Monday , 13 May 2024

Habari za Siasa

Habari za SiasaTangulizi

Chadema yasisitiza kufanya maandamano kesho

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesisitiza kwamba maandamano ya amani ambayo yalipangwa kufanyika kesho nchi nzima yatafanyika, anaandika Hellen Sisya. Akizungumza na...

Habari za Siasa

Kamanda Mambosasa kunusuru akina Lissu?

LAZARO  Mambosasa Kamanda wa Kanda Maalumu  Dar es salaam amewataka wananchi wote pamoja na waandishi wa habari kumpa ushirikiano  ili jamii iweze kuishi katika hali ya...

Habari za SiasaTangulizi

Jerry Muro asiye na fadhila

NIMESOMA kilichoitwa na Jerro Muro, “ushauri kwa wanasheria nchini ” juu ya msimamo wao wa kutohudhuria mahakamani leo (Jumanne) na kesho, anaandika Saed...

Habari za SiasaTangulizi

Hatma ya wabunge nane wa CUF kula kiapo kutolewa leo

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam leo inatarajiwa kutoa uamuzi wa kuapishwa wabunge wanane walioteuliwa na Profesa Ibrahim Lipumba au wasiapishwe, anaandika...

Habari za Siasa

Spika Ndugai amtupia zigo la CUF Msajili wa Vyama

JOB Ndugai, Spika wa Bunge la Tanzania, amesema kuwa mgogoro wa Chama cha Wananchi (CUF) wa sakata la wabunge nane ni utaratibu ulianza...

Habari za SiasaTangulizi

Tundu Lissu aachiwa huru kwa dhamana

TUNDU Lissu, Mwanasheria Mkuu wa Chadema, ameachiwa kwa dhamana ya Polisi kwa masharti ya kurudi tena polisi Jumatatu ya Agosti 28, mwaka huu,...

Habari za SiasaTangulizi

Sinema ya Lissu na Polisi yaendelea Dar

JESHI la polisi limeendelea kumshikilia Mwanasheria mkuu wa Chama cha Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu aliyekamatwa juzi jijini Dar es Salaam na kushikiliwa katika...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema watangaza ‘Black Thursday” nchi nzima

BARAZA la Vijana la Chadema Taifa (Bavicha), limetangaza mgogoro na Jeshi la Polisi Nchini, huku likitoa siku saba kwa Mkuu wa Jeshi hilo...

Habari za SiasaTangulizi

Polisi wamaliza upekuzi kwa Lissu, waambulia patupu

MAKACHERO wa jeshi la polisi ambao walienda nyumbani kwa mwanasheria mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Tundu Lissu kumpekua tayari wameondoka...

Habari za Siasa

Kesi ya Mbunge Kubenea kunguruma Septemba 4

MAHAKAMA ya Wilaya ya Dodoma imepiga kalenda kesi ya Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea (Chadema) hadi Septemba 4 mwaka huu kutokana na uchunguzi...

Habari za SiasaTangulizi

Polisi watinga nyumbani kwa Lissu kusaka barua ya Bombardier

MAOFISA wa jeshi la polisi wamekwenda nyumbani kwa mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), eneo la Tegeta jijini Dar es Salaam kwa ajili ya...

Habari za Siasa

Chadema Dodoma wamtetea Lissu

CHAMA Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kanda ya kati kimelaani kitendo cha jeshi la polisi nchini kumkamata mara kwa mara, mbunge wa Singida Mashariki,...

Habari za Siasa

Magufuli anashitakika

RAIS John Magufuli, anaweza kushitakiwa kwa makosa aliyoyatenda wakati akiwa waziri wa Ujenzi katika serikali ya Benjamin Mkapa na Jakaya Kikwete, anaandika Saed...

Habari za SiasaTangulizi

Bunduki zatumika kumkamata Lissu

ASKARI 17 wa Jeshi la Polisi wametumika kumkamata Tundu Lissu, Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika TLS, eneo la Kisutu, Dar es...

Habari za Siasa

Afya ya Bulaya yaimarika Muhimbili

ESTHER Bulaya, Mbunge wa Bunda Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), anaendelea na matibabu katika hospitali ya Taifa Muhimbili baada ya...

Habari za SiasaTangulizi

Serikali ya JPM yapigwa ‘dongo’

WAZIRI Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye ametoa tuhuma nzito kwa serikali ya awamu ya tano huku akisema kuwa haizingatii misingi ya sheria pamoja na...

Habari za SiasaTangulizi

Sumaye asema serikali inamfanyia visasi

WAZIRI Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye amevunja ukimya na kutamka bayana kwamba watawala wanaendesha nchi  kwa visasi ndiyo maana tangu ahame Chama Cha Mapinduzi...

