Thursday , 2 May 2024

Gazeti

Categorizing posts based on type of post

Habari za Siasa

Zitto augua ghafla Marekani

ZITTO Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, ameugua ghafla akiwa nchini Marekani. Anaripoti Martin Kamotei, Dar es Salaam … (endelea). Taarifa ya ugonjwa...

Habari za Siasa

Sumaye arudi CCM

FREDERICK Sumaye, Waziri Mkuu wa zamani amerejea katika Chama Cha Mapinduzi (CCM), leo tarehe 10 Februari 2020. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam...

Habari za SiasaTangulizi

Prof. Lipumba atoa masharti kuungana na Mbowe, Zitto 

PROF. Ibrahim Haruna Lipumba, mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), ametoa masharti mazito ya “ushirikiano” kwa viongozi wenzake wa vyama vya ACT- Wazalendo...

Habari za Siasa

Wanawake Chadema wapewa mbinu za ushindi uchaguzi 2020

SOPHIA Mwakagenda, Mbunge viti Maalumu, amewapa mbinu za ushindi wajumbe wa Baraza la Wanawake la Chama cha Chadema (Bawacha), kwenye Uchaguzi Mkuu wa...

Habari za Siasa

Uboreshaji daftari wapiga kura Dar, Pwani kuanza Februari 14

ZOEZI la uboreshaji Daftari la Kudumu la Wapiga Kura katika mkoa wa Dar es Salaam na Pwani, kuanza tarehe 14 hadi 20 Februari,...

Habari za SiasaTangulizi

Nyota ya Bernard Membe yazidi kung’aa

IKIWA imesalia miezi michache kabla ya kufanyika uchaguzi mkuu wa rais, wabunge wa madiwani wa Oktoba mwaka huu, nyota ya aliyepata kuwa Katibu...

Habari za Siasa

Sensa kubaini wasio na ajira yaja

ANTONY Mavunde, Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Ajira na Vijana amesema serikali itaifanyia kazi hoja ya Grace Tendega, Mbunge Viti Maalumu (Chadema),...

ElimuHabari za Siasa

CUF chaibuka na waraka mpya wa elimu

CHAMA cha Wananchi (CUF) kimeitaka serikali kuufuta Waraka Mpya wa Elimu Na. 4 wa mwaka 2020, kwa maelezo kwamba, utekelezwaji wake utapelekea walimu...

Habari za Siasa

Viongozi Chadema wazuiwa kwenda nje ya nchi

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimelalamikia hatua ya viongozi wake tisa kuwekewa vikwazo vya kusafiri nje ya nchi, na Mahakama ya Hakimu...

Habari za Siasa

Zitto ahofia yaliyomkuta Lissu

ZITTO Kabwe, Mbunge wa Kigoma Mjini, anahofia usalama wa maisha yake, kufuatia vitisho anavyopokea kutoka kwa baadhi ya wanasiasa, kutokana na hatua yake...

Habari za SiasaTangulizi

Kauli ya Membe baada ya kuhojiwa

BERNARD Membe, waziri wa zamani wa Mambo ya Nje amesema, mahojiano yake na Kamati ya Kamati ya Maadili na Usalama ya Chama Cha...

Habari za SiasaTangulizi

TLS yagonga nyundo mbele ya JPM

MFUMO wa sheria za jinai ulioko sasa nchini, hauna tofauti na sheria za kikoloni, zilizotumika kutia hofu wananchi ili watii amri za kikoloni...

Habari za Siasa

Waombewe wapate laana – Rais Magufuli

UKOSEFU wa maadili, tabia ya kuchelewesha kesi kwa makusudi na kuendekeza rushwa katika Mahakama za Tanzania, kunamkwaza Rais John Magufuli. Anaripoti Faki Sosi,...

Habari za Siasa

Tanzania yapekuwa mikataba ya misaada

 SERIKALI ya Tanzania kupitia Ofisi ya Mwansheria Mkuu (AG), inapitia upya mikataba ya misaada na mikopo takribani 70, ili kuangalia masharti yake kama...

Habari za Siasa

Mbowe: Majibu yenu yataleta majuto

FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chadema Taifa, amemweleza Kasim Majaliwa, Waziri Mkuu wa Tanzania kuwa majibu mepesi yanayotolewa kuhusu Tume Huru ya Uchaguzi, yataleta...

Habari za SiasaTangulizi

Membe: Ni kikao kigumu

BERNARD Membe, waziri wa zamani wa Mambo ya Nje, leo tarehe 6 Februari 2020, anakwenda kuhojiwa na Kamati ya Kamati ya Maadili na...

