Thursday , 2 May 2024

Gazeti

Categorizing posts based on type of post

Habari za SiasaTangulizi

Zitto ‘kupigwa chini’ ACT-Wazalendo?

ISMAIL Jussa, Mwenyekiti wa Kamati ya Mikakati, Usimamizi na Ufuatiliaji ya Chama cha ACT-Wazalendo, anataka nafasi aliyonayo Zitto Kabwe. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es...

Habari MchanganyikoHabari za SiasaTangulizi

Kampuni za upimaji zapigwa ‘stop,’ Goba yawa mfano

WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi ameagiza kampuni za upangaji na upimaji kutochukua kazi mpya kabla ya kumaliza kazi...

Habari za SiasaTangulizi

A-Z kilichotokea kesi ya kabendera

SAFARI chungu ya Erick Kabendera, mwandishi wa habari za uchunguzi kitaifa na kimataifa, katika kesi ya uhujumu uchumi imetamatika leo tarehe 24 Februari...

Habari za SiasaTangulizi

Mbivu, mbichi za Membe, Kinana, Makamba 

TAARIFA ya matokeo ya mahojiano yaliyowahusu Bernard Membe, Abdulrahman Kinana na Mzee Yusuph Makamba, inayosubiriwa kwa hamu kubwa nadani na nje ya Chama...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Mashinji aonja machungu Chadema

SIKU sita baada ya Dk. Vicent Mashinji, aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM),...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Bashiru amtia kiburi Mwambe

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Bashiru Ally amewaaminisha wakazi wa Jimbo la Ndanda, mkoani Mtwara kwamba, hilo litarejea CCM. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe awaangukia viongozi wa dini

FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amewaomba viongozi wa dini kuliombea taifa, ili liwe salama kuelekea Uchaguzi Mkuu wa...

Habari za Siasa

Chadema yateua makatibu wa kanda

KAMATI Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), imeteua makatibu wa kanda sita kati ya kanda 10 za chama hicho. Anaripoti Kelvin...

Habari za Siasa

Rais Mkapa: Mnaposema mabaya yangu, mseme na mazuri

DAKTARI Benjamin Mkapa, Rais wa Awamu ya Tatu, amewataka watu wanaoeleza mabaya yake, waseme pia mazuri aliyofanya katika uongozi wake. Anaripoti Mwandishi Wetu,...

Habari za Siasa

TAKUKURU: Lugola na wenzake wana kosa la uhujumu uchumi

KUMEBAINIKA makosa mengi ya kijinai katika mkataba wa ununuzi wa vifaa vya zimamoto ambao ulisababisha Rais Dk. John Magufuli kuwafukuza kazi watendaji akiwemo...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu ashangaa wadhamini wake

SIKU moja baada ya wadhamini wa Tundu Lissu katika kesi ya tuhuma za uchochezi kupitia gazeti la MAWIO, kuiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi...

Habari za SiasaTangulizi

Kafulila ‘ainyea’ Chadema

UZEMBE na kubebana ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ndio unakibomoa chama hicho kwa kiwango kikubwa. Anaripori Regina Mkonde, Dar es...

Habari za Siasa

Lissu kukamatwa?

OMBI la kutaka mahakama itoe hati ya kukamatwa Tundu Lissu, mshitakiwa wa nne katika kesi ya tuhuma za uchochezi inayowakabili pia wahariri wawili...

Habari za Siasa

Ado ajitosa ukatibu mkuu ACT-Wazalendo

KATIBU wa Itikadi, Uenezi na Mawasiliano kwa Umma wa Chama cha ACT-Wazalendo, Ado Shaibu amechukua fomu ya kugombea ukatibu mkuu wa chama hicho....

Habari za Siasa

Aprili Mosi siku ngumu kwa Halima Mdee

APRILI Mosi mwaka huu, Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam itaamua kama Halima Mdee, Mbunge wa Kawe ana kesi ya...

Habari za Siasa

NEC yaongeza siku za uandikishaji

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imeongeza siku tatu katika Zoezi la Uboreshaji Daftari la Wapiga Kura katika mkoa wa Dar es Salaam,...

Habari za SiasaTangulizi

Wadhamini wataka Lissu akamatwe

WADHAMINI wa Tundu Lissu, leo tarehe 20 Februari 2020, wameiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jiijini Dar es Salaam kutoa hati ya kumkamata...

Habari za Siasa

Madaktari wapya; JPM atoa masharti

RAIS John Magufuli amemuagiza Kapteni Mstaafu , George Mkuchika,  Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi na Utawala Bora, kuajiri madaktari...

