April 14, 2021

Uhuru hauna Mipaka

Buriani Mbunge Mstaafu Kimaro

Spread the love

ALOYCE Bent Kimaro, aliyekuwa Mbunge wa Vunjo mkoani Kilimanjaro (CCM), amefariki dunia leo tarehe 30 machi 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, Kilimanjaro…(endelea).

Kimaro alizaliwa tarehe 24 Juni 1953. Kimaro atakumbukwa kwa msimamo wake kwa kupambana na ufisadi ndani ya serikali na chama chake.

 
error: Content is protected !!