Wednesday , 1 May 2024

Gazeti

Categorizing posts based on type of post

Habari MchanganyikoTangulizi

Polisi Tanzania yazungumzia tukio la Mbowe

JESHI la Polisi Tanzania, limetoa taarifa za uchunguzi wa awali wa tukio linalodaiwa kushambuliwa kwa Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na...

Habari za Siasa

Wabunge CCM wajaa hofu kutemwa

BAADHI ya wabunge kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM), wameingia hofu ya kutorudi bungeni, kutokana na muundo wa mchakato wa kuteuliwa ndani ya chama...

Habari za Siasa

Ratiba kugombea Urais Bara, Z’bar CCM yawekwa hadharani

CHAMA CHA Mapinduzi (CCM) kimetangaza ratiba ya mchakato wa kupata wagombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Zanzibar. Anaripoti Regina Mkonde, Dar...

Habari za Siasa

Kinyang’anyiro cha Urais Chadema: Nyalandu kumkabili Lissu

ALIYEKUWA mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu, ameanza kupata upinzani mkali katika mbio zake za kutaka kuwania urais, kupitia Chama cha Demokrasia...

Habari za Siasa

Mbunge CCM amkaribisha Waziri Mpango ulingoni, asema…

ALBERT Obama, Mbunge wa Buhigwe kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kigoma, amemjibu Dk. Phillip Mpango, Waziri wa Fedha, kufuatia kauli yake...

Habari za Siasa

Mdee amvaa Dk. Mpango bungeni, Spika Ndugai amtetea

HALIMA Mdee, Msemaji Mkuu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni katika Wizara ya Fedha na Mipango, amemvaa Dk. Phillip Mpango, Waziri wa wizara...

Habari za Siasa

Bunge la Tanzania lashauri TRA isikusanye mapato ya utalii 

KAMATI ya Bunge ya Bajeti imeishauri Serikali ya Tanzania kuacha utaratibu wa sasa wa ukusanyaji wa mapato yote yanayotokana na shughuli za utalii...

Habari za Siasa

Mbunge CCM azichongea halmashauri bungeni

GOODLUCK Mlinga, Mbunge wa Ulanga kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), amezichongea halmashauri bungeni, kwamba zina tatizo kubwa la matumizi mabaya na ubadhirifu wa...

Habari za Siasa

Waziri Mpango kugombea jimbo la Mbunge wa CCM

WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango ametangaza ‘kiaina’ kuwania Ubunge wa Buhigwe mkoani Kigoma kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Uchaguzi...

Habari za Siasa

Mbowe apewa saa 72 za uangalizi

FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), yuko chini ya uangalizi wa kawaida kwa siku tatu katika Hospitali ya Aga...

Habari za Siasa

Bajeti 2020/21: TRA kukusanya mapato ya utalii Tanzania

SERIKALI  ya Tanzania imependekeza mfumo wa ukusanyaji wa mapato yanayotokana na sekta ya utalii na mazao ya misitu nchini humo kufanywa na Mamlaka...

Habari za Siasa

Serikali kukusanya, kutumia Tril 34.88 bajeti 2020/21

SERIKALI ya Tanzania, inatarajia kukusanya na kutumia jumla ya Sh. 34.88 trilioni, katika Mwaka wa Fedha 2020/21. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam …...

Habari za Siasa

Bajeti 2020/21: ‘Blueprint’ kupangua ada, tozo 60 Tanzania

SERIKALI ya Tanzania imependekeza kufuta au kupunguza ada na tozo 60 zinazotozwa na wizara, idara na taasisi zinazojitegemea ili kuondoa kero na urasimu...

Habari za Siasa

Nchi Jumuiya Afrika Mashariki zakubaliana kupunguza tozo

NCHI zinazounda Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), zimependekeza viwango vipya na kuondoa tozo za ushuru wa pamoja wa forodha. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma…(endelea). Hayo...

Habari za Siasa

Miradi mikubwa: Serikali ya JPM yatamba bungeni

SERIKALI ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Rais John Magufuli, imejigamba kutekeleza miradi mikubwa tangu iliopanza kuwatumikia wananchi mwaka 2015. Anaripoti Regina Mkonde, Dar...

Habari za SiasaTangulizi

Kodi zilizofutwa, ongezwa Bajeti 2020/21 

WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango amewasilisha Bungeni Bajeti ya Serikali ya Tanzania ya mwaka 2020/21 ya Sh. 34.87 Trilioni. Anaripoti...