Habari za Siasa

Mtego anaoundiwa Maalim Seif Z’bar wavuja

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), visiwani Zanzibar kinahaha namna ya kumzima Maalim Seif Sharif Hamad, Mshauri Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo. Anaripoti Jabir Idrissa,...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu amchongea Ndugai ughaibuni

BUNGE la Jamhuri ya Muungano, limeanza kuchunguzwa rasmi na Umoja wa Mabunge ulimwenguni (IPU), kufuatia kufunguliwa mashitaka rasmi na aliyekuwa mbunge wa upinzani...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu kurejea nchini kwa staili hii

TUNDU Lissu, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), atarejea nchini lakini hatokuwa peke yake. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam...

Habari za SiasaTangulizi

Membe yametimia, Makamba amkana

BERNARD Membe, Waziri wa Mambo ya Nje Mstaafu, ameandikiwa barua ya wito, kwenda kuhojiwa kwenye Kikao cha Kamati Ndogo ya Udhibiti na Nidhamu...

Habari za Siasa

Duni: Ningali na nguvu, salam zao CCM

BABU Juma Duni Haji, mmoja wa wanasiasa wakongwe nchini, amechukua fomu ya kugombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti akitarajia kuwa mmoja wa viongozi wa...

Habari za Siasa

Kuelekea Oktoba 2020; wanasiasa waanza kutuhumiana

TUHUMA kwamba, baadhi ya vyama vya siasa vimenza kuandaa vijana kwa ajili ya vurugu, kwenye uchaguzi mkuu wa Oktoba 2020, zimetolewa bungeni. Anaripoti...

Habari za Siasa

Zitto aongeza nguvu Chadema

HATUA ya Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chadema Taifa kumwandiskia barua Rais John Magufuli kuhusu uchaguzi huru na haki, imepokewa kwa mikono miwili na...

Habari za Siasa

Mbunge ataka wabakaji wahasiwe, AG amtuliza

ZAINABU Katimba, Mbunge wa Viti Maalimu (CCM), ameishauri serikali kuweka adhabu kali kwa wabakaji ikiwemo kuhasiwa. Danson Kaijage, Dodoma…(endelea). Akizungumza bungeni leo tarehe 4...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Moi afariki dunia

RAIS wa Pili wa Kenya, Daniel arap Moi (95), amefariki dunia usiku wa kuamkia leo tarehe 4 Februari 2020. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa…(endelea)....

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe ‘ajisalimisha’ kwa Rais Magufuli

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimemwandikia barua Rais John Pombe Magufuli, kikimtaka kuunda tume ya mardhiano, ili kuliondoa taifa katika kile ilichoita,...

Habari za Siasa

Mbunge ang’ang’ania bangi, Ndugai aungana naye

KWA mara nyingine, Jumanne Kishimba, Mbunge wa Kahama Mjini (CCM), amesisitiza umuhimu wa kilimo cha bangi na kushauri serikali iruhusu zao hilo. Anaripoti Danson...

Habari za Siasa

JPM ampa Dk. Abbas vyeo viwili

DAKTARI Hassan Abbasi, Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, ataendelea kutumikia cheo chake cha awali cha Msemaji Mkuu wa Serikali,...

Habari za Siasa

Kutimuliwa ubunge: Zitto akingiwa kifua

DHAMIRA ya Job Ndugai, Spika wa Bunge kutaka kumtimua Zitto Kabwe bungeni, kupitia Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), imepingwa. Anaripoti Hamis Mguta, Dar...

Habari za Siasa

Siku za Makonda zinahesabika?

MKUU wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Albert Makonda na mkewe, Mary Felix Massenge, wamepigwa marufuku kuingia nchini Marekani. Anaripoti Mwandishi Wetu,...

Habari za SiasaTangulizi

Zitto kuvuliwa Ubunge, zigo aachiwa AG

JOB Ndugai, Spika wa Bunge, ameanza kuchonga njia ya kumvua ubunge Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea)....

Habari

Marekani, JPM waungana kuelekea uchaguzi mkuu 2020

AHADI ya Rais John Magufuli kwamba, atahakikisha uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu unakuwa huru na haki, imeungwa mkono na Marekani. Anaripoti Martin Kamote,...

Habari za Siasa

Mkopo WB: Bunge lamuwinda Zitto

ZITTO Kabwe, Mbunge wa Kigoma Mjini (ACT-Wazalendo), anasubiriwa kwa hamu na Bunge la Jamhuri, kutokana na uamuzi wa kuiandikia barua Benki ya Dunia...

