Categorizing posts based on type of post
WABUNGE wanne kati ya 15 ‘walioasi’ uamuzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kutohudhuria vikao vya Bunge ili kujiweka karantini kwa siku...
By Regina MkondeMay 11, 2020CHAMA cha siasa cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) nchini Tanzania, kimeitaka Serikali nchini humo kutoa takwimu mara kwa mara, kuhusu mwenendo wa ugonjwa...
By Mwandishi WetuMay 11, 2020HATUA ya Job Ndugai, Spika wa Bunge la Tanzania kumpa fursa ya kurejea bungeni Cecil Mwambe aliyejivua uanachama wa Chadema, sasa itamfikisha mahakamani....
By Mwandishi WetuMay 11, 2020KAMATI Kuu (CC) ya Chama cha Demecrasia na Maendeleo (Chadema), imeanza kuwajadili wabunge wake 16 walioamua kuasi maelekezo ya mwenyekiti wao, Freeman Mbowe....
By Danson KaijageMay 10, 2020KAMATI Kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), imeanza vikao vyake leo Jumamosi tarehe 9 Mei 2020 kwa njia ya kidigitali chini...
By Mwandishi WetuMay 10, 2020WILFRED Lwakatare, kiongozi wa wabunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) nchini Tanzania, waliorejea bungeni kupinga maelekezo ya viongozi wao ya kutoingia...
By Mwandishi WetuMay 9, 2020SERIKALI ya Tanzania imesema itafanyia uchunguzi dawa za kinga na kutibu ugonjwa wa homa kali ya mapafu, inayosabaishwa na virusi vya corona (COVID-19),...
By Regina MkondeMay 9, 2020WILFRED Lwakatare, Mbunge wa Bukoba Mjini kupia Chadema, amekana kumpindua Freeman Mbowe, katika nafasi ya Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni (KUB),...
By Mwandishi WetuMay 8, 2020WIZARA ya Nishati na Madini imeeleza mafanikio yake kwa kipindi cha miaka mitano (2015-2020). Anaandika Danson Kaijage, Dodoma…(endelea). Katika hotuba ya wizara...
By Danson KaijageMay 8, 2020FREEMAN Mbowe, Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni nchini Tanzania, amesema linapokuja suala la usalama wa maisha, pesa haina thamani. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuMay 8, 2020SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai, ameibua hoja iliyoibua utata kuhusu Cecil Mwambe, aliyekuwa mbunge wa Ndanda, mkoani Mtwara, kupitia Chama cha...
By Mwandishi WetuMay 8, 2020BONIFACE Jacob, aliyevuliwa umeya wa Manispaa ya Ubungo, jijini Dar es Salaam, amesema taratibu zinamtambua kuwa bado ni Meya. Anaripoti Faki Sosi, Dar es...
By Faki SosiMay 8, 2020KIFO cha Dk. Masumbuko Roman Lamwai, kilichokea usiku wa Jumatatu tarehe 4 Mei 2020, kimewatoa machozi Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS). Anaandika Regina Mkonde,...
By Regina MkondeMay 8, 2020UCHAGUZI Mkuu nchini Tanzania uliofanyika tarehe 25 Oktoba 2015, ulishuhudia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kikipewa ridhaa na wananchi wa Jiji la...
By Faki SosiMay 8, 2020JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam nchini Tanzania, limewataka wabunge waliokaidi agizo la kurejea bungeni jijini Dodoma ndani ya masaa...
By Regina MkondeMay 7, 2020HAMIM Gwiyama, Mkuu wa Wilaya (DC) wa Nyang’hwale mkoani Geita amefariki dunia. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea). Taarifa iliyotolewa na Rebecca Kwandu, Mkuu...
By Mwandishi WetuMay 7, 2020WAZIRI wa Maliasili na Utalii nchini Tanzania, Dk. Hamisi Kigwangalla amesema madhara ya kuwepo kwa ugonjwa wa corona yanaonekana kuwa makubwa zaidi na...
By Danson KaijageMay 7, 2020WABUNGE 12 kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), waliorejea bungeni kabla ya muda waliokubaliana na wenzao kumalizika, wameunda uongozi wao bungeni. Anaripoti...
By Mwandishi WetuMay 7, 2020TAKRIBANI wabunge 11 kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wameng’olewa kutoka kwenye group la WhatsApp la wabunge wa chama hicho. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuMay 6, 2020RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli amemteua Dk. Delphine Magere kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Pwani (RAS). Aanaripoti...
By Mwandishi WetuMay 6, 2020MKURUGENZI Mtendaji wa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo, Beatrice Dominic, amekiri kumuandikia barua Naibu Meya, Ramadhan Kwangaya, kukabidhiwa majukumu yote ya Umeya ndani...
By Faki SosiMay 6, 2020CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ni wadhamini tu, wakishindwa kunidhamini kwenye uchaguzi, nitarudi kwa wapiga kura kupitia wadhamini (chama) wengine. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuMay 6, 2020MAJIMBO yanayoongozwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM), sasa yapo kwenye meza ya viongozi na makada wa Chama cha ACT-Wazalendo huku kila mmoja akieleza...
By Regina MkondeMay 6, 2020PAUL Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam nchini Tanzania ametoa saa 24 kwa wabunge waliopo jijini humo kurudi Dodoma kuhudhuria vikao...
By Faki SosiMay 6, 2020SERIKALI imeshindwa kufikisha asilimia 50 ya bajeti ya Wizara ya Viwanda na Biashara, iliyoidhinishwa na Bunge la Jamhuri kwa mwaka wa fedha 2019/20. Anaripoti...
By Danson KaijageMay 5, 2020HATUA ya baadhi ya wabunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kupuuza uamuzi wa chama hicho wa kutoendelea na vikao vya Bunge,...