Habari za Siasa

NEC yateua madiwani 12 viti maalum

Tume ya Taifa ya uchaguzi Tanzania (NEC) imeteua madiwani 12 wa viti maalum kujaza nafasi zilizokuwa wazi katika halmashauri mbalimbali Tanzania Bara, anaandika Hamisi...

Habari za Siasa

Mbunge Chadema atinga uraiani

HATIMAYE mbunge wa Bunda (Chadema), Ester Bulaya amepata dhamana baada ya kushikiliwa na Polisi kanda maalum ya Tarime na Rorya kwa amri ya...

Habari za SiasaTangulizi

Walioshikilia Bombadier wamlima barua JPM

KAMPUNI ya mawakili nchini Canada – Irving Mitchell Kilichman (IMK) – imemlima barua Rais John Magufuli, iliyosheheni masharti mazito ya kuachiwa ndege yake...

Habari za SiasaTangulizi

Tundu Lissu aivuruga serikali ya JPM

SERIKALI imekiiri kuzuiliwa ndege aina Bombardier ( Q400-Dash 8) iliyonunuliwa hivi karibuni kutokana na deni inalodaiwa na kampuni ya ujenzi, anaandika Faki Sosi....

Habari za Siasa

Ester Bulaya atiwa nguvuni Tarime

ESTER Bulaya, Mbunge wa Bunda Mjini anashikiliwa na polisi wilayani Tarime kwa mahojiano, anaandika Hamisi Mguta. Imeelezwa kuwa Bulaya amekamatwa kwa kosa la...

Habari za Siasa

Mbunge Kubenea asikitishwa na mlundikano wanafunzi

SAED Kubenea Mbunge wa Ubungo jijini Dar es Salaama, amesikitishwa na kuwapo msongamano wa wanafunzi katika shule ya Msingi Kawawa, anaandika Faki Sosi....

Habari za Siasa

Kubenea akagua ukarabati wa shule

SAED Kubenea, Mbunge wa Ubungo (Chadema), amefanya ziara ya ukaguzi wa ukarabati wa Shule za Msingi Mabibo na Makuburi zilizopo jimboni mwake, anaandika...

Habari za SiasaTangulizi

Tundu Lissu afunguka Bombardier ilivyokamatwa

TUNDU Lissu, Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) amelitaka Bunge kumshitaki Rais Magufuli kwa kusababisha hasara kubwa wakati akiwa waziri,...

Habari za Siasa

Mbowe amchongea Magufuli kwa wananchi

FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) amewataka watanzania kutokuogopa kumkosoa Rais John Magufuli pale anapokosea, anaandika Hellen Sisya. Mbowe ameyasema...

Habari za SiasaTangulizi

Bombardier ya Magufuli kupigwa mnada

NDEGE iliyonunuliwa na Rais John Magufuli, nchini Canada, aina ya Bombardier Q400, imekamatwa nchini humo na iko hatarini kuuzwa kwa mnada, anaandika Saed...

Habari za SiasaTangulizi

Vigogo wa CCM Mwanza ‘wavuana nguo’

MSUGUANO wa Meya wa Jiji la Mwanza, James Bwire (CCM) na Mkurugenzi wa jiji hilo, Kiomoni Kibamba, limefikia katika hatua mbaya baada ya...

Habari za Siasa

Kesi ya wabunge CUF Agosti 25

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam itatoa uamuzi tarehe 25 Agosti mwaka huu, wa pingamizi zilizowekwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali kuhusiana na...

Habari za SiasaTangulizi

Madiwani wa CCM wamkataa Meya wao

MADIWANI 19 kati ya 25 wa baraza la madiwani Jiji la Mwanza, wamesaini waraka wa kutokuwa na imani na Meya wa Jiji la...

Habari za SiasaTangulizi

MCT wamtia hatiani Makonda

BARAZA la Habari Tanzania (MCT), limezidi kumkaanga Mkuu wa Dar es Salaam, Paul Mkaonda baada ya kubaini kwamba alihusika moja kwa moja kuvamia...

Habari za SiasaTangulizi

Bodi ya wadhamini CUF ya Seif yakwaa ‘kisiki’ kortini

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetupilia mbali maombi ya bodi ya wadhamini inayomuunga mkono Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF),...

Habari za Siasa

Wanafunzi elimu ya juu wapata mtetezi

Waziri Kivuli Wizara Ya Elimu, Sayansi na Teknolojia na Mbunge wa Viti Maalum Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Suzan Lyimo, amesema muongozo...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema wazidi kuwagaragaza CCM mahakamani

MAHAKAMA ya Rufani ya Tanzania muda mfupi uliopita imefuta rufaa dhidi ya Bilago Kasuku, Mbunge wa Jimbo la Buyungu (Chadema), anaandika Mwandishi Wetu....