Habari za SiasaTangulizi

Waziri wa Fedha atia nchi hasara Mil 80 kila siku

KILA siku taifa linateketeza Sh. 80 milioni kulipa wakandarasi kutokana na Philip Mpango, Waziri wa Fedha kushindwa kuruhusu Shirika la Nyumba (NHC), kumalizia...

Habari za Siasa

Lugola atinga Takukuru bila ‘jezi’

KANGI Lugola, aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje ametinga katika ofisi za Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), jijini Dodoma. Anaripoti...

Habari

WB ipo kwenye majadiliano ya mkopo – Serikali

MSEMAJI Mkuu wa Serikali, Dk. Hassan Abbasi amesema, Tanzania inaendelea na majadiliano na Benki ya Dunia (WB), kuhusu mkopo wa Dola za Marekani...

Habari za Siasa

Maalim Seif agombea uenyekiti ACT-Wazalendo

MAALIM Seif Sharif Hamad, mshauri mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, amechukua fomu ya kugombea nafasi ya uenyekiti wa chama hicho. Anaripoti Jabir Idrisa, Zanzibar…(endelea)....

Habari za SiasaTangulizi

Baada TAKUKURU, Bunge lamkalia kooni Lugola

BAADA ya Kangi Lugola, kuwekwa chini ya ulinzi na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kwa madai ya ufisadi, sasa kuwekwa...

Habari za SiasaTangulizi

Heche atibua tena, aibuka na Tril 426

JOHN Heche, Waziri Kivuli wa Wizara ya Madini, ameitaka serikali ieleze zilipo fedha kiasi cha Sh. 426 trilioni, zilizokwepwa kulipwa na kampuni ya...

Habari za SiasaTangulizi

Ahadi ya Chadema 2020

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeweka ahadi ya kutovumilia kunyongwa kwa haki, kwenye Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu. Anaripoti Regina Monde, Dar...

Habari za Siasa

Sakata la Zitto, Prof. Assad, Rais Magufuli laanza kufukuta kortini

HATUA za awali katika kesi iliyofunguliwa na Zitto Kabwe, kupinga hatua ya Rais John Magufuli kumteua Charles Kichere, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa...

Habari za SiasaTangulizi

Bulaya ataweza kuumeza mfupa uliomshinda Selasini?

MBUNGE wa Bunda Mjini (Chadema), Ester Amos Bulaya, ametangazwa kuwa Mnadhimu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma…(endelea). Uteuzi huo umefanywa...

Habari za SiasaTangulizi

WB kuitosa Tanzania? Kikao cha dharura chafanyika

MSIMAMO wa Zitto Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo na Asasi za Haki za Binadamu za Kimataifa nchini Tanzania, umeisukuma Bodi ya...

Habari za SiasaTangulizi

CUF yatangaza kujitenga Uchaguzi Mkuu 2020

CHAMA cha Wananchi (CUF), kimetangaza kusimama peke yake katika Uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba mwaka huu. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam…(endelea). Kauli...

Habari za Siasa

Safu mpya ACT-Wazalendo

CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimetangaza kuanza mchakato wa kupanga safu mpya ya uongozi wa chama hicho, kwa kufanya uchaguzi wake wa ndani. Anaripoti Martin Kamote,...

Habari za Siasa

‘Kabendera hajamalizana na DPP’

ERICK Kabendera, mwandishi wa habari za uchunguzi nchini, bado yupo kwenye majadiliano na Ofisi ya Mkurugenzi Mkuu wa Makosa ya Jinai (DPP). Anaripoti Faki...

Habari za SiasaTangulizi

Vurugu CUF

VURUGU, kutupiana maneno na kutuhumiana imekikumba Chama cha Wananchi (CUF), wakati wa maadhimisho ya miaka 19 ya mauaji ya wananchama wake viwiwani Zanzibar....

Habari za SiasaTangulizi

Yametimia: CUF hatarini kumeguka tena

VURUGU zimeibuka katika Kongamano la kuwarehemu wafuasi wa Chama cha Wananchi CUF, waliouawa katika maandamano ya Visiwani Zanzibar tarehe 26 na 27 Januari,...

Habari za SiasaTangulizi

Zitto atibua, Polepole amwita kibaraka

BARUA ya Zitto Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, kwenda Benki ya Dunia (WB), kutaka kuzuiwa msaada wa Dola za Marekani Mil...

Habari za Siasa

Mtatiro aagiza wazazi wasiopeleka watoto shule kukamatwa, 50 wadakwa

WAZAZI 50 wamekamatwa na Jeshi la Polisi wilayani Tunduru Mkoa wa Ruvuma, kwa kosa la kutopeleka shuleni watoto wao waliochaguliwa kujiunga na kidato...

error: Content is protected !!