Categorizing posts based on type of post
VYAMA viwili vya upinzani nchini Tanzania – Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na chama cha ACT-Wazalendo – viko mbioni kushirikiana ili kukabiliana...
By Mwandishi WetuJune 2, 2020LIDA Lugani Mwakatuma, anayejipanga kugombea jimbo la Ubungo pamoja na viongozi watano wa Chama cha Mapinduzi (CCM), jimboni humo, wanashikiliwa na Taasisi ya...
By Mwandishi WetuJune 1, 2020WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema, Serikali ya inayoongozwa na Rais John Pombe Magufuli, itahakikisha mali zote za wakulima wa zao la...
By Masalu ErastoJune 1, 2020MWANACHAMA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), anayejipanga kugombea ubunge katika Jimbo la Ubungo, jijini Dar es Salaam (jina tunalo), amewatoroka Taasisi ya Kuzuia...
By Mwandishi WetuJune 1, 2020NI binti anayetimiza miaka 28 mwaka huu. Alibakwa akiwa na miaka 10 na kuwa chanzo cha kuambukizwa ugonjwa wa ukimwi. Ameishi na virusi...
By Mwandishi MaalumJune 1, 2020MAUAJI yaliyofanywa na polisi wa Mji wa Minnesota, yamebadili taswira ya miji 25 ya Marekani na kuwa ya vurugu, maandamano na uharibifu wa...
By Hamisi MgutaMay 31, 2020WILFRED Lwakatare, Mbunge wa Bukoba Mjini kupitia Chadema, amekwenda kinyume na kiapo cha kustaafu siasa, kwa kurudi katika Chama cha Wananchi (CUF), alichokuwepo...
By Regina MkondeMay 30, 2020POLISI Mkoa wa Mwanza nchini Tanzania, limemkamata na kumhoji, Meya wa Jiji la Mwanza, James Bwire kwa tuhuma zinazomkabili. Anaripoti Mwandishi Wetu, Mwanza...
By Mwandishi WetuMay 30, 2020RAIS wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli amesema, kwa sasa Serikali yote ipo Dodoma ambapo ni mjii mkuu wa nchi kutokana na ofisi...
By Kelvin MwaipunguMay 30, 2020CHAMA cha Wananchi (CUF) nchini Tanzania kimesema, kitamtumia Wilfred Lwakatare, Mbunge wa Bukoba Mjini, kuvimaliza vyama vya upinzani, hususan Chama cha Demokrasia na...
By Regina MkondeMay 30, 2020MARAIS wastaafu wa Tanzania, wamepongeza Rais wa nchi hiyo, John Pombe Magufuli, jinsi anavyoongoza nchi na kutimiza adhima ya Baba wa Taifa, Hayati...
By Mwandishi WetuMay 30, 2020WILFRED Lwakatare, Mbunge wa Bukoba Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), anatarajiwa kurejea kwenye chama chake cha awali cha CUF. Anaripoti...
By Masalu ErastoMay 30, 2020RAIS wa Tanzania, John Magufuli, amewakabidhi marais wastaafu wa nchi hiyo ndege aina ya Tausi 25 kwa kila mmoja, ikiwa ni ishara ya...
By Mwandishi WetuMay 30, 2020RAIS wa Tanzania, John Magufuli kesho Jumamosi tarehe 30 Mei, 2020 atawaongoza marais wastaafu wa nchi hiyo, kuweka jiwe la msingi ujenzi wa...
By Mwandishi WetuMay 29, 2020KIONGOZI wa chama cha siasa cha upinzani nchini Tanzania, Zitto Kabwe amesema, uamuzi wa kesi uliotolewa dhidi yake hautamrudisha nyuma katika harakati zake...
By Mwandishi WetuMay 29, 2020MBUNGE wa Kigoma Mjini na Kiongozi Mkuu wa chama cha ACT- Wazalendo, nchini Tanzania, Zitto Kabwe, amenusurika kifugo cha mwaka mmoja gerezani. Anaripoti...
By Faki SosiMay 29, 2020Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemhukumu Zitto Kabwe Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, kutotoa na kuandika maneno ya uchochezi kwa muda wa mwaka...
By Faki SosiMay 29, 2020TUHUMA za kutumika katika kudhoofisha vyama vya upinzani nchini Tanzania, hususan katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020, zimekiibua Chama cha NCCR-Mageuzi. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuMay 28, 2020TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania, imeongeza viwango vya faini kwa wagombea watakaofanya makosa ya kimaadili, katika kampeni na Uchaguzi Mkuu...
By Mwandishi WetuMay 28, 2020MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, imesema Mbunge wa Kawe (Chadema), Halima Mdee anayekabiliwa na kesi ya uchochezi kwa kutoa...
By Mwandishi WetuMay 28, 2020VIGOGO wawili wa upinzani jijini Dar es Salaam, Mustafa Muro (Chadema) na Maalim Amir Mbuju (CUF), wamekimbia vyama vyao na kujiunga na NCCR-...
By Hamisi MgutaMay 28, 2020MBUNGE wa Mafinga Mjini (CCM), Cosato Chumi, ameitaka Ofisi ya Rais, Tawaza za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) Tanzania kueleza ni lini...
By Mwandishi WetuMay 28, 2020MBUNGE wa Viti Maalum (Chadema), Zubeda Sakuru, ametaka kujua kwa nini wanafunzi wanaojiunga na vyuo vya ufundi stadi (Veta) kukosa mikopo. Anaripoti Danson...
By Danson KaijageMay 28, 2020MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, kesho Ijumaa, tarehe 29 Mei, inatarajia kusoma hukumu ya kesi inayomkabili Mbunge wa Kigoma...