Habari za Siasa

Waziri ‘aikoromea’ Kampuni ya KEC

WAZIRI wa Nishati, Dk. Medard Kalemani amemtaka mkandarasi wa Kampuni ya KEC International Limited,  anayetekeleza mradi mkubwa wa upanuzi wa kituo cha kupoza...

Habari za Siasa

Hivi ndivyo Dk. Bashiru alivyoijenga Chadema

UIMARA wa Chama cha Demokrasia (Chadema), ulioonekana kabla na baada ya Uchaguzi Mkuu wa 2015, umechangiwa na Dk. Bashiru Ally, Katibu Mkuu wa...

Habari za Siasa

Meya Mbeya: Ushiriki wanasiasa, wananchi unahitajika

DAVID Mwashilindi, Mstahiki Meya wa Jiji la Mbeya (Chadema) amesema, katika kuhakikisha maendeleo yanawafikia wananchi, kunahitajika uwajibikaji wa pamoja kati ya wanasiasa na...

Habari za Siasa

Madiwani CCM wamfurusha mwenzao kikaoni

MADIWANI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), katika Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga, wamemtimua mwenzao kikaoni kwa kutovaa sare za chama hicho. Anaripoti Mwandishi Wetu,...

Habari za Siasa

Mbunge Komu: Yakinishinda Chadema, nitaondoka

MBUNGE wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), katika jimbo la Moshi Vijijini, Anthony Komu “amesema, ikiwa Chadema itamshinda, atajiunga na chama kingine...

Habari za SiasaTangulizi

Kunani Chadema? Mwingine atimka

WAKATI Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kikiugulia maumivu ya kumpoteza Dk. Vicent Mashinji, aliyekuwa Katibu Mkuu wa chama hicho, leo Boniface Mwambukusu...

Habari za Siasa

Chadema: Safari ya Dk. Mashinji tuliijua tangu akiwa katibu wetu

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimejibu mapigo baada ya aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa chama hicho, Vincent Mashinji kuhamia Chama Cha Mapinduzi...

Habari za SiasaTangulizi

Zitto amtaka JPM urais 2020

ZITTO Kabwe ameeleza dhamira yake ya kutaka kupambana na Dk. John Magufuli, katika kugombea urais kwenye uchaguzi wa Oktoba mwaka huu. Anaripoti Faki Sosi,...

Habari za Siasa

‘Kasi ya JPM kukopa imezidi ya JK’

KIASI cha fedha kilichokopwa nje ya nchini na Rais John Magufuli kwa miaka minne, kimezidi kile cha Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete kwa miaka...

Habari za SiasaTangulizi

‘Katibu Mkuu wa Chadema’ ajiunga CCM

ALIYEKUWA swahiba mkuu wa Freeman Mbowe, mwenyekiti wa taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Vicenti Mashinji, ameondoka ndani ya chama...

Habari za Siasa

Zitto ana kesi ya kujibu – Mahakama

ZITTO Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, amekutwa na kesi ya kujibu. Anaripoti Faki Sosi, Dar es Salaam … (endelea). Umauzi huo umetolewa...

Habari za Siasa

Chadema yalia na NEC

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuongeza muda wa zoezi la uboreshaji daftari la wapiga kura,...

Habari za SiasaTangulizi

Kishindo cha Zitto; Sina hofu ya vitisho

HOFU anayojengewa Zitto Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, ndani na nje ya Bunge haimyumbishi. Anaripoti Faki Sosi, Dar es Salaam…(endelea). Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Masikini Kabendera!

MATUMAINI ya Erick Kabendera, mwandishi wa habari wa kimataifa wa Tanzania anayeshitakiwa kwa madai ya uhujumu uchumi, kuungana na familia yake yamewekwa njia...

Habari za Siasa

JPM amgeuka Makonda,amtaka arejeshe fedha za TASAF

FEDHA za Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (Tasaf), alizotumbua Paul Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam mwaka 2012, ametakiwa kuzirejesha. Anaripoti Mwandishi...

Habari za SiasaTangulizi

Kabendera atakuwa huru kesho?

HATMA ya Mazungumzo kati ya Erick Kabendera na Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP), kufahamika jumatatu tarehe 17 Februari 2020. Anaandika Faki Sosi, Dar es Salaam...

Habari za SiasaTangulizi

Mwambe aitosa Chadema, amkaanga Mbowe

CECIL Mwambe, Mbunge wa Jimbo la Ndanda, amejiuzulu wadhifa huo baada ya kukihama chama chake cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), na kurejea katika...

