Categorizing posts based on type of post
DAKTARI Maryrose Majinge, aliyejitokeza katika kinyang’anyiro cha kuomba kuteuliwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kugombea Urais wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu...
By Mwandishi WetuJune 8, 2020CHARLES Kitwanga, Mbunge wa Misungwi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), amewasilisha bungeni azimio la kumpongeza Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai. Anaripoti...
By Mwandishi WetuJune 8, 2020SERIKALI ya Tanzania imesema, itawaajiri walimu wa masomo ya sanaa pale idadi ya walimu wa sayansi, hisabati, kilimo, biashara, elimu maalum na mafundi sanifu...
By Mwandishi MaalumJune 8, 2020UMMA na mataifa huongozwa na wanadamu. Sifa kuu ya mwanadamu ni kukosea au kuishi katika uwezekano wa kufanya makosa. Anaandika Mwandishi Maalum …...
By Mwandishi MaalumJune 8, 2020BUNGE la Tanzania litapitisha azimio la kuibana Serikali ya nchi hiyo kutobadili uamuzi wa kuhamisha shughuli za Serikali kutoka jijini Dodoma kwenda kwingine....
By Mwandishi WetuJune 8, 2020BUNGE la Tanzania, linatarajia kupitisha Azimio la kumpongeza Spika wa Bunge hilo, Job Ndugai kwa mafanikio ya Bunge la 11. Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Mwandishi WetuJune 8, 2020SERIKALI iko mbioni kuwasilisha bungeni muswada wa Sheria ya Utekelezaji wa Haki na wajibu wa Msingi, Sura ya 3 (The Basic Rights and...
By Hamisi MgutaJune 7, 2020ADO Shaibu Katibu Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo amesema Serikali ilimtaka alipe Shilingi 123 Milioni kama faini ya kushindwa kesi aliyomshtaki Rais John...
By Faki SosiJune 7, 2020CHAMA cha ACT-Wazalendo kimeleeza kuwa nia ya serikali ya kupitisha Muswada wa sheria mbalimbali Na.3 ya mwaka 2020 inalenga kufunga milango ya kudai...
By Hamisi MgutaJune 7, 2020RAIS John Magufuli amesema, Mungu amejibu maombi ya Watanzania kuepusha ugonjwa wa homa ya mapafu unaosababishwa na virisi vya corona (COVID-19) nchini. Anaripoti...
By Danson KaijageJune 7, 2020WAZIRI wa mambo ya nje na uhusiano wa kimataifa wa zamani wa Tanzania, Bernard Membe amesema, hana sababu ya kumuomba radhi Rais John...
By Mwandishi WetuJune 7, 2020NAIBU Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dk. Godwin Mollel, ameagiza kuondolewa kwa safu ya uongozi wa Hospitali ya...
By Hamisi MgutaJune 7, 2020KAMATI Kuu ya Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) nchini Tanzania, kimetangaza kushiriki uchaguzi mkuu wa Oktoba 2020, huku kikitoa wito kwa vyama...
By Regina MkondeJune 6, 2020CHAMA cha Wananchi (CUF) nchini Tanzania, kimetoa msimamo kuwa kipo tayari kushirikiana na vyama vingine vya upinzani vyenye dhamira ya kukiondoa madarakani Chama...
By Faki SosiJune 6, 2020CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimefungua milango ya wanachama wake wanaotaka kuwania urais wa Zanzibar, kuandika barua kwenye ofisi ya naibu katibu...
By Mwandishi WetuJune 6, 2020VYAMA vya siasa nchini Tanzania, vimetakiwa kuweka mazingira sawa ya ushiriki wa wanawake, vijana na wenye umelavu katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 2020....
By Mwandishi WetuJune 6, 2020CHAMA cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimeiomba Serikali ya Tanzania, kusitisha mpango wake wa kufanyisha kazi mahabusu, kwa kuwa unakwenda kinyume na Katiba ya...
By Mwandishi WetuJune 6, 2020MCHUNGAJI Peter Msigwa, Mbunge wa Iringa Mjini tayari amefungua pazia la kugombea urais ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Mwandishi WetuJune 5, 2020TUNDU Lissu, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maaendeleo (Chadema)-Bara amesema, atazungumza na Watanzania Jumatatu tarehe 8 Juni 2020 kuelezea adhima yake...
By Mwandishi WetuJune 5, 2020DK. John Magufuli, Rais wa Tanzania, amesema atafungua shule za msingi na sekondari hivi karibuni, kama ataridhishwa na kasi ya upunguaji wa maambukizi...
By Mwandishi WetuJune 5, 2020CHAMA cha Walimu Tanzania (CWT), kimeiomba Serikali kuajiri walimu wapya, ili kuondoa changamoto ya uhaba wa walimu iliyotokana na mpango wa elimu bila...
By Mwandishi WetuJune 5, 2020WIZARA ya Nchi Ofisi wa Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) imeeleza, watumishi wa sekta ya ardhi waliokuwa chini...
By Danson KaijageJune 5, 2020MWENYEKITI wa Chama cha Tanzania Labour Party, (TLP) Augustine Lyatonga Mrema amesema, katika uchaguzi mkuu mwaka 2020 chama chake hakitaweka mgombea wa Rais...
By Hamisi MgutaJune 5, 2020KATIBU Mkuu mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana, amejitokeza hadharani na kumuomba msamaha Rais John Magufuli, kutokana na mazungumzo yaliyofanyika kwa...
By Mwandishi WetuJune 4, 2020FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na Zitto Kabwe, Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, ‘wamealikwa’ kwenye meza ya mazungumzo...
By Danson KaijageJune 4, 2020JOTO la uchaguzi mkuu wa Oktoba 2020 limeanza kufukuta, vyama mbalimbali vya siasa vimeanza kuweka mikakati yake ya kupata wagombea. Anaandika Mwandishi Wetu…(endelea). Mwenyekiti...
