari za SiasaTangulizi

Maalim Seif amfuata JPM Ikulu

MAALIM Seif Sharif Hamad, Mshauri Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, ametinga Ikulu, jijini Dar es Salaam na kufanya mazungumzo na Rais John Magufuli....

Habari za Siasa

Zengwe la Meya Dar lahamia Meya Iringa

MKAKATI ulioondeshwa na madiwani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kutaka kumng’oa Isaya Mwita, Meya wa Jiji la Dar es Salaam sasa umehamia kwa...

Habari za Siasa

Lema: Polisi wananisaka

GODBLESS Lema, Mbunge wa Arusha Mjini amedai kwamba, anatafutwa na Jeshi la Polisi mkoani Arusha. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Lema ametoa taarifa hiyo leo...

Habari za Siasa

Maalim Seif atikiswa Pemba

AHMED Ngwali, Mbunge wa Wawi mkoani Kusini Pemba kupitia Chama cha Wananchi (CUF), amejivua uanachama na kuhamia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea)....

Habari za Siasa

Dk. Bashiru amtisha Membe

SIKU mbili baada ya Bernald Membe kusema, uamuzi wa kumkabili Dk. John Magufuli kwenye urais ndani ya chama hicho, ndio uliomfukuzisha, Dk. Bashiru...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Bashiru: CCM msifurahie kufukuzwa kwa Membe

DAKTARI Bashiru Ally, Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), amewataka wanachama wa CCM kutosherehekea uamuzi huo na kuwataka kuweka akiba ya maneno,...

Habari za SiasaTangulizi

Uchaguzi 2020: Maalim Seif aitesa CCM Zanzibar

CHAMA cha Mapinduzi (CCM), kimeonesha wasi wasi wake juu ya harakati za Maalim Seif  Shariff Hamad, za kugombea Urais katika Uchaguzi Mkuu wa...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe amvuruga DC Sabaya Hai

LENGAI Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai, Kilimanjaro anatajwa kama mtu mnyanyasaji kwa wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Anaripoti...

Habari za Siasa

Mbowe akamatwa jimboni kwake

FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Kwa mujibu wa...

error: Content is protected !!