By Faki SosiMay 28, 2020TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (Takukuru), imeanza kuchunguza tuhuma za matumizi mabaya ya fedha, inazokikabili Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
By Regina MkondeMay 27, 2020SERIKALI ya Tanzania, imemwita Kaimu Balozi wa Marekani nchini humo, Dk. Imni Patterson ili kumhoji juu ya masuala mbalimbali ambayo ubalozi huo umekuwa...
By Mwandishi WetuMay 26, 2020KIZA kinene kimetawala katika ufujaji wa mabilioni ya shilingi yaliyotaka kutumika katika mkataba tata wa ununuzi wa vifaa vya Jeshi la Zimamoto na...
By Mwandishi WetuMay 26, 2020MBUNGE wa Ulanga kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Goodluck Mlinga ameihoji Serikali ya Tanzania jinsi ilivyojipanga kudhibiti matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii....
By Hamisi MgutaMay 26, 2020UCHAGUZI Mkuu nchini Burundi umefikia tamati, malalamiko yanayotolewa na vyama vya upinzani baada ya Jenerali mstaafu Evariste Ndayishimiye wa chama tawala – CNDD-FDD...
By Hamisi MgutaMay 26, 2020TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Tabora nchini Tanzania, inamshikilia Ismail Aden Rage kwa tuhuma za rushwa na kuanza...
By Masalu ErastoMay 25, 2020WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, amewataka Watanzania kuendelea kuchukua tahadhari ya ugonjwa wa COVID-19 ambao umeanza kupungua nchini humo. Anaripoti Danson Kaijage,...
By Danson KaijageMay 24, 2020CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimewataka wabunge wenye ushahidi juu ya tuhuma za matumizi mabaya ya fedha, kuuweka hadharani. Anaripoti Kelvin Mwaipungu,...
By Kelvin MwaipunguMay 24, 2020CHAMA cha Mapinduzi (CCM) nchini Tanzania, kimeielekeza Serikali kuweka mikakati itakayomaliza changamoto ya uhaba wa sukari nchini. Anaripoti Mwandishi Wetu, Pwani … (endelea)....
By Regina MkondeMay 23, 2020KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Bashiru Ally ametaja mambo makubwa matatu yanayowezesha Tanzania kushinda vita ya mapambano ya maambukizi ya...
By Mwandishi WetuMay 23, 2020ASKOFU Severine Niwemugizi, Jimbo Katoliki la Rulenge-Ngara mkoani Kagera ametangaza kurejesha misa jimboni humo kuanzia kesho Jumapili ya tarehe 24 Mei, 2020. Anaripoti...
By Mwandishi WetuMay 23, 2020ZITTO Kabwe, Kiongozi wa Chama cha ACT- Wazalendo, ameunda timu ya watu kumi ili kuandaa Ilani ya Uchaguzi Mkuu 2020/2025. Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Mwandishi WetuMay 23, 2020KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) nchini Tanzania, imebaini hadi kufikia tarehe 30 Aprili, 2020 zaidi ya Sh. 712.4...
By Mwandishi WetuMay 22, 2020Tazama LIVE Mkutano wa Bunge, Mkutano wa 19 kikao cha 35 tarehe 22 May 2020
By Hamisi MgutaMay 22, 2020OFISI ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) nchini Tanzania, imeanza ukaguzi maalumu kwa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA). Anaripoti...
By Mwandishi WetuMay 22, 2020KAMATI ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) nchini Tanzania, imebaini upungufu katika maeneo mawili ndani ya Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA)...
By Mwandishi WetuMay 22, 2020CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimepata pigo jingine, kufuatia hatua ya wabunge wake wawili, Suzana Maselle (Mwanza) na Joyce Sokombi (Mara), kutangaza...
By Masalu ErastoMay 22, 2020HATUA ya Zitto Kabwe, Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo na Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kutaka wananchi wafungiwe...
By Regina MkondeMay 22, 2020Tazama LIVE Mkutano wa Katibu Muenezi wa Chama Cha Mapinduzi CCM, Humphrey Polepole akizungumza na waandishi wa habari muda huu kuhusu mambo mbalimbali...
By Hamisi MgutaMay 22, 2020CHAMA cha Mapinduzi (CCM) nchini Tanzania amewatangazia kiama, watumishi wa umma, wakiwemo wateule wa Rais John Magufuli walioanza kampeni mapema za uchaguzi mkuu...
By Mwandishi WetuMay 22, 2020BARAZA la Taifa la Mitihani (Necta) nchini Tanzania, limetoa ratiba ya mitihani ya kidato cha sita na Ualimu mwaka 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Mwandishi WetuMay 22, 2020IDRIS Sultani, Msanii wa Vichekesho nchini Tanzania, leo Ijumaa tarehe 22 Mei 2020, anaweza kufikishwa mahakamani, kwa kosa la kuidhihaki picha ya Rais...
By Masalu ErastoMay 22, 2020WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia nchini Tanzania, Profesa Joyce Ndalichako amesema, mitihani ya kidato cha sita mwaka 2020 itaanza Juni 29 hadi...
By Mwandishi WetuMay 22, 2020ZITTO Kabwe, Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, amehoji matokeo ya kamati iliyoundwa kuchunguza sakata la vipimo vya ugonjwa wa homa kali ya mapafu,...
By Faki SosiMay 21, 2020SERIKALI ya Tanzania inatarajia kupokea fedha za msaada, kwa ajili ya kukabiliana na athari za mlipuko wa ugonjwa wa homa kali ya mapafu,...
By Mwandishi WetuMay 21, 2020JOHN Pombe Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, amewaonya watu watakaopokea misaada ya vifaa vya kupambana na janga la virusi vya...
By Mwandishi WetuMay 21, 2020