By Mwandishi WetuJune 4, 2020WILFRED Muganyizi Lwakatare, mbunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), katika jimbo la Bukoba Mjini, mkoani Kagera, aliyetangaza kustaafu mbio za ubunge,...
By Mwandishi WetuJune 3, 2020MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi, Rais John Pombe Magufuli amefanya kikao na viongozi waandamizi wa chama hicho akiwemo Rais wa Zanzibar, Ali Mohamed...
By Hamisi MgutaJune 3, 2020MAHAKAMA Kuu Masjala ya Dar es Salaam imetupilia mbali kesi ya kikatiba ya kupinga uamuzi wa Job Ndugai, Spika wa Bunge kumrejesha bungeni...
By Faki SosiJune 3, 2020TUNDU Lissu, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maaendeleo (Chadema)-Bara, amesema atagombea urais kwenye uchaguzi mkuu wa Oktoba 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...
By Mwandishi WetuJune 3, 2020KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Mnyika, ameitaka Serikali kutumia kipindi kifupi kilichobaki cha uhai wa Bunge, kupeleka muswada...
By Mwandishi WetuJune 3, 2020CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) nchini Tanzania, kimefungua milango ya majadiliano na vyama vingine vya upinzani ili kushirikiana katika uchaguzi mkuu wa...
By Mwandishi WetuJune 3, 2020SIKU ya miguu kifundo au nyayo za kupinda ulimwenguni huadhimishwa kila mwaka tarehe 3 Juni. Tarehe hii ilitokana na maadhimisho ya siku ya kuzaliwa...
By Mwandishi WetuJune 3, 2020CHAMA cha Demokrasia ya Maendeleo (Chadema) kimefungua milango kwa watia nia wa urais wa chama hicho kuanzia leo Jumatano tarehe 3, Juni hadi...
By Mwandishi WetuJune 3, 2020TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), inalaumiwa kubagua vyama vya siasa vya upinzani. Ni katika maboresho ya kanuni mbalimbali za uchaguzi. Anaripoti Faki...
By Masalu ErastoJune 2, 2020CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) nchini Tanzania, kimetoa utaratibu mpya utakaotumika kuwapata wagombea udiwani, ubunge na uwakilishi katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 2020. Anaripoti Kelvin...
By Kelvin MwaipunguJune 2, 2020TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Mtwara, imewakamata wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) 18 akiwamo Ofisa wa Mamlaka...
By Mwandishi WetuJune 2, 2020JOTO la Uchaguzi wa urais, wabunge na wawakilishi utakaofanyika Oktoba 2020, visiwani Zanzibar, limepamba moto huku kukiwa na tuhuma za vyama vya upinzani,...
By Mwandishi WetuJune 2, 2020MWENYEKITI wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais John Pombe Magufuli, amewataka wanachama wa chama hicho, wenye nia ya kugombea nafasi mbalimbali za uongozi...
By Mwandishi WetuJune 2, 2020VYAMA viwili vya upinzani nchini Tanzania – Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na chama cha ACT-Wazalendo – viko mbioni kushirikiana ili kukabiliana...
By Mwandishi WetuJune 2, 2020LIDA Lugani Mwakatuma, anayejipanga kugombea jimbo la Ubungo pamoja na viongozi watano wa Chama cha Mapinduzi (CCM), jimboni humo, wanashikiliwa na Taasisi ya...
By Mwandishi WetuJune 1, 2020WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema, Serikali ya inayoongozwa na Rais John Pombe Magufuli, itahakikisha mali zote za wakulima wa zao la...
By Masalu ErastoJune 1, 2020MWANACHAMA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), anayejipanga kugombea ubunge katika Jimbo la Ubungo, jijini Dar es Salaam (jina tunalo), amewatoroka Taasisi ya Kuzuia...
By Mwandishi WetuJune 1, 2020NI binti anayetimiza miaka 28 mwaka huu. Alibakwa akiwa na miaka 10 na kuwa chanzo cha kuambukizwa ugonjwa wa ukimwi. Ameishi na virusi...
By Mwandishi MaalumJune 1, 2020MAUAJI yaliyofanywa na polisi wa Mji wa Minnesota, yamebadili taswira ya miji 25 ya Marekani na kuwa ya vurugu, maandamano na uharibifu wa...
By Hamisi MgutaMay 31, 2020WILFRED Lwakatare, Mbunge wa Bukoba Mjini kupitia Chadema, amekwenda kinyume na kiapo cha kustaafu siasa, kwa kurudi katika Chama cha Wananchi (CUF), alichokuwepo...
By Regina MkondeMay 30, 2020POLISI Mkoa wa Mwanza nchini Tanzania, limemkamata na kumhoji, Meya wa Jiji la Mwanza, James Bwire kwa tuhuma zinazomkabili. Anaripoti Mwandishi Wetu, Mwanza...
By Mwandishi WetuMay 30, 2020RAIS wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli amesema, kwa sasa Serikali yote ipo Dodoma ambapo ni mjii mkuu wa nchi kutokana na ofisi...
By Kelvin MwaipunguMay 30, 2020CHAMA cha Wananchi (CUF) nchini Tanzania kimesema, kitamtumia Wilfred Lwakatare, Mbunge wa Bukoba Mjini, kuvimaliza vyama vya upinzani, hususan Chama cha Demokrasia na...
By Regina MkondeMay 30, 2020MARAIS wastaafu wa Tanzania, wamepongeza Rais wa nchi hiyo, John Pombe Magufuli, jinsi anavyoongoza nchi na kutimiza adhima ya Baba wa Taifa, Hayati...
By Mwandishi WetuMay 30, 2020