By Faki SosiMay 5, 2020DAVID Silinde, Mbunge wa Momba, Songwe kupitia Chadema ametangaza kujizulu nafasi ya katibu wa wabunge wa chama hicho kuanzia jana Jumatatu tarehe 4...
By Regina MkondeMay 5, 2020DK. Masumbuko Mahunga Selasini Lamwai, aliyepata kuwa mbunge wa Ubungo (NCCR -Mageuzi) na mbunge wa kuteuliwa na Rais, mwanasheria nguli nchini, amefariki dunia....
By Mwandishi WetuMay 5, 2020CHAMA cha siasa cha ACT-Wazalendo nchini Tanzania leo Jumanne tarehe 5 Mei 2020 kinaadhimisha miaka sita tangu kiliposajiliwa. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es...
By Mwandishi WetuMay 5, 2020BUNGE la Tanzania, sasa limeamua kufungasha vilago vyake, mwezi mmoja kabla ya muda wake wa awali uliopangwa na uongozi wa Bunge hilo. Anaripoti...
By Mwandishi WetuMay 5, 2020BONIFACE Jacob, Meya wa Manispaa wa Ubungo jijini Dar es Salaam leo Jumatatu tarehe 4 Mei 2020 ameshindwa kuingia ofisini kuendelea na majukumu...
By Mwandishi WetuMay 4, 2020HATMA ya Meya wa Ubungo, Boniface Jacob, sasa iko mikononi mwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za...
By Mwandishi WetuMay 4, 2020TAKRIBANI wabunge 10 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wamegoma kutii maelekezo yaliyotolewa na mwenyekiti wa chama hicho taifa, Freeman Mbowe. Anaripoti...
By Mwandishi WetuMay 4, 2020DAKTARI Nyambura Moremi, Mkurugenzi wa Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii na Jacob Lusekjelo, Meneja Udhibiti wa Ubora wamesimamishwa kazi kufuatia tuhuma...
By Regina MkondeMay 4, 2020JOB Ndugai, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amesema, mbunge aliyekuwa aliyeambukizwa virusi vya corona (COVID-19), ataruhusiwa mda wowote kutoka...
By Mwandishi WetuMay 4, 2020WAKATI Serikali ya Tanzania ikipiga marufuku utaratibu hasi wa mazishi ya usiku katika Halmashauri kadhaa nchini, Zitto Kabwe ameitaka serikali kutimiza wajibu wake....
By Regina MkondeMay 4, 2020RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli amemteua Brigedia Jenerali Dk. Gabriel Sauli Mhidize kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya...
By Mwandishi WetuMay 3, 2020KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika amesema, chama chake, hakijawahi kumfukuza uwanachama, aliyekuwa Meya wa Manispaa ya Ubungo,...
By Hamisi MgutaMay 3, 2020MWIGULU Nchemba, Waziri wa Katiba na Sheria aliyeapishwa leo tarehe 3 Mei 2020, amepewa jukumu zito na Rais John Magufuli. Anaripoti Hamis Mguta,...
By Hamisi MgutaMay 3, 2020RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli amemteua Dk. Mwigulu Nchemba kuwa waziri wa katiba na sheria. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam …....
By Mwandishi WetuMay 2, 2020SAFARI ya mwisho hapa duniani ya Waziri wa Katiba na Sheria, Balozi Augustine Mahiga imehitimishwa leo Jumamosi tarehe Mei 2, 2020 kwa mwili...
By Mwandishi WetuMay 2, 2020WAZIRI wa Katiba na Sheria, Balozi Augustine Mahiga amefariki dunia leo alfajiri akiwa nyumbani kwake. Anaripoti Faki Sosi, Dar es Salaam … (endelea)....
By Faki SosiMay 1, 2020BALOZI Dk. Augustine Philip Mahiga, amefariki dunia, asubuhi hii ya leo, tarehe 1 Mei 2020, mjini Dodoma. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea)....
By Mwandishi WetuMay 1, 2020WIZARA ya Afya, kupitia Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii inatarajia kutumia Jumla ya Sh. 33.1 bilioni kutekeleza shughuli mbalimbali za kijamii hususani...
By Mwandishi WetuApril 30, 2020HOFU ya kusambaa kwa virusi vya corona (COVID-19), ndani ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, sasa inazungumzwa waziwazi. Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Hamisi MgutaApril 30, 2020ALOYCE Bent Kimaro, aliyekuwa Mbunge wa Vunjo mkoani Kilimanjaro (CCM), amefariki dunia leo tarehe 30 machi 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, Kilimanjaro…(endelea). Kimaro alizaliwa tarehe 24 Juni 1953....
By Hamisi MgutaApril 30, 2020MAHAKAMA ya Mkoa wa Mtwara leo tarehe 30 Aprili, 2020, imemwachia huru aliyekuwa Mbunge wa Ndanda kwa tiketi ya Chadema, Cecil Mwambe katika...
By Mwandishi WetuApril 30, 2020WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ametangaza kuongezeka kwa wagonjwa wapya corona 196, ambapo kati yao kutoka Bara ni 174, Zanzibar 22 na kufanya jumla...
By Hamisi MgutaApril 29, 2020RICHARD Mganga Ndassa, Mbunge wa Jimbo la Sumve (CCM), amefariki leo tarehe 29 Aprili, 2020, jijijni Dodoma alipokuwa akipatiwa matibabu. Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Mwandishi WetuApril 29, 2020KASISI wa Kanisa la Anglikana Visiwani Zanzibar, Jaji Augostino Ramadhani (74), ameaga dunia. Amekutwa na mauti jana Jumanne, katika hospitali ya Aga Khan,...
By Saed KubeneaApril 28, 2020