Habari za SiasaTangulizi

Sakata la Membe, Kinana, Makamba: CCM yaapa kufukuza mwenye kiburi

CHAMA cha Mapinduzi (CCM), kimeweka wazi kwamba, kitamfukuza uanachama mtu atakayeonyesha kiburi dhidi ya sheria, misingi na kanuni za chama hicho. Anaripoti Mwandishi...

Habari za Siasa

Dk. Bashiru awachoma wateule wa Rais Magufuli

DAKTARI Bashiru Ally, Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), amewatuhumu baadhi ya wateule wa Rais John Magufuli, kwamba hawana uaminifu, kitendo kinachopelekea...

Makala & Uchambuzi

Bavicha na UV-CCM, ni pipa na mfuniko

BARAZA la taifa la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo ((BAVICHA), jana Alhamisi, tarehe 13 Februari 2020, liliitisha mkutano na waandishi wa...

Habari za SiasaTangulizi

Membe: Naisubiri NEC

SIKU moja baada ya Kamati Kuu (CC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuketi jijini Dar es Salaam, Bernard Membe amesema, ‘anasikilizia’ uamuzi wa...

Habari za Siasa

Rushwa CCM; Makada waanza kumimina fedha mtaani 

MAKADA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wanaosaka ubunge na udiwani kupitia chama hicho, wameanza kumimina fedha mtaani. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam …...

Habari za SiasaTangulizi

Joto la Tume Huru lapanda

IKIWA imebaki miezi takribani minane kuingia kwenye uchaguzi mkuu, baadaye mwaka huu, hitajio la Tume Huru ya Uchaguzi linazidi kushika kasi. Anaripoti Regina Mkonde,...

Habari za Siasa

Mbatia ampinga Rais Magufuli

MSIMAMO wa Rais John Magufuli, kwamba hatosaidia watakaokumbwa na mafuriko, umepingwa na James Mbatia, Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es...

Habari za SiasaTangulizi

Siku saba ngumu kwa Membe, Kinana, Mzee Makamba ndani ya CCM

KAMATI Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM),  imetoa siku saba kwa Kamati Ndogo ya Udhibiti na Nidhamu, kukamilisha taarifa ya mahojiano ya Bernard...

Habari za SiasaTangulizi

Joto Zitto kukamatwa lapanda

HATUA ya Zitto Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo kudai kuundiwa zengwe la kuhusishwa na utakatishaji fedha, limekishtua chama hicho. Anaripoti Faki...

Habari za Siasa

Mch. Msigwa: Nakubalika

MCHUNGAJI Peter Msigwa, Mbunge wa Iringa Mjini, amesema kila baada ya miezi mitatu, hufanya utafiti kubaini idadi ya wananchi wanaomuunga mkono jimboni humo. Anaripoti...

Habari za SiasaKimataifa

Hivi ndivyo Trump anavyoiua Palestina

RAIS wa Marekani, Donald Trump anataka dunia itambue, kwamba anashughulika kutatua mgogoro kati ya Israel na Palestina. Anaandika Mwandishi Wetu… (endelea). Harakati na...

Habari za Siasa

Maalim atilia neno kitambulisho cha Mzanzibari

MAALIM Seif Shariff Hamad amepokea kitambulisho cha Mzanzibari Mkaazi huku akitoa neno kwamba “wala hakuna sababu ya msingi ya kutolewa kitambulisho kipya.” Anaripoti...

Habari za Siasa

Rais Magufuli aonya waliojenga mabondeni

RAIS John Magufuli ameweka msisitizo kuwa, serikali haitatoa msaada wa aina yoyote kwa watu waliojenga mabondeni, pindi watakapopata maafa ya mafuriko. Anaripoti Hamis Mguta,...

Habari MchanganyikoTangulizi

Aliyechana Qur’an; JPM ‘akubali’ hoja ya Sheikh Ponda, Kishki

DANIEL Maleki (30), aliyechana kitabu kitukufu cha Qur’an, wilayani Kilosa katika Mkoa wa Morogoro, amefukuzwa kazi rasmi leo tarehe 11 Februari 2020. Anaripoti Regina...

Habari za Siasa

Sumaye ataja sababu zilizomng’oa Chadema

FREDERICK Sumaye, Waziri Mkuu Mstaafu ameeleza sababu za kurejea CCM leo tarehe 10 Februari 2020, kwamba Chadema walikuwa wamkidharua. Anaripoti Faki Sosi, Dar...

error: Content is protected !!