Habari za Siasa

Andengenye auzungumzia msamaha wa Rais Magufuli

THOBIAS Andengenye, aliyekuwa Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji nchini Tanzania amemshukuru Rais wa nchi hiyo, John Magufuli kwa kumsamehe. Anaripoti...

Habari

Jaji Mutungi awapa maagizo Jukwaa la Katiba Tanzania

MSAJILI wa Vyama vya Siasa nchini Tanzania, Francis Mutungi ameitaka Jukwaa la Katiba Tanzania (Jukata) kuhakikisha inapigia upatu sera ya siasa safi na...

Habari za Siasa

Rais Magufuli: Nimemsamehe Andengenye lakini… 

RAIS wa Tanzania, John Magufuli ametangaza hadharani kumsamehe aliyekuwa Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Thobias Andengenye ambaye alimuomba msamaha. Anaripoti...

Habari

Rais Magufuli: Niombeeni nisiwe na kiburi, jeuri

RAIS wa John Magufuli amewataka Watanzania kutodharau dawa za kienyeji katika kukabiliana na maradhi mbalimbali. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Kiongozi huyo wa Tanzania ametoa...

AfyaHabari za Siasa

Mapambano ya corona Tanzania, IMF yatoa msamaha wa mabilioni

DK. John Magufuli, Rais wa Tanzania amesema, atamwandikia barua Kristalina Georgieva, Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Fedha za Kimatiafa (IMF ), kwa ajili...

Habari za Siasa

Vipaumbele 10 vya serikali 2020/21 hivi hapa

SERIKALI imeweka vipaombele 1 vya miradi ya maendeleo kwa mwaka 2020/2021 ili kuhakikisha uchumi unakuwa kwa kasi. Anaripoti Faki Sosi, Dar es Salaam … (endelea)....

Habari za Siasa

Wizara ya Ujenzi kinara utawala wa Rais Magufuli  

WIZARA ya Ujenzi, Uchukuzi na Mwasiliano, imeongoza kwa kupatiwa fedha nyingi za utekelezaji wa miradi ya maendeleo, kuanzia mwaka 2016/2017 hadi 2019/2020. Anaripoti...

AfyaHabari za Siasa

Mbunge CCM awapigania wagonjwa wa saratani, figo bungeni

RITTA Kabati, Mbunge Viti Maalumu mkoani Iringa kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), ameiomba Serikali kuwapunguzia gharama za matibabu wagonjwa wa saratani na figo....

Habari za SiasaTangulizi

Serikali ya Tanzania: Kila mtu alimiliki mil 2.5 mwaka 2019

SERIKALI imesema, mwaka jana (2019) pato la taifa kwa mtu mmoja mmoja lilikuwa Sh. 2,577,967 kutoka Sh. 2,452,406 mwaka 2018, sawa na ongezeko...

Habari za SiasaTangulizi

Wadau: Bajeti 2020/21 iguse maisha ya watu

SERIKALI ya Tanzania imeshauriwa kuja na bajeti itakayoziba mapengo yaliyoachwa na athari za mlipuko wa virusi vya corona (COVID-19), hususan katika uchumi wa...

Habari za Siasa

CCM yakaa mguu sawa uchaguzi mkuu 

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) nchini Tanzania, kimeanza rasmi kujipanga kwa ajili ya kushiriki uchaguzi mkuu wa Oktoba 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma …...

Habari za Siasa

Upinzani Tanzania: Viongozi wakuu washtakiwe kwa wanayotenda

KAMBI Rasmi ya Upinzani Bungeni nchini Tanzania, imekosoa marekebisho yanayokusudiwa kufanywa katika Sheria ya Utekelezaji wa Haki na Wajibu wa Msingi, Sura ya...

Habari za Siasa

Muswada unaoweka kinga viongozi wakuu kushtakiwa watua bungeni

MUSWADA  wa wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali (Na.3) wa Mwaka 2020 umewasilishwa bungeni ukipendekeza kufanyika marekebisho ya sheria 13 ikiwemo inayoweka masharti ya...

Habari za SiasaTangulizi

Maalim Seif ahofia uchaguzi mkuu kuacha majeraha

CHAMA cha ACT-Wazalendo kimebainisha vikwazo kumi vitakavyosababisha uchaguzi mkuu wa Oktoba 2020 kutokuwa huru, haki na unaoweza kuacha majeraha kwa Watanzania. Anaripoti Mwandishi...

Habari za Siasa

Maalim Seif ashangaa viongozi kubeza tukio la Mbowe

MWENYEKITI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Maalim Seif  Sharif Hamad ameliita tukio la kushambuliwa kwa Freeman Mbowe, Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni...