Habari za Siasa

Kubenea ateta na Bawacha

MBUNGE wa jimbo la Ubungo, Saed Kubenea, amewataka viongozi wa Baraza la Wanawake wa Chdema (Bawacha), jimbo la Ubungo, kukitetea na kulinda chama...

Habari za Siasa

Kubenea kuchangia 20mil ujenzi wa zahanati

SAED Kubenea, Mbunge wa Ubungo (Chadema), ameahidi kutoa Sh. 20 milioni, kwa ajili ya ujenzi wa Zahanati ya mitaa ya Kilungule A na...

Habari za Siasa

Lukuvi awacharukia viongozi wa mitaa

WILLIAM Lukuvi, Waziri wa Ardhi Nchini, amekemea vitendo vya uonevu vinavyofanywa na viongozi wa serikali za mitaa kwa kushirikiana na matapeli kuwanyonya wananchi,...

Habari za SiasaTangulizi

Suluhu ya dhamana yaanza kusakwa na Chadema

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeandika barua kwa ofisi ya Jaji Mkuu wa Tanzania, kikiomba wafuasi wao wanapokamatwa kwa makosa yanayodhaminika waweze...

Habari za SiasaTangulizi

Mdee aichana  bodi ya mikopo 

Halima Mdee, Mbunge wa jimbo la kawe (Chadema) ameituhumu Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu nchini (HESLB) kwa kufanya ubaguzi...

Habari za Siasa

Chadema yaibuka mshindi nafasi makamu mwenyekiti

MWENYEKITI wa Kitongoji cha Namayani wilayani Arumeru, Elias Mollel (Chadema),  ameibuka mshindi wa nafasi ya makamu mwenyekiti wa Mamlaka ya Mji Mdogo wa...

Habari za Siasa

Chadema wabuni njia mpya kumkabili Rais Magufuli

JOHN Mnyika, Naibu katibu mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye pia ni mbunge wa jimbo la Kibamba amesema kuwa rais...

Habari za Siasa

RPC achaguliwa uenyekiti CCM

ALIYEWAHI kuwa Kamanda wa Polisi wa mkoa wa Kilimanjaro, Absolom Mwakyoma ‘ameukwaa’ Uenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), katika Kata ya Mfumuni, Manispaa...

Habari za SiasaTangulizi

Huyu ndiye Lissu, alianza kupinga dhuluma akiwa mdogo

MDOGO wake, mwanasiasa machachari, Tundu Lissu, Vincent Lissu amefunguka na kueleza maisha ya kaka yake tangu akiwa anasoma shule ya msingi,  huku akisema...

Habari za Siasa

Mbunge wa zamani amtupia neno Rais Magufuli

EZEKIEL Wenje, aliyekuwa mbunge wa jimbo la Nyamagana, Mwanza, amemchana Rais John Magufuli kwamba baadhi ya mairadi anayozindua ni hewa haipo, anaandika Moses...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu asema Job Ndugai ”amelikoroga”

TUNDU Lissu Mbunge wa Sindiga Mashariki amesema kuwa kitendo cha Spika wa Bunge Job Ndugai, kuridhia barua ya Chama cha Wananchi (CUF),kuwafukuza uanachama...

Habari za Siasa

Mbunge Kubenea alia na rafu za serikali ya JPM

SAED Kubenea, Mbunge wa Jimbo la Ubungo jijini Dar es Salaam, amesema Watanzania wanakuwa maskini kwa sababu ya ubaguzi unaofanywa na serikali, anaandika...

Habari za SiasaTangulizi

Wabunge wa CUF kurudi tena mahakamani

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetupilia mbali maombi ya kupinga kuapishwa kwa wabunge wa viti maalumu ndani ya Chama cha Wananchi...

Habari za SiasaTangulizi

Meya wa Chadema amvaa Rais Magufuli

BONIPHACE Jacob, Meya wa Manispaa ya Ubungo amewalalamikia watendaji wa Rais John Magufuli kwa kuwa wanakwamisha miradi ya maendeleo katika maeneo ambayo yanaongozwa...

Habari za SiasaTangulizi

Halima Mdee ashusha rungu kwa serikali ya JPM

HALIMA Mdee Mbunge wa Kawe amekosoa takwimu zinazotolewa na serikali kuhusu ukuaji wa uchumi pamoja na mikakati inayofanywa ili kunusuru anguko la uchumi,...

Habari za SiasaTangulizi

Mnyika amvaa Rais Magufuli, akosoa majadiliano

JOHN Mnyika, Waziri Kivuli wa Nishati na Madini amesema Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi hakustahili kuongoza timu ya inayoangalia masuala...

error: Content is protected !!