October 6, 2022

Uhuru hauna Mipaka

BREAKING NEWS: Zitto ahukumiwa, apewa masharti magumu

Zitto Kabwe, Kiongozi wa ACT-Wazalendo

Spread the love

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemhukumu Zitto Kabwe Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, kutotoa na kuandika maneno ya uchochezi kwa muda wa mwaka mmoja. Anaripoti Faki Sosi, Dar es Salaam … (endelea).

Hukumu hiyo imetolewa na Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama ya Kisutu, Huruma Shaidi baada ya kumtia hatiani katika makosa yote matatu katika kesi ya uchochezi namba 327/2018.

Habari zaidi zitakujia kupitia hapa hapa MwanaHALISI ONLINE

error: Content is protected !!