Habari za Siasa

LHRC yataka Polisi iharakishe uchunguzi tukio la Mbowe 

TUKIO la kushambuliwa na watu wasiojulikana lililomkuta Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), usiku wa kuamkia Jumanne tarehe 9...

Habari za Siasa

Bunge kuhitimishwa Juni 16, Bajeti kujadiliwa siku mbili

BUNGE la 11 la Tanzania linaloongozwa na Spika Job Ndugai, litahitimishwa Jumanne ijayo tarehe 16 Juni 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea)....

Habari za Siasa

Ubalozi wa Marekani walaani kushambuliwa Mbowe, watoa maagizo 

UBALOZI wa Marekani nchini Tanzania umetoa tamko la kulaani tukio la kushambuliwa kwa Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)...

Habari za SiasaTangulizi

Takukuru kuwahoji wabunge 69 wa Chadema

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) nchini Tanzania, inatarajia kuwahoji wabunge 69 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kuhusu tuhuma...

Habari za SiasaTangulizi

Mbunge Chadema aomba kujiunga CCM

MBUNGE wa Momba (Chadema), David Silinde ametangaza kujiondoa ndani ya chama hicho na kuomba kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaripoti Mwandishi Wetu,...

Habari za Siasa

Mbowe ahamishiwa Hospitali ya Aga Khani Dar

FREEMAN Mbowe, Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzania Bungeni nchini Tanzania amehamishiwa Hospitali ya Aga Khani, Dar es Salaam kwa matibabu zaidi. Anaripoti...

Habari za SiasaKimataifa

Rais Nkurunziza afariki dunia

RAIS wa Burundi, Pierre Nkurunziza amefariki dunia kwa ugonjwa wa moyo, Inaripoti Mitandao ya Kimataifa…(endelea). Taarifa zilizothibitishwa na Msemaji wa Serikali, Balozi Willy...

Habari za Siasa

Lijualikali: Mbowe alikuwa kalewa, hakushambuliwa

MBUNGE wa Kilombero (Chadema), Peter Lijualikali amesema, Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe hakushambuliwa na watu wasiojulikana bali alidondoka katika ngazi akiwa amelewa....

Habari za Siasa

Spika Ndugai: Dodoma ni salama, hakuna tatizo

JOB Ndugai, Spika wa Bunge la Tanzania amevitaka vyombo vya dola nchini humo kutoa haraka taarifa za awali za uchunguzi wa tukio la...

Habari za Siasa

Lissu amwomba Rais Magufuli ajiandae kumpokea

TUNDU Lissu, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amemshauri Rais Magufuli kufanya maandalizi ya kumkabidhi nchi. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Makamu...

Habari za Siasa

Majaliwa amtembelea Mbowe hospitalini 

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amemtembelea na kumjulia hali Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe ambaye amelazwa katika hospitali...

Habari za Siasa

Polisi Tanzania: Tukio la Mbowe lisitumike kisiasa

POLISI Mkoa wa Dodoma nchini Tanzania, limetoa onyo kwa mtu au kikundi cha watu, kutumia tukio la kushambuliwa kwa Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa...

Habari za Siasa

Chadema yatoa kauli kushambuliwa Mbowe

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimelitaka Jeshi la Polisi na vyombo vya ulinzi na usalama nchini Tanzania, kufanya uchunguzi wa kina kuhusu...

Habari za Siasa

Mapambano ya corona: Bunge kumpongeza Rais Magufuli

BUNGE la Tanzania, linatarajia kupitisha azimio la kumpongeza Rais wa nchi hiyo, John Pombe Magufuli, kwa namna alivyoliongoza Taifa katika Mapambano dhidi ya...

Habari za Siasa

Kushambuliwa Mbowe: ‘Issue’ ni Uchaguzi Mkuu

TAARIFA za awali zinaeleza, shambulizi alilofanyiwa Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) – Taifa, lina uhusiano na uchaguzi mkuu 2020. Anaripoti Mwandishi...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe ashambuliwa Dodoma, avunjwa mguu

MWENYEKITI wa taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, ameshambuliwa na watu wasiojulikana, usiku wa manane wa kuamkia leo Jumanne,...

Habari za Siasa

Bunge lapiga ‘stop’ mtu au mamlaka kuihamisha Serikali Dodoma

BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, limepitisha azimio la kuitaka Serikali kutobadili uamuzi wa Jiji la Dodoma kuwa makao makuu ya nchi...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu: Sitaunda Serikali itakayolipa kisasi

TUNDU Lissu, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amewasilisha taarifa ya kusudio lake la kutaka kugombea Urais wa Tanzania, kupitia...

error: Content is protected !!