August 8, 2022

Uhuru hauna Mipaka

Lissu asema Job Ndugai ”amelikoroga”

Tundu Lissu, Mbunge wa Singida Mashariki

Spread the love

TUNDU Lissu Mbunge wa Sindiga Mashariki amesema kuwa kitendo cha Spika wa Bunge Job Ndugai, kuridhia barua ya Chama cha Wananchi (CUF),kuwafukuza uanachama wabunge wake nane kitamuumbua, anaandika Faki Sosi.

Lissu akizungumza na MwanaHALISI Online Tv amesema kuwa dhamira ya Spika siyo nzuri kwa vyama vya upinzani.

“Mahakama ikitoa hukumu kuwa Professa Ibrahimu Lipumba siyo mwenyekiti wa CUF huku wabunge walioteuliwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), wakiwa wameishakula kiapo kunaeweza kuleta mgogoro.

Lissu amesema kuwa upinzani hauwatambui wabunge hao wapya kwenye kambi yao na kwamba hawatawapokea.

Tazama hapo Chini Full Video alichokizungumza Tundu Lissu kuhusu sakata hilo.

 

error: Content is protected !!